SOMO : JINSI YA KUEPUKA MITEGO YA UCHUNGU ALHAMISI YA TAR 10-03-2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 7 місяців тому +3

    Mungu akubariki
    Roho mtakatifu ahsante
    Haleuluya

  • @GetrudaJohn-tf1kr
    @GetrudaJohn-tf1kr 2 місяці тому

    Umeponya family yangu baba Mungu aendelee kukutumia

  • @skilindaissa5441
    @skilindaissa5441 10 місяців тому +1

    Ameeni Kubwaa Sana🙏🙏umegusa Sana moyo Asante Mungu Wngu gusa Maisha yngu kuniondolea uchungu moyoni mwangu🙏🙏🙏Ameen.

  • @Patience763
    @Patience763 3 місяці тому +1

    Amina amina mchungaji MUNGU wambinguni akubariki na baraka zote asante sana kwa somo hili limenisaidia kwa kubwa hatakama ili pita toka 2022 lkn sasa 2024 nimepeta funzoooo

  • @eliasaphmattayo4857
    @eliasaphmattayo4857 2 місяці тому

    Nasikia kulia sana,Mungu ni mwaminifu mnoo hakika naaanza kuelwa kuwa njia za kutoka mautini zina Mungu,mwenyewe nimekuwa nikisumbuliwa sana lakini Leo nimesikia kwann naletewa uchungu,matokeo yake pamoja na namn ya kusimama🙏

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 місяців тому

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa napokea napokea Kwa jina la Yesu Kristo wanasareti

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 Місяць тому

    Wooow hapo ndipo prophet pastor George Mukabwa/Emmanuel Ezekiel Mgogo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Be Blessed by the Mighty Name of the Lord of Mercy and the Needy children and the Mighty God. 😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂 Ameeeen and the Ameeen Ameen ❤❤❤❤

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 місяців тому +1

    Oooh Yesu Kristo tuhurumihe sisi wenye dhambi tuodolehe u chungu ndani Ya mioyo yetu tusamehe tusamehe turehemu

  • @annethkagombora9594
    @annethkagombora9594 2 місяці тому

    Asantee Mungu ulie hai kumtumia huyu mtumishi kupata huu ujumbe nimepona pakubwa sana oooohhh Mungu wewe ni mwema

  • @gzawadi641
    @gzawadi641 2 місяці тому

    Huu ni ukweli mtupu. Zidi kutuonya. Nabarikiwa sana.

  • @esterdonald5497
    @esterdonald5497 Рік тому +1

    PST, masomo yako yananibariki Sana 🙏 utukufu kwa Yesu daima

  • @stephensaro2657
    @stephensaro2657 Рік тому

    You are a true teacher of the word of God. I love it

  • @mildredsakali2243
    @mildredsakali2243 Рік тому +1

    Kwa jina la Yesu natoka ndani ya roho ya uchungu

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 Рік тому

    Amen 🙏 ,napenda mahubiri Yako mtumishi ,

  • @SaudaIssa
    @SaudaIssa Місяць тому

    Shalom

  • @MathayoShija
    @MathayoShija Рік тому

    Mungu mwema unifanyie rehema

  • @veilamoshi9302
    @veilamoshi9302 2 роки тому

    Asante Mtu wa Mungu Napona kwa Jina la Yesu

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 2 роки тому

    AMINA🙏AMINA🙏...nimebarikiwa sana na mahubiri yako mchubgaji....be blessed in JESUS NAME🙏

  • @marymangara4263
    @marymangara4263 4 місяці тому

    Ameeen🙏🙏🙏🙏

  • @doreencenamonje9517
    @doreencenamonje9517 2 роки тому

    Asante sana mchungaji nimepona leo kwa somo hili

  • @wembolambert9458
    @wembolambert9458 2 місяці тому

    Amen 🙏

  • @beatricekasambula1657
    @beatricekasambula1657 Рік тому

    Amen kuanzia Leo navaa ngozi ya Mamba

  • @OresterKaguo
    @OresterKaguo Рік тому +1

    Napona uchungu kwa Jina la Yesu

    • @edithmwasulama7005
      @edithmwasulama7005 7 місяців тому

      Munguatuaaidie tupone
      Tusonge mbele mpendwa
      Nimepona uchungu

  • @edinachuwa3701
    @edinachuwa3701 2 роки тому

    Asant pasta uchungu wangu umeondoka🙏🙏🙏🙏🙏

  • @EvelinaSanga-jn4pw
    @EvelinaSanga-jn4pw 8 місяців тому

    Mungu nitoe sasa

  • @vivi-ernest3376
    @vivi-ernest3376 2 роки тому

    Amina.......Pastor be blessed.

  • @kanumbapaulina5749
    @kanumbapaulina5749 Рік тому

    Amen

  • @odhiambocollins482
    @odhiambocollins482 3 місяці тому

    Masomo yako yananibariki

  • @nellykadenyi
    @nellykadenyi Місяць тому

    mama mzazi mpe uponyaji kwa tumbo

  • @bonifacetarimo2220
    @bonifacetarimo2220 Рік тому

    SHALOM MTUMISHI WA MUNGU,NABARIKIWA SANA NA MAFUNDISHO YAKO,MIMI NIPO D,SALAAM UBUNGO,, HEMA YA MUNGU YA KUKUTANIA UNAYOSIMAMIA IKO MAHALA GANI TZ?

  • @tinakatana4513
    @tinakatana4513 3 місяці тому

    🙏🙏🙏👏

  • @boniphacemsagaa5180
    @boniphacemsagaa5180 2 роки тому +1

    🙏🙏🙏

  • @deniseverigist6383
    @deniseverigist6383 2 роки тому

    Amina

  • @moureenmwasha5503
    @moureenmwasha5503 2 роки тому

    🔥🔥🔥

  • @virginiaimata3794
    @virginiaimata3794 2 місяці тому +2

    Amen 🙏 🎉❤

  • @nellykadenyi
    @nellykadenyi Місяць тому

    amen

  • @fredmbampe4614
    @fredmbampe4614 2 роки тому +1

    Amina