JINSI YA KUFUNGA MILANGO YA NGUVU ZA GIZA || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 21/07/2022
Вставка
- Опубліковано 20 лип 2022
- Pastor George Mukabwa Jesus Restoration Centre, Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa #5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz - Розваги
❤❤❤❤❤❤❤❤Ooh My Goodness True True True my Prophet George Mkabwa❤❤❤❤❤❤❤❤❤waaah waah way kweli ni ukweli mno mtupu
Amen and amen, let's praise be to God hallelujah hallelujah, very powerful teaching in spiritual life pastor receive more wisdom from God 🙏🙏
Oooh my saviour ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢 Niederösterreich mnande vipi my goodness weeeh
Umenifunza sanaa mchungaji
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ooooh ❤❤❤❤❤❤❤❤wooow
Sante sana Mtumishi wa Mungu God bless you 🙏🙏🙏
Nabarikwa na mafundisho
You are very bright ❤❤
Bwana Yesu Azidi kukuinua zaidi katk nyakati hizi zamwisho wengi waokolewe kupitia wewe Nashukuru Mahubiri Yako yameinua kiwango changu zaidi kiroho
Amen amen mchungaji,ili ndilo fungu nimekua natafuta sana ...asante mchungaji kwa mafunzo yako
Ivi pastor unajua ww ndo ulinifanya nakajua kumtafuta Mungu wa kweli umenitoa mbali sana ata imani ikishuka kidogo nikiingia qwa mahubiri zako najazwa na iman nataman ungekua karibu pastor ili nizidi kukaa ndani ya utakatifu wa Mungu naitaji Roho mtakatifu sana kupitia qwako ubarikiwe na Mungu zaidi
Paster najifunza mengi ,namshukuru Mungu kwa ajjli yako
Hakika Mungu ni mwema naona Mungu akinibadilisha in Jesus name
Nabarikiwa Sana na masomo anayofundisha mch George.Mungu akutunze.uendelee kutufunulia Siri za ufalme wa Mungu.
Mtumichi mungu Aitunze huduma hii maana tunafunguriwa kupitia mafundicho haya
Asante Babachungaji, Mungu azisi kukupa busara
Ahsante sana mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana
Ubarikiwe mtumishi bwana akutunze
Ubarikiwe mtumishi ila rekebisha yesu alifufuka jma tatu umekosea ila mengine uko vzur sana amekufa ijumaa mandalio ya sabato akafufuka ski ya kwanza ya juma jma pili
Amennnnn. Ubarikiwe sana pasta
May the lord uplift u day and night poster
Kwn kuomba kwa lugha unajazwa ama unajifunza Mtumishi mm hili swali linanisumbua sana ki Imani kweli nisaidie Mtumishi
Amen mtumishi wa Bwana
Ameen and Ameen Our God is powerful
Barikiwa mtumishi wa Mungu
❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪
Barikiwa Mchungaji
Mungu akuntunze pasta
Yesu akubariki sana
Mungu nisadie
Nimebarikiwa
Ameen
praise the lord
Godbless you ila tusaidienj kwenye sauti kuna point iko low n then kuna point IPO high
Amen 🙌🙏❤
Amen
Umezidi kunijenga kiroho hakika mungu akupe Maisha marefu roho za watu ziokolewe kwa kuijua kweli
MUNGU anitetee
Muso yako nayapenda sana
Mafundisho yako yananibariki
Na penda mafundisho ya ko
Amen pst
Kiukweli MUNGU amtunze huyu mtu
Amen
Ameen