The Golden Harp Singers-Tz - Pambazuko - (Official Music Video) HD
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Pambazuko - (Official Video)
Pambazuko hueleza juu ya kuisha kwa usiku na kutokeza siku nyingine. Tangu Dunia ilipoumbwa, kumetokeza Mapambazuko meengi sana ambayo yamejaa simanzi, vilio, vituko, majanga, magonjwa yasiyo na tiba na katika mapambazuko hayo, mwanadamu amebaki akitaabika bila tumaini.
Sikia, lipo PAMBAZUKO HALISI ambalo linakuja, Pambazuko linalioenda kuleta Tumaini Jipya, maana katika Pambazuko hili, vilio vitakoma, majanga yatakoma, magonjwa pia yatakoma. Hapo tutakuwa na Yesu katika Pambazuko Jema.
Barikiwa unapotafakari wimbo huu mzuri.
Pambazuko - The Golden Harp Singers-Tz (Official Video)
Tusapot kwa ku-Subscribe, Like, Comment, Share na Utufuate kwenye channel hii kwaajili ya Nyimbo zaidi:
Subscriber 👇👇👇
/ @jrmimusic24hrs
Stream 👇👇👇
distrokid.com/...
Song: Pambazuko
Vocal Arrangement: Jrmi Studio
Composer: John Malangwa
Track: Jrmi Studio
Audio: Jrmi Studio
Mixing and Mastering: Yusuph Johnson
Video: Gctv Media LTD
Behind Cameras: Gift Mc’Elijah & Dickens Lucky
Editor: Gift Mc’Elijah
+254 (0) 717 811035
Kwa Mawasiliano:
Email: jorealmusici@gmail.com
Instagram: - / mtayarishaji_johnson
Facebook: / goldenharptz
Tell: +255 (0) 755340532
Mungu awabariki sana , wimbo mzuri sana