Anastacia Muema- Shukrani Yangu (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Unapoyatafakari maisha ya mwanadamu, ni ukweli usiofichika kwamba kila aliyeumbwa na Mungu anayosababu ya kumwambia Mungu asante. Wema wa Mungu, Neema za Mungu, Baraka za Mungu, na Huruma ya Mungu kwetu ni sababu tosha ya kumwambia Asante. Ungana nami katika kumwimbia Mungu wimbo wa Shukrani. Tukumbuke, Kushukuru ni kuomba tena.
Kila anayesikiliza wimbo huu, namwombea shukrani yake ikapate kupokelewa na Mungu wetu Mkuu.
Wimbo huu umetungwa naye Ray Ufunguo,
Kinanda kikachezwa na yeye Ray Ufunguo,
Kisha audio na Video kufanywa na RAJO Productions.
Mungu wa Mbinguni azidi kutubariki.
Follow me through the following social media platforms
Instagram- / anastacia_muema
Facebook Page- / 5314230808601174
Unapoyatafakari maisha ya mwanadamu, ni ukweli usiofichika kwamba kila aliyeumbwa na Mungu anayosababu ya kumwambia Mungu asante. Wema wa Mungu, Neema za Mungu, Baraka za Mungu, na Huruma ya Mungu kwetu ni sababu tosha ya kumwambia Asante. Ungana nami katika kumwimbia Mungu wimbo wa Shukrani. Tukumbuke, Kushukuru ni kuomba tena.
Kila anayesikiliza wimbo huu, namwombea shukrani yake ikapate kupokelewa na Mungu wetu Mkuu.
SUBSCRIBE, LIKE, SHARE and COMMENT.
I love you All!!♥️♥️♥️
Congrats Anne this is very beautifully performed .... Thanks for endlessly spreading the good news the way you do through music...
Major congrats to Rajo
I love you songs Anastaciah,,,barikiwa sana💕
Very nice ningependa pia kujiunga nawe ili tuimbe pamoja...nikiimba alto
Vyote tulivyonavyo ni kwa mapenzi ya Mungu muumba wetu. Basi hatuna budi kufungua vinywa vyetu, tupaze sauti tumtolee Maulana shukrani zetu kila kukicha. Hongera Anastacia na washika dau wote kwa uimbaji wako, sauti tamu na maandalizi ya kifahari ili mtuletee wimbo huu wa SHUKRANI. Injili iendelee kusambaa kote 🙏🙏
@@kwekalucasferan thankyou so much Kweka.♥️
Blessings to you for watching♥️♥️
Such a wonderful song and beautiful voice Anastacia 👏. Congratulations for your mother's presence in the song, it is just lovely 👏❤. Mumeweza 👏❤🙏
Thankyou so much my sweetheart ♥️♥️
I love her so much🙏♥️
@@anastaciamuema Awww, great to hear dear ♥ ❤. She loves you unconditionally ❤ ♥ 🔥🔥😍
Woooww hats off to you Ann ,you are a real blessings not only to us catholics but to everyone who watches n listen to your songs.May our Mighty God continue showering you with his endless blessings n voice to continue administering to his flock through singing.Hats off once again.
Thankyou so much Frank🙏.
All the praise and honor to our God.🙏🙏
Gratitude to God in all things leads to a positive attitude, contentment & peace. This song captures the beauty and expresses the joy of a grateful heart. Your angelic voice and masterful production are breathtaking Anastacia. In the words of Saint Ambrose: _"No duty is more urgent than that of returning thanks."_ Kudos girl & thanks for the good work👌👍 Keep preaching through song and dance 🙏🙏
Wow... This comment is full of energy. Be Blessed MJ kinuthia.
@@rajopro More blessings to you and thanks a lot. Your work is magnificent 🙏🙏
Thankyou so much for your kind words MJ. Be blessed 🙏♥️♥️
@@mjkinuthia386 be blessed always!🙏🙏
@@anastaciamuema Asante sana. More blessings to you Anastacia. Looking forward to your next song 🙏🙏
It makes me emotional 😢😢 God has done a lot for us🙏🙏
Amen🙏
And we thank Him for his goodness and mercies🙏♥️♥️
Kazi Nzuri wote walioshiriki .
Mungu awazidishie
Amina🙏
Sauti nzuri, wimbo mzuri! hongera kwa sauti nzuri uliojaliwa na Mungu! zidi kumtukuza na kutubariki sisi! SHUKRANI TOSHA!
Amina🙏.
Ubarikiwe sana Jones♥️
Nice song,nice voice....so Amaizing congratulations Anne.
Thankyou so much my darling 🙏♥️♥️
Wimbo mtamu kweli kweli, shukrani kwa kazi safi.
Asante sana Simon🙏🙏♥️
Annastacia you got great vocals😍😍😍. Great thanksgiving song 👌👌
Thankyou so much Irene🙏♥️
Very beautiful song ❤️, I practically love everything, even the background voices 😍😍
Thankyou so mich Phylis🙏♥️
This is super beautiful!!wimbo mzuri wa shukrani
Asante sana kamum🙏♥️♥️
Anastacia hongera Sana. Mungu akubariki Sana. Muziki mzuri umetulia kweli kweli na unatafakarisha
Amina🙏
Ubarikiwe sana🙏
Mungu akubariki pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote za maisha yako Amina
Amina Amina🙏🙏
Ongera sana Dada yetu Anastacia Muema Kwa kazi njema ya utume
Amina 🙏
Kazi nzuri hongereni sana pia Rajo production 💖💖💖💗
Asante sana Kevoo🙏
Congrats Anne and team. Indeed we thank God for His goodness.
Nice song
Excellent Anastacia
Thankyou so much Mutuku🙏🙏
@@jacobngui9191 thankyou!🙏
@@kibikirosebel1022 thankyou so much🙏🙏♥️
Aseee...unajua kutuchanganya dada,ubarikiwe
Hahaha!!!😃
Asante sana Eva♥️
Wow! Barikiwa Sana Dada Anastacia wimbo mtamu zaidi Asante kwa kutubariki
Asante sana 🙏🙏
Nice song Anne And director ray
Thankyou so much Massawe🙏😍
Wow!...this is so sweet! Tunashukuru Mungu kwa kutupea msichana mzuri, mwenye sauti nzuri inayotubariki kila siku. Mungu akubariki dadangu💗💗💗
Thankyou so much my sister🙏.
Thankyou for always supporting me.
May God bless you abundantly.♥️♥️♥️
Wooow, asante Mungu, ubarikiwe sana best friend, nice job
Asante sana Esta🙏😍
Sauti kama ya Malaika...So sweet 🌹
Asante sana Peter🙏♥️
🎵🎶 pokea shukran zangu kazi nzuri
Asante sana🙏
Hongera sana, wimbo mzuri sana. Ni sala nzuri sana ya kumshukuru Mungu. Bwana akubariki.
Amina🙏. Sifa kwa Mungu🙏
Annastacia am honestly so proud of you... The way you are representing our motherland in Tanzanian music with the best and most beloved and professional teachers... Going far gal... Go go go and say hi to my favourite mwalimu Ray Ufunguo pamoja na Swai
Thankyou so much Peter🙏
We thank God for his endless blessings 🙏
Annastacia Mbathi syaku nuathimo munene maishani. alicho anzisha ndani yako Mungu kwa utukufu wa jina lake, akipeleke juu zaidi. angelic voice.
Amen🙏
God bless you🙏
This is awesome my dear...bravo.💯👌👏
Thankyou so much dear🙏😍
Kazi safi Sana aisee. Inapendeza mno
Asante sana. Ubarikiwe sana🙏
Karibuni kwenye channel yangu ya pili. Kwenye hiyo channel nitawaletea matukio mbali mbali. Please support me. SUBSCRIBE, LIKE, SHARE and COMMENT.👉👉ua-cam.com/video/GSmQt5JksC4/v-deo.html
Asante Sana Anastacia muema . I too love music. Hope to meet you one day.Are you singing from Kenya or Tanzania?
Jaman nazipenda sana nyimbo zako dadaa mungu azid kukulinda na kukutunza
Nakupenda dadaangu mungu akubariki sana
hongera
BARIKIWA MNOO
Wow
This is amazing thanksgiving song🎉😍
Thankyou so much Philip🙏♥️
It's a beautiful one Ann
keep the spirit
God bless you😍😘
Asante sana. Ubarikiwe sana🙏♥️
Kazi safi 😍
Asante Janet🙏
Aaaawwww mbona kama vile nalia sababu ya huu wimbo,,,unanibariki sana huu wimbo
Asante sana my dear🙏🙏
I’m glad that the song is a blessing to you!♥️♥️
Nyimbo nzuri sana 🥰🥰🥰🥰 barikiwa sana dada Mungu azid kukupigania
Amina🙏. Mungu akubariki pia🙏
Kweli ni vyema na Hali kushukuru Kwa kuimba.... wimbo unao furahisha Mioyo tele tele.....Hongeraaaaaaa hoyeeeeee Dadangu Ann ...Baraka tele
Asante sana Ndeti.
Be blessed 🤗🤗
Hongera sana dada Anastasia Kwa kazi Yako inatufariji sana ,Mungu azidi kukuinua uzd kutuinjilishs
Amina Amina. Asante sana Reey🙏♥️
You never fail, umeteuliwa na Mungu Baba Uhubiri Kwa kuimba🏅
Amina🙏
Wow this is so lovely you are blessed to bless
Amen. 🙏
Thankyou so much Dominic 🙏
Ray n'a anasactia, ni Bora na nzuri sana.
Asante sana Joseph🙏♥️
A wonderful song. Keep it up
Thankyou so much🙏♥️
Kazi nzuri sana hii Ann
Asante sana Chairman 🙏♥️
Wauh...congrats miss Ann for such a beautiful song....sauti ya malaika hio....unatukumbusha kusema neno Asante Kwa mungu mwenyezi Kwa yote aliyotutendea....blessings
Asante sana Dominic.
Tumshukuru Mungu🙏♥️
Waooo jamani nyimbo nzuri sana hongera jamani hongera sana kwa wimbo mzuri hongeraaa🎶🎹
Asante sana Jimmy🙏
Ukweli usemwe.....sauti ni tamu sana
Asante sana Ben🙏♥️
This is such a blessing ..💗
Amen. Blessings to you🙏♥️♥️
Hongera Saba dada
Asante sana kaka Peter🙏
This lady is a gem she makes me love church mungu akutie nguvu
Amen Amen🙏.
Praise be to God🙏
Ahsante sana kwa baraka hii ya uimbaji 💯💯💯😘
Amina.🙏
This is inspiring, keep it up
Thankyou so much Eric🙏🙏
Amina sana na Hongera sana kwa utume huu, Mungu azidi kukukirimia makuu zaidi
Amina. Ubarikiwe sana🙏
Anastacia----Hongera from Vienna! Barikiwa tu
Asante sana. Ubarikiwe sana pia🙏
Great 👍 and also congrats 👍 for ur good job. Nice song full of blessings with a nice voice.
Thankyou so much Rose🙏🙏♥️
@@anastaciamuema Welcome
Hongera sana kwa nyimbo zako nzuri sana, mungu akubariki.
Asante sana. Mungu akubariki🙏🙏🙏
Hongera, hongera, hongera Annastacia.
Asante sana dear🙏🙏♥️
❤❤❤ 😅 really like this lady kwa nyimbo zako tumezama kama wakatoliki🔥🔥🙏🙏
Yaani Baraka watu miminia kweli, hewalaa Ann. Twakuombea sana mungu akuzidishie nguvu huzidi kubariki watu wake
Amina🙏.
Asante sana na Mungu akubariki.🙏
Adore DEVOTE.Wanibariki dadangu.Napenda mvuto wa utenzi kutembea njia ya mungu.
Amina🙏
Hongera dear
Asante sana dear🙏♥️
Wooow,a great song to say thank you to God,soothing my soul
Thankyou so much Jacklyn🙏♥️
Umejaliwa sauti nzuri sana na una kila sababu ya kumshukuru na kumtukuza Mungu
Amina🙏
Your voice can ill corona wow nice song
Thankyou so much🙏😀
Wooooow this is amazing baby girl
Thankyou so much Lucia🙏♥️
What an amazing and talented production this is with a great passion, congrats Anastacia for such a best production of it's own best surely.
Thankyou so much rafiki Ben🙏♥️
Mimi acha niusikilize tu kila wakati.. hakika huu wimbo unanbariki sana. Hongera sana Ray, As for you Anne you're always the best.. keep doing the good work 💯💪.
Thankyou so much dear🙏
Sauti nzuri Annie, keep doing it 🤩
Thankyou so much Cessieh🙏♥️
Wow!!!!!! Very amazing song ❤️❣️🥰🔥🔥🔥. I really appreciate you for you never let us down. God bless you my lovely sister
🌹🙏To God be glory 🙏🌹
Thankyou so much Laurent. God bless you too.🤗
Unajua ...Mungu akazidi kukukilimia baraka nyingi kwa majitoleo yako ktk swala zima la kuinjirisha kwa njia ya uimbaji🙏💪
Amina🙏. Ubarikiwe sana
Hongera sana Dada Anne....😘😘
Asante sana Kombe🙏♥️
Safi Sana Annie hongera
Asante sana dear🙏🙏
Wow,nice song dear, congratulations 👏
Thankyou so much Catherine 🙏♥️
Kweli yote niliyonayo ata uwepo wangu ni neema tu. Shukurani kwako eeh Mungu Mwenyezi. Heko kwa injili ya kutoa shukurani , kazi bora kweli.
Amina🙏
Shukrani kwa Mungu aliyeumba mbingunna nchi.🙏🙏
Kweli dada Anna ni kushukuru tu.Hongera kazi nzuri Mungu akubariki
Asante sana Irene
Ubarikiwe sana🙏
You have a beautiful voice😊😊❤️❤️❤️.. Amen and blessed sunday🙏🏾
Thankyou so much baby girl♥️♥️
Many more blessings to you, congratulations again your work is so inspiring
Thankyou so much Wario🙏🙏♥️
Hakikaa mungu ukimtafakili zaid au ukitafakli matendo yakee unashindwaa useme nn kwakwe zaidi yayote ni Asante kwamungu wetu nikushukuru mungu wangu kwawema wako.. kuimba nikusali mara mbili Asante my sister
Asante sana my brother🙏🙏
Wow I've always liked your song's , sauti tamu na nyimbo nzuri
Asante sana🙏🙏
Wow wow 💞💞💞In love with this... Continue serving God..go go go gal 💓💓💓
Amen 🙏.
Asante sana Mbinya🙏
Waooh wimbo mzurii sana barikiwa sana🥳🙏
Amina🙏🙏
Mungu akubariki,Si choki kuusiliza wimbo huu
Amina🙏.
Mungu akubariki pia🤗🤩
Wow....... baby girl,wimbo mzuri kabisa... Baraka Tele song bird 🐦😘
Amina. Baraka kwako pia🤗
Kazi nzuri mno.... Imejaa tafakari ya kina kuhusu Baraka za Mungu kwa mwanadamu. Asante sana :))
Amina🙏🙏
Nabarikiwa Sana na nyimbo zako dada ang❤
This is great, always delivering good music, keep going.
Thankyou so much Abraham🙏🙏🤗🤗
Napenda san kaz yako inanienspire san nataman hat me nimwimbie mungu kila wakat KWA maneno tofauti kila wakt
Mungu akubariki san dada
Asante sana.🙏 Ubarikiwe sana 😊
Keep up, Annie we love you😍
Thankyou so much Kanini♥️
Hongera kwa mwimbaji dada Annastacia muema. Hongera kwa mtunzi mtaalamu Ray Ufunguo. Kila mtu ameutendea haki wimbo katika nafasi yake.. Hakika nimebarikiwa sana na huu wimbo
Asante sana Nivard🙏
Ubarikiwe sana🤗
Congrats Madam Ann... Am so happy and proud to see you in this mission of evangelizing. I feel blessed when I listen to your recorded Music... You are recording old songs to the extent that they are sweeter like modern Music. A good vocal production makes me not to get tired of listening any song more than ten times. Keep the spirit. I wish you well 💯🙏
Thankyou so much my brother. Asking for your prayers🙏🙏🙏
@@anastaciamuema I will promise my prayers ever
Hongera sana Dada yangu mungu aendelee kuweka vitu vipya kwenye ufaham wako unatisha sana
Asante sana rafiki yangu🙏♥️
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
Amina🙏
Hongera kwa utume wako mkubwa uinjilishaji wako,ni tunu kutoka kwa Mungu. Mungu akubariki tena na tena,akukuze kiroho na kimwili.
Amina🙏.
Ubarikiwe sana
Shukrani kwa Nyimbo nzuuuri. Mungu akupe nguvu na Uwezo zaidi uzidi kumtukuza
Amina.🙏
Baraka kwako Brian🙏
Pokea Mungu Shukrani Yangu...Utunzi wa Ray na wewe Anastacia kwa kweli umeimba wimbo vizuri sana.
Asante sana David 🙏♥️♥️
ua-cam.com/video/T9PgybK-RqY/v-deo.html
Congratulations 👏👏 kazi nzuri🎉🎉
Asante sana Kibiwott🙏♥️
What a nice and inspiring song! Keep it up Ann.
Thankyou so much Mutinda 😍
What a lovely sweet and nice song. It's so cool, I love it.
Thankyou so much🙏
Sauti tamu sana,,,ubarikiwe sana Annastacia Muema kwa kutunza muziki mtakatifu🙏
Amina🙏. Ubarikiwe sana pia🙏
Wimbo mzuri dada Ann
Thankyou so much kaka Muinde🙏
Kazi tamu kazi safi kazi yenye sifa na shukrani....mola akuzidishie
Amina🙏. Ubarikiwe sana 🙏
Wow ...THis is the best song have heard this year...My favourite till u release another,😍😍😘😘😘
Thankyou so much Paul🙏🙏🤗🤗
Welcome our dear sister...what a beautiful voice you have!! Can't get enough of this song...so sweet,so touching,so blessing....Mungu poke shukrani zangu pia,😙🤗🙏🙏🙏