MSOMI wa DIGRII ALIYEGEUKIA BODABODA AKAPATA AJALI IKAMUACHA na ULEMAVU - ANA 'A' za KUTOSHA -HUZUNI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • MSOMI wa DIGRII ALIYEGEUKIA BODABODA AKAPATA AJALI IKAMUACHA na ULEMAVU - ANA 'A' za KUTOSHA -HUZUNI
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 198

  • @abrahamumusa2229
    @abrahamumusa2229 14 днів тому +3

    Mungu akusaidie brother

  • @restcyprian1598
    @restcyprian1598 21 день тому +18

    Mwanangu pole sanaaa. Serikali angalieni watu waliosomea masomo ya wito. Hii itakua laana kwa ubaguzi wa kuajiri watu. Mwogopeni Mungu. Mpatieni huyu baba wa familia ya watoto 4 na mke. Mwanamme kulia ni uchungu mkubwa. Ningekua na uwezo ninge mtibu kwanza. Oneni huruma. Mamilioni mnayolalia msaidieni huyu kijana

    • @user-sd5zf6fz4v
      @user-sd5zf6fz4v 21 день тому

      Nikweli kabisa pesa wanafanyia Masherehe ya kijinga hali yakuwanwagonjwa wapo

    • @aishahamis1609
      @aishahamis1609 18 днів тому

      Subhuhanallah kila masiku watu wanachezea pesa wanawanunulia magari bora wangetoa msaaada sadaka isiyokufa😢

    • @GraceMalley-ly2xn
      @GraceMalley-ly2xn 17 днів тому

      MUNGU AKUPONYE NA WATU WENYE UWEZO WAMCHANGIE KIJANA HUYU JAMANI

    • @GraceMalley-ly2xn
      @GraceMalley-ly2xn 17 днів тому

      Na akipona apate bajaji

    • @GraceMalley-ly2xn
      @GraceMalley-ly2xn 17 днів тому

      Kweli akipona apate ajira

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 14 днів тому +2

    Pole Sana kaka NOERY mungu akusaidie

  • @KemmyPrince-r4l
    @KemmyPrince-r4l 21 день тому +14

    Daaaah maishaa haya nimelia sana nimekumbuka ajar nilopata mwez wa 6 nikavunjika paja na nyonga ikatoka😭😭😭❤️ mungu atuponyeee jmn

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE 14 днів тому +2

    Pole sana mdgwangu mungu tu afanyie wepes pia kuna siku utasshau shida zote usikate tamaa mungu yupo

  • @vincej9275
    @vincej9275 19 днів тому +3

    Wakati mwingine maisha inaweza kua ngumu sana lakini siku moja yote itakua sawa tuu Kaka yangu.
    Mimi baada ya college, nilikosa kazi kwa miaka (10) nilijiona ovyo baada ya marafiki wote kutoweka. Lakini sasa nashukuru Mungu. Don't give up brother, there is light at the end of the tunnel.

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 13 днів тому +1

    Subhanna alla ewe mwenyez mungu mponeshe mja wako wewe ni mjuzi zaidi kuliko sisi tunavyojua

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 18 днів тому +3

    Yaan maskin we hata saiklojia yake haipo sawa daah

  • @ashuraomar4935
    @ashuraomar4935 10 днів тому

    Pole sana Mwenyeenzi mungu atakupa shifaa Insha Allah

  • @fredrickjoseph2907
    @fredrickjoseph2907 21 день тому +12

    22m ni ndogo sana
    Tuchangeni

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 21 день тому +8

    Pole sana ndugu rais Samia msaidie kijana nae ni mtoto wako

    • @feruzyjuma-go3vc
      @feruzyjuma-go3vc 13 днів тому

      rais yuko bola kusaidia timu za mpila kuliko kusaidia watu kama hawa....wakati nchi ni yetu wote

  • @jenymtafya3430
    @jenymtafya3430 17 днів тому +2

    Huyu kaka ana maumivu makali sana😥 Mungu amrudishie tumaini tana dah! Hizi ajira jamani loh

  • @user-mg6uo1kn4e
    @user-mg6uo1kn4e 21 день тому +3

    Pole sana ndgu yangu Noel Mwenyezi Mungu ni mkubwa na anaweza yote stakuponya kabisa,na mh.Rais wetu mama Samia bila shaka amrona hii intervew atakusaidia tunajua mama yetu ni msikivu na nimwenye huruma.

  • @vero57
    @vero57 21 день тому +6

    Sasa hivi jamani mimi navyoona afadhali watu wakazanie kilimo kina pesa sana , kuliko kumaliza na University alafu kazi hakuna , pole sana kaka ,

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 19 днів тому +2

    Jishike na Mungu ndio rafiki yako pekee Kaka.

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 21 день тому +12

    Pole sana usilie muombe Allah atakupa mlango wakutokea

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 21 день тому +4

    Pole sana mdogo wangu 😢😢😢 inauma sana

  • @user-en9qq1cy9x
    @user-en9qq1cy9x 21 день тому +1

    Pole sana kka kuwa na Imani mungu atakuinuwa Tena na utapona kubwa Imani tu

  • @sabteectanzaniaLimited
    @sabteectanzaniaLimited 21 день тому +1

    Pole sana Mangi Swai, Life is always 🎉Mungu akupe unafuu Watanzania wenye uwezo wa chochote tumchangie huyu Mwamba haya anayo yapitia nimagumu sana anateseka sana

  • @PendoPeter-rr4jk
    @PendoPeter-rr4jk 20 днів тому +1

    Daah pole kaka muamini mungu anaweza Kila kitu,

  • @joycemwakilembe-lc9fx
    @joycemwakilembe-lc9fx 21 день тому +1

    Pole dogo ombi letu mama yetu
    Samia akuangalie kwa jicho la kipekee. Akufikirie na kukuhurumia❤

  • @elvismabena7630
    @elvismabena7630 21 день тому +1

    Pole Sana bro mwenyezi MUNGU ni mwema kila wakati

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 21 день тому +1

    Pole sana kaka Mungu atakuvusha kwenye ili jaribu🙏🙏

  • @marymaimu216
    @marymaimu216 21 день тому +9

    Daah! Noel nimesoma nae Sekondari Olevel, alikuwa kichwa kweli kweli
    Number 1 ilikuwa yake nyingine anatuachia tupambane nazo
    Kweli maisha ni fumbo 😢😢

    • @christinakomba689
      @christinakomba689 21 день тому +2

      Ndio maana anaumia sana pole noel

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 21 день тому

      Wapi huko mlisoma

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 21 день тому +1

      yaani na kama ukifuatilia ukiwa na akili sana wakati wa kusoma katika maisha unakutana na mitihani sana, hata kama sio ajali lakini hata kuapata kazi ni tataizo. Tunateswa na maroho na mizimu. Huyu ndo angenyanyua famulia ila shetani akamuwah

    • @agricolamwageni5471
      @agricolamwageni5471 21 день тому +1

      @@julianapeason6254 ni kweli kabisa yani huyu angekua labda mtu mkubwa kabisa sema shetani hataki ufikie

    • @aishahamis1609
      @aishahamis1609 18 днів тому +1

      Mungu amvushe katika hiyo mitihani

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y 21 день тому +1

    Pole sana kaka mungu akuponye

  • @cleophaccleophac427
    @cleophaccleophac427 21 день тому +1

    Pole sana bro amini mungu yupo utapona bro

  • @mathewlive77
    @mathewlive77 21 день тому +1

    Ajira imekua shida sana , hata hiz chache zinazotokea hutoleawa kwa walio na connection, saiv dgrii ni nying sana na ili uajiriwe ni lazima ujiulize , unamjua nani!? Kqmq unadgrii tu ila huna connection bas endelea kupambana ajira bado sana, tupambane tu , pole broo hizo ni ajal kazin.

  • @SATZ-news
    @SATZ-news 21 день тому +1

    Im sorry brother God has the reason... Don't drink pray and Glorify God for keeping you live till now.
    And spend ur time on social media it will help you to forget what you r going through.
    Much love brother we love you ❤❤❤❤

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 21 день тому +2

    kwa wale wasomi wa degree na kuendelea na hatujapata kazi hadi miaka 40 inakaribia lakini ni wazima wa afya tuseme asante Mungu. Pole sana ndugu yangu . Tupo wengi sana tumesoma zaidi ya degree na hatuna kazi na tunakaribia kustaafu

    • @asiamalonji5962
      @asiamalonji5962 21 день тому +1

      😢maisha ni mapambano sio wote tuajiriwe jamani tupambane kwingine na Mungu atasaidia fainali uzeeni haijalishi ulipitia yapi

  • @PendoMahu
    @PendoMahu 21 день тому +1

    Dada Lili endelea kuwa na moyo wa utoaji,kaka noel mungu akutie nguvu usikate tamaa mungu yupo pamoja nawe

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 21 день тому +1

    Asante sana liliani

  • @SATZ-news
    @SATZ-news 21 день тому

    Oh! The hoster God bless you my sster i watch a lot of ur interviews You are an Angel❤

  • @LucyKulaya-bj5ow
    @LucyKulaya-bj5ow 21 день тому +1

    Sizan ka kunamtu kaangalia hili naajashusha kamasi ,amejua kuniliza ,mungu amuonekanie jaman

  • @OnesmoMagehema
    @OnesmoMagehema 11 днів тому

    Brother pole sana me mwenyewe nimeumia sana ila ipo siku utasimama pia serekali waangalie hiyo degree yako wakupe mchongo

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 19 днів тому +1

    Jitahidi na kuomba Mungu Kaka , utapata njia hutabaki ulivyo

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 21 день тому +2

    Please please serikalini msaideni huyu bwana apate matibabu. Yaani ni issue kusikitisha sana. E Mungu msaideni😢😢😢

  • @DorcusYusuph-yy4xr
    @DorcusYusuph-yy4xr 13 днів тому

    Mungu wew ni zaidi ya vyote,kwa namna yoyote msaidie huyu kaka Mungu wa mbingu na nchi kwa namna yoyote yesu nyoosha mkono wako,waguse viongozi na watu mbalimbali mungu wa rehema tumsaidie huyu kaka

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 19 днів тому +1

    mwanangu usiogope Mungu atakusaidia kwa kila jambo kubali halafu mwachie Mungu wewe huwezi na amini tu

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 12 днів тому

    Yani mpaka hapo ni roho zinazo kutesa kwanza unahitaji maombi kabla ya yote utapata jibu sahihi uwezakano upo wa kutembea kwa Mungu hakuna kinacho shindikana Mungu aingilie kati vita yako adui aliye ingia kupoteza ndoto zako akashidwe tena ni mangi wachaga mila za kukabizi watoto kwa miungu inauma sana pole Mungu yupo naye

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 21 день тому

    Duuu,, pole sana noel!!! Serikali, tuna wasomi wazuri, wanaishia kubodaboda,, na madereva wa STL, STM, STN, hawana huruma na hawa vijana wa boda to boda, barabarani wana wabutua sana,, na kuwa achia ulemavu wa kudumu, na wengine kuishia kufa, na kuacha familia zao kuteseka.

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 21 день тому +4

    Watu kama hawa ndy wanastahili ajira,zipo kazi za kiutawala anaweza kuzifanya. Na serikali imsaidie matibabu huyu mtu

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 21 день тому +3

    Yaani spital kuu unaambiwa hakuna vifaa 😭😭 yaani hii nchi ya uonevu sana na unyanyasaji,

  • @JosephaNdomba
    @JosephaNdomba 19 днів тому

    Pole sana kaka mungu ni mwaminifu

  • @user-li7zm3zg3t
    @user-li7zm3zg3t 15 днів тому

    Pole mwanangu mungu akusaidie

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 11 днів тому

    @Imelda Mtema basi muwe mnafatilia hiyo michango jamani akitaja tu namba halafu mnaacha haisaidii😢

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 21 день тому

    Pole Sana Nowel Allah Atakuafu Utapoa Inshaallah

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 21 день тому

    Umeniliza mwanangu,pole sana.

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 21 день тому +2

    Nchi imekuwa ya Famili tano na pia digrii hakusaidii kama hauna connection 😢

  • @muhammadmassoud3576
    @muhammadmassoud3576 9 днів тому

    Bora ufe kwa ahadi

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 21 день тому +2

    WEWE KUWA NA DEGREE NA KUKAA NYUMBANI SIO TATIZO TATIO NALIONA NI KWAMBA HUJAKUBALIANA NA HALI ULONAYO NA UKAAAMUA KUAMKA TENA KWA NGUVU YA MUNGU MKUU NA KWENDA MBELE KUWA FAMILIA MASKINI PIA SIO KOSA KOSA NI KUKATA TAMAA😊 TUJARIBU TENA KAKA

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 19 днів тому

    Pole kaka Allah atakufanyia wepesi

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 21 день тому +2

    Usilie omba Mungu akupe unafuu wa maradhi yanayokusibu, ukishapona. Utafanya chochote ili mradi kiwe halali.

  • @chadtandiko7688
    @chadtandiko7688 21 день тому

    Mungu akutie nguvu Braza utapona muamini Mungu

  • @salmahanai
    @salmahanai 21 день тому

    Pole sana kaka mungu asimame nawe

  • @chadtandiko7688
    @chadtandiko7688 21 день тому

    Tunakuombea kwa Mungu ts soo painful stay strong

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 13 днів тому

    Pole sana❤❤❤kaka mtihan jaman

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 21 день тому

    Pole sana Noel
    Mungu ni mkuu

  • @kennedymaster2000
    @kennedymaster2000 14 днів тому

    Hii Dunia jaman kama wanaigiza nimecheka lakin inauma

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 21 день тому +3

    Izi bodaboda tuziacheni ni hatar tupu zitatumaliza na zinatusababishia ulemavu wa maisha pole kaka

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n 21 день тому

      Ni kweli lakini ajira hakuna tufanye nini😢

  • @HappyHiker-nz9vg
    @HappyHiker-nz9vg 21 день тому +1

    Tinapambana kusomesha watoto wetu 😢😢 lakin ajila kuipata mtihani wallahi 😢😢

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 21 день тому

      Mpaka Emelda machozi yamemtoka Leo na sio kawaida kabsa ata wafiwa anawahoji na haliagi

  • @mwitawakimara3649
    @mwitawakimara3649 21 день тому +3

    Brother vumilia yatapita punguza kulia

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 19 днів тому

    Pole kaka usichanyikiwe hiyo yote ni kadar ya Allah M mungu yupo pamoja na wewe tunaelewa machungu unayoyapitia lkn kuwa na subra na iman

  • @lucybundala6435
    @lucybundala6435 21 день тому +1

    Rais Samia hela ya goli la mama elekeza kwa watu wenye uhitaji kama huyu kak. Pole sana ndugu Mungu ni mwema atafanya wepesi utapona

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 21 день тому +7

    Huyu jamaa ameathirika hadi kisaikolojia

  • @kanisiuschumacannireal-zg2ee
    @kanisiuschumacannireal-zg2ee 21 день тому

    Daaah so painful pole sna kaka

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 21 день тому +1

    Mama Africa Samia wetu unapendwa mama ❤❤❤❤❤ from Capetown

  • @BeyayoMakoja
    @BeyayoMakoja 21 день тому

    Pole sana kaka

  • @user-cc6gx1ue6w
    @user-cc6gx1ue6w 19 днів тому

    Kaka pole sana

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 21 день тому +2

    Jamani miaka 6 ni mingi sana. Tumchangie hiyo 22m akatibiwe

  • @user-vg2uc3hw1v
    @user-vg2uc3hw1v 18 днів тому

    Jamani pole kakaangu alafu Hela wanazopewa yanga si wamsaidie huyu kaka huku ndio neema ilipo

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 21 день тому

    Ndo mitihani kaka pole sana inaumia ila ndo mpango wa Mungu

  • @arafakhamis3336
    @arafakhamis3336 17 днів тому

    Pole sana

  • @johnkazaula8602
    @johnkazaula8602 21 день тому

    Pole Sana Kaka lkn Amin tu yote yatapita mungu amtupi mja wake,

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 21 день тому

    Pole kaka,hii ndo serikali ya ccm hovyo

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 21 день тому

    Daah roho imeniuma sanaaa masikini kaka nakuelewa unavo jisikia pole sana my brother kwa nn hukuwahi kujitokeza hata kuomba msaada hadi sasaiv miaka 6 jamani mungu akufanyie wepesi upate kupona kaka usimame tena jembe letu ungeomba misada hiyo pesa kwa watanzania nikidogo sana my 💔💔😅😅😅😅😅😅😢😢😢😢😢😢😢

  • @gililwise
    @gililwise 21 день тому

    Mama samia nakuomba sana mwangalie kwa jicho la huruma huyu aka apate matibabu

  • @navioma4882
    @navioma4882 19 днів тому

    Pole sana kaka😢😢

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 16 днів тому

    Kwakweli nimelia😢

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 21 день тому +1

    Kanigusa huyu kaka nimelia kama Emelda alivyolia, mungu Muacheni aitwe Mungu. Mungu mpe subra huyu kaka😢

    • @farajiissa560
      @farajiissa560 21 день тому

      Toka hapa muongo ww

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 21 день тому

      @@farajiissa560 Asante wewe mkweli sasa msaidie basi

    • @farajiissa560
      @farajiissa560 21 день тому

      @@ummySheikh72 hujalia ww

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 21 день тому

      @@farajiissa560 ni mtu wa kupenda malumbano ila hukuambiwa uje hapa kwangu! Na kuombea upate situation ya huyu kaka nije kulia mbele yako ili uamini. Hivii una lazima ya ku comment kwangu? Au ndio una penda ugomvi?

    • @farajiissa560
      @farajiissa560 20 днів тому

      @@ummySheikh72 just come down bhana bas

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 21 день тому

    huyu kaka anaonekama smart sana

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 21 день тому

    Ulemavu hauzuiii kupata ajira😢😢😢😢😢😢😢....jmn wampe ajira afanye kazi apate kipatooo....aweze pata kipato jmn😢😢😢😢

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 14 днів тому

    Wanatoa mabirion kwenye mpira kusaidia watu kama Hawa hakuna kutoa hera za mpira ndio wanaweza ujinga kabisa huuu

  • @knight6757
    @knight6757 21 день тому

    Pole sana Ofisa Usafiri😢

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 21 день тому +2

    Mungu akupe nguvu maskini nakuonea huruma pole baba Wazee hqwstaki kytoka Madarskani ndiyo maana Vijana wanateseka sanaaaa Serikali yetu kiboko kazi kupeana mihela tu wastaafu wa Urais na familia zao

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 18 днів тому

    MUNGU akutie nguvu kaka..

  • @antonjohn134
    @antonjohn134 21 день тому

    Jamaa yaan inaonekana kaharibika kisakolojia yaan ayupo vizuri kabisa Mungu atakusaidia na mwenye uwezo akusaidie jamani

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 21 день тому

    😢😢😢😢 pole sana

  • @user-jx9xc6vo9x
    @user-jx9xc6vo9x 20 днів тому

    Pole

  • @HappyHiker-nz9vg
    @HappyHiker-nz9vg 21 день тому +1

    😢😢😢 pole sana kaka Allah akupe wepesi

  • @MariaMaria-gj9or
    @MariaMaria-gj9or 13 днів тому

    😢😢😢

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 21 день тому

    Serikali yetu Hadi uwe kiongozi ila kwasisi wapiga kura kama mambwa tu ila mama Samia naimani atakusikia inshaallah

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 18 днів тому

    Daah mpk nalia wallah mtu unasoma unajitahidi kadri ya uwezo lakin hakuna kazi wanaopata kazi ni watoto wa viongozi hawa wananchi wa kawaida tunaishia kuuza genge na bodaboda

  • @asteruapaul2243
    @asteruapaul2243 21 день тому

    Kaka yangu usijikatie tamaa mungu 😭😭😭

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 21 день тому

    samia naomba muangalie huyu kijana plz tunaomba umtibie raia wako 😰😰😰😰

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 20 днів тому

    Imelda nakukubali sana naomba contact zako

  • @MaliethaIsambi
    @MaliethaIsambi 21 день тому

    Mungu awakumbuke grobal nawapenda. 21:40

  • @user-vp1zu3fb5w
    @user-vp1zu3fb5w 21 день тому

    INAUMA SANA VIJANA WANASOMA WANA DIGRI HALAFU WANAKUJA BODA BODA HIVI KUPATA AJIRA MPAKA UJULIKANE NA WAKUBWA😭

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 21 день тому +2

    Tupo bze kununua ma ndege vifaa hosptal hakun

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 21 день тому +1

      Hiyo ndio inaumiza moyo wangu sana, hawajali raia kwa kuwa wakiumwa wanatibiwa nje huko Ulaya na India

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 21 день тому +1

      Sio ndege tu na magari ya kifahari

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 21 день тому +1

      Niongeze fedha za kuhongwa wasanii kwa kupelekwa Korea huku na kule na machawa nchi imekuwa ya sherehe kila kukicha

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 13 днів тому

    Huyu inawezekana akienda mnje kutibiwa atatembea

  • @user-df6ui9ro8s
    @user-df6ui9ro8s 20 днів тому

    Serekal km kunauwezekan mpen kaz huy kak kwa Elim yake please 😢