Amen amen mungu ni mwema na atanibadilisha mawazo ili imani yangu inufunuliwe mema ....ubarikiwe kwa mafudisho na kutuelimisha na kututowa kwenye vifungo ...ubarikiwe na ulipotowa mungu akujazie in jesus name🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen tunazidi kumuomba mungu azidi kutufunika na damu yake ili tuweze kutenda yaliyomemsa na mkuu mbele zake yeye stutiaye nguvu na kutujalia kila iitwapo leo amen
Thank you and Thank you servant and Teacher of the Word of God.I"m always blessed with your teachings and I have put them in practice.May God Extend your Territories.God Bless. Grace Floncy from Nairobi, Kenya.
Imani mambo inayoweza kufanya 1. Kushindwa kuwa ushindi 2. Imani inazima mishale ya uovu 3. Udhaifu kuwa Nguvu 4. Mungu kuingilia kati kwenye mambo yako . Faith = Obeys
Amen amen mungu ni mwema na atanibadilisha mawazo ili imani yangu inufunuliwe mema ....ubarikiwe kwa mafudisho na kutuelimisha na kututowa kwenye vifungo ...ubarikiwe na ulipotowa mungu akujazie in jesus name🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
bwana naomba reema nzako
Aksante Baba aksante Kwa Somo hili linanijenga ubarikiwe
Amen ubalikiwe sanaa mtumishe , mwenyezi MUNGU awe pamoja nawe
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na wote mliofanikisha ujumbe huu❤
Ameni mtumishi namwamin mungu wangu mpk mwisho🙏🙏🙏🙏🙏
Imani ni sarafu ya Mbinguni
Faith is the Heaven currency
🙏🏽🔥
Ameen ubarikiwe mtumishi hakika mahubiri yako yananibariki yananiinua uzidi kubarikiwa mtumishi🙏
Mm sisikilizagi mahubiri ila mahubiri yake Yana sakolojia ndani yake MUNGU ambariki sanaa maana ataponya wengine kwenye Hili somo la imani
Ameen mtumishi umetufundisha SIRI YA IMANI❤
Thank you lord for the gift of faith
Amen tumejifunza upya mungu atuwezeshe tumwamini baba mungu wetu
Ameni baba namuomba Mungu aniongezee imani niongezee imani Mungu wangu
Asante kwa mafundisho mungu akubariki na azidi kukupea nguvu na uzidi kutufundisha
Highly Blessed Mtumishi wa Bwana
Niko hapa leo yesu date30/11/2024 nashukur kwa neno lako la imani nisaidie yesu ili imani yangu ikue na kuongezeka zaidi🇰🇪🇰🇪
Mtumishi barikiw sana.
Mungu wambinguni akuinue sana mtumishi
Barikiwa mtumishi!!
MUNGU akubariki mutumishi wa MUNGU , akujaze mafuta ya roho mtakatifu
Nitamwamini Mungu wangu mpaka mwisho
Amina Amina Amina Amina Amina aky uhubiri wako 👉 naipenda a'm total blessed 🙏 with your prayers pastor like you 🙌🙌🙌
🎉🎉🎉
Ubarikiwe sana
God bless you
Kuptia mafundisho yako mtumishi nimebarikiwa na nimeuwishwa kiroho
Amen🙏🙏🙏...unabarikj pastor.God bless you
ASANTE KWA MAFUNDISHO JU YA IMANI MUNGU AKUBARIKI
Amina mchungaji unatuponya kiroho hakika umeniokoa barikiwa sana na zidi kitukumbushe katika mungu
Mungu ni mungu tu
Faith change my life totally when i knew about it, life is spiritual my people 🙏🙏
Mungu akubariki saaana mtumishi.
Amen Amen Amen Utukufu Kwa YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai
sjawahi ona ufanananuzi mzuri kuhusu imani kama kwako pastor
Mungu nisaidie ivi unaweza kutengeneza imani peke yako bila msaada wa Mungu
Amen Amen ❤❤🙏
Ameeen 🙏🙏
Asante kwa mafundisho
Mungu akubaliki sana🙏🙏🙏
Mungu ningezee Imani
Amen baba
Amina pastor nabarikiwa Sana na mafundisho yako
Jambo pastor
Mutuombeye tupewe Imani kamilifu Imani isiyo namashaka
Amen amen mtumishi maana unaokoa wengi nkiwa mmoja wapo mungu akuzidishiye 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen tunazidi kumuomba mungu azidi kutufunika na damu yake ili tuweze kutenda yaliyomemsa na mkuu mbele zake yeye stutiaye nguvu na kutujalia kila iitwapo leo amen
Amen amen uzidishiwe mengine
Aminaaa ubarikiwe kwa mafundisho mazuri sana najiskia amani sana na kufunguliwa kwa mafundisho yako
Hakika imani ndiyo itakayo niokoa .ubarikiwe sana mtumishi.
Ameen mtumishi wa Mungu barikiwa
Amen Amen Bwana akubariki pastor 🙏🙏
Ubarikiwe mutumishi kwa kunifundisha saidi namuna ya kuomba
Amen pastor hili neno ni langu, God bless you
"Katika kuomba tunaweka vitu mikononi mwake, lakini katika kuamini Tunamleta Mungu katika Hali zetu"
Amen mtumishi wa Yesu
Ameeeen Haleluyaaaaah
Servant of God your teachings are powerful
Ubarikiwe 🙏🙏
Mungu akubariki kwa ujumbe huu
Thank you and Thank you servant and Teacher of the Word of God.I"m always blessed with your teachings and I have put them in practice.May God Extend your Territories.God Bless. Grace Floncy from Nairobi, Kenya.
Ameeeen baba nimeelewa sana hili neno yesu akutunzee baba
Ameen
Amina mtumishi ubarikiwe kwa neno lenye upako
nimebarikiwa mtumishi
👏🙏🙏
Faith obeys
Ameeeen dady mungu akubariki
Amen amen 🙌🙌
Mm nabarikiwa tu sana Ninakufuatilia toka 2021😊
Ameen ameen
Mafundusho yenye maarifa Mungu awe pamoja nawe Pastor.
Amen pastor barikiwa sana
👏👏👏👏👏🥰
You r a blessing to me
Mwenyez Mungu akubariki kwa kutupatia neno jema
Amina
Na amini maneno haya kabisa ni zaee baba ki imani uwe baba yangu waimani
Amin ubarikiwe mtumishi
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Pastor you have real blessed me at there right time
Thank u pastor.umenifundisha mengi
Imani mambo inayoweza kufanya
1. Kushindwa kuwa ushindi
2. Imani inazima mishale ya uovu
3. Udhaifu kuwa Nguvu
4. Mungu kuingilia kati kwenye mambo yako .
Faith = Obeys
Hallelujah Hallelujah and hallelujah
am blessed
Powerful Amen
Great sermon
Amen... Imani ndio mambo yote 🙏
Nakuku Bali mchungaji
Ameen! Be bless you
Ameen asante
🙏🙏🙏🙏
Ooh yes
Amen Amen Amen
Ndio paster
amen
Aminaa
Umenimbariki sana
Ubari kiwe
Ahsante
Emen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Merci baucou
Hii neno baba