Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana (Official Video) SMS SKIZA 8633371 TO 811 TO GET THIS SONG

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 7 тис.

  • @mercykocy9177
    @mercykocy9177 8 місяців тому +239

    2024. Hoyeeeeeh❤
    Gonga like tukisonga

  • @rosekapinga2929
    @rosekapinga2929 11 місяців тому +91

    Am here 2024 ni nyimbo Bora yawakati wote tunasemwa jamani lakini huyu Mungu nyie acheni tu🙏🙏

    • @lydiaalero
      @lydiaalero 4 місяці тому +1

      🎉🎉 it's been my favorite song since birth ❤❤❤

  • @RoseOpiyo-o2i
    @RoseOpiyo-o2i 21 день тому +21

    Who is watching this 2/12/2024,,,awenguzo kwa maisha yetu adui akicha asituweze

  • @Millieykitawa9652
    @Millieykitawa9652 10 місяців тому +967

    Wangapi tuko uku 2024.gonga like apa tukisonga🎉❤

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 2 роки тому +113

    800 years of blessings to everyone who likes this with faith ! ✨

  • @goodluckgozbertofficial
    @goodluckgozbertofficial  6 років тому +2155

    Nawashukuru Sana Kwa Kutazama Ujumbe Huu Kupitia Ukurasa Wangu Huu wa UA-cam,
    Ni Maombi Yangu, Roho mtakatifu Akaendelee Kuhudumia Kila mmoja kwa Namna Yake....I love You Much,Asanteni Sana
    And May The Lord God Lift Ur Spirit after U Watch and Listen to this Song in Jesus Name.
    Blessings

    • @nonenone9281
      @nonenone9281 6 років тому +6

      Goodluck Gozbert God has Anointing you Goodluck .from USA

    • @LucymwangiUSA
      @LucymwangiUSA 6 років тому +2

      Very nice song..good message, uplifting beat..thank you

    • @sabrinaaron1481
      @sabrinaaron1481 6 років тому

      Goodluck Gozbert Amen kaka god bless you

    • @peninahirungu6928
      @peninahirungu6928 6 років тому +2

      Goodluck Gozbert be blessed to bro the song is mwaaah so encouraging and a very powerful message there may God keep uplifting you brother ,I can't get enough of this song

    • @felisterlaurian3165
      @felisterlaurian3165 6 років тому +2

      nabarikiwa na jumbe za nyimbo zako kaka gud love u so much

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 10 місяців тому +18

    Aki hiii nyimbo sijui ni mm pekee naskia rahaa aki juuu utamu uko kwa hiii nyimbo wacha tu 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉napenda nyimbo pls na mwenyewe nyimbo 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉love you from kenya 🇰🇪 God bless you brother 🙏 ❤️

  • @foibesamwel8809
    @foibesamwel8809 3 дні тому +1

    Kweli hauwezi kushindana na mtu huu wimbo umenifunza kuwa mkarimu❤❤

  • @AhazyStanley
    @AhazyStanley 10 місяців тому +27

    Hongera sana brother ❤huu wimbo una historia kubwa sana katika Maisha Yangu😢💔❤️❤️❤️🥰01.02.2024

  • @Janet-p6k
    @Janet-p6k 11 місяців тому +30

    Juu wimbo unanikumbusha maali nimetoka.hadi natokwa na machozi nikiusikia

  • @meshackkioko9149
    @meshackkioko9149 2 роки тому +32

    2023 sitashindana na mwanadamu 🖐️
    If you like it finya like na uvae silaha ya Imani 🙏

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 7 місяців тому +208

    Wenye umekuja hapa kuskiza huu wimbo leo May 2024 gonga like na ubarikiwe sana na ushikilie imani ya mungu🎉🎉 hallelujah

  • @joyshirow8529
    @joyshirow8529 Рік тому +18

    Lia kidogo nyamaza ili uchungu iishe 2023 mko wapi

  • @AlexLwanzo-xk7bu
    @AlexLwanzo-xk7bu 9 місяців тому +24

    2024 pointe ici... (gonga hapa) 🙂🇨🇩

    • @vita-user3
      @vita-user3 7 місяців тому

      🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩tozali

  • @IceChampakaWolf888
    @IceChampakaWolf888 9 місяців тому +22

    I'm here on 3 march 2024 10:47 am. This came to my spirit i searched it up.

  • @JanetAwino-sp3qy
    @JanetAwino-sp3qy 6 місяців тому +19

    Wenye tuko na yeye 2024, nipeeni likes 🔥 🔥 🔥 🔥 it wonderful

  • @ZenabKordi-ib3nr
    @ZenabKordi-ib3nr Рік тому +214

    Jamani wale tunao sikikiza his nyimbo 2023 tuko wp kama hii nyimbo inakufalij weka like

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje7290 2 роки тому +15

    How many Kenya's are listing for this song July 24 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wakurugenzi let us vote in peace we need peace this coming Election

  • @wuodoketch
    @wuodoketch 3 роки тому +1311

    I can't get enough of this song wapi Kenyans 🇰🇪

  • @Francoiseloasekon
    @Francoiseloasekon День тому

    Ndio nasikiza huu wimbo na mwaka wa 2024 inaelekea kuisha si mungu Yuko nasi wenye mtaisima huu comment

  • @Faith-r9p9i
    @Faith-r9p9i Місяць тому +40

    Wenye tuko hapa November 2024.gonga like tukisonga

  • @celestinenanjala206
    @celestinenanjala206 4 роки тому +402

    Kupigwa Vita ni kawaida isikusumbue, wewe Ni mti mwenye matunda zoea mawe. Am encouraged

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 7 місяців тому +9

    bro hapo uliimba naipenda sana

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 8 місяців тому +3

    2024 hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa Mungu azidi kutubariki❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kukubariki ❤❤

  • @halimatende2743
    @halimatende2743 3 роки тому +447

    Am muslim bt hii nyimbo nilikuwa naiskiza sana coz ilinipata mimi hadi mandungu hadi marafiki lakini mwishowe mpaka baba watoto aliniacha lakini nami mungu haachi. Mja wake leo niko mbali another country nashukru mola

  • @mzeemnyamaparody
    @mzeemnyamaparody 9 місяців тому +72

    Who is still watching in 2024🙂??

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 2 роки тому +9

    Brother uduma yako na izi nyimbo zako zimenifanya mbaka nime mgeukia mungu na kutumika kwa moyo wote ktk kazi ya mungu kiukweli najivunia sana kumfatilia mtu Kama wewe na barikiwa sana na nyimbo zako ✊

  • @gladysmtambo9300
    @gladysmtambo9300 Рік тому +5

    I thank God coz my enermies are always failures😂😂😂😂

  • @hannahmwangi4830
    @hannahmwangi4830 6 місяців тому +79

    If you believe your alive because of Gods favor gonga like 😢😢 2024 june

  • @samrickkituku8949
    @samrickkituku8949 3 роки тому +107

    A very nice song with strong message lots of love from kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @annekamau4748
      @annekamau4748 3 роки тому +1

      I wish Kenyan artist would be like this 🤦

  • @DjCovenant1
    @DjCovenant1 4 роки тому +385

    2020 bado niko hapa
    Wangapi bado tunaskiza

  • @FaitnKamanthe
    @FaitnKamanthe 2 місяці тому +2

    Wimbo wa kuwaumiza maaadui na wachawi😮😮 ukieka volume........watahama kuhama😮

  • @saleheyahaya7316
    @saleheyahaya7316 6 років тому +245

    Nyimbo nzuri ujumbe mzuri mungu akusimamie kazi yako na kuzibariki

  • @Festus_M_Muthui
    @Festus_M_Muthui 11 місяців тому +8

    Wapi likes za new year 2024... This song is a blessing.

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 4 роки тому +282

    Am a Muslim but I Love this song so much so much,,mostly the first verse,,nice lyrics

    • @jallyjonster4006
      @jallyjonster4006 4 роки тому +2

      Your welcome bro

    • @everlyneongayo5692
      @everlyneongayo5692 4 роки тому +2

      U better change ,2 cristian

    • @fatimaebochi9292
      @fatimaebochi9292 3 роки тому +2

      Me tooo

    • @margretborn-great4163
      @margretborn-great4163 3 роки тому +4

      Brother pls give your life to our Lord Jesus Christ He is the Only way To Heaven Father. Jesus The Holy One who Never Commented no sin at all. Come to Jesus Christ today He Loves ❤️ As a son 🙏🏾🙏🏾🙏🏾💯💯💯

    • @Moses-Kuria
      @Moses-Kuria 3 роки тому +1

      Karibu sana ndugu yetu katika yesu ,yesu akubariki

  • @sharonprincess9276
    @sharonprincess9276 23 дні тому +1

    Kama umekuja kuskiza huu wimbo 28th Novemba weka kalike🥺
    Enyewe mungu haachi mcha wake😪 nashukuru Hadi kwenye Niko Leo haijakuwa rahisi😢

  • @MartinWambua739
    @MartinWambua739 5 років тому +367

    imagine i was sleeping in a vehicle once i had the song i woke up and started shedding tears. God answer my prayers

  • @nice58765
    @nice58765 4 роки тому +232

    I never understand people who dislike a song like this one, anyway siwezi kushindana na mwanadamu. Beautiful song.

    • @irenebuyaki7807
      @irenebuyaki7807 3 роки тому +3

      How awonderful song i lke it very much God bless💕🙏💕

    • @bdvick5455
      @bdvick5455 3 роки тому +3

      Imagine a beautiful song and such a perfect reality message
      Or may be those that dislike are the ones always looking for trouble in communities. Bcz they never wants to get represented. And they are too much talking talking ☺️☺️☺️☺️😊😊😊
      Ayiiii us we are just blessed by this song, my favorite

    • @dansiranyiraruvugu2290
      @dansiranyiraruvugu2290 3 роки тому +1

      A

    • @raphaeljustine1184
      @raphaeljustine1184 3 роки тому +3

      Nakweli uwez kushindan na binadm

    • @henryprince7068
      @henryprince7068 3 роки тому +2

      Wachawi

  • @florencekadilo3156
    @florencekadilo3156 2 роки тому +162

    we do appreciate as Kenyans🇰🇪

  • @WadlyneBasquin
    @WadlyneBasquin 7 місяців тому +2

    Wangapi tuko uku 2024❤❤

  • @shellykadot3041
    @shellykadot3041 5 років тому +260

    Aaaaawwwww😘 😘
    What a blessing🙏🙏
    Have been looking for this song for long.
    Kenyans hit like tukibarikiwa pamoja

  • @annwambui6561
    @annwambui6561 3 роки тому +23

    Jana I felt very blessed... he's such an amazing person..akiperform live utapenda... alitubariki sana hapa voi taita taveta county 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ndanuexperts2443
      @ndanuexperts2443 2 роки тому

      Ebu angalia hii Pia. ua-cam.com/video/S4RLgUhYB8U/v-deo.html

    • @janendanu8571
      @janendanu8571 2 роки тому

      Wow,good song God bless you

  • @husnahhamisi4488
    @husnahhamisi4488 6 років тому +207

    hawa watu wa👎 mbona hamskizi ujumbe uliobebwa kwenye wimbo... God bless you Gozbert,am a Muslim but can't stop listening to your songs....

    • @veelusa
      @veelusa 6 років тому +11

      Inashangaza sana kama mtu ambaye ni mristu wa kweli anapopinga maudhui ya wimbo pamoja na ujumbe mzuri. Watanzania tusiwe wepesi wa kusema. Ni vizuri uangalie video uone kijana anavyofundisha. Kwenye Video anaonyesha watu wanamfanyia vituko na maneno lakini hasemi chochote anaendelea na maisha yake. mfano kabisa wa Daudi kwenye bibilia alaikuwa anafanyiwa vituko na Sauli lakini yeye aliendelea na kufanya yale Mungu alikuwa anamuongoza . Kwa ujumla kijana ametufundisha sana . Mungu aendelee kubariki kazi zake.

    • @angelatuppa9348
      @angelatuppa9348 6 років тому +1

      mungu akubariki

    • @annamongi5404
      @annamongi5404 6 років тому +3

      . .kila. Mtu amepewa. Karama yake... Wengine. Wamepewa karama ya kutia watu moyo... Mwingine nyimbo zake za kumsifu Mungu... Nyimbo nyingine zinatuweka karibu na. Mungu...Wimbo ni Mzuri Barikiwa. Mtumishi

    • @susanraphael5894
      @susanraphael5894 6 років тому +3

      Yes mamy nice to

    • @ibrahimnyalusi436
      @ibrahimnyalusi436 6 років тому +2

      dah! inapendeza sana kwakweli MUNGU akubariki sana

  • @EstherMutuku-zy5pf
    @EstherMutuku-zy5pf Рік тому +3

    Hauwezi kushindana na binadamu kweli

  • @josephngwale6251
    @josephngwale6251 4 роки тому +235

    Wangapi 2021 hii bado tunautizama Huu WIMBO.# wauwezi kushindana.

  • @judithserem3380
    @judithserem3380 7 місяців тому +6

    Iam here because this song really touches my husband and siz......and its beginning to roll my tears down😢😢😢

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 5 років тому +191

    November 2019 mimi mwislamu lakini huu wimbo ni fire

  • @Ildamattv
    @Ildamattv 2 дні тому +1

    The song I play on repeat mode when I was facing hell 2024 goodbyee 2025 be good to me

  • @gracekiarie9437
    @gracekiarie9437 4 роки тому +189

    Can't get enough of this song hua narudia kila mara who else,gonga like

  • @MercyMercelinah
    @MercyMercelinah Рік тому +34

    I remember when i was in form two my close friend lied to the entire village that have aborted after being admitted for two days bt i came back shedding tears bt my my mum told me to pray for and her team i swear the girl is now hospitalized suffering from hiv and aids as I'm here enjoying life at the University as a teacher of English literature

  • @singinggirl6554
    @singinggirl6554 4 роки тому +25

    Kama kuna mtu anamalizia mwaka kwa hii song weka like hapo twende sana 🙏🙏🙏🙏❤

  • @KennedyMutai-j9j
    @KennedyMutai-j9j 6 місяців тому +1

    huu wimbo nzuri sanaa❤

  • @maggykyungu559
    @maggykyungu559 2 роки тому +188

    When i listen to this song i remember how my aunt and stepmom used to say lies about me to my dad wanting to separate us but there's a God in heaven who curbs their tongues kwakweli hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa ni Mungu tu

  • @erickkoome2157
    @erickkoome2157 2 роки тому +37

    After 4yrs if you still listen to this song I need your like

  • @annannie349
    @annannie349 6 місяців тому +62

    Kama iko shwari hii june 2024. Like tukisonga

  • @Lifewithshyla1
    @Lifewithshyla1 22 дні тому +3

    December 1 2024🎉🎉 wangapi wàko uku❤

  • @mwangiesther63
    @mwangiesther63 9 місяців тому +22

    Back here on 3rd March 2024.Kwa kweli siwezi shindana na mwanadamu mwenye kinywa

  • @newme7766
    @newme7766 Рік тому +44

    Who else keeps coming back to listen to this song 😇🥰. God bless you Goodluck.
    God is forever faithful to those who serve Him right.

  • @franklinannangerald2796
    @franklinannangerald2796 8 місяців тому +9

    2024 mko wapi

  • @Zoopita-vg8wo
    @Zoopita-vg8wo 4 місяці тому +2

    Wanaokudharau kesho watakuheshimu🎉🎉🎉🎉jipe moyo❤❤❤❤kumbuka aliye juu mgoje chini may God bless you from Rosemary Adhiambo Kariobangi south 🇰🇪🎉🎉❤❤

  • @joanboit8346
    @joanboit8346 3 роки тому +26

    Who are with me 2021 with this song Hauwezi kushindana na binadamu🔥

  • @robairubby9511
    @robairubby9511 4 роки тому +116

    "Yesu huyu yesu, hakujitetea kabisa japo walimsema kwa ubaya aliwasamehe"..my favorite part good work .. love from Kenya..

  • @remmysammy1290
    @remmysammy1290 3 роки тому +7

    Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe..lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe..ukiendelea unawapa.kichwa hao aa silaha ya imani rejea vitani wakikuona wajue umeshakua sugu..wacha waongee wacha wasemeseme ila yuko Mungu wakuwaziba midomo .....hakika huu wimbo nausikiliza kila niamkapo ..Goodluck mwenyezi Mungu aibariki kazi ya mikono yko

  • @JeanpirreWabula
    @JeanpirreWabula 5 місяців тому +1

    Tuko apa❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Graduation2024Live
    @Graduation2024Live 2 роки тому +76

    The most viewed GOSPEL song in East and Central Africa

    • @kylexy2901
      @kylexy2901 Рік тому +6

      no.check songs of zabron singers and ambassadors of Christ

    • @LucyMunyaga-bl2tr
      @LucyMunyaga-bl2tr Рік тому +2

      God is good

    • @tripplej-d6m
      @tripplej-d6m Рік тому

      ​@@kylexy2901wee tuachishe hii ndo dawa ya watiaji

  • @damadamaries4758
    @damadamaries4758 3 роки тому +80

    My favorite song ever naomba likes zake plz❤❤❤

  • @beckylovedone704
    @beckylovedone704 2 роки тому +19

    From south sudan 🇸🇸 ✨ ♥ ❤ I love the song na niukweli siwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinyua ,,,whenever I listened to it ,,it relieves my soul

  • @SharonChepchumba-o3v
    @SharonChepchumba-o3v 10 місяців тому +2

    Ukweli huwezi shindana na wenye kinywa kwa hii Dunia but above all God is there

  • @saraelisha291
    @saraelisha291 5 років тому +80

    Mungu akutunze mdg angu, kazi nzr sn, napenda sn nyimbo zko zote zinanibariki mno.

  • @watuwashengaaz6244
    @watuwashengaaz6244 3 роки тому +125

    This song is just amazing it takes me back lost a husband very young left with a son people pointed fingers at me but God remains to be glorified.

    • @jacobmutana2750
      @jacobmutana2750 3 роки тому +2

      Xo painful n rem God doesn't leave his own pple.

    • @gathonimuchai9037
      @gathonimuchai9037 3 роки тому +5

      Aki mungu ni mkubwa Aki nakumbuka nililoose mtoi August this year now three months but watu waliongea wacha tu wakisema tuliua na babake I will never forget mama mwingine akisema mtoi amepass na ndio tunamupeleka hosi na bdo alikua bt ajapass continue rest in peace my dear son you will always remain in my heart forever 😭😭😭😭😭😭😭❣️❣️❣️

    • @wilsonnyabuto6262
      @wilsonnyabuto6262 2 роки тому +1

      You are a strong woman ,lord be with you always

    • @qatatvip5451
      @qatatvip5451 2 роки тому

      To all those who going tuff situation take heart please 💖💕💕💖

    • @user-wl7dl7ik2j
      @user-wl7dl7ik2j 2 роки тому

      Take heart dear

  • @milazmilato7965
    @milazmilato7965 2 роки тому +9

    Although am Muslim but this song is lit Hadi it's my skiza

  • @TherezaLimbe
    @TherezaLimbe 3 місяці тому +1

    Yaan me muslim lkn hii nymb kla day lzm nisikilz jamn mung jakuzipdishie❤❤❤

  • @loicechepkosgei4338
    @loicechepkosgei4338 4 роки тому +81

    This song ministered to me this morning. Siezi kushinda na mwanadamu mwenye kinywa!!

  • @christineauma1629
    @christineauma1629 Рік тому +17

    This song reminds me alot hallelujah thank you Jesus much love from uganda 🇺🇬

  • @gilbertosmass1483
    @gilbertosmass1483 4 роки тому +20

    Wewe ni mti mwenye matunda ....zoea mawe,lia kidogo nyamaza🤣🤣🤣🤣 the best the best..nmerudia iyo verse aki..🤗🤗🤗

  • @BakajunwaBlair-py3sv
    @BakajunwaBlair-py3sv 6 місяців тому +2

    Lazima Munguu ni Munguu

  • @alphonceonyango3191
    @alphonceonyango3191 6 років тому +56

    Mti mwenye matunda zoea mawe great message God bless you kaka we love you here in kenya

  • @claracaren3890
    @claracaren3890 2 роки тому +34

    The first stanza of this song is a strong message to make us stronger in God's words

  • @davidngethe6635
    @davidngethe6635 2 роки тому +130

    This song is a blessing to me.
    I find myself repeating it like 6 times in a day

    • @gentrixmusavi1056
      @gentrixmusavi1056 2 роки тому +3

      I Have just learnt of it and its at a time in my life when am accused falsely of witchcraft....av cried till my eyes are swollen...but the song is a relief to me.

    • @ndanuexperts2443
      @ndanuexperts2443 2 роки тому +1

      Ebu angalia hii Pia. ua-cam.com/video/S4RLgUhYB8U/v-deo.html

  • @YvetteMugeni254
    @YvetteMugeni254 6 місяців тому +2

    More Blessings Malkia Rose Muhando..Ulichoimba ni kweli Kabisa...Much Love From Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤❤

  • @janewanjiru1549
    @janewanjiru1549 3 роки тому +76

    ''Huuezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa...'' This song really encourages me coz it speaks of my place of work. I am blessed and encouraged.

  • @yasintawillson9110
    @yasintawillson9110 6 років тому +19

    Sio siri Mungu akikuchagua hakuna wa kukushusha,Goodluck ubarikiwe sana kwa nyimbo zako zinatia moyo sana

  • @ceciliaekuwom2868
    @ceciliaekuwom2868 4 роки тому +10

    This song has given me hope got alot issues home work church I just need God ONLY.
    Waaah maneno ingekuwa visu ningekuwa na scars mob............Today i just remember my mama the night to her passing on......she told me.....acy wacha nikufe utajua hakuna mtu hataelewa shida zako.
    Here I am today nimefunzwa na ulimwengu ya kutosha

    • @agnesmulwa3039
      @agnesmulwa3039 4 роки тому +1

      @Cecilia ekuwom God always answers prayer. Just trust in Him, His tyming is always the best

    • @atandidominic3208
      @atandidominic3208 3 роки тому

      Pole mummy

  • @feichebet1574
    @feichebet1574 3 місяці тому +1

    Naipenda sana huu wimbo, am much blessed🙏

  • @hildahqween8344
    @hildahqween8344 5 років тому +39

    Yenyewe huwezi kushindana.Yupo mungu atawaziba midomo.Nice song

    • @lydiahkarembo560
      @lydiahkarembo560 4 роки тому

      A still tune this songs

    • @faithkyalo5445
      @faithkyalo5445 3 роки тому +1

      2021 still listening to hauwezi kushindana I like this song

  • @blessedboymusiq9109
    @blessedboymusiq9109 6 років тому +195

    Dah..... Good luck, huwezy kuamini kipidi unapigia producer paulo simu akufanyie hi nyimbo nilikuwa na yeye.. jinsi yako ya kuongea ni thahiri wewe myenyekevu.. Hii nyimbo nzuri sana dah... wewe kweli mtuzi mzuri alafu una upoko wa mungu..
    Bydaway wewe ndio role model wangu katika gospel..
    @producer paulo best kenya gospel producer.
    Naomba mungu ipo siku nitafanya nyimbo na wewe..
    Congratulations bro..

    • @praisesamson8298
      @praisesamson8298 6 років тому

      Blessed Boy Musiq Naomba namba ya huyo producer bro.

    • @juliakebenei4973
      @juliakebenei4973 6 років тому +1

      I told you utarise higher and higher.

    • @justinelucas3621
      @justinelucas3621 6 років тому +1

      Blessed Boy Musiq kk producer poulo namtafuta sana,,vp nifanyie mpango bas nimchek my cont:0657775625 Justine...

    • @produzapaulo4478
      @produzapaulo4478 6 років тому

      Blessed Boy Musiq Mungu apewe sifa

    • @produzapaulo4478
      @produzapaulo4478 6 років тому

      Justine Lucas +254710722377

  • @Girl_Maasai
    @Girl_Maasai 4 роки тому +900

    If you belive this song has healed your soul, hit like as we thank God

    • @petma5551
      @petma5551 4 роки тому +9

      I like that part where he waves at the haters 🤓

    • @sarahwamboko2041
      @sarahwamboko2041 4 роки тому +6

      GOD his faithful

    • @fabriziammanuli1672
      @fabriziammanuli1672 4 роки тому +9

      It is called beating the bitterness by letting go of the past & letting God be the author & the finisher of one's Faith. Amen.

    • @wizzyjay2955
      @wizzyjay2955 4 роки тому +4

      Ubarkiwe ni kwer uwz shindana

    • @shanelywaziri6708
      @shanelywaziri6708 4 роки тому +2

      Madii

  • @gladysglado7074
    @gladysglado7074 4 місяці тому +6

    Wenye tumekuja uku 2024 n kusinywa n maneno ya watu ka mm ukipita acha like do niweze kurudi tena Kwa hiii song❤❤❤❤ please

  • @onlinetembovevo7473
    @onlinetembovevo7473 6 років тому +34

    Jamana nimefukuzwa chumba cha kupanga kwa sababu ya sauti kali na hii nyimbo.....manake nimekuwa addicted na hii song.....iendelee mpk 2089...💥💥💣

  • @jacksholomem2726
    @jacksholomem2726 Рік тому +200

    This song reminds me of how my cousin lied that I aborted when I was in form two...you can imagine how they tarnish my name in the whole village. When I heard about it, I really prayed God to protect me against such evil. And now as we speak am teacher fully employed and I have my beautiful family blessed with two handsome boys. Am grateful to God.

    • @batshebakerubo530
      @batshebakerubo530 Рік тому +2

      Hugs 🤗 mum

    • @winfaceketer1199
      @winfaceketer1199 Рік тому +1

      Hayra star

    • @graceb2398
      @graceb2398 Рік тому +4

      We have heard a lot but we keep moving forward 👍🙏

    • @sarahkele6812
      @sarahkele6812 Рік тому +3

      Praise be the Name of our Lord Jesus.

    • @Samiavillagegirl
      @Samiavillagegirl Рік тому +6

      If you trust in God he will put all your enemies to shame. Especially wenye vitina na wivu😢. Mungu atakutetea

  • @graceberthe6344
    @graceberthe6344 2 роки тому +8

    Merci beaucoup pour le partade Sublime! Thank you SO munch
    Jesus-christ
    Que Dieu vous benisse Mon frère
    Good Luck Gozbert c'est Génial
    God is love
    Dieu est Amour
    Dieu est juste et bon
    Dieu et aux Contrôle de Tout
    Dieu ne ment pas
    Dieu Gagne Toujours

  • @ZainabKombe-jz7uu
    @ZainabKombe-jz7uu 6 місяців тому +1

    Rozi tumependa.

  • @lucymasai4658
    @lucymasai4658 6 років тому +55

    Ni kweli huwezi kushindana.na mwanadamu mwenye kinywa.

  • @halfanrashid4977
    @halfanrashid4977 6 років тому +351

    barikiwa sana mtumishi wa Mungu,gonga like nyingi hapa kama unaukubali huu wimbo

    • @evanyengo9783
      @evanyengo9783 6 років тому +3

      Halfan Rashid sifi sana kaka

    • @esterjackobo9744
      @esterjackobo9744 6 років тому +3

      Halfan Rashid kweli hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kimywa

    • @milkapius887
      @milkapius887 6 років тому +2

      Safi sana kijana

    • @kenethmarkeshy8863
      @kenethmarkeshy8863 6 років тому +2

      Amen,na mungu azidi kukuinua pamoja na kazi yoko njema

    • @annamotto6321
      @annamotto6321 6 років тому

      MUNGU akuongoze always

  • @sarahmuch1850
    @sarahmuch1850 2 роки тому +60

    I discovered this song a week ago, I am playing it over and over.
    Great message! Barikiwa sana mtu wa Mungu.🇬🇧🇰🇪

  • @PamelaOkelo-lp3xj
    @PamelaOkelo-lp3xj 2 місяці тому

    Huu wimbo inanitia moyo saana unaeza pata watu wanakuchukia tuu without no reason,mungu ni nani anageusha mambo anakuinua.

  • @kyshamarrisha1659
    @kyshamarrisha1659 4 роки тому +54

    When you are in that situation well described by the song 🙋indeed for the battles belongs to you God I know you will fight for me in this situation

  • @missbentdiary7617
    @missbentdiary7617 2 роки тому +8

    Who is still obsessed like me? This song be my forever best💯💯. Team Kenya 🇰🇪 🇰🇪. Watching from UAE 🇦🇪

  • @emmaculatevugusu4204
    @emmaculatevugusu4204 4 роки тому +15

    On Repeat Mode... !!,thank you for this song...more love from Kenya 🇰🇪....

  • @Kris-e2x
    @Kris-e2x 7 місяців тому +5

    Nko hapa 2024 nyimbo zako unibariki tu sana👏👏