Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Pumba ya mchele inasaidia nini kwa kuku? Au inaondoa nini mtumshi??
Asante kiongo nahitaj namba ya group
Nashukur mtumish wa Mungu
Naitaji chakula cha kuku uko wapi
@@sammasadika9598 Oooh! Sorry mimi siuzi chakula ila nashauri tu namna ya kutengeneza chakula cha gharama NAFUU.
Kama pumba ya mchele ni adimu sana kwa eneo nililopo je nitumie m mbdala gani
@@JonasMshana Itabidi utumie pumba ya mahindi tu! Japo bei itazidi kidogo.
Ubarikiwe sana naenda darasa lako japo Mimi sijaanza kufuga naomba no ya grup kiongozi
@@AlexFugason ok usijali
@@ThomKavishegospeltv.555mchanga unasaidia mkuu
Mchanga unasaidia nini mkuu
@@asteriacharles425 Kazi ya mchanga husaidia usagaji chakula tumboni, na pia kuna madini yanayohitajika kwa kuku.