#GOODLUCK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2021
  • #GeorDavieTV Nabii mkuu Mheshimiwa Dr. GeorDavie Alimzawadia mwimbaji wa nyimbo za injili Goodluck Gozbert gari aina ya Mercedes Benz C Class yenye usajili wa namba T 256 DRC kwenye dhifa ya kitaifa kwa wana-vituo juu ya mwamba iliyofanyika GLC/MMD tarehe 10/12/2021.
    Sifa na utukufu kwa Mungu wetu aliyeinua watu wakuu katika kizazi chetu wanaofanyika Baraka katika maisha yetu Amen🙏

КОМЕНТАРІ • 657

  • @mwanaishakatuli5707
    @mwanaishakatuli5707 2 роки тому +14

    Zile zama zote za agano la kale naziona nyinyi bado chache tu yesu arudi tu bora ukweli ujulikane

  • @tabithamuthoni9301
    @tabithamuthoni9301 2 роки тому +10

    Mambo mengine mi huona kama ndoto. Imagine watching this when am this hungry and empty in my stomach....my tomorrow is greater. Ebu niendelee kulinda kusudi la mungu.

  • @elizabethmuganzi6261
    @elizabethmuganzi6261 Рік тому +5

    Shukrani yangu kwa kipawa cha gari kwa kijana Goodluck. Mungu huwa na sababu zake.
    Iko siku mimi nika pewa gari mpya hapa niishiko. Wakati nilikuwa na upweke, umasikini hata kujiweza nafsi yangu na jamii ilikuwa shida.
    Mungu huonekana wakati wake kupitia kwa watu wake.
    Jina lake liabudiwe.

  • @raymondbahati7626
    @raymondbahati7626 Рік тому +7

    Waimbaji wametekwa kabisa,na wanasema; Mungu kafanya miujiza nyoooo!!!

  • @arampaafricalive4922
    @arampaafricalive4922 9 місяців тому +8

    Bishop wacha kutudanganya,waongea hivyo juu amekua celeb na pesa mingi ndio wamsifia na kumzawadi,kuna masikini wengi Sana wako kanisani kwako ,wazuri zaidi,wanajitolea kuosha kanisa,kubeba vitu,kufanya shuguli ndogo ndogo na kujituma zaidi ila watoto wao hawana kitu hata chakula,hajui atatoa wapi Karo ya shule,wala nguo,hautaki hata kupata nafasi na kukula nao ,na kuwasikiza ,na kuwasaidia hata Kari Tu,simchukii good luck,nampenda Sana niliokoka kupitia nyimbo zake ,ila wachungaji wengi nu wanafuki,wanawazingatia Sana watu mashuuri juu wanajua wataonekana na followers WA mtu shujaa na watapata followers wengi.wachungaji kuna watu wanateseka kanisani kwenyu,...na sijutii kuandika hii coment yangu

  • @happykamuu9262
    @happykamuu9262 Рік тому +8

    Hakuna nabii zaidi ya yesu

  • @user-mq3sn3zf1e
    @user-mq3sn3zf1e 9 місяців тому +4

    Kusema ukweli Mungu ndo anajua yupi ni mtumishi wake wa kweli mengine tuache tu yapitee

  • @wangaramedia8792
    @wangaramedia8792 2 роки тому +4

    Hii umenitoa machozi, machozi ya furaha, acha mungu aitwe mungu,

  • @ShukuruShaban
    @ShukuruShaban 7 місяців тому +2

    Barikiwa sana kwa nyimbo zako hakika umeonyeaha inawezekana

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 2 роки тому +9

    Kuna watu wanaumwa hawana hata Ela ya kwendea hospitali!!!!!!!!!!

  • @jackkimwely5275
    @jackkimwely5275 2 роки тому +14

    Nabii mkuu asante kwa ajiri ya zawadi kwa goodrack na kwa wote uliowazawadia Bajaji pia najua umebadilisha maisha yao na Mungu azidi kukutumia Amen

  • @lucasmartin-vs2yh
    @lucasmartin-vs2yh Рік тому +8

    Kondooo wangu wanapotea kwa kukosa maarifa🙆

  • @kemuntoombui9462
    @kemuntoombui9462 Рік тому +4

    Even me I love this man anaimba ukweli Mungu akubariki

    • @Sarah-l2v
      @Sarah-l2v 16 днів тому

      Kwali mungu awasaidiy na atusaidy sote❤

  • @ChristophinaMuundaNdakev-hs8jg
    @ChristophinaMuundaNdakev-hs8jg Місяць тому

    God bless you l listen to your music last night until now,l can't stop listening, watching from Namibia. God bless your gift and your minstry.

  • @MisalabaZanzibar-k8c
    @MisalabaZanzibar-k8c 12 днів тому

    neema ya bwana wetu yesu kristo na upendo wa Mungu baba na ushirika wa roho mtakatifu ukae nasi sote tangu sasa na hata milele amima

  • @richardmushi-lj6tb
    @richardmushi-lj6tb 7 місяців тому +3

    Nabii mkuu ni wapeke sana napoa nimtu wamui sana duniani kote kama yupo hajitokeze nione.

    • @jadie-jk9tj
      @jadie-jk9tj 6 місяців тому

      The great prophet is only God.Zingine achia Mungu siku ya kiama

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 Рік тому +2

    amen mtumishi wa Mungu Good luck mungu hamekubariki sana Mimi najua nyimbo zangu kwazia leo zitakuwa nyimbo bora sana sana nimebarikiwa sana mtumishi 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @andrebikuba337
    @andrebikuba337 2 роки тому +12

    ningetamani siku moja nifike kanisani mwako baba nabii wa mwenyezi mungu ila uwezo sina isitoshe niko mbali kidogo niko kongo drc

  • @ndoricimpaelyse7752
    @ndoricimpaelyse7752 Рік тому +3

    Huyu sio mutumishi wa Mungu.taayali huyu kijana kwiingia kwa shetani

  • @zawadithomas1008
    @zawadithomas1008 Рік тому +5

    kweli mungu amekujibu make uliwahi imba ipo siku yako utabarikiwa Glory to God 🙏🙏.

  • @furahabeatrice2057
    @furahabeatrice2057 2 роки тому +2

    Amen Amen. Nami nimelia machozi ya furaha. Baba MUNGU akubariki zaidi pia👏👏🙏🙏

  • @user-ls6ru1ik1p
    @user-ls6ru1ik1p 7 місяців тому

    ongera xan gud,ulichokipata kinadhiilixha ubora unacho kitenda usikate tamaa ongeza juhudi zaidi sababu yu mwema amina❤❤❤

  • @kessoytegela58
    @kessoytegela58 Рік тому +4

    Mungu akubariki sana kwa ulivyo utambua uwepo wake ndani yako

  • @inesirakoze4980
    @inesirakoze4980 Рік тому +1

    Hakuna machozi asio jibiwa ❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮Mungu nimwema....

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 роки тому +5

    Ati tofauti na waimbaji wengine,Wewe sema unampenda tu basi,mbona kunawaimbaji wazuri tu sana,Ambao nyimbo zao Zinaimbwa karibu Afrika Mashariki na Na kati.j

  • @EstherFrancis-qh1jp
    @EstherFrancis-qh1jp Рік тому +1

    nime falijika sana kaz ya wimbo zako kat ya moja wapo naona ume jibiwa leo bila kutegemea mungu ni mwema

  • @estherkavugho3981
    @estherkavugho3981 2 роки тому +4

    vrmt j'aime aussi la chanson mitindo ya nyele 🙏🙏🙏🌹 Mungu akubariki

  • @somaricratos7714
    @somaricratos7714 2 роки тому +2

    Mungu uwarudi nakuwaonya wale wote awapendao mzeeeeeee or nabiiiiii kumbuka atabahali aliitwa nabi mzeeeeeee tubu tenatoba ya mabadiliko lasvyo itakupa hukum

  • @graciousisdory2666
    @graciousisdory2666 6 місяців тому +2

    I felt God is going to touch through this video

  • @bettymakheti8858
    @bettymakheti8858 Рік тому +1

    Papa. 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏am watching from kenya no one is like God

  • @SalmanSelah
    @SalmanSelah 19 днів тому

    Na amini na mimi Salman,iko siku moja na mimi tafanikiwa kwani,hiyo ni mipango ya Mungu Baba.

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 Рік тому +3

    Na haya mambo haya ya kugawiwa gari kila anayekuja huko Kisongo napata mashaka kidogo, lakini mmmhh haya bhana, yangu macho na masikio. But there must be something behind the scene.

  • @GloriaNduku-mw2jk
    @GloriaNduku-mw2jk 9 місяців тому +1

    May Almighty God protect you from evil gifts cause nowadays people are serving evil spirits soo be wise bro

  • @dianacharlie5283
    @dianacharlie5283 2 роки тому +5

    Thank you jesus 🙌🙌🙌hakuna machozi isiojibiwa thanks father 🙏🙏🙏

  • @VicentYMtwe
    @VicentYMtwe 2 роки тому

    Mungu AKUTUZE wa mbinguni IPO siku atanikumbuka tu namimi injili ienderee kusonga mbere

  • @user-yz1tc9bb3x
    @user-yz1tc9bb3x Рік тому

    Ashukuliwe mungu kwayote anayotenda mungu amubaliki nabii kwakujitoa jaman wakati ukifika hakuna wakuzuuia baraka zatu

  • @NoelSengunda
    @NoelSengunda 3 місяці тому

    Mungu akufikishe mbal zaid

  • @martinmbithi3126
    @martinmbithi3126 2 роки тому +5

    Truelly God lives ... I shed tears of joy . One day God will lead me to the right destiny helper

  • @AnithaMwijonge
    @AnithaMwijonge Місяць тому

    Wengi mnacoment kua uyu sio nabii ila iko hivi usiuvunje moyo wa mtu aaminie maana ni sawa na kuuwa ko kimfano awo watu wnaamini kua yuko MUNGU ndani ya uyo nabii sasa wew unasema wanapotea pita kimya kimya kama hapakufai

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 2 роки тому +7

    Amen,,,Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.

  • @lydiawasike712
    @lydiawasike712 Місяць тому

    Amen hakika akuna machozi yasiyo jibiwa kwa Mungu ukweli,❤

  • @wambui-nx8vw
    @wambui-nx8vw 5 місяців тому

    Waw ni mungu haki mungu uko I wishe hata Mimi kilio changu Amen

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg 27 днів тому

    Mungu ndo ajuae jmn ila tumtegemee munguu

  • @brendah9831
    @brendah9831 Рік тому +5

    Cought myself crying,, glory be to ,Good

  • @natachaminguandrea2618
    @natachaminguandrea2618 2 роки тому +1

    Nabii Mkuu Mungu azidi kukubariki baba. Nakufata sana nikiwa congo Bukavu

  • @frankmasamaki9640
    @frankmasamaki9640 2 роки тому +2

    Jamani nawakaribisha kusikiliza wimbo wangu mzuri na mtamu sana
    ____________

  • @PhinaEdmund
    @PhinaEdmund 2 місяці тому

    Mungu anaangalia moyo..mambo ya rohoni ni kwa watu wa kiroho.. Kwa wasio wa rohoni ni upuuzi

  • @sheilaadhiambo2503
    @sheilaadhiambo2503 2 роки тому +1

    Huu mwezi na pata mtoto wangu. Mungu wacha ni ku one

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 Рік тому +3

    Hii no hatali ya hatali jamani kuweni makini sana

  • @yekonianakisigaye2157
    @yekonianakisigaye2157 2 місяці тому

    Mungu alitembea na masikini kuliko matajili usimtumikie mungu kwa kutegemea zawadi mana si KILA zawadi ni zawadi

  • @JosueNsengiyumva-ch7mh
    @JosueNsengiyumva-ch7mh 2 місяці тому

    Nabi muku Burundi tunagupenda sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @mhojajulius8509
    @mhojajulius8509 10 місяців тому +1

    Nabii wa yesu hana tamaa na vitu vya kidunian i belief in jesus

  • @JuniorGaddafi3978
    @JuniorGaddafi3978 2 роки тому +8

    Goodluck Gozbert nyimbo zako zimejaa shuhuda tele za Mungu na matendo yake makuu.
    Umefanyikwa wa baraka katika kizazi hichi.

  • @AlfredKondowe
    @AlfredKondowe 2 місяці тому

    Yesu anatumia watumishi wake kubariki watu wake. Neno la Bwana li hai, Tena Lina nguvu.

  • @tanfredmichael1777
    @tanfredmichael1777 11 місяців тому +1

    Ahimidiwe Mungu Baba anayetupa kushinda na zaidi ya kushinda, katika hayo tunapokea amani ya kweli.
    Asante Kwa shuhuda hizi kutoka Gudluck Gozbert mwimbaji na Nabii mkuu 🙏🙏

  • @GitongaM
    @GitongaM Рік тому

    Wanaomchukia baba nabii joedavie wanamchukia MUNGU sababu alisema MUNGU anaesaidia maskini anaifanya kazi ya MUNGU..baba nabii hongela sana

  • @mercychebet2576
    @mercychebet2576 2 роки тому +1

    Mungu hakisema hatatenda hatatenda I love your song's so much uendele na hinjili ya mungu

    • @danielmparanyi
      @danielmparanyi 2 роки тому

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you🙏🙏🙏🙏🙏

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 Рік тому +3

    Yesu ni mwema barikiwa nabii wetu

  • @RebecaMaloda-xx2qm
    @RebecaMaloda-xx2qm 7 місяців тому +1

    Good luck jaman kuwa mkin Sana Kila kitu kina galama hiyo gari ni bure lakin utalipia hakuna kitu Cha bure

  • @knightchebunga5123
    @knightchebunga5123 2 роки тому +8

    Much love from Kenya

  • @lucybakari8335
    @lucybakari8335 2 роки тому +5

    Nnaomba mungu na.mimi unibariki 🙏🙏🙏

  • @MaseleMageleja-gw5gz
    @MaseleMageleja-gw5gz 9 місяців тому +1

    Mungu ni mwema ,na pia mungu hajawahi kumtupa mja wake

  • @alexekiru4758
    @alexekiru4758 Рік тому

    Asante sana Mungu muumba wa mbingu na dunia kwa kumkumbuka uyo kijana Zablon kwa kumbariki na gari aina ya mazendez benz kutoka kwa nibii wako mkuu. Hakika ni ushuhuda mkuu 🙇🙇🙇 asante sana Mungu bariki pia uyo nabii kwa njia kubwa sana 🙇🙇🙇

  • @hitecstars.1
    @hitecstars.1 6 місяців тому

    No wonder he has touché me too .What a blessing he is to the church.Machozi yaishe how nice

  • @user-fn6tb3si7m
    @user-fn6tb3si7m Рік тому +2

    Mungu utusahehe

  • @lightnessmollel5756
    @lightnessmollel5756 8 місяців тому

    Kiukwel nimesikitika juu ya hili Mungu akusamehe Goodluck

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 роки тому +1

    Mungu nimuweza akikuahidi hakuna wakupinga zidi kujituma utainuka zaidi. Kweri imani yako hakika imeng'ara,pia unaombwa kwajiranizetu Rwanda nenda kaseme yesu nibwana

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 Рік тому

    Gozbert usisahau kurudi Ngurumo ya Upako be blessed Bro.

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 Рік тому +3

    Nabii tembelea Hospital na mitaani kwa watoto wenye mahitaji maalumu Hali ni mbaya , tofauti na Hao wenye Harrier af unawaongezea Benz"

  • @rosenangosya2549
    @rosenangosya2549 Рік тому +3

    Amen too am blessed with his gospel music.God bless you so much.

  • @sashambonde7258
    @sashambonde7258 Рік тому +4

    kijana mzuli kashapotea uyo washamchukuwa tayali nguvu kazi iyooo imeondoka

  • @adelinefikiri7571
    @adelinefikiri7571 2 роки тому +2

    Amen ,amen ,katika kutumikiya Mungu kuna faida . Asante nabii mkubwa kwa kumutiya kijana nguvu !!

  • @gracejoseph9451
    @gracejoseph9451 2 роки тому +1

    Namuomba mungu namimi anibariki nabii zidi kutuombea watoto wako

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 9 місяців тому +1

    Umeambiwa uimbe ule wimbo,,napenda mitindo ya nywele angalia usije ukanyanganywa zawadi

  • @jackkimwely5275
    @jackkimwely5275 2 роки тому +2

    Mtumishi mimi nakupenda vile unavyoludisha shukrani kwa watu Tazama unavyowazawadia watu Mabajaji na magari tena magari ya kifahari Mungu azidi kukuinuwa Mtumishi NAKUPENDA SANA

  • @matridawilium9945
    @matridawilium9945 2 роки тому +7

    Mungu akusameh maana mandiko yanatimia na nyie waimbaji hanna kiasi wala macho

    • @isongacharlesnilanga2582
      @isongacharlesnilanga2582 2 роки тому

      Kuyaelewa haya mpaka uwe na jicho la tatu angalau hata kwa kupapasapapasa

    • @zazaland
      @zazaland Рік тому +1

      @@isongacharlesnilanga2582 Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume; sadaka yako iwe kwa siri; na Baba yako aonaye sirini atakujazi

  • @jescamike2186
    @jescamike2186 9 місяців тому

    Kwanini sasa anapondea nyimbo za watu wengine wakati nyimbo zote mimi naamini wanamtukuza kristo mmmmh pia Mungu ndo anajua yaliyomo ndani moyoni mwa mtu

  • @user-hw4lv2nt1h
    @user-hw4lv2nt1h Місяць тому

    Mungu ashukuliwe Kwa yote🙏🙏

  • @user-uf9yt1fn1r
    @user-uf9yt1fn1r 7 місяців тому

    Hakuna chozi lisilo namajibumbele za mungu

  • @lilywei7949
    @lilywei7949 2 роки тому +7

    Yesu atanifuta siku moja amen 🙏

    • @khalfanikishki7465
      @khalfanikishki7465 2 роки тому +1

      Luka 18:18,19) Zaburi 118:1) Mwema muumbaji, siyo Yesu.

  • @victordeekenya3539
    @victordeekenya3539 Рік тому +3

    I always love this musician music.. Is a blessings to his life

    • @rigasianshayo3403
      @rigasianshayo3403 Рік тому

      nabii mkuu me siku amini kabisa yani unaimba
      muzic acha kupumbaxa watu

  • @annshalon-RN
    @annshalon-RN Рік тому +3

    Joy comes in the morning😭😭... I am blessed and its not in vain to serve God, Goodluck God has remembered you and I partake in this favor from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @susanwanyama2986
    @susanwanyama2986 5 місяців тому

    Who's God may your name be raised for ever God bless you nabii

  • @twisileanania3870
    @twisileanania3870 2 роки тому +2

    Mungu akubariki kwa nyimbo zako nzr

    • @passifikalwesso5017
      @passifikalwesso5017 2 роки тому

      😳😳😳🚔🚔🚔👑👑👑👑👑👑👑🎓🎓🎓🎓 passi

  • @binseif2216
    @binseif2216 9 місяців тому +1

    Hakuna mtume wala nabii ispokuwa wa mwisho ni mtume Muhammad SAW

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 2 роки тому +1

    Het nabii daah yaan kweli sio poa

  • @fredriquej.m.m2693
    @fredriquej.m.m2693 2 роки тому +10

    I always love the man of God,May God continue keeping you for these generation 🙏 ,from Kenya 🇰🇪

    • @danielmparanyi
      @danielmparanyi 2 роки тому

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you🙏

  • @Mamantontine
    @Mamantontine 2 місяці тому

    Hatuna haja ya pesa ao gari tuna haja ya ufalme wa Mungu.

  • @iteritekakenny565
    @iteritekakenny565 2 роки тому

    Mtumishi wa Mungu ubarikiw sana wew njoo mwalimu mzur ulio tumwa na Yesu kristo kusaidia watu na mimi naomba muniombee na teseka na maisha

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 Рік тому

    Bwanayesu akubaliki
    Mutumichi wamungu Mimi nimelogwa
    Eti pesa yangu iyiche Kira kiyu nanaco masatani mapepu kipiga migukunimaliziya nguvu nimerogwa kuhangayika
    Bwana yesu asifiwe balikiwa ameeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 10 місяців тому

    Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare zamangari zikuwe famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏 naomba nipate kibali kama cha baba baba

  • @neemamwailunga-ij1is
    @neemamwailunga-ij1is Рік тому

    Mungu naomba unifungue na Mimi fungya family mzima nawadogo zangu.naomba nisaidie.

  • @KINGPETER-re4ct
    @KINGPETER-re4ct Рік тому +1

    we nabiii unapenda maigizo sana, ila tunashukuru maana umekuwa ni alama ya nyakati za mwisho,

  • @janetrwochi
    @janetrwochi Рік тому +1

    Pesa wewe😢😢inafanya adi tunaeda kinyume na mungu 😢

    • @aloycemtagwa8463
      @aloycemtagwa8463 Рік тому +2

      Kampigia mpaka magoti
      Kinachonipa faraja zaidi ni unabii unazidi kutimia

    • @jescamike2186
      @jescamike2186 9 місяців тому +1

      Umeona acha unabii utumie mambo ya mwilini haya watu wanaamini kuwa na majumba kuwa na magar ndo wana Mungu

  • @nationrazalo8551
    @nationrazalo8551 Рік тому +13

    Watu wangu wanaangamia Kwa kukos. Maarifa

  • @user-zt4oq3tv6p
    @user-zt4oq3tv6p 7 місяців тому

    Jiangalie kaka good luck ni manabii wakuzimu

  • @user-ml8of2vs9k
    @user-ml8of2vs9k 10 місяців тому

    Tuendelee kuutafuta uso wa Mungu atuonyeshe njia sahh ya kupita

  • @ZawadiUlambo-ww8xw
    @ZawadiUlambo-ww8xw Рік тому

    Daa ukiamini neno la mungu ujuwe mungu atakuangalia TU hawezi kukuacha tu hivihivi Kam mm naomba mungu anijalie tu nipone hay magonjwa

    • @gracemasalu2023
      @gracemasalu2023 5 місяців тому

      Mwenyezi Mungu na asikie maombi Yako dada

  • @mariawanjiru1275
    @mariawanjiru1275 2 роки тому +12

    All glory and honour is yours almighty God . thank you man of God be blessed

  • @flossyndovi7914
    @flossyndovi7914 Рік тому +3

    Let your Light Shine on All the Continents of this Universe As you are a Shinining Star.