MTOTO WA MAMA SAMIA: SITAMANI KUONEKANA MTOTO WA RAIS / NAUMIA MZAZI AKITUKANWA, MWENYEKITI MIF

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 483

  • @rosiehayatta2619
    @rosiehayatta2619 2 місяці тому +18

    So softly spoken. Chapa kazi usisikilize maneno ya wazushi. Keep your energy burning... Viva❤

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 2 місяці тому +20

    Nakupenda sana, na usiache kijihifadhi ni heshima yetu wanawake,,unapendeza sana,,nampenda Mama yako ndiò Mama yangu ndio mama yetu ❤

  • @annaagathamsuya9252
    @annaagathamsuya9252 2 місяці тому +12

    HONGERA SANA MHE.WANU HAKIKA MIF imekuwa Mkombozi Kwa Watoto / Mabinti Wa Kike na Wanawake Kwa Ujumla.BIG UP Keep it UP

  • @alyakida5262
    @alyakida5262 2 місяці тому +14

    Hongera sana mh Kwa kazi nzuri ya taasisi yako ya mwanammke lakini pia Kwa upambanaji wako wa kuona kuwa unatekeza yale yote anayoyataka Mh Raisi wetu mpendwa Dr Samia Suluhu kazi zinaonekana .

  • @mwanahawanyambi9440
    @mwanahawanyambi9440 2 місяці тому +14

    Mungu akulinde Wanu na familia yako❤

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 2 місяці тому +11

    asante mama na mtoto kwa kazi nzuri yakuijenga zanzibar
    mitano tena kwa mama.

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 2 місяці тому

      @@Allybinamour
      Na'am. Haipingwi hiyooooo!!

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 2 місяці тому +20

    Safi sana mjenge kwenu marais wote walijenga kwao

  • @mwijagenurdin6135
    @mwijagenurdin6135 2 місяці тому +24

    Hongera dada wanu chapa kazi binadamu hawezi kupendwa na wote,kwani pesa ndo zinapendwa na wote.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому +2

      @@mwijagenurdin6135 Hapo umesema. 😂😂😂 pesa tuu ndio zinapendwa na watu wote. Binaadam ni chuki, wivu na hasada.

    • @EmmanuelMalola-l9i
      @EmmanuelMalola-l9i 2 місяці тому

      Wew fala kaakimya

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 2 місяці тому +1

      @@mwijagenurdin6135
      Haipingwi hiyooooo!!

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 місяці тому +8

    Mh wanu Asante sana sie tunakujuwa ulivyo mungu akuzidishieni afya

  • @lightnesselirehema1464
    @lightnesselirehema1464 2 місяці тому +14

    Yaani hapa ni mama kabisa. Nimekupenda!

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 2 місяці тому

      @@lightnesselirehema1464
      Mama na mwana Mashaa Allah!

  • @KomboMachano
    @KomboMachano 2 місяці тому +6

    Hongera SANA Da. WANU chapa kazi....

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 місяці тому +12

    Usijali mtoto,kuhusu mama yake,wamtukane Tu Mimi binafsi Nampenfa sana Mama Samia tunaona kazi anazofanya. Duniani awawezi kukupenda wote.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @tumainimayala8187
      @tumainimayala8187 2 місяці тому

      Pia kuchukiwa na wengi lazm ujitathmini…

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 2 місяці тому

      @@AminaMkumba-u3z
      Wanga na wachawi lazima watakuwepo kwani hasidi hana sababu, Subhana Allah!

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Місяць тому

      Wengi hao wako wapi kilimanjaro na mbeya ndio wengi acha ujinga hata uko mbeya na kilimanjaro wengi wanampenda mama..!​@@tumainimayala8187

  • @modrickaziz1989
    @modrickaziz1989 2 місяці тому +22

    Kikeke noma sana mzee adi kwa mtt wa raisi

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 2 місяці тому +1

      yupo vizur
      interview zake hazichoshi kuangalia

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 місяці тому +6

    Mashallaah kazi nzuri mnayo ifanya mungu awa bariki❤❤❤

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 Місяць тому +2

    She's so smart may almighty Allah protect And bless you sister ❤🙏

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 2 місяці тому +4

    Safi kabisa mitano tena kwa mamaaaaaa

  • @Safreenfeen
    @Safreenfeen 2 місяці тому +16

    Nampenda sana Mama ….Allah amlinde kila hasada ….aaaamin

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 2 місяці тому +12

    Jamani tunampenda Mama Samia Suluhu,..
    Tunampenda sanaaaaaaaa.

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 2 місяці тому

      @@danielshimora5315
      Hakika hiyooooo. Long live mama SSH !!

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x Місяць тому

      Hata mm nampenda kwakua matendo yake ya utekaji napenda

  • @yassinuddi
    @yassinuddi 2 місяці тому +9

    I like the interview, the content, and the way she is calm.

  • @amaniwanga8621
    @amaniwanga8621 2 місяці тому +38

    Kama kisimkazi mnaish Kwa amani na sisi watu wangorongoro tunaitaji kwa na maendeleo na amani hii nchi mnataka kula wenyewe sio sahihi

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 місяці тому +2

      Wewe utakuwa ni mwanga au malaya

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 2 місяці тому +6

      Hayati Magu alivokuwa akiitengeneza Mwanza ulikuwa humuoni ama??

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 2 місяці тому +3

      Ninyi mnakutaka ngorongoro ili muwe vivutio vya uatalii nendeni Kilindi na handeni acheni siasa

    • @SaidiGolo
      @SaidiGolo 2 місяці тому

      Kwhy ww mpumbavu umeiyona ngorongoro tu bwege ww

    • @MgishaFerd
      @MgishaFerd 2 місяці тому

      Kabisa ndugu yangu

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 2 місяці тому +5

    ❤❤❤ mtoto mama mkwe

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 2 місяці тому +7

    Anafanana sana na mama Samia

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 Місяць тому

      @geofreymalekana8000
      Like mum like daughter !

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому +9

    asante sana Kikete kwa interview inzuri. tunaomba nyingine utamuliza; a) anabalance vp muda wake na familia yake? Mana mume wake ni kutwa kukimbia na kazi etc b). malezi yao: mama alikuwa mtu wa ainagani wakati wanakuwa. c) kaka zake je Wanu are thy protective of her? d). ana watt wangapi kwa sasa? e).

    • @FatimaMohamed-n5h
      @FatimaMohamed-n5h 2 місяці тому

      Jamani tuacheni hasada Mja ukiwa huoni Neema basi utaukuta Una nakama kaeni na nyiye pahala paa BiSamiya kama rahisi tuacheni majunguu

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому

      @@FatimaMohamed-n5h comment yako ni tofauti na nilichongelea.

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 2 місяці тому

      yupo vizur kikeke mashallah

  • @MaulidAbdullah-nw9wu
    @MaulidAbdullah-nw9wu 2 місяці тому +17

    Dada umefanana sana na mama mashaallah

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 2 місяці тому +2

      Mpk kuongea kwa mikono

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 2 місяці тому +1

      kweli kabisa

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 2 місяці тому +2

      Wallahi,masha Allah mma samia kajizaa mwenyewe,copy right,utadhani sura ya mma ilichukuliwa akawekewa mtto❤❤🎉

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 2 місяці тому

      @@MaulidAbdullah-nw9wu
      As mum as daughter Mashaa Allah!

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 2 місяці тому

      @@nurumwinyi796
      Mashaa Allah!

  • @USAIDforRichardMooresAgency
    @USAIDforRichardMooresAgency 2 місяці тому +2

    I say Very Very true I can't Believe Samia has British Education ✌️

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc 2 місяці тому +6

    Mashaallah mashaallah mashaallah it is amazing amazing amazing high high high class beautiful beautiful beautiful queen queen queen angel angel angel cute cute cute gorgeous gorgeous gorgeous mashaallah nice high beautiful mashaallah

  • @mwanahamisiibrahim-b9j
    @mwanahamisiibrahim-b9j 2 місяці тому +3

    Safi sana, mtoto wa mama yangu mpenwa, nampend sana mama samia natamani hata siku moja nifanye kazi nae manake anafanya vile mimi nilivyokua nawaza kichwani mwangu. Jamanii mwambie mama yako nampenda sana yena sana natamani siku moja nikutane nae nikae nae kama mwanae mpndwa

  • @saidmoussa909
    @saidmoussa909 2 місяці тому +2

    Masha Allah..

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa Місяць тому +1

    Hongereni

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc Місяць тому +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah amazing amazing high high high beautiful beautiful queen queen queen angel angel angel pretty pretty per pretty cute cute cute khuub suurat khuub suurat bohot bohot khuub suurat

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 2 місяці тому +2

    Safiiiiiii manshaalaah

  • @SaidChande-g4e
    @SaidChande-g4e 2 місяці тому +2

    Take courage my dear ❤

  • @MwanjabMbarak
    @MwanjabMbarak Місяць тому +1

  • @hategekimanamariespeciose5701
    @hategekimanamariespeciose5701 Місяць тому

    Uko mzuri kwer❤❤🎉🎉🎉

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 місяці тому +3

    Muke ya mchengerwa ❤❤❤❤❤

  • @AdilOmary
    @AdilOmary 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @AnnaMbossa
    @AnnaMbossa 2 місяці тому +3

    Jamani nawapenda nawapenda sana natamani siku moja nimshike mkono rahis wangu kwa kazi kubwa anayo fanya,

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 місяці тому

      @@irenejoh1242 malaya wewe huwezi kuelewa kwakuwa umeshazoea kudanga

    • @irenejoh1242
      @irenejoh1242 2 місяці тому

      @@walidmgonja3644 malaya wewe na mamaako

    • @irenejoh1242
      @irenejoh1242 2 місяці тому

      @@walidmgonja3644 malaya unaefilwa

  • @masunzusaidi1378
    @masunzusaidi1378 2 місяці тому +16

    Sioni tatizo kwa mtoto wa rais kushughulika na shughuli mbali mbali za maendeleo ya nchi.

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 2 місяці тому +1

    Kafanana nae sana

  • @thabitimkufi7388
    @thabitimkufi7388 2 місяці тому +3

    Sio watu wa bara bali hapa Tz tunabaguana sana kidini chini kwa chini

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Місяць тому

      Sio ubaguzi ukifanya vizul utapendwa nawengi mfano maguful alipendwa nawengi alichukiwa na wachache

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 2 місяці тому

    Pole sana shemu,pole sana dada.Wanu.Coz wanadamu ndio tulivyo.Hauwezi kusifiwa ukiwa hai,so mama afande kazi tu maana ya binadamu nimengi sana

  • @paulmartinkapogo1198
    @paulmartinkapogo1198 2 місяці тому +2

    Nimependa kusikia ata nyumba za bati ilikuwa azipo leo zipo kingine maendele uko mashindano sehemu na sehemu safi sana shida hapo itakuja akitoka madarakani wasani mawazri kila mtu anayekimbili leo uko amtawaona tena wataamia kwa raisi atakaye kuwa madarakani akijenga kwao

  • @HassanFanda
    @HassanFanda Місяць тому

    Hongera dada wngu wanu

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 2 місяці тому

    👏👏👏💯

  • @alexandermutakha882
    @alexandermutakha882 2 місяці тому +1

    Kazi iendelee

  • @EssauPeter
    @EssauPeter 2 місяці тому

    Ushambatu

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 2 місяці тому +9

    Huyu dada anahofu ya Mungu, hongera sana. Unafaa kuwa mshauri wa rais,tumia nafasi yako vizuri kwa maslahi ya taifa zima. Kumbuka mam atamaliza mda wake ww unasafari ndefu ishi vizuri na watu.

  • @zainabmbarak1043
    @zainabmbarak1043 Місяць тому

    Vizuri sana ila maendeleo.ya3nde pnde zote za zanzibar

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 місяці тому +8

    imagine huyu awe mke wangu mtoto wa rais itakuwa kazi yangu napiga zoezi sana nahakikisha napeleka moto vilivyo 😂😂

    • @nellymtambo8432
      @nellymtambo8432 2 місяці тому +1

      Weweeee toka hapa ushaanza kuuona umariooo tuuuu nyoooo😂 ka mserereko siyo

    • @VicentAssanal
      @VicentAssanal 2 місяці тому +1

      Watu mna upeo mdogo sana wa kufikilia

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 2 місяці тому +1

      Wanaume wenye akili ya umaskini utawajua tu Mambo Yao n kutongoza tu na kufanya ngono ila kufikiri kukuza uchumi wao n shida

    • @hawaa2227
      @hawaa2227 2 місяці тому

      Astaghafiru Allah

  • @Soud-js8mc
    @Soud-js8mc 2 місяці тому +11

    Wao wakipenda wasipende ilo lishapangwa na Mungu awe rais

  • @bboyofficial6
    @bboyofficial6 2 місяці тому +100

    Mwambie mamako hii NCHI sio ya kwenu ...😢😢😢

    • @khamissalim56
      @khamissalim56 2 місяці тому +14

      Niyakwenu wewe

    • @firdaus7428
      @firdaus7428 2 місяці тому +14

      Kamwambie weye unaogopa nini na weye mwamba?

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому +5

      @@firdaus7428😂😂😂

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому +11

      😂😂😂😂 Na hao walokuwa wakisema kwao wako wapi sasa hivi ???? Si washakufa basi ujuwe wewe pia siyo kwenu….

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 2 місяці тому +7

      Ni ya nani au ya manara?

  • @NaligiaNzogu
    @NaligiaNzogu 2 місяці тому +2

    Kikeke
    Kikeke kikeke

  • @Jokha1Jokha
    @Jokha1Jokha 2 місяці тому +1

    Mashallah nakupenda sana natamani siku nionane na wewe nipige na wewe japo picha.

  • @EmmanuelSwedi-n2r
    @EmmanuelSwedi-n2r 2 місяці тому +3

    Mtoto wa RAIS hana juwa kujibu kwa umakini sana

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 2 місяці тому

    NAMPENDA SANA RAIS NA MAMA SAMIA. ❤❤KAZI IMEENDELEA BILA WOGA

  • @AmirJuma-p5j
    @AmirJuma-p5j 2 місяці тому +3

    Hii familia ya watu wenye akili mama Samia ana akili sana

  • @kepharichard4183
    @kepharichard4183 2 місяці тому

    Mnatekeleza Zanzibar au?

  • @edithakambuga
    @edithakambuga 2 місяці тому +2

    Jaman dada mm nimefurah kusikia unavyopenda kujichanganya na watu wa kawaida kama ss bas naomba msaada wako nichangie chochote mtoto wangu aende shule

    • @valentinernestkavishe7297
      @valentinernestkavishe7297 2 місяці тому

      😂 Kwani yeye sio binadam wa kawaida

    • @MancerNkya
      @MancerNkya 28 днів тому

      Ndo hapo tumuulize, binadamu tuuu kama wengine labda tumezidiana mafanikio tuu 😅😅😅😅😅😅😅

  • @bishingwemaxime3655
    @bishingwemaxime3655 Місяць тому

    Na kukubali ufate nyao za mama. Unaeleza kila jambo kwa ufasaha zaidi. Naomba contact

  • @SteveNyagawa
    @SteveNyagawa 2 місяці тому

    🎉🎉🎉 SAMIA APEWE MAUA YAKE.

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 2 місяці тому +1

    Bboyo Wacha Kuropokwa Chagua Maneno Ya Kuongea Kama Huna La Kuongea Nyamaza Nyie Ndio Wale Mnavuta Bangi Na Njaa Mnaropoka Hovyo Busy Wee

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Місяць тому +1

    Yani africa kila kiongozi ana fanya maendeleo kijijini kwao

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 Місяць тому

      @@ilynpayne7491
      Kabisa kwani "Mtu kwaoooo!!"

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa Місяць тому

    Wanafurahi

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 2 місяці тому +1

    Hamna jinsi mama ni mvumilivu na ww vumiliq yatapita mama nam🎉🎉🎉

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 2 місяці тому +1

    Ndoto ya kila kijana mwenye maisha magumu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 місяці тому +3

    Hata chato imekua si ndio zenu,sasa munashangaa nini na hapo kuna marais wa wili kikeke umeaza kuwa munafiki kizimkazi ingekua bila rais kutokea hapo😂😂😂

  • @fadhilindunguru7946
    @fadhilindunguru7946 2 місяці тому +2

    Kikeke leo anasikiliza majibu mpaka muulizwaji amalize kujibu. Pia, maswali ni aiseee....! Namwona mbali Sana Kikeke kama Sehemu ya Serikali hii the coming days.

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 2 місяці тому

    MAONI YANGU KILA MTU MWENYE WADHIFA HUTUKANWA . PIA TOFAUTISHA MAMA NA RAIS. Mama kama mama HAWEZI TUKANWA.. ILA RAIS NI SERIKALI NA SERIKALI KUTUKANWA KAWAIDA. maana Uelewa wa watu na mifumo kwa ujumla kuna Muda vinawapanikisha watu

  • @MaryMwamwezi-xm3iz
    @MaryMwamwezi-xm3iz 2 місяці тому +1

    Walimwengu hatuishiwi maneno. Nampenda mama samia. Napenda chama cha mapinduzi

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 2 місяці тому +1

    Ondoa sufuri ni skuli moja tu hasnu makame na kwa vile ni boding ila tunaomba kuna skuli mfano kusini secondary, kajengwa secondary, na mmakunduchi secondary pia ziwe boding school km hasnu makame, watoto wapate chakula skuli Hapo tutatoboa

  • @makamezahoro8194
    @makamezahoro8194 Місяць тому

    Nafurahia Amani iliopo katika tanzania chini ya Dr. SAMIA

  • @AbedKirway-tr5wx
    @AbedKirway-tr5wx 2 місяці тому +3

    Mwambie mama akazane sana Tanzania inamuhitaji sana ila mbwa wapumbavu bado wanabwekea ndege ya maendeleo asishangae kenge kuwepo kwenye msafara wa mamba hii ni kawaida sana kupata wajinga wachache kwenye maendeleo ata kwetu wapo

    • @amirabdallah2827
      @amirabdallah2827 2 місяці тому

      @@AbedKirway-tr5wx
      Na'am ni kweli kabisa kwani Penye riziki hapakosi fitina!!

  • @ZanariaZahoro
    @ZanariaZahoro 2 місяці тому +3

    Mbona watu mnaumia sana na wewe jenga kwenu hujakatazwa

  • @KhairatBundala
    @KhairatBundala 2 місяці тому +2

    Bora nisome koment tu 🤭🤭🤭🤭

  • @oyay2821
    @oyay2821 2 місяці тому +14

    Jengeni kwenu alafu bara uzeni kila kitu bandari na mbuga zote ziuzeni

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      @@oyay2821 Mhhhhh

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 2 місяці тому +1

      Yanu Rais Samia kutengeneza Kwao Kizimkazi ni shida,, lkn Hayati Magu alipokuwa akiitengeneza Mwanza ilikuwa ni fresh tu,, hamna shida wala tatizo llte,, na hamkuwa mkisema kitu

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 2 місяці тому +1

      Acha unafiki wewe Magufuli alijenga kwao Kikwete pia na Mkapa

    • @abdurazakyaghya3191
      @abdurazakyaghya3191 2 місяці тому +1

      Wabongo manamatizo sana umechuku kila kitu ZNZ sahivi rais MZanzibar big problem

    • @kwejimisobi4491
      @kwejimisobi4491 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 2 місяці тому

    Hongera Salim kwa mahijiano yako, hujaongea neno hata moja la kingereza, lakini unaowahoji ni waingereza wa kubumba

  • @PeterEmanuel-vp4jc
    @PeterEmanuel-vp4jc 2 місяці тому +1

    Jamani matusi Kama yote shida Nini kwani Rais wote walio pita hawakuwepo masikini fanyeni kazi kwa bidii mtimize malengo yenu.

  • @JosephMagessa-l3o
    @JosephMagessa-l3o 29 днів тому

    Anaongea kwa kujiamini huyo

  • @VictorGosbert
    @VictorGosbert 2 місяці тому +1

    Binti muangalie zaidi Mama yako kama 'Role model' utafanya makubwa kuliko hata mama yako

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 2 місяці тому +1

    Nami nakuja kesho Asubuhi

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 2 місяці тому

    Hicho chuo Kiko wapi

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA 2 місяці тому +2

    Asa kama mtoto wa rais ili tufanyeje

  • @Mapishi_TV
    @Mapishi_TV 2 місяці тому

    Ila kuna watu wana makasiriko kwenye comments. Nyingine zinachekesha😂 na nyingine zinahuzunisha😢.

  • @edwinraymond3404
    @edwinraymond3404 2 місяці тому

    Mmmm atuache tu nani asie penda kuona anaonekana

  • @MwanamkasigwaPiason
    @MwanamkasigwaPiason Місяць тому

    Nimekukubali hii kali

  • @raheemsaleh14
    @raheemsaleh14 2 місяці тому +1

    Lupaso , msoga , chato , kizimkazi , next ……???

  • @salimukimwaga-fu8cc
    @salimukimwaga-fu8cc 2 місяці тому

    Kizimkazi inajengwa na fedha za wapi ila wamasai waendelee kuhangaika kama ndege mtini haki ipo Kwa allah

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 2 місяці тому

    Yaani hata ukiwa mtoto Wa Mchungaji ,shehe n,k watasema baba yako anakula sadaka cha msingi ni kumuomba Mungu na kutenda kile ambacho chaweza kuwa sahihi Kwa unawaongoza ,na Kwa Mungu lawama hazikwepeki

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Місяць тому

    Mama kahamishia Mali za tanzania 🇹🇿 Zanzibar 😔

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 Місяць тому

    Pigeni pesa Kizimkaz iwe kama Dubai

  • @janessamila3269
    @janessamila3269 2 місяці тому +1

    Mambo mengine usiwe unayafatilia

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati Місяць тому

    Mtoto wa Raisi...hafananii na mtoto wa mkulima kule muleba..Hii Nchi wanayoifaidi ni wachache...saana

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 2 місяці тому +4

    Watanzania, wenye maalifa tunapenda uongozi wa Mama Yako, Kwa baadae Tunapenda aje mtoto wa Samia Suluhu Hassan awe Rais,. Jamani tunampenda Mama Yako..

  • @PendoUrassa-xm7ru
    @PendoUrassa-xm7ru 2 місяці тому +1

    Magufuli magufuli magufuli,pumzika kwa amanii,tulipokua tunaelekea tulikua tunaauna saivi sasa da,kilio

  • @bahatiisaimbega88-md1mw
    @bahatiisaimbega88-md1mw 2 місяці тому

    dada Kama bado hujaolewa fanya uolewe na m bala tudumishe undugu na mungano sisiwote ni wa TANZANIA
    TZ

  • @mohdhussein4548
    @mohdhussein4548 2 місяці тому

    Nendeni kwenu

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому

    Mshauri ajiuzuru urais kama hutak aitukanwe

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 2 місяці тому

    Naomba siku moja uwaulize watoto wa Tundu Lisu wanajisikiaje kwa baba yao kupigwa risasi

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 2 місяці тому

    Kizimkazi lazima iwe juu chezea pesa za walipa kodi na mikopo ya kila siku huku masikini huko vijijini maisha ni magumu sana nyinyi mnazidi kuneemeka

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 місяці тому

      Wewe unatakaiwe ndogo ama

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 2 місяці тому

      Kama chato

    • @ايتيتووينويو
      @ايتيتووينويو 2 місяці тому

      Acheni wivu toka zamani wazanzibar mnatuchukulia poa ila Saiv hamuamini macho yenu kwanza acha Makasiriko ww hujampigia kura Raisi ni Mungu2 kampatia nafasi ilooooo tulia kama moja tuachie Mamaetu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому

    Yajayo yanafurahisha