Mim ni mrundi nawaombeya sana msije kuwa kama Burundi kwasabu imeanzaga ivo ivo Tanzania ni inchi moja za east Africa napendaga sana love u guys thanks Millard ayo god bless u
Sina mengi. ninachokiomba Kwa mungu alete mvua nilime nipate chakula nistarehe nimwabudu Aliyeniumba nisubirie kifo nikaonane na Muumba wangu. haya mengine nawaachia wenyewe.
kama kweli kuna watu wanarundikwa rumande zaidi ya saa 24 ni hatari kwelikweli. jeshi la polis litimize haki yake na wajibu wake ipasavyo. hongera mbunge wa singida masharikin
uyo jama ni politicien mzuri saana,nafkiri inci zetu za ki africa zijuwe kuwa rais siyo kusema inci niyako.wakumbuke Mobutu aliukumu miaka mi ngapi na alifiya wapi?magufuli jifkiri saana usije kuiweka tanzania kwenye shida
Hivi hii demokrasia ndani ya chadema IPO. Au unaimba tu ili mradi wakusikie hao wanaokutuma? Sioni mifano hai ya demokrasia ndani ya chadema lakini mnaitaka nje ya chadema. Au unamaana wale wanaonyanyasika kule chadema sio watanzania? Charity begins at home. Au hili hulioni . Tusiwe kama nyani anayemcheka mwenzake huku na yeye akiwa nalo.
@@raphaelsamwel2640 Kwani kuwa mwadilifu na muumini wa demokrasia lazima uwe serikalini? Yaani huwezi kuacha wizi mpaka uwe polisi? Kweli watanzania tunamatatizo mengi na makubwa.
tunahitaji utulivu tuijenge nchi, hata nyie mkipewa nchi mtafanya anachofanya Raisi tena vibaya zaidi, tuna mifano mingi wanasiasa msipotoshe watu kwa uchu wenu wa madaraka na umaarufu, ukweli utabaki Magufuli amefanya na atafanya mengi acheni kumsumbua
Huko sio kukosoana huko nikuvunjiana heshima2 na kwa sitahili hiyo Tz kwamwe nch yenu kuendelea sio rahis mmeshindwa kufanya kazi mmekalia marumbano yasiyo kuwa na 7bu mwisho wa ck mnataka msaada kutoka nje ya nch mbona mnachosha wa2 nyie ifikie kpnd mjitambue kama umefel kubali matokeo subili mda ukifika pambana tena,Tz kuweni makini mlipofika sio kabisa hebu mueshimuni mkuu wenu ili Mungu aibariki nchi yenu Penda sn Tz lkn mambo yenu sio kabisa
Yani tz nayo mda mwingine viongozi wanazingua sana yani mtu kapigwa halafu mnamshitaki tena fala kabisa aisee tundu nakuombea ushinde hizo kesi zote naimani utashinda kwa uwezo wa mungu
nyerere alisha ikomboa nchi hii....toa uppuuzi...kutafuta kiki....enti unajifanya kuwa mandela...kwa lipi kwenye kisiwa Cha Amani Tz...mkitaka kuchochea vurugu mtapigwa sanasana....
Joshua Nyonyi tena minaona wanamkosea wamfinye kama lema maana watanzania hatuwezi kuachia akili zetu zikashikwa na watu kama hawa mwisho wa siku wanao umia ni raia.
Poleni ndugu wa damu yetu Tanganyika. Sisi huwa hatuna makabila lakini Samia anavyo fanya na kwa kutumia vyombo vyake 2, USALAMA wa Taifa na Polisi ni vitendo vya dictatorship.
jamani wapinzani tunanyanyasika sana kilatuxhoongea niuchochez selikali hebu kaeni chini mjtathmini mabavu mnayo tumia hayo mjue mnatukomaza mwisho wa siku nawanch tutakua sugu
Demokrasia tuliletewa !!! Nadhani elimu ya Siasa ianze kufundishwa upya na vizuri na somo hili la Siasa lirudishwe shule za msingi ili watu wawe na uelewa mzuri juu ya Dhana nzima ya Democrasia!!!
Hivi utawala wa kidikteta lisu angeendelea kutukana hivyo?ninavyofaham mimi dikteta hawezi kumwachia mtu kwa dhamana na sidhani kama Lisu angekuwa hai mpaka leo LISU nafkri watz wenyekuona mbali wamekuchoka miaka miwili sasa umekazania neno moja tu "DIKTETA UCHWARA me naona unatumia nguvu nyingi sana kutulazimisha tufuate unachokitaka
Mungu awatete wote unampiga mtoto wa tatu unamvunja mgu bado unamweka rumande aise safi sana kiongozi wetu kwa kutufikishia ujumbe mzuri hao wasiojielewa watatuelewa tuu chadema oyeeeeeee
hapa kazi tu... na uchaguzi umekwisha... wewe unataka tupige kelele badala ya kujenga nji... sijui kwa nini serikali inawaacha watu nyie muivuruge nchi yetu... nyie ni wanaafik na wachochezi... serikali lazima ijue kuwa nani anawalipa ?
siasa zilimufanya yohana mubatizaji kukatwa kichwa nibaada ya kumwambia mfalume ameowa make wamtu kwahiyo watawala wengi hawapendi kukosolewa hivyo kinacho fuata nilaana matetemeko njaa kila mahali ukame magonjwa ya ajabu na mengineyo ukitaka kuwa zaidi mulize mfalume DAUDI alipo owa make wa Julia inchi ilipatwa na nini
NASHUKULU KWA KUITAMBUA KAZI YAKO SASA RUDI KAZINI NAJUA WW SIOMWANASIASA SIASA WAACHIE WENYEWE WEWE NI MWANASHERIA PIA NI MWANAHARAKATI SASA FANYAKAZI
Polisi wakati wa Magufuli walikuwa kama wendawazimu hivi. Walikuwa wanaweza kufanya chochote walichokuwa wanaambiwa na dikteta uchwara. Hata wangeambiwa wakaue mama na ndugu zao kwa jinsi wasivyo na akili wangeenda kuua!;
Mim ni mrundi nawaombeya sana msije kuwa kama Burundi kwasabu imeanzaga ivo ivo Tanzania ni inchi moja za east Africa napendaga sana love u guys thanks Millard ayo god bless u
Trishah Songs
Ahsante. Tunafanya maombi.
Hua yanaanza kama hivi ccm inaudhi sana
anawapenda sana viongoz wote wa chadema mungu awatangulie. peace!!
Mungu ndie anae jua ukweli
Big up Lissu.
Sheria ifuatwe na katiba ifuatwe.
carola kinasha uko na Rafiki kama wewe takukimbia.utanishangilia ujinga
carola kinasha .
Emmanuel Mlowe haa
carola ki TV YBnasha
Sina mengi. ninachokiomba Kwa mungu alete mvua nilime nipate chakula nistarehe nimwabudu Aliyeniumba nisubirie kifo nikaonane na Muumba wangu. haya mengine nawaachia wenyewe.
Rahma Shaban we mjanja
Rahma Shaban like
amina
Rahma Shaban amin
Rahma Shaban Allah akuongoze katika khery
Nampenda sana rais wangu magu piga kazi BABA angu kama kawa 2020 unaleta maendeleo yanchi yt mungu awe nawe daima hata milele aminaaaaaaa
kama kweli kuna watu wanarundikwa rumande zaidi ya saa 24 ni hatari kwelikweli. jeshi la polis litimize haki yake na wajibu wake ipasavyo. hongera mbunge wa singida masharikin
denis fidelis hata mwaka wewe huwezi panga.coz hujui chochote.
Angalieni sana siasa mchezo mgumu sana
ngoja upate dozi kidogo Lissu wewe unajifanya mtetezi wa wezi na kutetea tumbo lako.
Acha ujinga tundulis anatetea wananchi sio tumbolake fala ww
raisi anatakiea afate sheria kwanini mnataka hiinchi iweyakifalm jamani miccm hainaakili kamahaijasoma mijizi wamefilisi nchi nabado wanaleta midomotu
kweli natamani ungetoka familia moja mm naww kaka lisu kweli nakukubali sana
Pigania tundu lisu mungu atakuekea mkono
tundu lisu jikaze tetea wanyonge kwa Yale uliyoyaona gerezani
saafi baba Nakushukuru sana. Mie nasema huyu Mungu anaona jinsi ambavyo upinzan wanavyo gandamizwa.
na wananchi pia tunaona. tuombe uzima fullstop
CCM imenifanya naichukia uwiii MUNGU tupe amani 2020 😣😣😣😣😣😣
uyo jama ni politicien mzuri saana,nafkiri inci zetu za ki africa zijuwe kuwa rais siyo kusema inci niyako.wakumbuke Mobutu aliukumu miaka mi ngapi na alifiya wapi?magufuli jifkiri saana usije kuiweka tanzania kwenye shida
pigana kaka mungu yupo nasi
Ninacho kukubali lisu uwaogopi hawo kenge sanaa lisuuuu
Nnampenda Magufuli kama Rais wangu.
haki itasimama milele........... big up bro lissu
Dah
Sitaipenda ccm mpaka kufa.
Siitaki tena siitaki
Achaaa kumezshwa sum Dua l mchezo mchafu ata uyo lissu akiwa rais mambo yatakuwa ivo ivo mpka dunia itakuwa ivii ivi haki ipo kwa mungu tyu
Ongea baba pamoja sanah
sawa sawa
inauma sana ila mungu halali Na mwisho unakuja
Lisu hawakuwezi sheria hawjui
Hongera baba.
Mzee lisu nakupenda sana unaongea ukwl utawala ni wako saiv ata kina kikwete walinunua ndege na kujenga mabalabala wasitutishe kwa mabalabala na ndege
Amani ya tanzania haitakaa ipotee ..AMEN..tundu mwish wako umekaribia punguan wew
Kumbeeee!
Hivi hii demokrasia ndani ya chadema IPO. Au unaimba tu ili mradi wakusikie hao wanaokutuma? Sioni mifano hai ya demokrasia ndani ya chadema lakini mnaitaka nje ya chadema. Au unamaana wale wanaonyanyasika kule chadema sio watanzania? Charity begins at home. Au hili hulioni . Tusiwe kama nyani anayemcheka mwenzake huku na yeye akiwa nalo.
Chadema sio serikali!! Ipe nafasi ndo tuilinganishe na serikali hii!!
@@raphaelsamwel2640 Kwani kuwa mwadilifu na muumini wa demokrasia lazima uwe serikalini? Yaani huwezi kuacha wizi mpaka uwe polisi? Kweli watanzania tunamatatizo mengi na makubwa.
Liisu Mungu akulinde
we love uuuuuuu,,,
Too
lissu mpaka nakuogopa
tutakuja zindua mradi wa Maji jimboni kwa lisu maana jimbo lake limehamia kisutu
Usitulazimishe tukupende Tundu Lissu
Huyu kamanda ndugu yangu
tunahitaji utulivu tuijenge nchi, hata nyie mkipewa nchi mtafanya anachofanya Raisi tena vibaya zaidi, tuna mifano mingi wanasiasa msipotoshe watu kwa uchu wenu wa madaraka na umaarufu, ukweli utabaki Magufuli amefanya na atafanya mengi acheni kumsumbua
mbona uko off point ndugu yangu yangu. weather amefanya au hajafanya nchi ina haki ya kumkosoa raisi kwa vyovyote vile inavyotaka.
Huko sio kukosoana huko nikuvunjiana heshima2 na kwa sitahili hiyo Tz kwamwe nch yenu kuendelea sio rahis mmeshindwa kufanya kazi mmekalia marumbano yasiyo kuwa na 7bu mwisho wa ck mnataka msaada kutoka nje ya nch mbona mnachosha wa2 nyie ifikie kpnd mjitambue kama umefel kubali matokeo subili mda ukifika pambana tena,Tz kuweni makini mlipofika sio kabisa hebu mueshimuni mkuu wenu ili Mungu aibariki nchi yenu Penda sn Tz lkn mambo yenu sio kabisa
thomas alexander kukosoa cyokuropoka tuu jifunze kukosoa
acha kuropoka unamdomo mchafu
Yani tz nayo mda mwingine viongozi wanazingua sana yani mtu kapigwa halafu mnamshitaki tena fala kabisa aisee tundu nakuombea ushinde hizo kesi zote naimani utashinda kwa uwezo wa mungu
tumuogope mungu napia tuhurumiane
Ni kweli lisu ulivyozungumza nami nakumbuka,kuna watu walikaa lumande miaka miwii ndugu Afidhi ally mpaka Leo yuko segerea akuna humu mpaka Leo?
Lissu wew ni baba
Lissu nijasili sana
nyerere alisha ikomboa nchi hii....toa uppuuzi...kutafuta kiki....enti unajifanya kuwa mandela...kwa lipi kwenye kisiwa Cha Amani Tz...mkitaka kuchochea vurugu mtapigwa sanasana....
Joshua Nyonyi ahaaahaa kwel kak
Joshua Nyonyi tena minaona wanamkosea wamfinye kama lema maana watanzania hatuwezi kuachia akili zetu zikashikwa na watu kama hawa mwisho wa siku wanao umia ni raia.
Joshua Nyonyi hujielewi
Simon Fundi wewe ndiyo hujielewi
Joshua Nyonyi kati ya watu wapumbavu ww niwakwanza yani MTU anatetea sheria ifuatwe ww unasema upuuuzi nyooo
Nakumbukia Mambo mazito ya enzi Zao
MSICHOKE KUSIMAMIA HAKI ZA WATANZANIA MMEUMBWA KUTETEA HAKI,MSINYAMAZE KAMWE MKIONA HAKI INAMILIKIWA NA MTU MMOJA.MUNGU ATAWASHINDIA.
Poleni ndugu wa damu yetu Tanganyika. Sisi huwa hatuna makabila lakini Samia anavyo fanya na kwa kutumia vyombo vyake 2, USALAMA wa Taifa na Polisi ni vitendo vya dictatorship.
safi sana ukweli ndo huo SPK out
Tunakuombea mkuu kwani watetezi wetu ni nyinyi
nimetoka ccm,,,mnatesa watanzania
Lisu kwendaaaaa unataka utawala Kwa nguvu zote, unataka amani itoweke utashindwa kwani Tz tumezoea amani kama ubwabwa na maharage
Ndiyo Tanzania yetu ilivyo
Kwanini raisi asifwate sheria ya katiba kama katiba inavunjwa sheria zilizomo basi aina haja ya katiba kuepo
Tundu A lissu nabii wa nyonge y
TZ ukibisha wewe mkoloni mweusi tz
Yaani hii tz ya leo.
Sijui haijui misingi ya nchi ya ki-democrasia
Zacharia Padir Democrats unafikiri ni kuropoka tuu!!!!. pole
Ukifuata shelia tz utaipenda
Lisu wewe unajua sana
jamani wapinzani tunanyanyasika sana kilatuxhoongea niuchochez selikali hebu kaeni chini mjtathmini mabavu mnayo tumia hayo mjue mnatukomaza mwisho wa siku nawanch tutakua sugu
Sheria ifuate mkondo wake au sio lissu
msumbiji
kabisa
komaa kamanda,,,mpaka kieleweke!!!
joseph madeleke mnaemsifia Tundu mnamponza
Mwamba wa kazi.
kaz yako kupinga tu na utapinga mpaka utajionea aibu mwenyewe mwache rais afanye kaz aliyo tumwa na mwenyez
Wewe ni jembe bwana nakukubari sana
tuko pamoja kamanda
Naipenda chadema siwezi kuisaliti kama nakaya
ccm siipendi hadi kufa
Hadi 2kifa bdo a2ipendi
Demokrasia tuliletewa !!! Nadhani elimu ya Siasa ianze kufundishwa upya na vizuri na somo hili la Siasa lirudishwe shule za msingi ili watu wawe na uelewa mzuri juu ya Dhana nzima ya Democrasia!!!
Who is here baada ya huyu mwamba kusimamishwa kugombea urais??💪
Kumbe lisu hatakupigwa kwake alikua alitabiri.dhulma haidumu.
Dah! this country is OMG
Mbona were umekaa siku nyingi maunajifanya unanua sharia kumbe hewa
Ww unataka kutukanwa kama hujyi kituu kaa kimya
Hivi nyie mnataka rais wahaina gani alikuwepo JK mliongea sana saivi tena yale yale lakini si mbaya tume wazoea
Yuda Magesa tunataka rais mwenye weledi, sio mfuja mai, na si d, uchwara!!
Tundulisu mjinga tens anakera sana
Mjinga we panya book
MASKINI MKE WA LISU
Hivi utawala wa kidikteta lisu angeendelea kutukana hivyo?ninavyofaham mimi dikteta hawezi kumwachia mtu kwa dhamana na sidhani kama Lisu angekuwa hai mpaka leo LISU nafkri watz wenyekuona mbali wamekuchoka miaka miwili sasa umekazania neno moja tu "DIKTETA UCHWARA me naona unatumia nguvu nyingi sana kutulazimisha tufuate unachokitaka
siasa inawenyewe.
Nawenyewe ndio hao kazabuti Tundulisu
2020 JPM kama kawaida😂😂😂
shinda papaya wewe kabira gani naimani utakuwa mtani wangu MTU anaitwa papaya ndio maana humuamini risu msema kweri
shinda papaya mmmh
Mungu awatete wote unampiga mtoto wa tatu unamvunja mgu bado unamweka rumande aise safi sana kiongozi wetu kwa kutufikishia ujumbe mzuri hao wasiojielewa watatuelewa tuu chadema oyeeeeeee
Chambo cha mabeberu ya kizugu
komaa kamanda
Ndoo maana nchi zingine wa2 wanauwawa2 kwa kupigwa lisasi ivi inawezekanaje kum2si mkuu wako wa nchi kiasi hicho Tz hiyo amani mnayojivunia sio kabisa
lisu kiboko sana
hatari
ukowapi hiyo Amani inayosemwa
Mansury Daya m
Worry not..... GOD IS A TRUE JUDGE
utapaza sauti pekeyakoo coz umezoea kuropoka domo kama bata nyoooooooo.
Christina Monyi hawez pasa saut peke yake, sisi wananchi tuko Nate.
Frank Michael uko naye wewe usiye na kazi kwa sisi wananchi hatupotezi muda wetu kijinga
Hahahaaaaaaaaa exactly fact....
Tatizo hujiamini unageukageuka kushoto kulia. Nn shida? Unategemea huruma ya nani? Komaa
Hahi ipi
Sema babaa
Ni kwel busara ni bidhaa adimu siku izi
baada ya dhiki faraja
e
wala hatetei chochote anapotosha watu
we we lisu ungekuwa muungwana ungenyamaza tuu ina onekana ww nawe ni mpigaji tu
atauseme hawatasikia wao wapo tuu
hapa kazi tu... na uchaguzi umekwisha... wewe unataka tupige kelele badala ya kujenga nji... sijui kwa nini serikali inawaacha watu nyie muivuruge nchi yetu... nyie ni wanaafik na wachochezi... serikali lazima ijue kuwa nani anawalipa ?
siasa zilimufanya yohana mubatizaji kukatwa kichwa nibaada ya kumwambia mfalume ameowa make wamtu kwahiyo watawala wengi hawapendi kukosolewa hivyo kinacho fuata nilaana matetemeko njaa kila mahali ukame magonjwa ya ajabu na mengineyo ukitaka kuwa zaidi mulize mfalume DAUDI alipo owa make wa Julia inchi ilipatwa na nini
NASHUKULU KWA KUITAMBUA KAZI YAKO SASA RUDI KAZINI NAJUA WW SIOMWANASIASA SIASA WAACHIE WENYEWE WEWE NI MWANASHERIA PIA NI MWANAHARAKATI SASA FANYAKAZI
Huyu fala tu keshakula kuberi ndioman akaja kuropoka nchin ikiosha atajua nn aliongea si kizur
Wew mwish wako ni October tu
jamani nawachukia sana viongoz wa ccm kwani nacho fanya sio kabisa mnatumiza mjama tumewafanyia nini hasa kikumbwa hicho mbna msakua waonevu
Polisi wakati wa Magufuli walikuwa kama wendawazimu hivi. Walikuwa wanaweza kufanya chochote walichokuwa wanaambiwa na dikteta uchwara. Hata wangeambiwa wakaue mama na ndugu zao kwa jinsi wasivyo na akili wangeenda kuua!;
I'm around
kwani hii nchi shilingi ngapi? tuuze tugawane
hahahaa😀😀😀😀😀😀 duh! tukiuza nchi utakaa wp ndugu yng? wacha2 wafanye yao
+Zainab Mohd hhhhh tujitie zetu Europe
Godfrey Mwita uuze una hati yenye jina lako au LA baba yako useme umerisi sisi tungoje wenye hati watuuze kaka
Jembe
Labda wanangoja wafie humo ndani alafu watupwe miili yao katika misitu.