BODABODA 'SMART' ANAYEMILIKI NYUMBA NA MADUKA - "SIHITAJI KUAJIRIWA, BODABODA INATOSHA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2022
  • Seif Shaibu ni Kijana anayejishughulisha na kazi ya Bodaboda katikati ya jiji la Dar es Salaam tangu mwaka 2009, anasema kutokana na mafanikio aliyo pata kupitia kazi hiyo, hataki tena kuajiriwa ofisini hata kwa ahadi ya mshahara wa Shilingi milioni moja
    Shaibu anajivunia kujenga makazi yake sanjari na kumiliki Biashara nyingine inayompatia kipato cha ziada ikiwemo kulipia ada ya watoto katika shule binafsi kupitia kazi hiyo, ambayo wengi wamekuwa wakiidharau na kuichukulia poa.
    Kijana huyo amebainisha hayo katika Exclusive na ripota wetu @hamisimguta na kueleza sababu mbalimbali zinazopeleka wanaojishughulisha na kazi hiyo ya bodaboda kutopata mafanikio.
    BODABODA 'SMART' ANAYEMILIKI NYUMBA NA MADUKA - "SIHITAJI KUAJIRIWA, BODABODA INATOSHA"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 13

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 2 роки тому +3

    Dah nakubali mwamba

  • @johnchiponde316
    @johnchiponde316 2 роки тому +2

    Good sana mzee

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 роки тому +1

    Hongera kaka wala c uongo mabod wengi niwashenzi hasa kwa wanawake ndio maana maendeleo hawayaini

  • @novatchubataner8746
    @novatchubataner8746 2 роки тому +1

    🦁

  • @user-gk3pe3ot2o
    @user-gk3pe3ot2o 8 місяців тому

    Na taka ku Pata number ya Saif Shaibu

  • @shaibuabdallah8574
    @shaibuabdallah8574 2 роки тому

    Hakuna boda anaingiza 70000 kwa siku muongo hat wastani wa 50000 no hakuna

    • @monicamwanjisi693
      @monicamwanjisi693 2 роки тому +3

      Ndo maana tuko hivi tulivyo Kwa kuona vitu vinavyowezekana kuwa haviwezekani.

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 2 роки тому +4

      Usibishe kitu usichokuwa na uhakika nacho, boda aliyejijengea heshima na uaminifu kwa watu. Watu wengi wanawatumia boda waaminifu kuwatuma sehemu za mbali ambazo zinawapa pesa nyingi. Mimi Nina boda ninamfahamu ana mafanikio zaidi ya huyo

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 роки тому +3

      @@monicamwanjisi693 Huyu ameshakuwa na mtandao wa watu wa kuwahudumia kwa uaminivu na ukweli hivyo ni rahisi

    • @mustafaalli4698
      @mustafaalli4698 2 роки тому +2

      Haiwezekan wap ivi unajua bodaboda wanaoendesha posta wanapata sh ngap kwa siku hamna sehemu ya buku wao ni kuazia buku 2 na wanapiga pesa mno

    • @salumumakombo9136
      @salumumakombo9136 2 роки тому

      efu 70 mala 30 milioni 2 na laki 1 kwa mwezi .. kajipika kwa kalumanzira huyo ana kimzizi kiunoni