The Golden Harp Singers-Tz | Ninaye Rafiki | official Video.
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Ninaye Rafiki - (Official Video)
Kwa unyenyekevu mkubwa tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Rafiki yetu mpendwa na ambaye ndiye Mungu wetu kwa kuendelea kutujali afya njema na Baraka tele. Golden Harp Singers-Tz tulimchagua Mungu awe Rafiki yetu kwamaana alitupenda kwa upendo mkubwa Sana. Ungana nasi kwa kusikiliza na kutaza hii Video.
Ninaye Rafiki - The Golden Harp Singers-Tz (official Video) tusapot kwa ku-Subscribe, Like, Comment, Share na utufuate kwenye channel hii kwaajili ya Nyimbo zaidi:
/ @jrmimusic24hrs
_________________________
Song - Ninaye Rafiki.
Vocal Arrangement - Jrmi Studio
Composer - Geo. C. Stebbins
Track - Jrmi Studio
Audio - Jrmi Studio
Mixing and Mastering - Yusuph Johnson
_________________________
Video - Gctv Media Ltd
Behind Cameras - Gift Mc'Elijah & D. Lucky
Editor - Gift Mc'Elijah
+254 (0) 717 811035
_________________________
Kwa Mawasiliano:
Email: jorealmusici@gmail.com
Instagram: https// mtayarishaji_Johnson
Facebook: https// goldenharptz
Tell: +255 (0) 755 340532
🎉 Barikiwa sana
Mungu awabariki saana, chukueni maua yenu, wimbo mtamu Sana.
Ameeen. Sifa kwa Mungu wetu.
Wimbo mtamu huu, one of my favorites, 🙏 Mungu awainue zaidi mnapotubariki
Ameeen. Barikiwa zaidi unapoendelea kusikiliza, kuna mazuri yanakuja