Ooh my God 😍😍😍 pole SANA konde Jeshi Ukiona umefanikiwa jua umepitia mengi Sana. Lkn diamond Mungu amsaidie abadilike aache roho mbaya lkn kiukweli mtu Kama ameweza kumkataa babake jee wewe atakufanyeje? Dadeke
Kaka Rajab take it easy ...never mind about what the guy is doing... weka Mungu mbele bro....much love from Kenya 🇰🇪....tunakusupport bro keep on moving
Mnasema akumbuke mazuri aliyotedewa tangu atoke wcb hanjawai hata siku moja kuwasema wcb vibaya ..harmo hii ndio mara yake ya kwanza kufunguka sasa bona mnamchukulia kama yy mbaya ..as all of you know diamond ata hata reply lolote lkn ata watumia wale wafuasi wake kumdis harmo na lipite hivo na kunjifanya ata hanjui linalo endelea
MGDG acha ujinga auwone Koffi olomide Kongo alikua na Fally ipupa = leo Fally ipupa iko na Lebo yake na Fally ipupa aliyemutoa ni Koffi = ujinga Diamond akifa Tanzania mufunge muziki.muna Abdul mtu kuliko Allah.chuki zenu muna tuma watu wengi wamupende konde boy Harmozi anasema aliye mifanya awe leo Kimuziki ni Diamond. Sasa munataka apige ngoma mujuwe anamupenda Diamond?
Hey,,,brother Harmonize uko sawa kwenye njia,, ujapotea,,, endelea kufanya amani,,mwelewe Dimond maanake ameshikwa na stress zake,, lakini ni kwa muda kidogo tuu, atakua settled in mind bado nyinyi ni mandugu. Fantastic aman wewe ni kiongozi mkubwa.
Nyie kila siku kumsema harmo vibaya munamutupisha eshima jueni kwamba maisha ya harmo mungu njo anayajua amushkur kivip mtu mwenye yuko anasema vibaya anamuaibisha harmo atamushkur vipi?????? Harmo usiwaokope muamini mungu huyo mbwa diamond akitaka peace atatulia
:-)😥😥😥jameni harmonize pole Sana nakuhurumia kwa uliyoyapitia pale wasafi ila usijali mwenyezi mungu atakufikisha mbali 🙏🙏natamani mno ipo siku tutaonana .zidi kusali na kutia bidii .
Acha aseme yote, kwani yeye hakuwa na mema yake, Hao wanafiki babu tale na Salam sk, ndiyo anguko la Diamond, huyo mama yake Diamond haoni wanavyo muangusha mwanae.
Mlipe Mwijaku na H. Baba pesa zao si bwabwaja tu. Umetengenezwa onyeshe fadhila. Ulitaka akupige teke kama master J. Si ungepotea. Mweshimu sana Diamond acha kubwabwaja.
Pole bro kwa yale yakwandama lakini uko roho safi mrudiane tu kwa maana nyinyi ni kama wanasiasa ambayo wanarusiana maneno makali wkt wa siasa lakini badae wanakula kwa meza moja
Ushukuru mwamba alikupeleka mpaka chumbani akakuonyesha kila kitu babu tofauti na akina mavoko hawakuwa ivo ndomaana ilionekana wewe unapendelewa sana ila punguza ushamba mmakonde
Mimi Nacho kiona hapa,ni kwamba diamond Watu wote wanao mzunguka ni wabaya hawa mpendi,ingekua walikua kwake kwa Wema,wange mshauri abadilike nakuishi vizuri nawasanii wenzake. Diamond angekua mtu wakujiheshimu nakuwatunza hawa kama wadogo zake,ni hawahawa ndo wange li kuza jina la diamond zaidi. Shidaake diamond hataki kukomaa anajilinganisha nawatoto. akiendelea kujipandisha atazimika nasi mashabiki tutaondoka kwake. Watu wakaribu wa diamond mujirudiye jamani.
Ukiona mwanaume ametoa ya moyoni Ujue amechafukwa sana, Pole Sana Jeshi Mungu atakulipia kwa yote . Respect kwako
Mswahil huyo watsndale achana nay
Kwanini usiseme hizu urikua nazo zikiyako mchawi mwenyewe
Ooh my God 😍😍😍 pole SANA konde Jeshi Ukiona umefanikiwa jua umepitia mengi Sana. Lkn diamond Mungu amsaidie abadilike aache roho mbaya lkn kiukweli mtu Kama ameweza kumkataa babake jee wewe atakufanyeje? Dadeke
Kaka Rajab take it easy ...never mind about what the guy is doing... weka Mungu mbele bro....much love from Kenya 🇰🇪....tunakusupport bro keep on moving
Mambo vp
My all time favourite artists...
Konde gang jeshi from Kenya..
Mungu yuko pamoja nawewe ni mm rose kutoka kenya 🇰🇪 i always pray for you harmonize n love your shows n u too.
Huwa nakukubali sana konde.yaaani nimefurahi umejua kama huyo boss wa watu mnafiki. Safi sana.
Wewe NI mwanga kwa watu wa chini respect to you brother.
Konde boy kaza mwana,mungu yupo na wewe...,nakuelewaga Sana jeshiiii..
Ndomana mondi hanenepi
@@زيتونتنزانيا usipende kusikiliza story ya upande mmoja kuma ww
Live kaka nakubali acha jamaa aendelee kutuhappynisha wadauu
Mnasema akumbuke mazuri aliyotedewa tangu atoke wcb hanjawai hata siku moja kuwasema wcb vibaya ..harmo hii ndio mara yake ya kwanza kufunguka sasa bona mnamchukulia kama yy mbaya ..as all of you know diamond ata hata reply lolote lkn ata watumia wale wafuasi wake kumdis harmo na lipite hivo na kunjifanya ata hanjui linalo endelea
MGDG acha ujinga auwone Koffi olomide Kongo alikua na Fally ipupa = leo Fally ipupa iko na Lebo yake na Fally ipupa aliyemutoa ni Koffi = ujinga Diamond akifa Tanzania mufunge muziki.muna Abdul mtu kuliko Allah.chuki zenu muna tuma watu wengi wamupende konde boy Harmozi anasema aliye mifanya awe leo Kimuziki ni Diamond. Sasa munataka apige ngoma mujuwe anamupenda Diamond?
aliye na huo ujinga ni wewe kabisaa🤣🤣 soma comment yngu tena acha mhaho. Elewa comment yangu ipo side gani . wapi nmemsema harmo vibaya
Kweli
@@benedictesafi4386 hujui hata kuandika
Hey,,,brother Harmonize uko sawa kwenye njia,, ujapotea,,, endelea kufanya amani,,mwelewe Dimond maanake ameshikwa na stress zake,, lakini ni kwa muda kidogo tuu, atakua settled in mind bado nyinyi ni mandugu. Fantastic aman wewe ni kiongozi mkubwa.
Aendelee kutafuta hela lable nayo imejifia😉
umesikia bro sikuzoteeh mti wenye matunda upigweee mawe muache 2 mungu akupe nguvu diamond sio vizuri hbn mambo gani ayo lizika na unachopata kaaah wewe mjinga uyoooooo uwivu wakipumbavu uwoooh mjinga nyoooo
Ndomana Ali kiba aligeuza mkono duu!
Tupendaneni. 😎 Relax tu. We got you. From Kenya 🇰🇪
Uko point Tembo,kipaji unacho na mpaji ni Mungu,kumbuka kelele za chura hazizui Tembo kunywa maji.
Harmonize the best musician
Walipe kina chid na killy kenge ww
Tapika bro wanakuaribia jina na record lebel ya yetu ya konde gang 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya from now on we are together
From to today tumehamia konde gang for every body
Kabisa
Sema na nyie watu wa kenya akili hamna 😂😂😂 si uende ukacoment kwa mambo ya Eric omondi hiyo ujinga yako
Ulimwambia atapaike asaiv mwambie aharishe mzk umemshinda
@@joshuakyomo3804jinga wewe
Huyo sadala hafaii kiba alifanyiwa mabaya mengi sana sadala acha roho mbaya😭😭😭😭😭
Great point
Nyie kila siku kumsema harmo vibaya munamutupisha eshima jueni kwamba maisha ya harmo mungu njo anayajua amushkur kivip mtu mwenye yuko anasema vibaya anamuaibisha harmo atamushkur vipi?????? Harmo usiwaokope muamini mungu huyo mbwa diamond akitaka peace atatulia
Ni nani amerudi hapa kwa mara ya 7 2023 harmonize go ! Go! God bless you
Kondeboy jeshiiiii🔥
smart boy
Futa hizo tattoo za huyo jamaa simba,hazifaii...hajakusaidia na chochote alikua anakuangamiza tu tu kimaisha
Be strong unatakiwa kutafuta huruma ya mungu siyo hurumq ya binadam
Na bahati mbaya sana Mungu hayapendi Mambo ya mziki,,,
Baba tunakuombea yeye amekuwa mungu muogope mungu sio diamond piga kazi wivu huo achana nae na uchawi wake aende kigoma pasua konde nakupa bigap
Usiogop lkn usimpe mkon naomben like jmn
Hatakama lakin bila diamond usingefika hapo ulipo show respect
Haki pole bro inasikitisha sana...muamini mungu atakupigania InshaaAllah utafika mbali .
:-)😥😥😥jameni harmonize pole Sana nakuhurumia kwa uliyoyapitia pale wasafi ila usijali mwenyezi mungu atakufikisha mbali 🙏🙏natamani mno ipo siku tutaonana .zidi kusali na kutia bidii .
Pole sana bro mungu mbele
Mwamini mungu kwa kila kitu binadamu hawezi kukufanya uwe imara zaidi ispkuwa mungu two
Mond mchawi sana
Kama mchawi nawewe kaloge
Domo chawiiii
huyo diamond chawiii pesa zake za haramu
Kabisa..
Saaaana
Tempo....wewe ni nguvu....love u bro
Kisha alikwambiaka hivyo ...sasa hivi unamushinda kuimb! Love from Rwanda
Amini Mungu YUPO KWA KILA MTU ATAKUTENGENEZEA MAZINGILA MABAYA HATIMAYE YATAMLUDIA MWENYEWE HATA KAMA ALIKUZAIDIA
Kwa kweli harmonize ni mvumilivu sana huyu sadala amekufanyia mabaya mengi
Much respect kwako Kama umeongea ukweli Ila Kama umeongea uongo mungu ata kulaani
Unapoongeya mabaya yao, kumbuka na mazuri yao.
Let him talk he was quite for long
dogo ameshindwa mwache atapike tunafahamu munamapenzi na wbc sio huyu dogo mvumilivu mno
Na wanaposema mabaya yake wakumbuke wema wake
Mazuri machache mno wacha ayatapike
Acha aseme yote, kwani yeye hakuwa na mema yake, Hao wanafiki babu tale na Salam sk, ndiyo anguko la Diamond, huyo mama yake Diamond haoni wanavyo muangusha mwanae.
Afu utakuta mtu anakoment ujinga ☹️☹️
Everyone agrees with this .... answer me where is mavoko?
Allah akuoongoze Harmonize (Jeshi) mali safi huisha ila kwako sio leo na sio rahisi Allah akulinde my brother
Wasema ukweli brooh
Umeona eeeh yaan nimejifunza mengi kupitia hamonize daah benadamu
Ww ni mjinga kwel ungekuwa chinga miuza mandazi bira diamond
Pole! sana Bro, Bora Umeongea Ukweli Diamond Kubabke😂😂 Ninge Kuwa Na Hela Ninge Kuwa Mengt Wak Prospa From U S A 🇱🇷
Makubwa but umefanya vizuri ukaondoka
Umefanya vizuri kutpka wasafi brooo big up sana
Mlipe Mwijaku na H. Baba pesa zao si bwabwaja tu. Umetengenezwa onyeshe fadhila. Ulitaka akupige teke kama master J. Si ungepotea. Mweshimu sana Diamond acha kubwabwaja.
Harmonize is right we Kenyans🇰🇪 believe what he says and tell your fellow Tanzanians to wake up learn to cherish the truth.
Pole bro kwa yale yakwandama lakini uko roho safi mrudiane tu kwa maana nyinyi ni kama wanasiasa ambayo wanarusiana maneno makali wkt wa siasa lakini badae wanakula kwa meza moja
Kumbe mond mshenz pole sn konde mungu atakuongoza zaid kwauwezo wake
Usijali man
Nikweli nakubuka mama tondi mi binadam awana wema mabaya yalipe kwa mema
Pole sana kaka hamonaze haya yote yana mungu yatamrudiy yote mbwa huyo mm simpend kweli kwasababu ya roho yake
Kaongeanpoint to point amna lakusema
mimi Konde geng damu niko congo
Napenda hamonize bure anakimya kwa muda lkini ikimfikia kwa shingo anatema .
Hai
Hai
Kweli kabs ongea yote mashoga wanao mkubali sadal wanapenda kupakatwa hapendi kujituma, 😂😂😂😂😂
Sadala hakumsaidia HARMONIZE. Jamaa roho mbaya.
Pole sana harmo saivi we ni jeshi
Ushukuru mwamba alikupeleka mpaka chumbani akakuonyesha kila kitu babu tofauti na akina mavoko hawakuwa ivo ndomaana ilionekana wewe unapendelewa sana ila punguza ushamba mmakonde
Ati ki uchawi hauniwezi hahahahaha
You're in my prayers don't mind about those people.
Hakuwezi nowadays kimziki big fan from kenya
Ww mwenyewe fatafata simba ,nyimbo zko akitoa lingala na ww watoa km iyo tafuta mbinu zko
😭😭😭😭 Dah! Nimepata Moyo kupitia Haya ya Hamornize yamenikuta hayo bgp Sana Mzee
Na bado humuwezi
🐘 MB zimekata paspojua 😢😢
God will bless your way bro for your humility
Pole sana umefanya vizur kutapika haya
Note ni mandugu zetu kutoka TZ Endelea Kuimba. Tubariki na nyimbo hii uchavu ngine ni aibu tu.
Nipe mkono tushindane nakuambiya , majanga haya 😭💔
Pole sna jeshii wanataka kkuchafulia jina kua makin
A kwendreeeeeee zake😏 ukoo kwanza nyimbo sio nzuri za kwakweli keep on konde
Pole mi mama yako was katavi,tutakuombea kwa mungu
Don give up ma niggah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
DIAMOND NI FREEMASON
Free mason yaanyoko
Akwende na huko ghasia !! Mchawi!! Powers of darkness.
Pole.waajili wenyerohombaya ndo walivyo
Achana na mbwa uyo kuimba ajui tamaa ya pesa imemtawala na ndoman imemponzaa ana maajabuuuuu diomornd
Mh kaka acha hivyo kaka huyo katoa mbali
yuleee mondi ataishiwaa vibayaa kwa kwelii ana hali ya ubinafsii
Jeshii Don give up
HARMONIZE is as pure as his name
Hakuna asiyejuwa kama diamond mshamba pambana mwanangu..wasikurudishe nyuma
Same situation
O que admiro neste cara é a sua humildade e não esquecer as suas raízes
Sikuwa najua what happened man,but now am your big fan
*
Maboiller was here congratulations 🔥
Jeshiiii💪💪💪💪💪💪
Harmonize you are hero
Salute konde kw hekima yako
Ndg yangu kumbuka umepitia magumu ndani ya wasqfi ila kikubwa mungu yupo pambana
nakipenda sana kaka kwa upambanaji wako
Yamekua hayo tena pambana tu usiwanufaishe watu.
Jeshi🔥🔥🔥💪
Harmonize my super artist
Kwa tulio wai kuuishi karibu na mond sisi hatuna baya nae yuko peace
❤️❤️❤️
Simba kitu gani,,,uchawi utamuuwa mwenyewe...
Sidhani kama nitakaa nimtizame Diamond the same way tena.
Co lazma twajiweza watoto simba
Ayayote nilaana yakumkataa babayake mzazi
Kabisa
Mimi Nacho kiona hapa,ni kwamba diamond Watu wote wanao mzunguka ni wabaya hawa mpendi,ingekua walikua kwake kwa Wema,wange mshauri abadilike nakuishi vizuri nawasanii wenzake. Diamond angekua mtu wakujiheshimu nakuwatunza hawa kama wadogo zake,ni hawahawa ndo wange li kuza jina la diamond zaidi. Shidaake diamond hataki kukomaa anajilinganisha nawatoto. akiendelea kujipandisha atazimika nasi mashabiki tutaondoka kwake. Watu wakaribu wa diamond mujirudiye jamani.
Jinga hili halina akili
Harmonize Mungu awe nawe kabisa
oh my favourite singer what hel
Tapika mwana
Pole sana kaka kikulacho kinguoni mwako