HUYU NDIE TAJIRI ASIYE FILISIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 Рік тому +8

    Mashallah Allah amzidishie kheri duniani na Akhera

    • @TheFire_Gamer
      @TheFire_Gamer Рік тому

      Lakini kama mwenge wapa pesa tu siwengekua hupati usumbufu sana wa kubeba vyakula siwengenunua wenyewe

  • @yushalforever7216
    @yushalforever7216 Рік тому +2

    Allah amzidishie kipato chake. Lkn ushauri wangu. Na miezi mengine pia watoe. Maana njaa ipo siku zote

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 Рік тому +7

    Na sisi watu wa kihinani unguja,,tuna shida ya eneo la kuzikiana,,,,ikiwa mh Bopar atauona ujumbe huu tunamuomba sana aje atusaidie kulinunua hili eneo mana wamiliki wamesema wanauza shamba lao
    Kama atauona ujumbe huu tunamuomba sana aje atustiri na sisi tupate eneo la kuzikiana,,kama alivyojaaliwa kuwastiri walio hai kwa kuwapa mahitaji mbali mbali,,
    Na tunamuomba allah azidi kumpa imani ya kuwastiri viumbe wa allah,,na yeye mtoaji allah azidi kumpandisha daraja duniani na akhera ,,na allah amjalie pepo ya firdaus inshaallah

    • @nooor1120
      @nooor1120 Рік тому +1

      Biidhnillah ombi lako mmungu ataliwezesha soon kwa baraka zake na uwezo wake Allah.

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 Рік тому +5

    Maa shaa allah...jamaaa yupo sawa sana alhamdullah nimejaribu kumfatilia kila mwaka hutoa alhamdullah ...Safi sana...bopa

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 Рік тому +3

    Mashallah jamaa yupo vyema sanaa namkubali miaka mia mbele allah amjalie afya njema amn

  • @christiankiponda4639
    @christiankiponda4639 Рік тому +5

    Hakika Kumcha MUNGU, Ni tofauti na Shabiki wa MUNGU, Asubuhi njema kwa Kila kiumbe Cha Mwenyezi MUNGU wetu, Mtoaji wa Vyakula na Mahitaji muhimu kwa wanadamu wenzio, Hakika huku ndiko Kujenga Ukaribu Sana na (Allah Akbar) Natamani nipewe Roho Kama yake Huyu, Pepo make hazina kizuizi kwa Allah. Hongera Hakika Tuwe Makini kwenye Mambo Kama haya, hii Ni Baraka kwa Vizazi vyake milele na milele.

  • @hemedhaji8816
    @hemedhaji8816 Рік тому +3

    Hongera.atakupa zaidi ya ulichokitoa.Allah akulipe janah.ameen

  • @ruhaymanllymuhammed2094
    @ruhaymanllymuhammed2094 Рік тому +3

    Mungu ampe umri mrefu amzidishie imaan

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Рік тому +4

    Barak Allah feeq, Jazzaka Allah kheri.

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Рік тому +1

    Mashaallah jazakumllah kheir amiin kazi nzr sana mola amfanyie weps inshaallah

  • @salem9874
    @salem9874 Рік тому +3

    Mashallah Allah Amzidishie pale palipokuwa na Pungu Allah ampe afya njema

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Рік тому +2

    MASHAA ALLAH, mwenyezi mungu akuzidishie zaidi ya ulicho kua nacho

  • @alkhalilmussa5633
    @alkhalilmussa5633 Рік тому +3

    Mungu amkunjulie zaidi rizki yake

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 Рік тому

    Mwenyezi Muungu amjaalie baraka katika biashara yake kwa kweli amejitahidi sana.

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому +4

    JazakAllah kheri, hy baba anajitahidi Allah amzidishie umri mrefu na afya njema

  • @lovvy854
    @lovvy854 Рік тому +1

    Mashallah Mashallah Mashallah Mabruq Mwenyezimngu awazidishieni pale mulipo punguza insha'Allahh kheir 🤲

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Рік тому +1

    Na Allah akulip pepo inshaallaah

  • @nooor1120
    @nooor1120 Рік тому +2

    Maa shaa Allah
    Mmungu amjaalie kheri kubwa dunian na akhera yy pamoja na family yake

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Рік тому +1

    Allah amzidishiye zaid Said Gopar Afya njema na umri mrefu zaid. Msaada huo haukutoka kwa Hussein Mwinyi sababu tunaona wapambe (machawa)wanaingiza siasa sasa lazima tuweke mambo sawa.

  • @hafidhabdullatif70
    @hafidhabdullatif70 Рік тому +2

    KWA kweli anasaidia wanyonge allhamdullhah.
    Lakini mimi navoona inavotakiwa chochote anachotoa inatakiwa hata mkono wa kushoto usipate habari.
    Lakini yeye anatoa kwa kujionyesha. Hivi Allah mwenyewe hapendi.
    Yeye hafanyi kitu mpaka watu wamuone kwenye tv. Hivo haitakiwi kabisaa

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 Рік тому +2

    Mashallah

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 Рік тому

      Maa shaa Allah 😢mpk natoka chozi😢 Allah akulipe kheri baba🤲

  • @mbarakalwahebi4094
    @mbarakalwahebi4094 Рік тому

    Bismilahi Rahmani Rahim namshukuru mungu mpaka sasa alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwengine zaidi yake Amin Amin Amin yaaraab Amin mnavyoandika andikeni vizuri msiseme kwamba hatofilisikaa hapo mmekufuru kusema ivyooo mungu amjalie alhaamdulilaah na wako watu hutoa na hawajionywshi shukran

    • @AbdulhamidFarid-lx1rs
      @AbdulhamidFarid-lx1rs 5 місяців тому

      Hatafilisika sikwamaana tu hapa Duniani, huyu Anafanya fanya biashara na Allah na anae fanya bishara na Allah hafilisiki kaka

  • @fayeezabdallah2217
    @fayeezabdallah2217 Рік тому

    subhnallah hatutak kufny biashar na Allah sw maneno mazito😭😭😭😭😭

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому +1

    Alhamdullillah mashaallah mashaallah jazakallah kheri.

  • @kingelkindy2920
    @kingelkindy2920 Рік тому +1

    الله يـزيده خــير ويبارك فيه🌹

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 Рік тому +3

    Mashaallah mashaallah

  • @sufianiramadhani5271
    @sufianiramadhani5271 Рік тому +1

    Allah amzidishie ndugu yetu

  • @halimaomarmbarouk4017
    @halimaomarmbarouk4017 Рік тому

    Mashallah Allah amzaidishie barka lakini tunamuomba Allah ampe wepesi zaidi afike na maeneo mengine ambayo bado hajafikia

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 Рік тому

    Masha'allaaaah!!
    Nooron alaanoor!!
    Allah ambarikie kwa alichotoa na alochobakisha, YAA RABB

  • @ramadhanomar8346
    @ramadhanomar8346 Рік тому +1

    BIASHARA IPO ILA HATUTAKI KUFANYA BIASHARA NA MWENYEZI MUNGU .inamaana kubwa hii kauli

  • @husseinbolt6922
    @husseinbolt6922 Рік тому

    JazakAllah kher

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 5 місяців тому

    اللهم اميين ياارب

  • @salamaali4726
    @salamaali4726 Рік тому +1

    Ma shaa allah

  • @taifaali7418
    @taifaali7418 Рік тому +1

    Mashallah.

  • @suleimanmuhammed1347
    @suleimanmuhammed1347 6 місяців тому

    Huyo hatoi kwa kujionesha huyo anatoa kwa jili ya wenzake wenye uwezo kama na wao wahamasike watoe

  • @maase2023
    @maase2023 Рік тому +1

    Hii sadka au zakka ya kuonyeshana tu ! Kila sadka au zaka basi iwe ni siri ya mja na Mola wake lkn namna hii kweli inakubalika? Allahu aalam

    • @aryfaryfinho2164
      @aryfaryfinho2164 Рік тому +2

      Inakubalika maana yy anahamasisha watu wapate kutoa ingawa dini imependekeza ukitoa ufanye siri ila sio vibaya ukitoa watu wakijua maana mola ndo anajua nia ya mja wake

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Рік тому +1

    Mashallah

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +1

    Mashallah