JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU KATIKA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 13-10-2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
    For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
    #jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa

КОМЕНТАРІ • 196

  • @teclabudodi1970
    @teclabudodi1970 Рік тому +41

    Nimevuka kiuchumi kwaajili ya mafundisho yako ubarikiwe Sana pastor

  • @judysondara7654
    @judysondara7654 Місяць тому +5

    Natangaza damu ya yesu ifute kila kifungo kilio wekwa juu yangu katk Jina la Yesu. Na yoyote anayepitia mafundisho haya damu ya yesu na inene mema kwa kila mmoja

  • @annnjeri864
    @annnjeri864 Рік тому +10

    Nitangaza Damu ya yesu iniwakilishe katika maisha yangu Damu ya Yesu initetee panapo mashitaka yote yanayo ongea kinyume na maisha yangu katika ulimwengu wa rohoni🙏🙏🙏

  • @Grace-ts2rf
    @Grace-ts2rf 5 місяців тому +2

    He always say, nitakupa andiko...i like this, Amen,

  • @upendokikwelele620
    @upendokikwelele620 Рік тому +3

    Amen !Mchungaji
    Hakika nimekuelewa juu ya Somo lisemalo "JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU KATIKA MAOMBI"
    Ninaomba DAMU ya YESU KRISTO iniondolee magonjwa yangu yote na iniondolee mikosi ,Lana,nguvu za shetani,kafara na sadaka zote za kishetani zilizotolewa juu yangu ziteketee Kwa DAMU YA YESU KRISTO

  • @2010Tadeo
    @2010Tadeo Рік тому +8

    Huyu baba mchungaji ananibariki sana. Mafundisho yake yanajenga sana, Mwanza wana bahati. Mungu na ambariki sana kwa kutumika.

    • @monicakijazi6351
      @monicakijazi6351 Рік тому

      Mungu Baba nisaidie kuelewaasomonya Mtumishi wako

    • @gracehose8840
      @gracehose8840 Рік тому

      Nimebarikiwa sana na somo Hili mtumishi Mungu akuinue zaidi nazaidi Amina

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 Рік тому

      Mwanza yupo sehemu gani?

  • @YvonneKhalui
    @YvonneKhalui Місяць тому

    Maisha yangu kwanzia Leo yamo ndani ya kristo,nakataa roho na madabahu ya uko in the name of Jesus

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 4 місяці тому +2

    Damu yaYesu irudishe uhai kwenye kazi yangu AMEN

  • @VeredianaKalembi-gs4vs
    @VeredianaKalembi-gs4vs Місяць тому

    MUNGU akubariki sana mtumishi mafunzo Yako yananitia moyo sana na kunipa nguvu ya kusonga mbele zaidi kwa NGUVU mpya

  • @user-ss8mn8wu5r
    @user-ss8mn8wu5r 5 місяців тому +3

    Barikiwa sana baba kweli unanibariki na mahubiri yako

  • @ashajuma6083
    @ashajuma6083 Місяць тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
    Nimejifunza sana siku ya kwanza kusikiliza soma la nguvu ya maombi ya usiku wa manane Hadi leo sijaacha amen sana baba. Najifunza sana inuliwa ktk jina la baba yesu christo

  • @margrethemanuel7501
    @margrethemanuel7501 2 місяці тому +1

    Siwezi kumwelezea huyu pastor vile amenivusha na Damu ya Yesu

  • @meleamatonya697
    @meleamatonya697 Рік тому +8

    Mungu akubariki Sana baba masomo yako yanaendelea kunivusha hatua kwa hatua

  • @hassanbukambu931
    @hassanbukambu931 Рік тому +4

    Amen nilikuwa najua kiasi sasahivi najua Kwa kiwango kikubwa Sasa naitumiaga TU Damu ya Yesu Kristo ila Sasa naitumia vizuri zaidi

  • @lucywangui1932
    @lucywangui1932 6 місяців тому +2

    Ooh yes I have an advocate who is Jesus Christ

  • @finessarone5559
    @finessarone5559 Місяць тому

    Ubarikiwe sana baba unamasomo mazuri yananifanya nipande viwango vingine kiimani

  • @user-vt4wj1fr2c
    @user-vt4wj1fr2c 3 місяці тому +1

    Pastor Mungu anakutumia kwa kiwango kikubwa sana,haya mafundisho ndio MAARIFA ambayo tukiwa nayo hatutaangamia.

  • @annamariamlolwa5409
    @annamariamlolwa5409 Рік тому +3

    Hakika damu inawakilisha na niliiona kwkweli🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 Місяць тому

    Kwa hakika umefungua maisha yangu 😢😢😢😢😢 nimejua ni nn kizuizi cha mema yangu! Maisha yangu yamefunguka haki damu ya Yesu kristo imefungua njia zangu

  • @user-dz4he8su4e
    @user-dz4he8su4e 4 місяці тому +1

    Amen Amen 🙌🏿🙌🏿 barikiwa sana Pastor nmesuumbuka sana na magonjwa kichwa meno maskio na Magoti na nmefundishika jinsi ya kutumia Damu ya YESU Asante Bwana Yesu

  • @user-nm2jz9ww4q
    @user-nm2jz9ww4q 2 місяці тому +1

    Nimechuguru.sana.mungu.akubariki.sana.nimetaka.mungu.anifanye.kama.wewe.ufunuo
    Waneno.naekima..salamu.sana.apa.congo.lumbu.mbashi

  • @TomasKakami
    @TomasKakami Місяць тому

    Paster sina mengi yakusema bt mungu anakutumia kwa viwango vya juu maisha yangu imebadilika kabisa nimekuwa kiumbe kipya

  • @user-qe3jx6ci3h
    @user-qe3jx6ci3h 3 місяці тому +1

    Kweli napenda kukusikiliza mtumishi wa Mungu ,yesu akubariki sana 2:11

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 Місяць тому

    Ahsante Yesu kwakunipa damu mpya kutoka kwako Yesu

  • @ekaleregae4765
    @ekaleregae4765 4 місяці тому +2

    Damu ya Yesu nirudishie biashara yangu

  • @julianasuleman219
    @julianasuleman219 4 місяці тому +1

    Amen. Damu ya Yesu initetee wachawi wanaoninyemelea washindwe

  • @braxiviliannafula9151
    @braxiviliannafula9151 6 місяців тому +2

    Amen Amen Mungu akubariki sana mchungaji kwa mafunzo mazuri acha damu ya Yesu ituteeee na kutulinda katika maisha yetu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @ekaleregae4765
    @ekaleregae4765 4 місяці тому +2

    Damu ya yesu niteteee katika maisha yangu na Familia yangu

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w 2 місяці тому

    Amen Utukufu Kwa YESU KRISTO

  • @Naomie.kerubo
    @Naomie.kerubo 7 місяців тому +2

    More blessings man of God I have learnt alot since I started listening to this preachings🙏🙏🙏🙏

  • @lovenessdastan5943
    @lovenessdastan5943 8 місяців тому +1

    mungu akubariki baba kwa kuponya mioyo yetu

  • @CatherineMakokha-dg6ws
    @CatherineMakokha-dg6ws 6 місяців тому +1

    I'm really get blessed in spiritual teaching, more blessings man of God, hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏

  • @user-ed2jz5ym9u
    @user-ed2jz5ym9u 4 місяці тому +2

    Asante ulidwe namungu siku żółte za maisha yako

  • @neemamakando1250
    @neemamakando1250 Рік тому +3

    Hakika nina mbariki sana Mungu kwaajili yako Pastor George.Wewe ni mwalimu haswaa.Yaani najifunza mnoo.Sifa na utukufu kwa Mungu juu

    • @marymassawe8655
      @marymassawe8655 Рік тому +1

      Bwana yesu asifiwe mchungaji.mchungaji ninaombi. Naomba kwenye mafundisho yako utoe Flash ili na wasio na simu wapate mafundisho yako mazuri sana yanatubariki sanasana. Tupate na huku mikoani watu wazidi kumjua huyu mungu na kumuishi.UBARIKIWE SANA MCHUNGUJI.UTUNZE NA MUNGU.

  • @reenyaysher7639
    @reenyaysher7639 Рік тому +5

    Am in Dar, i have never been in your church but am very blessed through your chanel🙏
    Mafundisho mazuri mno

  • @brownmwailunda1436
    @brownmwailunda1436 3 місяці тому +1

    Damu ya Yesu inilete Arusha mapema iwezekana vyo nije nisalimiane na wewe MTUMISHI WA MUNGU kama ulivyosema KWAMBA nitakuja nikusalimie unajisikia Sauti inaongea masikioni mwako, nakuja Mwezi huu wa NNE wewe ndiye utaniombea nianze KUMTUMIKIA Mungu Mimi ni Mtu wa Agano shetani Anapambana ili nusimtumikie Mungu na Mimi ni Mtu wa Agano, HATA Baba Yangu niliyetoka kwenye VINENA VYAKE ALIKUWA ni Mtumishi wa Mungu, Mimi kwa Majina naitwa Brown Asalile Mwailunda

  • @user-db5nx3uc7d
    @user-db5nx3uc7d 2 місяці тому

    Amina barikiwa mtumiishi

  • @IssaKoloba
    @IssaKoloba 22 дні тому

    Kweli,mwanza wanafaidi sana wakibaki hvyhvyo wametaka wenyeweee!

  • @jacklinewahome2416
    @jacklinewahome2416 8 місяців тому +1

    We glorify the name of the Lord, There's true gospel preachers.

  • @elizanyarusi6154
    @elizanyarusi6154 7 місяців тому +1

    Amen sana Mtumishi wa Mungu, Mungu awe nawe siku zote za maisha yako azidi kukutumia sana nakutakia maisha mema yenye baraka tele daima dumu.

  • @user-vx4ie9bs8j
    @user-vx4ie9bs8j 2 місяці тому

    MUNGU akubariki pastor

  • @mauricekipchemboi9656
    @mauricekipchemboi9656 Рік тому +3

    waa you are my favorite teacher
    Live long pastor
    get more revelations

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 Рік тому +1

    Amen umenitia Nguvu ya kuomba sana ,, MUNGU akubariki ,,wengine tumefungwa na Damu ya uko ,,so nilazima Damu ya YESU iniokie

  • @TomasKakami
    @TomasKakami Місяць тому

    Mtumishi kweli ni mungu anakutumia

  • @peterkaji7552
    @peterkaji7552 6 місяців тому

    Asante sana Mchungaji, kwa kunijulisha na kunifanya nimjue Yesu na thamani ya Damu ya Yesu ilivyo na nguvu ya ukombozi hata kwa maisha yangu ya kila siku.
    Barikiwa mtumishi na endelea kumtangaza Kristo na nguvu zake na pia kuibomoa kambi ya adui, Asante sana.

  • @user-uj1nm5rh1q
    @user-uj1nm5rh1q 4 місяці тому +2

    Amen mtumishi najifunza

  • @benyoshumu3483
    @benyoshumu3483 7 місяців тому +1

    Pastor be bless and more grace , ur teaching has tanch my heart

  • @elizabethisack1158
    @elizabethisack1158 2 місяці тому

    Ninaamuru DAMU YA YESU iniondolee magonjwa yote, na iponye uchumi wangu.

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 Місяць тому

    Damu ya Yesu kristo imenifungua kabisa ! Ahsante mtumishi wa Mungu

  • @nancykagwima9516
    @nancykagwima9516 5 місяців тому +1

    Amen pastor huwa nabarikiwa sana wakati unahubiri
    21:02

  • @everlyneimili
    @everlyneimili Рік тому +3

    thank you man of God am blessed with your teachings

  • @Grace-ts2rf
    @Grace-ts2rf 3 місяці тому

    Nyinshi watu mumebahatika sana kusikiya hili neno la msalaba na damu ya Yesu Kristo. Hii ina nguvu sana, ni ya kweli kabisa inatoka patakatifu pa patakatifu, absolute truth without any shadow of doubt,

  • @lilianmwamdanga9726
    @lilianmwamdanga9726 6 місяців тому +2

    Bless you man of God!!

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 4 місяці тому +1

    Damu ya Yesu iniwakilishe

  • @JanethJaneth-dy6kr
    @JanethJaneth-dy6kr 2 місяці тому

    Daaah huyu mtumishi ni wa kipekee sana tofauti na wale wa pokea magari wakt hata mia sina, ubarikiwe sana mtumishi Mungu akulinde milele

  • @winfridamahali6349
    @winfridamahali6349 Рік тому +3

    Amen. Naendelea kubarikiwa sana. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @Grace-ts2rf
    @Grace-ts2rf 5 місяців тому

    This man preaches the word of God not his own words. He always read a verse (s). Be blessed man of God,

  • @janethyangi9986
    @janethyangi9986 4 місяці тому +1

    Nimeteseka sana kwa muda mrefu lkn Leo nimesikiliza neno la kusimamia damu ya Yesu nimefunguliwa,nimepona.

  • @user-fp4zy2st5p
    @user-fp4zy2st5p 11 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana Baba

  • @user-xy8pv6pp8b
    @user-xy8pv6pp8b 3 місяці тому

    Asante Sana pastor umefungua akili yangu

  • @teresaarama8452
    @teresaarama8452 Рік тому +2

    May God bless you too much for your teachings ❤❤❤❤

  • @neemajeremiah9401
    @neemajeremiah9401 Місяць тому

    Amen Amen🙏

  • @elizabethisack1158
    @elizabethisack1158 2 місяці тому

    YESU NAOMBA DAMU YA YAKO INITETEE

  • @juhudijotham888
    @juhudijotham888 Рік тому +2

    Mungu akubariki sana Mtumishi,hakika ninabarikiwa sana na mafundisho yako.

  • @elizabethisack1158
    @elizabethisack1158 2 місяці тому

    Naomba DAMU ya YESU inikonecti na MUNGU

  • @zakwetustudios
    @zakwetustudios 2 місяці тому

    Amen 🙏 Amen 🙏

  • @JidithaJustine
    @JidithaJustine 3 місяці тому

    Nabarikiwa sana

  • @christinechambuni9060
    @christinechambuni9060 5 місяців тому +1

    Munguakubariki sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa

  • @joyceonzere6206
    @joyceonzere6206 Рік тому +1

    Hakika nabarikiwa sana kwa mafundisho yako mchungaji n Joyce kutoka Kenya

  • @SelinaSelege
    @SelinaSelege 17 годин тому

    mchungaji unamafundisho mazuri

  • @user-rn7ui4pp9f
    @user-rn7ui4pp9f 2 місяці тому

    Amen 🙏 nashukuru pastor kwa mafundizo, damu ya yesu itirike maishani mwangu

  • @rebeccamuhonja-xo7xf
    @rebeccamuhonja-xo7xf Рік тому +2

    This teachings have moved me to another level thank you pastor be blessed

  • @gracedouglas6009
    @gracedouglas6009 6 місяців тому

    Asante Bwana Yesu mtakatifu kwa neno lako uendelee kunena NAMI na kuniongoza

  • @user-ee1rq2fv4t
    @user-ee1rq2fv4t 4 місяці тому +1

    Yesu akulinde mtumishi

  • @monicanyangwe4102
    @monicanyangwe4102 Рік тому

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi ninaomba kama naweza kupata vitabu vya masomo uliyofundisha barikiwa

  • @rosekeruboonchiri2789
    @rosekeruboonchiri2789 4 місяці тому

    Am blessed 🙌

  • @user-ov8xp3zq9u
    @user-ov8xp3zq9u 5 місяців тому

    Damu ya Yesu kwa maisha yangu na watoto wangu wote

  • @user-xd8mb1gd6f
    @user-xd8mb1gd6f Місяць тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @user-ji4gk6cb5u
    @user-ji4gk6cb5u 9 місяців тому +1

    Amen

  • @JacklineAkinyi-kg8zb
    @JacklineAkinyi-kg8zb 6 місяців тому

    I love the way God is using you to help us and enlighten us about God be blessed pastor always

  • @leahpeneti7599
    @leahpeneti7599 2 місяці тому

    Amen 🙏

  • @levinajackson2773
    @levinajackson2773 Рік тому +1

    Amen! Amen! Ameeeeeeeeeen! Asante sana mtumishi wa Mungu nimevuka Kwa damu ya Yesu ya thamani

  • @user-xo4vl5ry8k
    @user-xo4vl5ry8k 6 місяців тому

    Mungu akuongoze na kukubariki, mtumikie thawabu yako utaikuta mbinguni.

  • @euniceshayo5873
    @euniceshayo5873 8 місяців тому

    Mungu Akubariki pastor George umenifanya namfurahia Yesu .

  • @mercymsanzu6944
    @mercymsanzu6944 Рік тому +1

    Amen hii neno niyangu ak😭😭😭 ubarikiwe sana

  • @ndinahkibona2546
    @ndinahkibona2546 9 місяців тому

    Mungu akubariki sana Mch.kwa fundisho hili hakika ni Mungu amekutuma kwangu.

  • @MAG-yb5ez
    @MAG-yb5ez 7 місяців тому

    Barikiwa sana Mtumishi nimepokea kitu kikubwa sana.japo napitia maisha magumu madhabahu za giza zinanitesa sana

  • @user-qk7zi9cw6w
    @user-qk7zi9cw6w 9 місяців тому

    Mungu akubariki sana mtumshi wangu kwa mafundisho mazuri yaani nilikufa kiroho lakin now nimefunguka.

  • @user-ed2jz5ym9u
    @user-ed2jz5ym9u 5 місяців тому

    Ubarikiwe ninayo mengi takupataje ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @maryamevarista9473
    @maryamevarista9473 11 місяців тому

    Kati ya mapastor wanahubiri neno ukalielewa nakufunguliwa nihuyu na mwakasege mungu awabariki sana

  • @christinaenock6988
    @christinaenock6988 6 місяців тому

    Amina mchungaji ubarikiwe kwa SoMo la kutumia damu ya Yesu.

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 5 місяців тому

    Mtumishi wa Mungu Ubarikiwe Sana Kwa somo hili

  • @edinahmasea1603
    @edinahmasea1603 Рік тому

    Asante sana pastor umeninenea kweli asante Yesu naitisha hii damu itutetee. Amen Amen ❤

  • @annambwilo5101
    @annambwilo5101 10 місяців тому

    Asante mtumishi Nimefanyika huru kwa mafundisho yako.

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 Рік тому

    Ubarikiwe mwalimu sana neema ya kufundisha uko nayo kweli

  • @LawrenceLeoMalawa
    @LawrenceLeoMalawa 5 місяців тому

    Asante kwa neno lako la kutumia damu ya Yesu kutuponya.

  • @user-nd3hy7ot4w
    @user-nd3hy7ot4w Рік тому

    Ameni pastor mafundisho yako yamenivusha mbali kiimani mungu akubariki mno

  • @JemmiahWamboi
    @JemmiahWamboi 4 місяці тому

    Mungu akubariki mutumishi

  • @ziporadaffa7988
    @ziporadaffa7988 6 місяців тому

    Ninàvuka kwa jina la Yssu asante kwa mafundisho

  • @elizabethurovick3887
    @elizabethurovick3887 Рік тому +4

    Am so blessed with this sermon,God bless you Pastor.