NDANI ya GEREJI ya BILIONEA wa MA-RANGE ANAPOUZIA MAGARI YAKE - SIKIA MBWEMBWE ZAKE...
Вставка
- Опубліковано 26 січ 2024
- NDANI ya GEREJI ya BILIONEA wa MA-RANGE ANAPOUZIA MAGARI YAKE - SIKIA MBWEMBWE ZAKE...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Waafrica vitu used vinatuhusu tu, uchumi wetu mdogo sana!
Watu na maisha yao, hongera kaka
Kc team you are proud
Hongera sana Mr Criss unafanya vyema kuwa saidia Watu wenye uhitaji. Ndiyo maana Mungu atazidi kuku bariki na biashara zako zita fika mbali. Upewe maua Yako.
Kc team, we proud
💪💪🔥
Kwaiyo makato ya selikali na bei ya gali kununua ghalama kubwa makato ya selikali?
UKO VIZURI KAKA CHRISS
Ndugu yangu naomba namba yako
AKILI KICHWANI biashara malitupu
magari chakavu barabarani ni mengi mnooo jamani parking traffic is too much
Omba upeleke vitu vingine not cars
Bora charter planes vijijini kupeleka wagonjwa muhimbili kcmc na bugando sincerely
2006 too old
Nyerere ndio maana Alikataa mitumba😂
Uwezo WA kununua mapya mnayo
Na Ndo maana Amekufa
Acha kuwafanya wenzio mafala
Wapi hiyo bilionea
Mitumba
Bado mitumba inatuhusu tu Mana uchumi wetu!
Wacha uongo wewe
Magari ya kizamani hayo.
Hapa UK ni £750-£2500
Migari mibovu hiyo
Mileage zimekweda.
Bongo imekuwa kama Dampo la uchafu.
Lete na wew uuze 10 million
Mashine za mbao kaka vp huko uk
@@williamkiyumbi2800Akili Hana
Lete za mamaako tununue😂
Kumbe unajua hadi bei sasa mbona hujaleta na wewe ukapiga pesa