Oh hallelujah hakika Mungu anavitu vya ajabu vipitavyo uwezo wa kufikiri wa kibinaadami..,,kwa hicho alicho kupa Mungu ukikitumia vizuri utaumiliki utajiri mkubwa..,,kuwa na jitihada binafsi za kuchangamkia fursa unaweza ukatumika kutengeneza matangazo..,,ya tasisi za kiserekali ama taasisi binafsi unaweza tumika kama MC na mengine mengi..,,Mungu akupe mpenyo na nuru katika njia utakayoiendea kulifikia kusudi lake.
Dah! Hatar c mtagazaji c muojiwa wote mna vpaji kwakweli mtagazaji sauti ka milad ayo kabisa muhojiwa sauti ka ya mtoto kbs. Talent ka his huwezi pata sehem yyote tofauti na Tanzania
Hii ni talent kubwa sana kwenye sanaa ya "Dabi" (kunakilisha sauti kwenye movie) wanahitajika sana atafika mbali sana #Azamtv #DSTV #StarTimes na kwenye animation films wanahitaji sana watu wa haina hii maana ni ngumu sana watoto wenye vipaji vya kuzungumza kwa usahihi kwenye unakilishi sauti.
Jamani ndugu Waislamu, hayo hayawasaidii kitu, hisipokuwa kupoteza mda tu Dunia kisha kwenda kujutia huko Akhera. Tuswali swala 5 tumtukuze Allah Asubuhi na jioni na kuswali Nabii Muhammad s.a.w) na kusoma Sana Qur,an. Kosa siyo letu, la wazazi wetu. Hawakutulea kwenye misingi sahihi ya Dini. So! Tuzinduke wenyewe tumrejee Allah.
@@khalifankishki3440 lnshallha pia shukurani kwa ukumbusho lakini hii nayo ni moja ya kufurahi tu afanyi kitu kibaya huyu kwaiyo akuna shida maana siyo jambo baya ndomana naww ukaja kuangalia
Kama umemuelewa huyu jamaa gonga like hapa
Ndio MWANANGU hawa
Like like tumewachoka
@@credo7837 a
Kama unaisikia sauti ya MILLARD AYO kwa huyu mtangazaji gonga LIKE
Milard Hayo hayupo hapo co yeye
@@cantonaiddy6042 just like
@@cantonaiddy6042 sio milladayo huyo ni huyohuyo muandishi anaeonekana
Humu Kuna pepo.... Kama umesikia gonga like twende sawa...😂😂🤣🤣🤣
nimecheka et toka pepo
😂😂😂
Haha 😀😀Tanzinia nchi ya Aman daah... Kwakwel siwez kuhama kma Unaipenda nchiii gonga like😀💖
Na mm sihami bongo raha sanaaaa
Ivi ata wakisema mhame mtaenda wap nyiee😄
@@al4classic691 tuhame tuende wapi? Tanzania ni paradise
Mimi najuto kuzaliwa Moçambique
Issa kaka mimi ni mkenya ninakuomba tufanye mkataba nawewe ili nipate nafasi au makao niiishi hukohuko niwe rahia. Sio mzaa.
Huyu jamaa ni hatari, kama umecheka kama Mimi gonga like
Dah huyu jamaa ni hatari jamani
Hii ni kali, bibi wa huyu jamaa hawezi kupoeka, nimecheka
@@winniegeorge3855 cti
Mungu abariki kipaji chako
@@everlinekemunto2700 😂😂😂😂😂
Anayetaka tumpe zawadi huyu jamaa like hapa
Poa bana
Huy jamaa analmba pipi kama anakula denda
Kama umecheka kama mm toka kwa jina la yesu! gonga like!
Hivi hizi like mnazoomba mnanywea chai au😀😀😀
😂😂😂
Anae skia sauti kama ya Millard ayo agonge like
Mtangazaji nakk bali mwanzo nilijua pacha wa milad
Me nilikua n Millard kumbe mmmh shikamoo sauti
Vizuri unauwezo ni kipaji bro.
Ajabu sana,,talanta ajabu kws zote pokea likes kutoka +254
Kama umemuona anavyolamba pipi kama mtoto gonga like🤣🤣🤣
Daaa Yani hunaweza sema mtoto jamani 😳😳😂😆
Swahili tivi wamchukuee
Hahahhahaha. Unanichekesha 😂😂
Huyu jamaa kapitiliza yaani nimecheka hadi machozi yamenitoka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tugonge like twende sawa kwa uyu jamaa😁😁
Nimependa Alivo ongea SAUTI ya kawaida mm nilkua najua labda ndo sauti yake kumbe nikipaji chake!! Mungu amsaidie
Mimi pia😂😂
Ahhaaahah
Jamaa kashatoka, bonge wa star
Sanaaaaaa anajua
Kama umemuelewa huyu jamaa gonga like.
Jamaa umetisha, you're a good comedian bro, keep it up.
Daaaaaah I love you ❤ Tanzania🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daah huyu jamaaa nomaaaaa Sana like hapa Kama umemuelewa
Aki ya nani amenicha hoi huyu baba nimempenda Sana 😃😃😃😃😃 much talented
Mwanangu wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏
@@sweetluc2660 kweli
Nimechoka mpakamachozi Jani toka pepo
Kipaji anacho
Oh hallelujah hakika Mungu anavitu vya ajabu vipitavyo uwezo wa kufikiri wa kibinaadami..,,kwa hicho alicho kupa Mungu ukikitumia vizuri utaumiliki utajiri mkubwa..,,kuwa na jitihada binafsi za kuchangamkia fursa unaweza ukatumika kutengeneza matangazo..,,ya tasisi za kiserekali ama taasisi binafsi unaweza tumika kama MC na mengine mengi..,,Mungu akupe mpenyo na nuru katika njia utakayoiendea kulifikia kusudi lake.
It's true
Super talented 👏🏽👏🏽
Kipindi cha kuelimisha watoto wetu please WASAFII 🙏🏽
Safi sana akili mingi wewe
Kabisa. Wasafi wamchukue uyo
wote tuliomuombea Apone mwanzo wa clip, maombi yetu yalifika mwishoni wa clip, Mungu mkubwa jamani. nipeni likes 3 tu.
1
Nimecheka. Hadi mbavu zinauma!
jamaa ako sawa tu saaana
@@asiamtatifikolo6477 x
@@asiamtatifikolo6477 Mtatifikolo Iringa moja hiyo Mhehe mwenzangu.
Kama unamkubali Huyo jamaa gonga like apo.. Huyo jamaaa namuona Mbali saan hadi amefikiwa na ayo TV
Umeona eee!! Mwenyezmungu amfikishe pazuri
@@ashahahahahatwendenikwetut3826 Amiiiin
Huyu anafaaa sana kufanya sauti za tinga tinga au kirikuu ,watengezaji wa cartoon Tanzania wamuangalie sana baba baraka👍🏻
Yesu wangu..!!!!!😂😂😂🤣kumbe ana sauti ya kiutu uzima tuu..😆😆😆😆😆
Ulidhani ni mlemavu wa sauti au🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anae taka kumsaidia kipaji chake angonge like
Hahahaha mmetisha Ayo TV we are the best
Jamani niacheni🤣🤣🤣 maskin mbavu zangu nipen like fasta ninYamaze kucheka
Go
Mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣
Kweli tz nchi ya vipaji
Kama umegundua fani yake ni comedy gonga like
Nilikwambia rafik angu unakipaji mama ino maji chumvi ana apriciate Sana hongera
Mungu amempa kipaji. Akitumie. Bless.
Dah😉
Nishawai kukuona tabata kwasayi mungu akubariki uendelee kusonga mbele
Real this man is very talented👏👏 I wish to see him in film industry 👏👏🙏
Me am down😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣👍
Hongera sana Kaka Kwa kipaji ulicho nacho MUNGU azidi kukuinua
Oya wee! Acha utoto basi.
Hahahha jokes tu asee,by the way jamaa ana kipaji cha kipekee sana.
Bonge la kipaji
Toka kwa Jina ya yesu😀😀😀😀
Hahahaaaaaa😂😂😂😂
@@jamilajamila4572 hahahahahahahahaha
Hahaha icekreem Kama umesikia hli neno gonga like
Uyu kak ananichekeshaga sanaa daah mungu amuongoze vyema na mafanikio tele🙏🙏😍
aliyesikia neno eti nilikua nachunga mombe piga like hapa
Daaah, realy amazing
Dunia simama nishuke nipeni like fasta kwa uYu Jamaa
Omg.
Blessed..
Kama unamsikia Milard ayo gonga like
Kaka yupo vizur Sana mungu ambariki Sana
Huyo jamaa ni star tosha apewe vipindi vya televisheni na redio kwa watoto
Kweli kabisa anastahili.
uo ulambaji wa pipi sasa
Kabisaa
😂😂🙈
Sure mwanangu anafaa kabisa😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Tanzania special county,, I love you Tanzania my beautiful country I will never leave you
Hahahaha nakubal
Country not county
Piga like hapa kama jamaa unaona anafika mbali
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣aaa kama nawewe umevunja mbavu kama Mimi ebu gonga ma like apa👍
Jamani naombeni like za huyo jamaaa
Halafu ukishapewa unapeleka wapi?
Kama umecheka saaana kama mimi gonga like 👍
mtihan 🤣🤣
Waaaah kacheka adi kuagusha simu mm.
Huyu tulikuwa naye office Mcc Kurasini nidereva nzuri kwakweli hanakipaji kizuri sana L.M Jah bless
Mshkaji wangu alinibeba kwenye bajaji nilienjoy Sana
😂😂😂😂
Hatari sana
😂😂😂
@@faridaessa7844 yupo vizuri sana
Hhhh kama mm nilitamn nisifike
Kama unawaelew Ayo TV like
Daaah nimecheka ad machoz... Hongera kwa kipaji kaka
Hahaha jaman mwenyez Mungu azid kukubarik na kukulinda hicho ni kipaji
😂😂😂😂 jomony I fell joy in my heart 😆😆😆😆 keep going I love you magic man 😅
♥️🥰🤔 kweli mungu niwaajabu
Kama umeskia jamaa akiwa analia gonga like
Hatareee
Mungu akubarikii sana inch hii tuna watu wanauwezo mkubwa sn
Hahahahaha nimecheka jmn kwenye pepo😂😆😂😆😂ilo tukio nakumbuka namim nilikuwepo kwenye bajaji
🤣🤣😂😂 kumbe ni kweli?
Ni kweli my dia yani tulitamani kuruka ila mmja wetu alijirusha kweli
@@betinazagati7600 Daah maskini poleni sana.Kumbe masikhara mengine sio mazuri unaweza kuumiza mtu.Ashukuliwe Mungu mlitoka salama.
Ooh lord father how can I be as like this broo he has the talent
Dahh hongera sana
Daaa jamaa upo vizuri tumia hicho kipaji niutajiri
😂😂😂 Yan eti Kama nataka aende shule namwambia kibaba baba😂😂😂😂
Dah😃
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kama umamkubali huyu jamaa gonga like
Kama umeomba jamaa akilamba pipi kama toto gonga like apa
toka pepo ushindwe alafu wanakimbia wao walokole bhaan😂😂😂 ivi kunapepo anaendesha bajaji😀😀😀😹😹😹😂😂😂
Ooooh this is wonderful mungu sio w pole pole dah😂💪
kakakakakakkkkkkkkkkkkkk.........ahhhhhkakakakakkkkkkkkkkk....ah! mbavu zangu mie.Mungu kaumba kwa kweli.
Nmecheka sana sana 💞💞💟💟💟
Umenifurahisha sana
Da hicho kisa cha hao wadada kukimbia kimenichekesha
Sanaaaaa hata mimi🤣🤣🤣🤣nimecheeekaaqa
Mnatufulahisha huku jameni😂🤣🇧🇮🇧🇮
Huyu jamaa atakuwa maarufu gonga like kama unaamin🤣
Niko hapa mkenye , where is my likes. Young man you have a good talent, I like your voice. Nime cheka yangu yote.
This man is so talented
Aki kama unaona huyu mtu anaenda kupota pesa tu kwa sauti yake,mnipe 2 likes..I will be happy 😂
Baba baraka mume wangu hUna nitia Aibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila una nifurahi sana sana sweetheart 🤣🤣🤣ushakuwa star.. mume 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha kumbe wewe ndiyo Mama Baraka
@@donardmsomi8451Maisha ya bongo
mbna wew sio christina
😳😳😳😳
Kweli bonge la kipaji,apewe vipindi maalum ktk Tv na Radio apige pesa kama akina Joti,mpoki na Masanja
Mungu akuponye cjui nini tatizo yesu wangu
Just enjoying this great talent. Watching from 🇰🇪
Dah! Hatar c mtagazaji c muojiwa wote mna vpaji kwakweli mtagazaji sauti ka milad ayo kabisa muhojiwa sauti ka ya mtoto kbs. Talent ka his huwezi pata sehem yyote tofauti na Tanzania
MWENYEZI MUNGU AZID KUKUJALIA UTATOKA TU🤲🤲🤲
Sarah nilidhani ni real voice yake kumbe ana kipaji mungu akuzidishie undelee kungaa
Nimekupend bure kk ila ongera san kwa kipaji chako 😂😂
Leo nalenale 😂😂😂 Haki nimejua kucheka. Hongera kwa kipaji chako baba baraka
Uko sawa brother mungu akupe kila la kheri katika maisha yako
Hii ni talent kubwa sana kwenye sanaa ya "Dabi" (kunakilisha sauti kwenye movie) wanahitajika sana atafika mbali sana #Azamtv #DSTV #StarTimes na kwenye animation films wanahitaji sana watu wa haina hii maana ni ngumu sana watoto wenye vipaji vya kuzungumza kwa usahihi kwenye unakilishi sauti.
Ernest ndemee
Bro pia mi Nina sauti nying Ila ya mtt siko vizuri Ila ya mdada ya mbibi mbabu mkaka na za makabila baadhi ya hapa tz na kenya
@@callmangumbo1552 ni kitu kizuri fanyia mazoezi tafuta fursa kwenye kampuni za filamu huwezi jua ndio ikawa nafasi yako ya kuonyesha kipaji chako
@@dhulhijjabilali143 sijakuelewa mkuu
@@Tino_Official_tz jina lako linafanana na Jamaangu mmoja hivi mpaKa ubini nilijua niyeye...anaitwa Ernest augustine Ndemee
Wooow kipaji mashallah maboork 🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Jamaaa nomaaa sana Mzee nilikuwa Na stress lakin zimekata kumsikia huyu jamaaa aiseee. Ayo ww nomaaa kwa kusaka habari
Mmmmh,hareee,
Duh! Umeniacha hoi aisee
Amenivunja mbavu jamani huyu jamaa
ety wadada wakasema humu ndani kuna pepo
wakakimbia alikosa hela😄😄😄😄😄much respect broh...
🤣🤣🤣😂yani leo nimecheka khaaa huyu baba simchoki kwakweli maana nilishaangalia global na leo tena naichek ayo yuko vizuri hiyo story ya madada😂😂
Kwakweli atamm nimecheka hatari😂😂
Nimecheka kwa nguvu wallah
@@maryamjuma7691 Acha tu unishindi mm mefurahi vibay
Jamani ndugu Waislamu, hayo hayawasaidii kitu, hisipokuwa kupoteza mda tu Dunia kisha kwenda kujutia huko Akhera. Tuswali swala 5 tumtukuze Allah Asubuhi na jioni na kuswali Nabii Muhammad s.a.w) na kusoma Sana Qur,an. Kosa siyo letu, la wazazi wetu. Hawakutulea kwenye misingi sahihi ya Dini. So! Tuzinduke wenyewe tumrejee Allah.
@@khalifankishki3440 lnshallha pia shukurani kwa ukumbusho lakini hii nayo ni moja ya kufurahi tu afanyi kitu kibaya huyu kwaiyo akuna shida maana siyo jambo baya ndomana naww ukaja kuangalia
WAKENYA wangapi humu😂😂
Duh bongo siami
😄😄😄😄😆😆mi nikakosa hela nimecheka sana hiyo part 😂😂😂2023
😂😂😂😂 mungu walai hii n nomareeee😂😂kenya twakupenda sana tunakuitaji kenye kw churchill show
Ohooo! Noma sana
Mbavu zangu mie🤣😅😅😅🤣🤣🤣🤣
Jamaniiiii kaka utafanikisha tu.. Umeshaanza kuwa star.. Hata matangazo Utapewa upige pesa
Aisee co kwa kipaj hcho hongera sanaa
Sichoki kuingalia brother ametisha mungu awe nawe daima
Duuh Kweri Ww Mponda Unatafuta pesa Kwa Jasholako Kama Arivyo Tuagiza Mungu lnsha Allah ipo Cku Utajaariwa Insha Allah
😂😂😂🤣🤣Mbavu zangu mie,, kenya❤️❤️💕
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Love you
Duuuuh aisee nimecheka mpaka machazi
Pamoja nawe dada toka Kenya hapa😹😹😹😹❤️❤️❤️
@@njeriblackkenya 😂😂😂 mitheko tuuuu