🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • 🔴#Live: MTOTO wa MANJI AJIBU KUHUSU KUWEKEZA YANGA KAMA BABA'AKE - ''TAANGALIA KAMA MSHABIKI''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 21

  • @sadikiissa7756
    @sadikiissa7756 Місяць тому +1

    Polen Sana. Allah awape subira na amlaze Mzee Mahali pema Peponi. Amiin .

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi Місяць тому +8

    Jamanii mumeonaa majibu ya Watoto wa wenzetu walivoandaliwaa...
    Majibu ni very technical daaa big up Mwanangu.

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Місяць тому +2

      Mtoto wa tajiri huyo mkuu, sio wa mchimba chumvi huyo mkuu

    • @AmanaHassan-cy4fi
      @AmanaHassan-cy4fi Місяць тому +3

      @@GeorgeAkasha-zx2rj Sahihi My point ameandaliwaa...

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Місяць тому +4

      @@AmanaHassan-cy4fi Alipewa elimu Bora mkuu na sio bora elimu kama nchi zetu hizi.

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 Місяць тому +1

    Poleni sana watoto wa manji

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Місяць тому +1

    Aaa😢 wandishi kwa kweliiiii ? Maswali gani mtu katoka kufiliwa na mzeee wake juzi tu! Imeniuma kwa kweli 😢 kufiwa kuskie tu

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 Місяць тому +16

    UNAJUWA HAWA WANDISHI WA HABARI WAWE WANAFUZWA VIZURI KUHUSU TALUMA YA UWADISHI WAWE WANAJIFUZA ZAIDI KAMA HUYO MTANGAZAJI WA GLOBAL TV ONLINE NI MPUMBAVU NIMJIGA MTOTO WA YUSUFU MANJI BABA YAKE AMEKUFA HATA WIKI MBILI HAZIJAPITA UNAKWEDA KUMULIZA UWEKEZAJI WA YANGA

    • @AmanaHassan-cy4fi
      @AmanaHassan-cy4fi Місяць тому

      @@janiafaomaa5120 Mwandishi yupo sahihi 100%
      Ndio maana nikatoa credit kwa aliyejibu.
      Kiuandishi hayo yanaitwa maswali chokonozi...
      Huweza kuyajibu Mtu professional tu.. example Coach amekula goli5-1
      Mwandishi anamuulizaa jee kwa kipigo hikii uko tayari kujiuzuruu!!?

    • @kyannickk2be
      @kyannickk2be Місяць тому +2

      Bora elimu na kutojiongeza kutotaka kujifunza pia kukubali kuendana na mazingira yako hata kama sio sahihi.....

    • @beatricejohn1659
      @beatricejohn1659 Місяць тому +2

      Yaani ni wapuuzi sana utafikiri hawajui nini kufiwa

    • @birianination7097
      @birianination7097 Місяць тому +1

      Yanga ilikua legacy kubwa ya yanga, swali zuri sana.

    • @FilbertKalembe-fy4oq
      @FilbertKalembe-fy4oq Місяць тому +1

      Sasa wewe umeumia nini mbona watanzania tunapenda matusi

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 Місяць тому +3

    Daaa inauma sana R .I.P Manji

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Місяць тому +1

    Uwezo wa kuhoji ni mdogo sana sana, kwanza alivyomjibu kuwa wao wanaomboleza kifo cha mzazi wao imehuzunisha sana.

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 Місяць тому +1

    Dogo safi sana, stop investment in football, its crazy.. rebuild the economy left by your father..

  • @castromemba6311
    @castromemba6311 Місяць тому +1

    Amekataa kuwekeza Yanga. Kasema labda Simba kama hujasikia vizuri

  • @hamisimahenge5807
    @hamisimahenge5807 Місяць тому +1

    Dogo ameandaliwa vizuri sana na majibu yake ni very technical but huyo muandishi ni hovyo kabisaaaa kwani ni YUSUF MANJI amefariki siku chache zilizopita na huyo dogo Bado yuko kwenye majonzi then huyo muandishi anamuuliza kuhusu kuwekeza YANGA, Hey Guys, kweli???????. Nadhani huyo muandishi amekosa professionalism

  • @benardmassawa3599
    @benardmassawa3599 Місяць тому +3

    Tanzania

  • @munyeradeogratias9342
    @munyeradeogratias9342 Місяць тому +1

    Rip msnji

  • @abdullahabdul9246
    @abdullahabdul9246 Місяць тому +1

    Huyu mwandishi unamuliza uwekezaji mtu katika msiba mkubwa huu kuondokewa na baba acheni maswali ya kijinga uliza maswali ya maana