Meja Jenerali Charles Mbuge Afariki. Angalia Namna Magufuli Alivyomkubali Akampandisha Cheo Ghafla

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Meja Jenerali Charles Mang'ra Mbuge amefariki leo Oktoba 12, 2024, huko nchini India alipokuwa akipokea matibabu. Amefariki akiwa na umri wa miaka 61.
    Moja ya tukio la kipekee katika Maisha ya Mbuge ni lile la April 13, 2019, ambapo Rais Magufuli aliagiza apandishwe cheo kutokana na kusimamia ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali Dodoma na akapandishwa muda huo huo
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

КОМЕНТАРІ • 22