The Golden Harp Singers-Tz | Anasikia Anajibu | Live Performance @Mt. Andrea Magomeni, Anglikana.
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Karibu uutazame wimbo huu toka kwao The Golden Harp Singers-Tz "Anasikia Anajibu" ambao umeimbwa Live katika Tamasha la Uimbaji lililoandaliwa na Kwaya Kuu ya Mt. Andrea Magomen, Anglikana Jijini Dar es Salaam Tanzania.
____________________
Mwenyeji: Fredrich Kishindo Jr.
@Mt. Andrea Magomeni, Anglikana.
Ni Mtangazaji/Magic FM na ni MC pia.
Tell: +255 (0) 758228998
___________________
Live Performance
Song: Anasikia Anajibu
Composer: Jerry Charless
Track: Jrmi Studio
Vocal Arrangement: Jrmi Studio
____________________
Cont:
Facebook: @goldenharptz
Email: jorealmusici@gmail.com
Tell: +255 (0) 755340532
Ni kweli mahali popote pale yeye huskia na kutenda! Hongera kwa wimbo mtamu wa matumaini 🙏
Asante Sana. Mungu aendelee kukubariki .
Hii nzuri sana
Asante sana Kaka
Hongereni Sana, mfike mbali
Ameeen. Barikiwa zaidi