MSAMBAZA CHAKULA ANAYEINGIZA MILIONI 10+, ANAMILIKI PIKIPIKI 21, KAAJIRI VIJANA 40, KAMALIZA UDOM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2021
  • AyoTV imefanya mahojiano na Kijana Ali Jumanne ambaye amejiari Vijana 40 kwa kusambaza chakula kutoka kwenye migahawa na kupeleka kwa Watu ambapo anatumia Application ambayo ameibuni baada ya kukosa ajira, elimu yake ni degree ya IT ambayo ameipata Chuo Kikuu cha Dodoma.

КОМЕНТАРІ • 77

  • @catherinekasoyaga9523
    @catherinekasoyaga9523 2 роки тому +12

    Safi sana hongera sana kwa ubunifu dah. Ila mbona hamjatupa jina la iyo app. Tumsupport young man!

  • @onestkasmir1534
    @onestkasmir1534 2 роки тому +13

    Mungu akitaka kukupa wala hakuandikii barua cha muhimu ni kuepuka kamba za watu kuwa huwezi kwa kitu chochote fanya kwa uwezo wako ukifel sawa t2 ila kamba ya kukukatisha tamaa tuikimbie

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 2 роки тому +7

    akiweza kumanage vizuri na mumaintain quality of service, lazima atakua millionaire.

  • @jayspax1799
    @jayspax1799 2 роки тому +6

    Support your local team🇹🇿. (Team Never Give Up✌)!! Big Up 💪Boss Ally

  • @__B.O.B
    @__B.O.B 2 роки тому +4

    Hongera sana kaka kuwa na uthubutu wa kufanya unachokiamini. 👍

  • @nassorokamasesela3782
    @nassorokamasesela3782 2 роки тому +3

    Ongera sana my boss kwa kutoa fulusa kwa vijana kwa kuwafungua macho

  • @Memphisblue22822
    @Memphisblue22822 2 роки тому +8

    Pk pk 21 kwa mwez unapata tsh mil 2 n laki moja kwa faida ya laki kwa mwez kama ukiwapa boda wafanye kaz.... Lakin kumbuka mtaj mkubwa ujue profit pia kubwa... Ina maana pik pik 21 ni tsh mil 58...

    • @fabiolamshana6143
      @fabiolamshana6143 2 роки тому +1

      Chochote kinaweza kikaanzia chini,,kikubwa ni utii,na juhudi ya kaz...kuheshimu kipato kunaweza kukafanya ukafika juu sana...kikubwa ni kuheshm kipato hata Kama ni kidogo ipo ck kitakuwa...umakin,juhud na nidhamu ya kaz vinaweza vikakufanya utoke sehem ndogo na kwenda kubwa zaid

  • @abdullahalkindi9673
    @abdullahalkindi9673 2 роки тому +4

    Hongera sana, endelea kuchapa kazi

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +7

    hujatuambia application yake inaitwaje?

  • @aminahaji9737
    @aminahaji9737 2 роки тому +4

    Hongereni Sana

  • @reubenmbukani9704
    @reubenmbukani9704 2 роки тому +4

    Appreciate senjaro

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +3

    Hongera

  • @getrudeanania7049
    @getrudeanania7049 2 роки тому +10

    Miaka 21 jaman wengne tushatoka mvi

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 2 роки тому +4

    Safi sana

  • @magrethmkoga30
    @magrethmkoga30 2 роки тому +2

    Safi Sana

  • @naslee1010
    @naslee1010 2 роки тому +1

    Boss wangu mpambanaji sana big up brother

  • @furahaminde673
    @furahaminde673 2 роки тому +3

    Hongera sana sana

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 роки тому +2

    Hongera sana

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 2 роки тому +1

    Safi inapendeza mnooo Mola amsimamie azidi kufanikiwa

  • @mkweluwilliam4673
    @mkweluwilliam4673 2 роки тому +2

    Hongera br,

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 2 роки тому +2

    Mashaallh

  • @dennisevarist
    @dennisevarist 2 роки тому +9

    Ayo imekuwa ya hovyo sana, yaani unamuhoji mtu na wala katika maongezi yenu hamjaanza au kuitaja jina app yenyewe, sasa interview nzima hatuelewi mnaongelea nini zaidi mnaongea tuu.

    • @gracelee61
      @gracelee61 2 роки тому +1

      yani interview zilikua zaman, sikuhuzi millard ayo ni kama blog nyingine tu.

    • @janethchaula61
      @janethchaula61 2 роки тому +1

      Yani nyie mna mambo kama sio wanahabari mpaka sasa app sijui inaitwaje

    • @dennisevarist
      @dennisevarist 2 роки тому

      @@janethchaula61 ndio waandishi wetu wa sasa, hadi mimi ambaye sijasomea mambo hayo nawashinda

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому

      😂😂😂alafu kweli

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +2

    Maisha Yana wezekana sana Tanzania

  • @raymondemily724
    @raymondemily724 2 роки тому +1

    Kongole big brother.. keep it up.

  • @agiasaidi5294
    @agiasaidi5294 2 роки тому +2

    MASHAALLAH

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +3

    🙄😳💦Sema uwo mtandao basi

  • @aziaraayoub5234
    @aziaraayoub5234 2 роки тому +1

    Maashaallah

  • @devothafilbert2347
    @devothafilbert2347 2 роки тому +7

    Hizi huduma zipo sana nchi za wenzetu

  • @devothafilbert2347
    @devothafilbert2347 2 роки тому +2

    Hongeraaa

  • @sadikiballack1631
    @sadikiballack1631 2 роки тому +1

    Hii ni njama ya huku south Africa turiitumiya zamani labda uwez wa kuunda app yake ila anaweza kuipata
    Kama huku ama us

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 місяців тому

    Safi sana ally

  • @leonaldosuleim7485
    @leonaldosuleim7485 Рік тому

    Nashauri muongeze hudumuma tofauti na chakula

  • @RonnieMchatta-pr5bd
    @RonnieMchatta-pr5bd 7 місяців тому

    VERY good keep it up

  • @sambayo2518
    @sambayo2518 2 роки тому +2

    INAITWA SENJARO APP

  • @mrmindboom2058
    @mrmindboom2058 2 роки тому +1

    Link ya app

  • @ramanycore
    @ramanycore 10 місяців тому

    Nafurahi kuona vijana wenye uthubutu.......

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 2 роки тому +1

    Hongera Sanaa kijana kweli wewe ulisoma ili kuliendeleza taifa lako

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 місяців тому

    Ndio kwenye masomo kuludia inakatisha tamaa

  • @isiakamfugale3621
    @isiakamfugale3621 2 роки тому +1

    App inaitwaje wajameni

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 місяців тому

    Ndio ata mitaa ya upanga wapo wengi wanaosambaza hivyo

  • @rmags8843
    @rmags8843 4 місяці тому

    Ametuamia model ya just-eat ya nje

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 2 роки тому +3

    Big up broo for unique wise

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 роки тому +4

    Hongera zake jamani naombeni mnikumbushe mwaka huu ni chanel gani ilimuhoji mke wa babu Issa? Nataka kuimalizia kuangalia hiyo interview please👇

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому

      Hii hii millard ayo

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 2 роки тому

      @@khadijahali4837 Shukrani siipati sijui kwanini?

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому

      @@OnlyRuky sachi kwa UA-cam yake

  • @sadikimohammed6636
    @sadikimohammed6636 2 роки тому +2

    Vizuri ila mambo hayo Qatar kawaida sana

  • @naimamsuya9226
    @naimamsuya9226 2 роки тому +1

    Mawasiliano yako 2naomba

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 3 місяці тому

    Billionaire mtarajiwa

  • @sashashamsia6894
    @sashashamsia6894 2 роки тому

    Sasa cha ajabu nini apo

    • @twenzaotanzania1846
      @twenzaotanzania1846 2 роки тому +2

      Cha ajabu kipo, kijana anajituma kujenga mustakabali wa maisha yake na ya wengine!

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому

      @@twenzaotanzania1846 😂😂

  • @theopistachialo10
    @theopistachialo10 2 роки тому +1

    Uchawi upoo😴😴

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 роки тому +1

    APP INAITWAJE🙄🙄
    MUNAZINGUA..

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 2 роки тому +3

    Safi sana