Salama I have watched you grow before our very eyes. You are bringing various talents that are treasures to our society. Keep growing mama. Keep showing us how excellence is built..!!!!
Salama, you have implacable interviewing style. I have watched several of your interviews & I always enjoy & learn something new. My only “issue “ is the setup of the studio. A lot of clutter. Such as those frames and scarfs on microphones. It takes away from your guests. All, the best!!!
Good interview ila salama na wanyumbani waite kuwa promote wapo celebrate pia waliopitia hiyo milima na mabonde tunamuomba AT kwanza anamadini kuhsu music 🎼 ukimuhoji
Mamaa Baraka Kabisa Mungu Kumbuka My Mom 💕 You Bi.Hilder 💕 Wako Anakupenda
Salama I have watched you grow before our very eyes. You are bringing various talents that are treasures to our society. Keep growing mama. Keep showing us how excellence is built..!!!!
I love the compliment. I love her too
@@ilovejesus9303 ppppppppppppppppppppppppppp
Goodluck ameongea mambo mengi sana ambayo hajawahi kuyazungumza kwenye kipindi chochote cha dini..Interview za dini tujifunze jambo
Your story is a blessing. Your advice is very important, I hope it reaches to all youngsters. I love your songs kaka.
Mungu Awatunze Wamamaa Wetu Jamani Nakupenda Bi. Hilder
Dah...Kaka anamjua Mungu aisee.
shabik wako saana Goodluck, thank you Salama kwa kutulete huy mtu🔥🔥🔥
goodluck ni msimuliaji mzuri,safi nimependa hiyo!
sana
Barikiwa sana braza Goodlucky sure napenda kazi zako tu ...Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine
Mungu mwema kwakweli nikiwa kama mshabiki nafurahiswa na hii Mungu azidi kukutumia
Good luck ana Logic 🎉
"Yaani Salama na Goodluck, imagine😊"
Peace and Bahati nzuri hahaha watu na majina yao!
Mama nimwalimu ambae alietunukiwa hekima na mungu
Nmebarikiwa hata kabla sjaangalia kilichozungumzwa woooooooow😍😍😍😍😍
Good luck natamani kumuona mama yake😭,huyo mwanamke wa shoka hasaa.Mungu awabariki wanawake na wamama wote
Amen mungu mkubwa
Kipindi nimekipenda sana
Nakupenda sana dada salama mungu akubariki uishi miaka mingi
Salama na sisi tunataka kukuhoji kwenye hii show 😂tusikie story of your life🙂
Na kweli
I like your songs good luck , God bless you dear
My Role modal
Kusema kweli Salama uko viizuri na Goodluck ni kijana mnyenyekevu.Mungu awainue kiila mtu ktk eneo lake
He's very humble jamani
Mama aliwakabidhi mikononi mwa MUNGU na kweli kawakuza na jina lake libarikiwe.
Goodluck YESU akutunze umeongea vzr
nakukubali sana Goodluck nipo hapa rafiki yako Jimmy😄😄😄😄
hahaha eti napika kama mpishi mwenye njaaa
Salama, msuko umekupendeza!
San
Be blessed all 🎉❤
God is Good. I enjoyed it 👏👏👏👏💥💥💥🙌🙌🔥🔥🔥👏👏
Good luck is so real. Keep it up brother 🤗🤗🤗🤗 . Thanks Salama for this interview
Hakika Goodluck Mungu Akusaidie Sana
Very humble guy
Daah jamn Nyie apo kwa mama kuwaacha peke yao nimeumia sana
Yaan napenda sana interview za salama big up
Msalimie goodluck nampenda had mwanangu nilimpa jina lake
Tupo Wengi
Mungu Akutunze Mamaa Oliver
I am fisrt like me
Salama anavomuita jesca jamani😀😀😀alafu jesca kabadili unifom
😂😂😂kavaa nyingine leo Jesca😁😂
Ninaomba salama na "joel lwaga, walter chilambo na paul clement" Tafadhali lakini ninakubali sana hizi interviews kwa kweli.
Salama vazi la baibui linakukubali Sana hata Kama hulikubali
Mimi shabiki wako 💪wa nguvu
Goodluck uko vzr sana natamani story iendelee
Safi Sana Goodlucky
''wazazi wetu wanatuombea sana bila sisi kuju'' hapa umenigusa
maisha kam niloishi mm😞😞 Mungu ni mwema Alhamdulilah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🌹
Tumaini kwaya, mama ombeni, Mr. Foya na Parishwoker
Goood Sana Kaka naomba namba nifanye naweeee club
Be blessed man of God
Namkubali Sana mwamba
Hii imekaaa poa sanaaa..God is Greatest
Salama, you have implacable interviewing style. I have watched several of your interviews & I always enjoy & learn something new. My only “issue “ is the setup of the studio. A lot of clutter. Such as those frames and scarfs on microphones. It takes away from your guests. All, the best!!!
Pumbavu zako wewe hiyo ni creativity yake km unaona inakuboa acha kuangalia mbwa we
Pluto Man 🙏🏾
I’m a greatest fun of y’all 🥺❤️... Bro be blessed too much🙏🏽🙏🏽
Very humble
Jamani nimeangalia interview zenu zimeishaa nataka mpya,nawapenda
I love goodluck 😫❤❤❤
Nice interview
A very humble young man!
🎉 29:12
Mungu nimwema Kaka
Na ndiyomaana unatoa ujumbe unagusa mihoyo ya watu libarikiwe tumbo la mama aliye kuzaa
Salama umebadilika now kigensta umetoka kabisa upo kidada ila umependeza
G ubarikiwe mnoooo
Kama unataka salama Atuambie anaponunua skafu za kwny kitangazio..gonga like
Mtafute data aiseeee alikupenda sana 2012 k/hewa kipind hcho
anaeleza vzur
Kweli saa nyingine tunawalaumu wazazi ila ukikua utajua
I Like this interview
Kumbe ipo full that NYC...
🎸 sababu ya wokovu kwa GozB
Nampenda huyu kaka jaman
Love this lady. Beautiful, beautiful listener, just amazing 😍
Nice interview real
Kupitia maelezo, nimejifunza ...
Wahoo hawa ndio wasanii wanafundisha
Hapo kwenye, "msanii bongo..!!?" 😀😀
Akuna mwanamziki aliewai kusema katoka kwenye maisha mazur tangu nianze kufwatilia
Nimaisha tu sio huwa tunapenda kuwacha watoto salama bila hivyo sidhani kama tunaweza kuwatimizia ndoto zao
G nakukubali
Duuu salama ov coz umeniboa kwa muonekano wa kichwani rudisha muonekano wako pendwa wa salama na!!😁😁😁
Good interview ila salama na wanyumbani waite kuwa promote wapo celebrate pia waliopitia hiyo milima na mabonde tunamuomba AT kwanza anamadini kuhsu music 🎼 ukimuhoji
Good
Mpk nimelia story ya g ya mama ake kama ya mama yangu 😭😭😭
Kabisa hata mm yngu ivo ivo
Nice one 👌🔥🔥🔥
Salama tuletee konde boy jeshi
Mbona sio full interview y
Kuna part 2 itafute
.
Salama msuko leo konk. 😍😍😍 watu wa mazoezi mpo ? Pitieni hapa na msubscribe kuna mazoezi kama yotee!
Wap Sasa
Yimbo Zake ntazibeda
Wa kiume!😁
Hahahahaha Hahahahaha Wa Kiume
Nilijua wa mbeya
Unapata wapi skafuuuu????
Nafurahia hii kitu ya enterview
😍😍😍👌👌
Wey Bach
💥💥
Salama umedamshiiii
Eti nakuzaa huku nakimbia
usimuhukumu mtu usiyemjua undani wake kwakumuangalia nje tu..... JUDGE NOT:
Yule jamaa alieenda Uganda usimsahau
Nice
Oi oi
Goodluck
Nzurii
Salama una nini?eti maskini😅😅😅😅