Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

TAJIRI ATOA SOMO LA MTU KUA TAJIRI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 кві 2023

КОМЕНТАРІ • 58

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому +7

    Maa shaa Allah. Allah akuzidishie imani ya dini, mali, afya nzuri, umr mrefu, na akhera akupe pepo na akuepushe na moto, amiin

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Рік тому +7

    Namuomba amjalie hi sheikh bopar amlipe pepo ya juu Aaaamiin

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Рік тому +1

    ASSALAAMU ALEYKUM MASHALLAH MY ALLAH BLESSED WHO HELP POOR PEOPLE IN PEMBA AND ALSO IN 🇿🇦 ZANZIBAR MY ALLAH WILL GIVE THEM HOUSE IN JAANAT FIRDOUSH INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @abumutwaira4892
    @abumutwaira4892 4 місяці тому

    Mashallah huyo anafaaa matajiri wengi wanafeki hapoo

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому

    Allah akuzidishie BOPARY

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 Рік тому +2

    Elimisheni jamii kupitia hizo Chanel zenu Masha Allah Mr Bopar anafanya kheri zake kila ki Chanel kinamuanika hadharani Wengine ni mahasidi huenda anayofanya wanakereka.
    Mola amlipe kwa kila jema lake. Amin.

  • @abumutwaira4892
    @abumutwaira4892 4 місяці тому

    Nataka binti mmoja hapo wakuowa

  • @adhacho4490
    @adhacho4490 Рік тому +4

    Mungu atakulipa ujira mkubwa sana mana sio masihara kusaidia yatima natamani niwe mimi ndio natowa iyo mali kwa mayatima kama hao

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 Рік тому +1

      Wallahi si peke yako mimi kila siku nalia namuomba Allah natoa Allah kile anachoniruzuku nabado naona kama sjatoa natamani nitoe kila nilicho nacho😣😣😣😭

  • @ashaproudofyoubabahaji8523
    @ashaproudofyoubabahaji8523 Рік тому +1

    Mashaallah ❤

  • @s_altaie_1451
    @s_altaie_1451 Рік тому +2

    ما شاء الله تقبل الله منكم

  • @khumayraabdulla96
    @khumayraabdulla96 Рік тому +2

    Allah s.w awalipe kheri , azid kuwafungulia milango yariski ya halali ..in sha Allah MwenteziMungu awape stara dunian na akhera kama mnavyo tustir wenzenu amin amin

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому +2

    Allah amuhifadh ndugu yetu said nassar bobar

  • @jumamkali8307
    @jumamkali8307 Рік тому +2

    Mashaallah

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 Рік тому +1

    Allah amlipe kila la kheri hapa duniani na akhera shekhe bopar

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 5 місяців тому

    Misaada anajitahidi. Kutoa lk analaumiwa njia za kutoa hazipendezi sana
    Bora kimya kimya bila kuhusisha kufunisha

  • @seifseifmohamed7118
    @seifseifmohamed7118 Рік тому +1

    Mashaallah Allah Ahfadhkum jami3a. Mfano mwema na matajir wengine waige mfumo huo.

  • @husseinbolt6922
    @husseinbolt6922 Рік тому

    Allah akbar

  • @jumakhamis1053
    @jumakhamis1053 Рік тому +2

    A/alaykum, shee Rashid na sisi tunaomba msaada madrasa ya Fatma bint Rasul Kengeja

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому

    Namuombea said bopar Allah amuhifadhi tunafahamu juhudi zake

  • @user-mz7vo7mw4r
    @user-mz7vo7mw4r 5 місяців тому

    Tunaomba msaada

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 Рік тому

    Mashaallah barkallahfik Allah akuzidishie iman na afya umri taweel wenye kheri na ww inshaallah alhamdulilah Allah akubarik

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 Рік тому

    Allahu barik Allahu Baarik Mungu ndiye mlipaji Mkubwa, umeonyesha utu na kujisahau ukabeba mwenyewe virology.

  • @zakiaqasim5312
    @zakiaqasim5312 Рік тому +1

    Maasha Allah maasha Allah tabarrak rahman amiin

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Рік тому +1

    Mashallah tabaraqah ❤

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Рік тому

    Mashaallah jazakumllah kheir amiin

  • @mariamyassin1708
    @mariamyassin1708 Рік тому

    Allah akulipe kheri kulikotoka ivyo parudi vingine

  • @user-cf6hi1wb7j
    @user-cf6hi1wb7j Рік тому +1

    Mashallah

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 Рік тому

    Mashaallh❤

  • @Ali-gk5mv
    @Ali-gk5mv Рік тому

    ALLAH AZIDI KUKUBARIKI NA AZIDI KUKUPA UMRI

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому

    Hukuna asiye jua kwa wazawa wa chakechake habar zake

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Рік тому

    Masha Allah mungu akuweke kwa utoaji na unawafundisha wengine watoe pia

    • @saheedali7467
      @saheedali7467 Рік тому

      Kutoa hakutaki mafunzo ndugu ukiwa na moyo wa kutoa unatoa tu.

  • @jumakhamis1053
    @jumakhamis1053 Рік тому

    Kuna madrasa yanahitaji kuezekewa nakuomba uje ufanye matembezi Kengeja mwakunguu

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому

    Sheikh Mohammed mtihani mkubwa sana Mali alizonazo huyo ni nyingi sana

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 Рік тому

    Mashallah Allah awazidishie kheri kwa kila jema mnalofanya duniani na Akhera

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 Рік тому

    😊bora hivo ulivowapa warning wasile vyakula sababu kule skuli ya utaani ulitoa misaada ya watoto walimu nusu kwa robo walikula wao

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm Рік тому

    Mashallah tuipende dini yetu lkn vyo vya dar esalaam uchafu mtupu znbr yetu Mola aihifadhi ingawa kuwa maaafiriti wanatuharibia kizazi chetu kila kukicha

    • @shafiisalim1686
      @shafiisalim1686 Рік тому

      Acha husda kaka usiseme vyuo vya Daresaalam uchafu mtupu sema baadhi ya vyuo mbona hta huko zanxibar kuna machafu mengi tu...

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому

    Ni mtu wa kusimama na kutumia Mali zake ktk dini lakini muda mkubwa yeye anatumia sehemu ya dini ni chumio kubwa kwake

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому

    Huyo mzee sio wa kusikitika mkate anamali nyingi sana

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому +3

      Ila ameanza na mazingira magumu sana mpaka kufikia hapo huku kwao mkoani ilikuwa ni familia ya kawaida sana na kutembelea baskeli

    • @habibumohamed1543
      @habibumohamed1543 Рік тому

      @@sabihaibrahim143 SubhanAllah
      Hakika ALLAH ni MALIK -UL -MULK

    • @saidkaim768
      @saidkaim768 Рік тому

      Hujafahamu vizuri

    • @fayeezabdallah2217
      @fayeezabdallah2217 Рік тому +2

      ana moy uliobeba haiba ya iman iliyo bor Allah amp sihaa na afya nzr zaid Allahumma Ameen

    • @saidkaim768
      @saidkaim768 Рік тому +1

      @@fayeezabdallah2217 Mashallah

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm Рік тому +1

    Matajiri kama Hawa wako wapi

    • @seifseifmohamed7118
      @seifseifmohamed7118 Рік тому

      Matajir wengi ni maskin ktk Imaan lakin wanalipa mabillion kwa TRA na koo zao wanakufa njaa wapo tele mengine twawajua

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 Рік тому

    Chuo cha wap icho jmni

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому

    Huyo anaetwa sheikh Mohammed sio mtu wa kulalamika mkate ni mtu ambaye anamali nyingi sana sana mm namjuwa na Mali zake na mjuwa

    • @ukhtyzuweyns
      @ukhtyzuweyns Рік тому +1

      Unayoyaongea una uhakika nayo? Usiongee kumchafullia mtu shakhsiyya yake ni makosa makubwa katika dini ya kiislam.

    • @adamaliali2206
      @adamaliali2206 Рік тому

      Huo ndio ukweli mama

    • @adamaliali2206
      @adamaliali2206 Рік тому

      Mm namjuwa Hadi baba yake alikuwa mtu wa aina gani