*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA* TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo. wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
Angalia youtube channels zipo nyingi wanatotolesha kwa mwanga wa jua na bulb but si kazi rahisi lazima uwepo muda wote.Kama unaanza ni heri utotoleshe au uache walalie
Samahani mimi nipo pwani mkuranga je unaweza nisaidia nami niweze kupata faida ya kuku kwani nimefuga bila kupata faida kwa miaka mingi, vifaranga vinakufa mno
Shukran, natamani Sana hiyo kazi. Lakini nilifikiria wanaiba ng'ombe ni mkubwa he kuku watakaa salama. Na kila siku ukisikiliA mawio . Mbuzi, kuku na ng'ombe wameibiwa . Kweli utaweza kufanya hiyo biashara.
Mimi nilijiunga tayari kwako, kwasasa sina smartphone, naomba kupata elimu je nikifuga kuku bloiler 200 wanatumia chakula mifuko mingapi hadi wanapofikia kupelekwa sokoni
Mimi ni mfugaji pia nilikua sijui kuwa yai likizidi siku 14 halifai kuatamiwa ,kuku wangu walikua wanataga mayai 15 na zaidi wanaatamia lakini walikua wanatotoa nusu ya hayo mayai mengine yanakuwa yameharibika ,lakini namshukuru Mungu wazo lilinijia kwamba niwe nayapunguza mayai ya mwanzo ,sasa hivi wanatotoa yote au wanaacha moja au mawili .kwa hiyo sasa ndo nafahamu kuwa yai halitakiwi kuzidi siku 14 ,thank you.
*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA*
TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo.
wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
Hongera miezi 2 umepata kuku wote hao, asnt kwa darasa
Hongera, ili kupata kuku kumi nianze namimi nizalishe , nifanyeje
Ni elimu nzuri ya ukombozi na ujenzi wa afya njema .
Big up BROTHER. Nimeathiriwa na juhudi zako. Keep it up👍💪👍💪
Asante sana kiongozi
Nakuku wangu Wana mafia xana hatahivyo nimeumia dawa nyingi lakini xijaona hali haibadiriki nifanyaje
Congratulations 🎉
Nawapataje kaka
nashukuru kuwapata kuajili ya ufugaji kuku wa kienyeji , mimi naishi Burundi itakuwaje kuusu iyo pesa
Hongera ndugu yangu hata mimi natamani kufuga
Asante sn Kwa Elimu nzuri
Mini unapea vifaranga
Nataka nimwanzishie mama hii kazi, nitapata wapi vifaranga kwa bei nzuri
Mzuri Sana kweli kuku
Na je nikiamua kununua vifaranga wa kienyej 500 sitofika huko kweli
Asante nitafatilia
Asante kwa elimu yako kaka na hongera kwa kazi nzuri unaofanya na mungu abariki kazi zetu.
Mm mkeni pia mm ntakuwa mfugaji
Alafu tena akiinuliwa na Mungu asimame urausi aitwe mwinzi keep up bro
Tunajaribu ila tunashindwa,tatizo kubwa magonjwa na gharama kubwa ya chakula.Tunaomba elimu ya kupambana na changamoto hizo.
Nashukuru. Swali langu ni, vifaranga vinavyo zaliwa na majogoo hao, watadonwa tena na hao majogoo au itabidi kununua majogoo wengine?
Nunua majogoo wengine
Ahsante sana kwa kutuelimisha.
Tuko pamoja
Congration ❤❤👏👏👏👏😮😮😂😂😂
Mimi ninaomba vifaranga vya kuku vya kienyeji 100 ninaishi Nachingwes mkoani Lindi
Mm nilifuga kuku walivokua wote wakaibiwa binadam wabaya sana😢😢
Somo zuri sana shukrani
Unakarishwa
Okay hello congratulations 🎉 alafu naweza pata haya kuku wa kienyeji please naitaji na location plz
Wangu walishikwa na kuharisha mavi ya white, nilijaribu dawa tofauti lakini Ilikufa zote 22 mwezi huu wa 9. Sasa dawa ni gani.
Jogoo na tetea wanapaswa kua umri mmoja?
Hongera sana' najifunza kitu
Endelea kujifunza
Je naweza kununua kuku mtaani na nikawapa chanjo wasife
Kuku wa Malawi wañapatikana?
elimu nzuri sana...Hongereni🙌🙌🙌
Asante sana
hivi nauliza nikinunua kuku wakubwa kipi cha kwanza kuwafanyia bro
Wape antibiotics kwa siku 7 kisha wape chanjo ya kideri
@@changamkiafursa napenda sana kufuga ila nko mbali asante kwa mafunzo yako nikirud hii kaz lazma nifanye
Karibu Tanzania, Karibu Nyumbani 🇹🇿
Safi Sana.Tulimiss vipindi
Tuko pamoja kwa mara nyingine
Nimependa sana@@changamkiafursa
Son oak zur San ks being ya kifrng mwenyew miez mitatu
Kazi nzur kaka
Asante
Vizuri kaka nimeipenda naweza Pata no yako
Nipeee maarifa n mm nko n hamu ya kuanz
Darasa zuri sana
Tuko pamoja
,Asante sana
Tuko pamoja bro
Asante sana
Naomba number yenu
Vp kuhusu chakula inakuwaje niongoze
Hoi ni ajira tosha
Safi sana
Ok ss naomba niulze
Fresh
Pamoja
Asante sana
Uko wapi nahitaji makoo
piga kazi kijaaaaaan♥️❣️❣️♥️💘❣️❣️💟💯💗💗💖💜🤎🤎💞
Hakuna kukata tamaa
Nimependa sana Somo hili nitajaribu nianze na kuku kumi kike 8 kiume 2
Shukran solo tayari
Vizuri sana, ukiwa na nia thabiti utaweza
Kweli ni kazi mzuri
Karibu, uichangamkie fursa ya ufugaji
Karibu, uichangamkie fursa ya ufugaji
Makoo ni majike yanayotaga
Mimi naitwa rehema nipo dodoma natamani sana kuwa na kuku wengi wa kienyeji kwasasa nina kuku 20 nilikuwa nahitaji maelekezo zaidi na mafunzo
Napenda kufuga npo mwanza kwimba napataje vifaranga
Nini ina itwa makoo
Mm naomba mnisaidie hatua za kufuata ili kutotoresha vifaranga kwa njia ya kienyeji (bila mashine) na bila kuku wa kulalia
Angalia youtube channels zipo nyingi wanatotolesha kwa mwanga wa jua na bulb but si kazi rahisi lazima uwepo muda wote.Kama unaanza ni heri utotoleshe au uache walalie
Samahani mimi nipo pwani mkuranga je unaweza nisaidia nami niweze kupata faida ya kuku kwani nimefuga bila kupata faida kwa miaka mingi, vifaranga vinakufa mno
Mh ni vizuri Sana , lakini huko kwetu ni mtihani labda ulale nao. Unaweza kufa pressure ukiamka asubuhi kuku hawapo
🤣🤣🤣
Poleni sana
Shukran, natamani Sana hiyo kazi. Lakini nilifikiria wanaiba ng'ombe ni mkubwa he kuku watakaa salama. Na kila siku ukisikiliA mawio . Mbuzi, kuku na ng'ombe wameibiwa . Kweli utaweza kufanya hiyo biashara.
Inakuwa ngumu
Mashallah
Chanjo hii inapatikana Zanzibar
Nice for the good memory
Jamani nilianza kufuga, tatizo Ni wizi, wameniibia.... Nifanyaje....wamevunja mlango.
Pole sana
Fuga mbwa
Good work bro
Unamjuaje kuku anaetaka kuatamia?
naomba number yak
Nimependa
Pamoja sana
Naomba namba Yako
Wapi hapo nataka makoo 10 na jogoo 3
Masha allah
🤲
nikitaka kuku 20
👏👏👏👏👏👏
Wanapendeza wenyewe
Makoo mi matetea
Good
Thanks
Umenitia moyo sana ni chakula gani unawalisha?
Nikitaka vifaranga kama hamusini na weza kupata.
Makoo ndio nn
Na je baada ya kutolewa vifaranga Kama watakuwa wamepishana may siku 5 vipi unaweza kuwapa chanjo kwa siku moja?
Ndio
Makoo ni nini?
Ni matetea au kuku majike
Mimi nilijiunga tayari kwako, kwasasa sina smartphone, naomba kupata elimu je nikifuga kuku bloiler 200 wanatumia chakula mifuko mingapi hadi wanapofikia kupelekwa sokoni
Mimi nataka kujiunga kwenye darasa na video ndo naiona Leo kwani ndo nataka kuanza ufugaji. Utanisaidiaje?
Nahitaji kufahamu vifaranga na Kuku ni vyema kulala pamoja?
Wakiwa chini ya miezi 2, watenge na kuku wakubwa
Kwa usafi unafagiaga kila siku? Na dawa ya viroboto unamwaga after how many days?
Huwa inachukua takriban mwezi 1-2
Je kuku wakienyeje joogoo akiwa bandan uwezo wa kupanda mdogo nikweli?
Imewahi kunitokea kipindi flani
Nita wapataje wasapu
0752209073
Makoo ni nini?
Makoo ni kuku kutika sehem mbalimbali
Waliotoka sehem mbalimbali
Am in Kenya...how do i join the class?
What's app 0752209073
@asante itakuwa sangap muda wa Tanzania
Kuku Wa mayai, ukiwachanganya na majogoo, wanaweza kupandwa?
Ndio
Je Kama Nina incubator Kuna shida? Ili nisitumie kuku kutotoa
Hakuna shida
No
Nipo kenya nataka kujiunga na group lenu nifnyeje?
Karibu sana
Tuwasiliane kupitia what's app 0752209073 nitakupa maelekezo
Ungefuga kanga ndo ungeona ubora wake kwasbb wanataga sana
Asante kwa ushauri
Na mm pia nafuga kuku wangu WA kienyeji
Hongera, vipi unaonaje ufugaji wa kuku wa kienyeji
@@changamkiafursa Nina kuku WA nne weme totoa Je dawa Ya vifaranga ni ipi
Na nipo Katoro mkoa WA Geita
Hujambo kuku wangu wanasinzia tu hawataki kula sijuia nifanye nn
Hao wanaumwa ila maelezo hayaonyeshi ni ugonjwa gani
Unawapa chakula gani mkuu
Nachanganya concentrate na pumba
habar
nimeanza ufugaji lkn wanakula sana jee kuna chakula mbadala ili kupunguza gharama maana hao nilonao wanakula kiroba cha kilo hamsini kwa siku nne?
Unawapa mwenyewe wao hawawezi kuingia stoo kuchukua chakua.
Kuku wanatakiwa kupiwa, usipo wapimia watakufilisi
@@changamkiafursa kwani kwa siku nzima wanatakiwa wale mara ngapi? samahani kwa usumbufu
Marambili na inategemea wako wa ngapi
kama 70
Wana umri gani?
Naulizaje vipi chakula una walisha wishwa pekee. Unanunia wishwa mtamboni ama una nunia chakula Cha dukani?
Nachanganya concentrate na pumba
Kuku wa kianyeji anakua miezi mingapii, naomba namba ya simu ya group
Nicheki 0656528455
7
@@changamkiafursa hodi mkuu
Jamani hivyo vifaranga vinaishije pamoja na Wakubwa wa kwangu wanapigana sana wana wapiga wadogo
Wangu wanaishi kama familia.
Huwa naacha pamoja vifaranga wakifikisha wiki 6-8
Mimi ni mfugaji pia nilikua sijui kuwa yai likizidi siku 14 halifai kuatamiwa ,kuku wangu walikua wanataga mayai 15 na zaidi wanaatamia lakini walikua wanatotoa nusu ya hayo mayai mengine yanakuwa yameharibika ,lakini namshukuru Mungu wazo lilinijia kwamba niwe nayapunguza mayai ya mwanzo ,sasa hivi wanatotoa yote au wanaacha moja au mawili .kwa hiyo sasa ndo nafahamu kuwa yai halitakiwi kuzidi siku 14 ,thank you.
Pamoja sana
Mimi najua 7 dys..yote yanatotolewa
Kama unatotolesha kwenye mashine
@@changamkiafursa kwa dar es salam mashine za kulipia ntotoeshe mayai zko wap
Upo wapi ndugu