Haya maisha usimdharau mtu, kila mtu ana bahati yake. Agela amekaa Konde Geng Miaka yote kakosa gari. Anaenda kupata gari kwa kwa Zuchu. This is amazing
Simbaaaa ndio msaada wa kila kitu ...mola akampe simbaaa maisha marefu then zuchu she's something special to dangotes life ....plz simba usimuache zuuuuu ana malengo na ww achana na hawa wa harmonize wanapenda hela
Ni somo kubwa kubmaisha yetu ya kila siku nime shangaa Sana kwa kuone zuchu ame onesha upendo kwa yulu mdada aliye lazimashwa na konde bangi eti awe mshindani wake love you mke simba
Gari hiyo kampa Simba, ila kirahisi huwezi kuelewa!! Simba atabaki kuwa Simba tu!! Mwamba ana Hakili sana na anajuwa kutengeneza biashara yake from zero to 9
Ukika kwa simba nibarakatosha,minamuombea maisha malefu simbanamwishomwema, iyonimatundayake, huyudada arinizunishasiku amenyanganywa gali sasa leonisikuyake
Zuchu hongera kw kumsapot anjella Mungu akuzidishie...
❤❤❤ nazidi kumpenda tu Zuchu our bongo flavor Queen love you sana
Wallah mungu amzidishie
Upendo kama huu wasanii wetu tuzidi kuishi nao😢❤
Haya maisha usimdharau mtu, kila mtu ana bahati yake. Agela amekaa Konde Geng Miaka yote kakosa gari. Anaenda kupata gari kwa kwa Zuchu. This is amazing
ni aibu kbwa kwel kwa konde boy
Zuchu ana sauti nzuri sana
Hongera Zuchu Mwenyezi Mungu akuzidishie akupe hitaji na moyo
Tunakupenda sana Zuuuu
Amiin
Diamond Platnumz your the baddest wachache sana watanielewa
Huyo angella amesha kuwa msani wa WCB tayari!! Diamond will always be platnumz
😀😀😀 hii kali ☝🤣
Nashangaa huko kwa Harmomavi alikuwa analipwa shingapi kwa mwezi..
biashara tu hakuna lolote
Tunampenda anjella sana tunaomba aongezwe wasafi maana ni msanii mzuri sana na anapitia magumu toka alipokuwa kondeng
Anajuwa kuimba jamani
Mpeni pia contract huyo Anjela ana kipaji🎉❤❤😢😢 thanks zuuh
Simbaaaa ndio msaada wa kila kitu ...mola akampe simbaaa maisha marefu then zuchu she's something special to dangotes life ....plz simba usimuache zuuuuu ana malengo na ww achana na hawa wa harmonize wanapenda hela
True
ASANTE DIVA ASANTE ZUCHU TO SUPPORT THAT SHE❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ KWA VYOVYOTE VILE IT'S SO HOPELY
Nimefurahi sana hakika zuchu ana moyo mzuri,Anjera mungu atakujalia
Amin Zuch Hana Roh Mbay💯💯
Nakupenda zuchu una moya ya upekeye sana mungu ata zidi kuku bariki ilove you mamy from congo🎉
Aisee wewe dada mungu akubaliki unapotoa paka ongezeke mara 2000 mimi ni shabiki ako toka utoke. Kwahili unafanya niendelee kukupenda zaid ❤❤❤
Zuchu have good heart
Ni somo kubwa kubmaisha yetu ya kila siku nime shangaa Sana kwa kuone zuchu ame onesha upendo kwa yulu mdada aliye lazimashwa na konde bangi eti awe mshindani wake love you mke simba
Saan Love Zuch Anaroho Mzr Sana💯💯💯💯
Konde bangi sio😅😅😅😅
Kwahio sio konde gang ni konde bangi au vp 😂😂😂😂😂
biashara tu
😂😂😂😂😂 comment yako imenikosha
Zuchu Nakupenda mnoo adi mtoto wa wanamta zuchu❤❤❤
Ongera sana zuchu mungu akubarik
Zuchu BWANA YESU Akubariki sana
Mashaallah zuchu❤nimekupend
Nimekupenda sana sana zuchu mungu asikupungukie
Maisha n yako mam yang hkuna ajuye kesho....❤ atkuj kutmbua uhrilisia wak
Mashallah zuchu ❤❤
Hà zuhra zuchu machallah machallah c'est très gentil ❤❤❤❤❤❤❤❤❤💐💐🎂🎂🎂🍾🍾🍾🍾🍾🍾🥇🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Yani kila siku nazidi kukupenda❤❤❤😊
I love that Zuchu 💓
I will support you u big gal zuchu mbebeni huyo dada anakipaji ila support ndogo
Anjela anafaaa kuwa wcb anakipaji sanaaaa believe me akiwa pale atakuwa mbaliii
Hongera sn zuch unasaut nzuri una upendo wA dhAti Allah akuzidishie mnoooooo
Hongeraaaaa thnx zuchu for this mungu akubariki
Big up zuchu❤❤❤❤
Zuch Anasaut Mzr San 💯💯💯
Zuchu mungu atazid kuku barik mmpe na dudu baya ata bajaj
Washapanga hiyo.. Eti Loud speaker.. Anyway nice content
Zuchu ubarikiwe mwaya unamoyo WA kipekee Sana mungu akulinde 😊
Mungu akusaidie zuchu mama una roho safi
Mungu akubariki sana zuchi kwa kumsaport gari mdogo wangu anjela
The black queen ❤❤❤
Mashallah zuchu mungu akuzidishiye🇰🇪
Zuch masha Allah. Allah akulipe I love you so much
💯💯 Amiina
Hii ni nzuri. God bless you Zuchu
Mungu akubariki Sana Zuchu kwa kumsaidia Anjela.Anjela nakuombea Sana usije ukamkosea zuchu
Zuchu umenitoa machozi I love you❤❤
❤❤❤ ❤ vizuli sana zuchu
Nampenda zuchu nampenda anjella nampenda harmonize
Nimependa sana hii kwakweli kheee😘😘😗😙😍
Much love🎉🎉🎉🎉🎉
Kwanzia Leo natoka konde gang naenda wasafi ,. Nakupenda zuchu
Msimpe tu gari mpeni na shavu wcb
Nampenda mwanang zu chu chuuu
Angela utafika mbali sana njia nyeupe mungu akutangulie mdogo wangu
Mashallah mashallah mashallah ❤❤❤❤😢😢😢
Daah niupendo uliojee huu jamaniii mwenyezi mungu akuzidishie shemeji
Zuchu umefanya vizuri
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Diamond plutnum.
Ila anjela mzuri jaman sema konde kamyumbusha
❤❤❤❤
Kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪... napenda sana lebo ya WCB especially the members how they cooperate,,,Zuchu pull up
Hii imeshaandaliwa kitambo tu na simba😅
so good .....jaman... ndo inavyotakiwa watanzania
Nilikuwa nampenda Zuchu Ila hiii imenifanya nimpende zaidi
Maisha ya wasanii wa bongo ni sanaa tu😂
ubarikiwe viwango vyako vilinganishwe na kina rihana Aminaaa
Zuchu anajitambua sana kwa kweli
Zuchu safi sana kwa ulilolifanya kumpa gar rafiki yako
ZUHURA A.K.A ZUCHU KWA HILI ISHI MIAKA MINGI PAMOJA NA FAMILIA YAKO❤
Mtu na roho yake jaman mungu amzidishie
Huyu diva mbn km kapewa maelekezo 😂😂😂
Mpango huu umepangwa
Hata kama kapangwa lakini mpango umetik ni jambo jema@@reynaaalrawahi4137
Ukwel huu mpango umepangwa
Sawa ila gari limetolewa
Simba akimsaini wasafi ela inarudi wiki tu😂
Mashallah
aibu kwa konde boy hii kabisaaa alishindwa kumsave kwel 😢😢
Gari hiyo kampa Simba, ila kirahisi huwezi kuelewa!! Simba atabaki kuwa Simba tu!! Mwamba ana Hakili sana na anajuwa kutengeneza biashara yake from zero to 9
Sasa kumpa mtu gari na biashara vimeingilianaje kwahy yy hana akili hadi aseme zuchu ndio kampa hilo gari mbona kama hujielewi kaka 😏
@@KhadijaSamsonHajielewi kabisa Angela amemuomba zuchu amnunulie gari maana yeye anataka collabo na zuchu sio diamond
@@yusternyirenda7231 na kizuri kapiga simu live au mwenzetu kasikia sauti ya diamond platnumz pale😅
Kwani kunaubaya gani? Au zuchu hawezi kununua iyo car?
@@Zuu673 ndo ushangae na ww kama aliweza kumnunulia yule manager wake gari atashindwa kununua crown
Safi zuhura.huna moyo sana ww Dada.
Diamond msaidie huyo dada anateseka na kipaji wakati anacho
4:15zuchu adi nimelia🤣🤣🤣
Hii mlipanga bana
Ndio vizuri pigeni kelele mtuongezee views. Mfano mzuri wanawake mpendane.Ishallah Mwenyezi Mungu Akujalienulipotoanakurudishie mara dufu. Ukimaliza inshallah mpelekeni India mkamtibu wapate kasema vizuri.Mungu atakupa fungu lako. Ameen.
Ukika kwa simba nibarakatosha,minamuombea maisha malefu simbanamwishomwema, iyonimatundayake, huyudada arinizunishasiku amenyanganywa gali sasa leonisikuyake
Wamepangana ila sio mbaya mladi gari awe nalo
Kweli mpango huu
Nice
Safi sana
Wow 🔥🔥
Zuch ata kuongeya sauti nitamu.baby❤❤❤❤❤
San Zuch Ana Sauti Mzr Sana 💯✔️
Zawadi kubwa NI contract...mpeni mkataba Angela Paige kazi.....hata hiyo miguu atajitibu mwenyewe!
Ila zuchu hakumpa gari kwakutaka ni mtangazaji ndo kaingiliya kati ili anjela asaidiwe usafiri.sio mbaya,maisha ni kusaidiyana.
Zuchu unetisha, Umenifanya ni subscribe WASAFI🎉❤
mi nazani huo dada tayari yupo wcb
Habari ndo hiyo
Nimefurahi sana kuona mnamsapot
❤❤❤ zuchu
Kama ni kweli hongera Mungu amzidishie alipotoa ila kama kiki mnazingua
Asalamu alleykum dada diva nakupendaga sn wewe dada
Kazi safi sana kbs but musitupime eti Amekuja kma hajui habali ya hilo gali😅😅😅
Mejiunga wasafi😂😂😂
💯💯
Sasa kwan kumtibu mguu ni shingap mpaka amnunulie gar la 20m
Kwani harmonize si aliahidi atamtibu?
Achen ku question watu km icho ndo alichotamani
Kashakuambia anashida na gar mxiiew
Kwan yy ametaka nn..na unajua tatizo lake
Kamtibie wewe
Mbona hawajashtuka😂😂😂😂
Thus good
Mmepangaaa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Konde bangi alituma unakuwa mshindani wa zuchu kumbe yeye ndio atakuwa saidiya kimaisha daah🤔
Umenifuraisha saana, eti konde bangi😂😂😂
@@amisibilly5084 kaka yangu huyo konde bangi hata sisi wa congomani hatumupend ikwa sababu ni mtu mwenye haana akili timamu