Ninakuwa na furaha Tele na shauku ya Kujifunza kwa bidii kupitia Masomo Yako Ewe Pastor George Mukabwa Mpakwa mafuta wa BWANA usiye na makuu Wala mbwembe. Hakika umeitwa kututoa shimoni ktk Jina la Yesu. Uzidishiwe Kila unaposimama kufundisha. Amen. Tutembelee uku Mbeya japo semina ya week Moja.
Mwenye ameelewa zaidi kutimiza kusudi la Mungu aje Sasa, Tena uchochee kimaombi au Kwa kutenda mema au, yeyote wa rohoni anisaidie,naamini hapa hatulingani kirohoni,tuko katika viwango tofauti
Baba nashukuru sana nimejifuza kutafakari kuvunja sauti ninazosikia zikikaa zinanisumbua kwa kupitia neo barikiwa sana .nakufuatilia sana kutoka South africa
Ninakuwa na furaha Tele na shauku ya Kujifunza kwa bidii kupitia Masomo Yako Ewe Pastor George Mukabwa Mpakwa mafuta wa BWANA usiye na makuu Wala mbwembe. Hakika umeitwa kututoa shimoni ktk Jina la Yesu. Uzidishiwe Kila unaposimama kufundisha. Amen. Tutembelee uku Mbeya japo semina ya week Moja.
Mchungaji MUNGU Aliye hai Akubariki Sana, Tunaomba Mawasiliano yako.pastor
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kweli ya mungu. ..wooow❤❤❤❤❤oye Niederoesterreich
Mungu akubariki Pastor wewe na familia yako 🙏
Nabarikiwa Sana nakufuatilia na ninaandika mafundisho ulipewa na BWANA
Amina Pastor masomo yako uyanatufungua tulipofungwa na adui🙏🙏
Pastor nakupenda Sana ,umenitia nguvu Sana ,jumbe zako ni Mungu mwenyewe
Past mungu akubariki san
Asante mtumishi kwà mafundisho haya yenye upako barikiwa
Mungu akubariki mutumishi minakufata pâle Congo mimesaidiwa saana,n'a mafundisho aya🙏🙏
Asante Pastor kwa somo hili! Neema ya kutendea kazi somo hili napokea
Amen amen
Nimejifunza sana ujumb wakusikiliza kila siku❤
Mungu azidi kukuinua pasta
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu tunajivunia mafundisho yako❤❤❤
Mtumishi wa Mungu aendelee kukuinua zaidi ili na sisi tuinuke! Mungu akutunze pastor.
BWANA aendelee kukuinua Pastor,mafundisho yako yananibariki sana sana.AMINA
God bless you mtu wa Mungu
Pastor ahsante sana kwa haya mafundisho Kuna namna ambavyo Mungu anakutumia kusema nasisi kupitia neno ubarikiwe sana 👏👏
Amina, Pst George, Sir
Umefanyika Baraka Mno kwenye MAISHA Yangu.
Ameen
Amen ubarikiwe Babaetu Mungu akutunze sana tuendelee kubarikiwa
nashukuru Sana mtumishi Wa Mungu umenitoa mbali Na mafundisho yako....barikiwa zaidi
Man of God,god bless you.
Je remercie Dieu de t'avoir connue
Pastor Ubarikiwe San sana...
Amen
Amen🙏🙏🙏🙏🙏
Pastor nimekufahamu kwa wakati mzurii nakushukuru mno
Amen 🙏 Amen 🙏 Amen ❤❤❤
Blessed🙏
Pastor nafatilia madundisho yako nayananibariki sana,may God bless you.
Amen and Amen
Amen and Amen 🙏
Amen
Ninapofunga ile roho inayonisumbua inakufa yenyewe🙏🙏
Bila ya kuomba, Kwa kufunga tuz help me dear,
Mungu akulinde AFYA yako uendelee kutusaidia
Amen Amen Father
Good messages Father God bless you!!🙏🙏
Asante Baba kwaujumbe Muzuri 🙏
Umenitia moyo pastor
Asante pastor kwa mafundixho mazur
Haleluya
Mungu akubariki Baba
Oona Mungu anavyo sema nami
Bwana Yesu apewe sifa milele yote
Ubarikiwe sana
AMEN
Ninajengeka kiimani sana kipitia mafundisho yako Pastor
napokea nguvu ya kiroho Kwa Jina la yesu...
Napokea nikiwa Mombasa K🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ameen,
Huyu ni Mtumishi WA kweli
Bwana asifiwe ,,nitashoshea aje hizo nguvu
Mwenye ameelewa zaidi kutimiza kusudi la Mungu aje Sasa, Tena uchochee kimaombi au Kwa kutenda mema au, yeyote wa rohoni anisaidie,naamini hapa hatulingani kirohoni,tuko katika viwango tofauti
Ameeeen 🙏
Ameeeeeeen
Ubarikiwe
Pastor, hakika umetumwa kutufungua AKILI zilizofungwa najitahidi Sana kuyatendea kazi
Baba nashukuru sana nimejifuza kutafakari kuvunja sauti ninazosikia zikikaa zinanisumbua kwa kupitia neo barikiwa sana .nakufuatilia sana kutoka South africa
Mi pia naeikiaga sauti, hata sizielewangi aki .naona taabu kwangu, ujui ni shetani ujui ni roho wa Mungu
Amina baba
Baba yangu MUNGU akubaliki Sana
Nimekuelewa
Amen 🙏
Amen, very inspiring.
Amen Amen
Baba 😂😂😂😂😂umejua kunifurahisha
Nabalikiwa Sana na nimefurahi
Kanisa lipo wapi
Masomo Yako yananifanya niwe mtu mahaluma Yana nifunguwa minyororo ya shetani
Baba m nasema tuu ninaneema kubwa kukupata huku utube nimepona kupitia wewe huku huku jina la Bwana lihimidiwe
Haya nimafunuo ya ajabuu mno
Pastor nisaidie,nifanye nini Ili nitimize kusudi la Mungu lililoko ndani yangu?,najiona Rohoni Mimi ninani,lakini mwilini hamna!!!!!!
😂😂😂
Amina masihi wa BWANA.
Nasogea kiroho kupia hii
Amina mtumishi Bwana Yesu akupe nguvu zaidi ya kutumika kwa kizazi hiki
Amina Baba
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Pastar nimekuelewa adi roo yangu imesonga atua nyingi ne ubarkiwe kapisa Amina amen 🙏🙏🙏🙏
Amen