Mahojiano kamili na Balozi Masilingi na Mbunge Tundu Lissu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2019
  • Mbunge wa upinzani Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi wa Tanzania nchini Marekani katika mahojiano na Sauti ya Amerika mjini Washington
    Originally published at - www.voaswahili.com/a/4777565....

КОМЕНТАРІ • 564

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 5 років тому +110

    Kama umeelewa tofauti ya serikali na taifa katika mjadala huu gonga like tujuane

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 5 років тому +11

    Barikiwa sana Mh. Lissu

  • @habibmohdali206
    @habibmohdali206 5 років тому +9

    Kama umemuona balozi anataka kushika glass ya maji lakini imemshinda kuichukua,,kwakumuogopa lissu gonga like

  • @rafiikiumbe1722
    @rafiikiumbe1722 5 років тому +14

    Eti wapinzani wanaogea wanapo taka kila sehemu duuuuuuh....! Gonga like km umeskia

  • @oscarwissa
    @oscarwissa 4 роки тому +6

    Napenda sana Lissu anavyopanga hoja.

  • @eliasmushi6792
    @eliasmushi6792 5 років тому +48

    Hahahaha ukiwa unampenda tundu lissu...unapata raha sana...

    • @barakaluis5158
      @barakaluis5158 5 років тому

      Sasa wewe kama shoga unaachaje kumpenda Tundu Lissu na ngojea wazungu waje watawalamba kweli

  • @benjaminsolomon1970
    @benjaminsolomon1970 5 років тому +15

    big up...lissu... #viva lissu#

  • @foibekajiru7243
    @foibekajiru7243 5 років тому +22

    Halafu humu inayomwona Tundu Lisu ni mjinga ni mitoto ya mifisadi"ukute mitoto ya mawaziri au mibunge ya ccm!'"Mungu amempa Tundu lisu nafasi nyingine ya kuishi mwacheni ashuhudie makuu Mungu aliyomtendea:'",,THE LIVING MIRACLE!!!!

  • @oriojoseph4518
    @oriojoseph4518 5 років тому +6

    Tundu Lissu Mungu akubariki achana na hao wasaka tonge hata kuongea hawawezi wanatetea matumbo yao tuu.
    Tunaendelea kukuweka kwenye maombi yetu Comrade.

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 5 років тому +25

    Mi nadhani bora baraza la mitihani, NECTA waandae majibu sahihi juu ya swala hili (marking scheme) la sivyo mtu anaweza akarusha ngumi hivi hivi.

  • @emanuelhingi
    @emanuelhingi 5 років тому +4

    Kama umeona balozi alitaka kunywa maji akaona kikombe cha moto acha like yako hapa tujuane

  • @stevenmnzavajoseph
    @stevenmnzavajoseph 5 років тому +6

    Pale akili ndogo inapokutuna na akili kubwa. God bless you hon. Lissu.

  • @mussasaidali5720
    @mussasaidali5720 5 років тому +2

    Kila hatuwa duwa tundu lisu one love

  • @benjaminsolomon1970
    @benjaminsolomon1970 5 років тому +49

    sijui Kama balozi n Baba kwny familia yake... ajielewi

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 5 років тому +28

    When you speak the truth you become so confident and when you speak the lies you become so emotional
    Mmoja kati ya hao amekasirika na mmoja anaongea kwa kujiamini, mwenye akili timamu ameshajua nnachomaanisha.

  • @shadrackrabison8032
    @shadrackrabison8032 5 років тому +7

    You very intelligent Tundu Lissu than huyo Mashilingi. Mashilingi anatetea ugali wake huyo.Ningekuwepo balozi ningempa ngumi moja ya pua.

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 5 років тому +17

    Masilingi anazungumza hoja kama mtu wa mtaani eti watoto bure hajui watu wanachangishwa kwa nguvu 60,000/= kila darasa

    • @shivobs4485
      @shivobs4485 5 років тому

      Kikojozi tu huyo jamaa bure ya wapi tunasoma bure elimu haitukomboi

    • @siamollel9725
      @siamollel9725 5 років тому

      60 tu,,,hela zakulipa walimu je

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 5 років тому +45

    Huyu hana Sifa ya kuwa balozi mbn anabishana kienyeji tena anamkatisha Lisu duuuh ,,kweli ushabiki mbaya

    • @johnbusoro6018
      @johnbusoro6018 5 років тому

      0

    • @ambokileosward8850
      @ambokileosward8850 5 років тому +2

      Nenda ukawe Balozi wewe
      bata wewee

    • @shukurually2011
      @shukurually2011 5 років тому

      Hunda mania Mania tatizo kutetea tonge ivi kweli kama angekufa uchunguzi ucngefanyika? jibu la balozi ndani kuja jambo kiukweli lisu amemfafanulia vizuri sn balozi ameelewa ila anahofia kuwa kunamtu anaangalia lazima ajibu kihuni

    • @valentinamussa4212
      @valentinamussa4212 5 років тому +1

      Hata kama niwewe unadhani unaweza kuungana na tundu lisu,uharibu ugali mbele ya magufuri,

    • @shukurually2011
      @shukurually2011 5 років тому +1

      Valentina Mussa ndio maana hajitambui eti kama ngekufa kufa basi balozi hajui hata kumjibu mtu balozi akiongea lisu ananyamaza lisu akiongea yeye anamzuia alafu anajiita mwana sheria ndio maana lisu kamuuliza ww mwanasheria gani kwasababu haongei pwenti

  • @cosmasthobias5226
    @cosmasthobias5226 5 років тому +27

    Huyu jamaa amuwezi lissu watafute mtu mwengne apambane na lissu huyo kashindwa

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 5 років тому +7

    Lisu unahistahili kuwa raisi wa TANZANIA;jamaa analinda kibaruwa.dr Congo tumupate mtu kama mheshimiwa Lisu ni raha sana ila nabii hana heshima kwao.

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 5 років тому +15

    Dhambi ya kumwaga damu inawamaliza kwakweli!

  • @danielleoterindulu7315
    @danielleoterindulu7315 5 років тому +6

    wote mnaemuombe tundu lisu katka opereshen yake ya 23 like hapa twende sawa

  • @barakalukumay
    @barakalukumay 5 років тому +13

    Huyu balozi gani hana weledinwa kujibu maswali kama ndio hivi unafikiri kuna usalama gani kwa mwenendo huu hafai huyu kengele jibu swali acha hasira za kiyaya

  • @issaathumani4682
    @issaathumani4682 5 років тому +15

    Kwakweli kama balozi unatakiwa kuwa na hekima unapojibu hoja,
    Ni kweli kila mmoja ana mapungufu yake lakin kwa hili hapana mmezidi na inaonekana wewe kama balozi unashindwa hata kumvumilia mtu ejieleze kwa uhuru, mpe uhuru jenga hoja na jibu hoja ya kujibuu

  • @foibekajiru7243
    @foibekajiru7243 5 років тому +25

    Mbona balozi umepaniki!?!ukweli huwa unauma jamiii

  • @mageminja8052
    @mageminja8052 5 років тому +2

    mungu akulinde lisu..hakika hutokufa utadumi milele

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 5 років тому +7

    Masilingi wakati wote ambao kikwete amekuwa raisi tukumbushe lini kuliwahi kutokea wabunge kupigwa risasi
    Na watu kunyanyaswa kiasi kama cha leo

  • @mbcgrams5415
    @mbcgrams5415 5 років тому +22

    Mabalozi wengine bana
    si bora mnipatie hata mimi huo ubalozi

    • @sirialemmy37
      @sirialemmy37 5 років тому +1

      Usijadharau kiasi hicho bro! Time yako itafika na utakula Kwenye sahani yako iliyosafi. Mkosee tuu mtu ila kiwango chako kama raia mwema wa nchi yetu huwezi linganishwa na mabongo Lala!

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 5 років тому

      Watu wa chama cha mapinduzi nguvu tu

  • @geofreyemanuel8939
    @geofreyemanuel8939 5 років тому +56

    Wanao msifia mashilingi wote akili zao zikapimwe...kwataarifa yenu mashilingi kakutana na moto chuma ety anamladhimisha lissu arudi nyumban kwel hawajamaa wanatetea matumbo yao ameulizwa jeshi la polisi limemhoji nan anaanza kumumunya maneno....na subirini Tundu lisu aupate uraisi ndio tutaelewana manake watu wasisiemu mmezidi sana uonevu

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 5 років тому +1

      Anataka Arudi wakammalize tu hawa huyu ambassy analilia kula yake

    • @stevenkambeytz2459
      @stevenkambeytz2459 5 років тому

      Geofrey Emanuel mmm

    • @josephmichael2225
      @josephmichael2225 5 років тому

      Geofrey Emanuel we nae ni nyumbu kweli kweli

    • @barakaluis5158
      @barakaluis5158 5 років тому +1

      Wewe huna akili ndio maana huoni kitu fall wewe na nahisi wewe ni shogaaa kataaa Mungu anakuona jinga wewe

    • @ericmashulano8769
      @ericmashulano8769 5 років тому +1

      wewe utakua mwebdawazimu sio bure

  • @saidshoka4770
    @saidshoka4770 5 років тому +23

    Duuh unajua nini tunaumbuka daah inatia huruma sana lissu wasamehe hawa watu huwenda wakajirekebisha wakiumbuka wao kilio chao ni aibu kwa taifa

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 років тому +1

      Inatakiwa waumbuke wajutie makosa yao

    • @josephmichael2225
      @josephmichael2225 5 років тому

      Said Shoka amsamehe nani we nyau mwenye utindio wa ubongo?

    • @masoudsaid6427
      @masoudsaid6427 5 років тому

      Said Shoka haaa haaa duh umeliona hilo mkuu

  • @nkatakulimamkuwa4872
    @nkatakulimamkuwa4872 5 років тому +25

    Huyu baloz kilaza kweli anongea mpaka anataka kulia

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 років тому

      Kaona kitumbua kinatiwa mchanga, keshazoea unyamwezini tena akitumbuliwa....?!

    • @subekhasleyium8862
      @subekhasleyium8862 5 років тому

      Duuh kumbe hata wewe umemuona aiseee balozi katia aibu swali la kwanza tu alitetemeka mpaka akawa hajui kama anywe maji au ajibu swali kabaki anapepesa macho

    • @adrianokubila8374
      @adrianokubila8374 5 років тому

      Huyo balozi akili nyepesi mtetea tumbo

    • @nicksongerson6416
      @nicksongerson6416 3 роки тому

      Hii tz mabalozi wetu ndio wajing kiasi hiki ... Kweli ndio maana wazungu wametuonea muda wote

  • @alquinmadoro6090
    @alquinmadoro6090 5 років тому +35

    Huyu balozi nae kichwa maji kabisaaa ,kateuliwa na ccm kwa hiyo hata huyu balozi ni kichwa maji

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 5 років тому +3

    Long long life tundu lisu .

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 5 років тому +58

    Balozi mjinga kweli eti anamwambia Tundu lisu kufa sasa wauwaji wakubwa nyie.

    • @jeremiahmwasapilicharlie2926
      @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 років тому +1

      Suma Hunga kasema hukufa sasa hujamsikiliza vizur

    • @jambostaamringa9490
      @jambostaamringa9490 5 років тому

      Nimecheka kifala et kufa ssa uyu baloz amka ki2 apo

    • @smarty1064
      @smarty1064 5 років тому

      Suma Hunga masikio yako umepeleka wap? kasema NDO HUKUFA SASA yaani uko mzima

    • @lizb2012
      @lizb2012 5 років тому +1

      @@smarty1064 kusikiliza ni karama pia si kila mmoja anayo. Hawa vijana wameamua kusikia yale ambayo wameyajenga mawazoni mwao na si kinachozungumzwa. Wamepoteza ufahamu 😁😁

    • @smarty1064
      @smarty1064 5 років тому

      @@lizb2012 ni kweli, hapo ndo linakuja swala la namna ubongo unavyotafsiri, kuna slow learners, kuna intelligent people na wengine ni ma genius kwahiyo twende nao polepole

  • @salehehassan3665
    @salehehassan3665 5 років тому +9

    Baloziiiiiiiii, umeminywa😂😂😂😂

  • @singidaboy1586
    @singidaboy1586 5 років тому +1

    Hhhhhhhh hhhhhhhh tundu brother unawapa tabu watu alwayzzzzz mungu akulinde nakukubali sanaa ndgu

  • @alexgeorge6744
    @alexgeorge6744 5 років тому +6

    Kijana tulia baba aongee we vip nanataka arud tanzania hili mtume watu wasio julikana hiiii.aujui ata kuongea hiloooooo Chadema oyeeeeeee

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 5 років тому +3

    Mungu Mkubwa Ongera sana Tundu Lisu Huyo Balozi siyo Revo ya Tundu Lisu labda Wangemleta mtu mwingine

  • @Shirimatunda
    @Shirimatunda 5 років тому +6

    Huyu balozi si level ya lissu kabisa

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 років тому +7

    Jasho lina kutoka Mashiringi

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 5 років тому +8

    lissu wa Tanzania tunaimani nae hajawai kutuzalau watanzania wala hajatukana watanzania uyu balozi anatetea tumbo lake

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 5 років тому +8

    Huyu balozi anatumbuliwa muda si mwingi maana anaonekana hajui hata kujibu maswali

    • @adrianokubila8374
      @adrianokubila8374 5 років тому +1

      Balozi apimwe mkojo maana hiyo siyo akili ya mtu mzima

    • @hchriss7930
      @hchriss7930 Рік тому +1

      Utabili wako ulitimiaga alishatmbuliwaga kitambo sana

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 Рік тому

      @@hchriss7930 kumbe??

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 5 років тому +1

    Balozi wetu kwa tundulisu ni mwepesi sana tundu ni Level nyengine kabisa mpaka unamuona hapo kasha kwepa mishale mingi!

  • @mohoniajoseph9067
    @mohoniajoseph9067 5 років тому +8

    Huyu Masilingi amepwaya kama chupi ya kuazima. Asante sana Lissu

  • @theictguru5791
    @theictguru5791 5 років тому +1

    Viva Lissu Viva ...Niko tayari kuingia msituni kupigana kwa ajili yako

  • @calvinroyson891
    @calvinroyson891 5 років тому +1

    Nmecheka sana et asante balozi

  • @abassgwandondeye2283
    @abassgwandondeye2283 5 років тому +5

    Nimemkubali lisu

  • @massive1765
    @massive1765 5 років тому +4

    "Wewe mwanasheria wa wa wapi!??" lissu

  • @mbokachawe9657
    @mbokachawe9657 5 років тому +3

    Mashilingi umeambiwa mambo mawili matatu... Hahahhh unataja mambo meeengiiiiiii.... Chaaaaa!!!! Taja ya muhimuuuu!!! Doooooh...

  • @mariahansen3341
    @mariahansen3341 5 років тому

    Huyo barozi walichelewa kumpa somo kachemsha kweli kaka .Tundu Lissu wasamehe tu .Huyo balozi hawezi hatakujibu swali just kutapatapa alivyo tumwa kujibu hawezi bora arudishe kulima kuliko Aibu .Duuuuu Jesus Bless Tundu Lissu Amen.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 років тому +40

    Mashiringi mbona una jazba ? Jicho lime kutoka, jibu hoja sio una payuka payuka

    • @alenfelix8610
      @alenfelix8610 5 років тому

      Hana uwezo wa kubishana Kwa hoja

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 5 років тому

      Olivia Seth anayepayuka ni yule anayetukana, na akijibiwa ana anasemama mwanasheria Wa wapi , wakati mwenzake ana first class ya degree ya sheria isitoshe ana experience kubwa kuliko yeye na katka mahojiono ya kingereza alikili hilo,

    • @raphaelsamwel2640
      @raphaelsamwel2640 4 роки тому

      Kwani first class ndo nini ?? Mitihani??

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t Місяць тому

    Masilingi tulia basi hiyo ngoma ni nzito

  • @abdulrahimmohamed7066
    @abdulrahimmohamed7066 4 роки тому

    Mashiringi hawez bishana na lisu , lisu is too good for him

  • @toptictoc1884
    @toptictoc1884 5 років тому +30

    Hahaha wanang'ang'ania arudi Tanzania ili wamkamate. Ccm bwana wanajifanya wajanja, Mr Lissu usirudi tz ng'o

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 5 років тому

      Sio kumkatama tu watamuuwa kabisa

    • @eliajimmy4841
      @eliajimmy4841 5 років тому

      Wanataka wakamuue kabisa lisu ama kweli ccm ni magaidi

  • @victorkawinner126
    @victorkawinner126 5 років тому +20

    Sasa wewe balozi una taka kuliya kwasababu ume hulizwa maswali magumu yenye kujaa ukweli ,wewe ni Mjinga kweli

  • @waltermbelwa4973
    @waltermbelwa4973 5 років тому

    Ushauri kwa Tundu Lissu.Uko mahiri sana ktk kujibu maswali kwa ufasaha ,hoja nzito na weledi wa sheria.Dosari ndogo kwako iko kwenye lugha ya mwili (body language).Jizuie kumnyooshea usoni kidole yule unayeongea naye.Vinginevyo Mungu amekujaalia umahiri wa kujieleza.Hongera kijana.

  • @raymondpaulla6801
    @raymondpaulla6801 5 років тому +4

    balozi hajui anachokiongea anakua Kama sio mwanasheria hajui kujielezea na hana ushaidi wakutosha anabishana kienyeji tu

    • @donaldthomas3728
      @donaldthomas3728 5 років тому

      Raymond Paulla Uncle Hakuna kazi ngumu Kama kuongea uongo ndo maana baloz amepata tabu, ukwel una tabia ya kujitetea wenyewe, Hata huyo baloz najua nafc inamsuta ila no way

  • @taphtweve1892
    @taphtweve1892 5 років тому +3

    Duh sio kwa ku Punic huko

  • @misambo7539
    @misambo7539 5 років тому +3

    Barozi anaweweseka Kweli Kapanic mbaya hana hoja za kumjibu Lissu zaidi ya kusema arudi nyumbani. Waswahili wanasema mchawi akikuroga akashindwa kukuua anapokuona unatembea huwa anumia sanaa.

  • @raphaelmtweve2674
    @raphaelmtweve2674 5 років тому +4

    Wana akili ndogo sana. Live long lissu!

  • @bijojawas6581
    @bijojawas6581 4 роки тому

    Tundu lisu mmoja ni sawa na wabunge wote wa ccm.

  • @veronicasalvatory8559
    @veronicasalvatory8559 4 роки тому

    Pole sana tundu lisu. Nashukuru mungu umepona.

  • @mkizakamuhungilao3439
    @mkizakamuhungilao3439 5 років тому +4

    Kama Tanzania yetu kuna wanasheria wa aina ya Masilingi, hawafai kuwa Watanzania kabisa, maana wanasheria wa aina hii mwisho wa siku ndio wanaotusainia mikataba mibovu, sasa mwanasheria gani anaulizwa swali kuwa mmefikia wapi kuhusu kesi ya Lissu? eti anajibu Lissu hajaonyesha ushirikiano, Lissu anamuuliza tena ningekuwa nimekufa msingefanya uchunguzi? mwanasheria Masilingi anamjibu haujakufa hupo, wakati wanajua kabisa huyu jamaa ndg Lissu yuko kitandani anaumwa zaidi ya mwaka sasa hakuna uchunguzi uliofanyika, kwa maana kwamba Lissu akipona aje afanye mwenyewe uchunguzi wa waliompiga lisasi, maana tumeanza kuona baadhi ya wabunge wa ccm wakitoa majibu ya namna hiyo ya kuwa Lissu anatakiwa aje afanye uchunguzi mwenyewe atawabaini waliompiga lisasi. Kwa majibu haya inaonyesha dhahiri shahiri wanawajua waliomshambulia Lissu na ndio maana uchunguzi hauwezi fanyika habadani. Ila wakae wakijua siku za mabadiliko ya kweli zaja na ndio itakuwa kuna kulia na kusaga meno,namaliza kwa kusema hivi hao wasiojulikana wangejulikana wangepewa kazi maalum ya kuwaondoa wanasheria wa aina ya Masilingi ambao wapo nhchi hii kwa masirahi yao binafsi.

  • @bakarimashi8711
    @bakarimashi8711 5 років тому +15

    Balozi anatetea ugali wa familia yake tu pumbavu

  • @johannesmaloda8209
    @johannesmaloda8209 4 роки тому +1

    Masilingi humuwezi huyo...Kabudi ndo level zake!

  • @lucky9285
    @lucky9285 5 років тому +3

    Masilingi kafunikwa

  • @kassimjuma8713
    @kassimjuma8713 5 років тому +3

    Huyu Balozi alichaguliwa kwasababu ni NGOSHA. and Muhaya.

  • @patrickmilanzi5915
    @patrickmilanzi5915 5 років тому +2

    Lisu yuko vizuri mno isipokua huyo balozi ni mpiga debe wa CCM

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 5 років тому +4

    lissu upo vizuli sana umesema ukweli lissu

  • @pangapaul659
    @pangapaul659 5 років тому +1

    Huyu Baloziiii nimemshusha hadhi ya kuwa baloziiii kwa pressure hii!shida sana!

  • @claverygavana5244
    @claverygavana5244 5 років тому +8

    Huyu balozi ni mwanasheria wa wapi mbna hafati protocol

    • @damianmgonela5827
      @damianmgonela5827 5 років тому

      barozi hajibu maswali yanayostahili Na siyo mwanasheria huyo anatakiwa kutulia asikilize hoja halafu ajibu nasiyo kumkatisha maongezi yake siyo haki kabisa hiyo ndiyowatu husema ndiyo Wale wale

  • @cosmasbenadr5179
    @cosmasbenadr5179 5 років тому +2

    Huyu balozi kajaa upepo usio na sabubu mpaka anashindwa kujenga hoja ya msingi hii inaonyesha kuwa kinacho semwa na Mheshimwa Lisu ni kweli kabisa

  • @ev.mhugohantish288
    @ev.mhugohantish288 5 років тому +2

    hahahahaha 😂 6:12 Balozi "unajua kwanini TUNAUMBUKA...?"
    kumbe unafahamu kuwa mnaumbuka eh?

  • @victorkawinner126
    @victorkawinner126 5 років тому +5

    Uyu balozi aliye na mapungufu ya akili na elimu , ndo anaye kuwakilisha marekani kweli !?

    • @donaldthomas3728
      @donaldthomas3728 5 років тому

      UJINGA SANA halafu hivi kuna watu wanaamini kuwa wabongo ni wajinga na wanaweza kuwadanganya watakavyo, Asa ivi watu ni werevu Sana ukitoa hoja ujipange ,Balozi kakurupuka hata uso unamsuta na dalili za kuzidiwa ni kupora muda wa mwenzio

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 5 років тому

      Ndio chama chako iyo chukua chako mapema

    • @victorkawinner126
      @victorkawinner126 5 років тому

      @@ukweliunauma4570 Mjinga

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 5 років тому

      @@victorkawinner126 mjinga wewe au mie umejuaje kama wewe sio mjinga pia

    • @victorkawinner126
      @victorkawinner126 5 років тому

      @@ukweliunauma4570 kwasababu naji elewa ,wew ahu jielewi

  • @laumlimbila4337
    @laumlimbila4337 5 років тому +1

    this is America Mr gambino

  • @mashakagwesa9983
    @mashakagwesa9983 5 років тому +3

    kwa kifupi balozi hamuwezi lissu

  • @nelsonmataba1426
    @nelsonmataba1426 5 років тому +1

    Power of knowledge vs power position

  • @MajiTakaMaji
    @MajiTakaMaji 5 років тому +1

    Safi sana nchi yangu Tanzania Pimbi kama huyu inatakiwa kula nae sahani kama hivi

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 роки тому

    Kazi nzuri ya serikali gani wanafiki

  • @ndeziboysanga
    @ndeziboysanga 5 років тому +26

    Uyo hana sifa zakua boloz iv ingetokea kapigwa yy lisasi ingekuaj? Hana maana.

    • @salumsaburi5049
      @salumsaburi5049 5 років тому

      Huyu balosi ameekwa tu hajui llte sijui kama hata amefika form4

    • @idgafbmw295
      @idgafbmw295 5 років тому

      Ndezi boy sanga lisu ksvulugwa ,siurudi kwenu kwanza au kama hukutaki njoo uchukue family yako

    • @idgafbmw295
      @idgafbmw295 5 років тому

      Ndezi boy sanga Dah hili pank, kiduku?

    • @marcomashimba2225
      @marcomashimba2225 4 роки тому

      moringa. devid

    • @marcomashimba2225
      @marcomashimba2225 4 роки тому

      moringa. devid

  • @jacobphilipotibaijuka9573
    @jacobphilipotibaijuka9573 5 років тому

    Duh hawana sheria jaman duh

  • @ujanjamedia7813
    @ujanjamedia7813 5 років тому +1

    Afya ya kuzulula uko unayo yakurudi huku huna heeeh aya saw

  • @josephmichael2225
    @josephmichael2225 5 років тому +2

    Balozi masilingi kunywa mvinyo mi nipo kwenye dream liner nakuja kulipa bili hiyo nyambafu umepigilia misumali ya maana kweli.

  • @kushahalabani7069
    @kushahalabani7069 5 років тому

    Tundu lisu baba etu tunakusubi sana uludi pona halaka

  • @hashimuismail5587
    @hashimuismail5587 5 років тому

    TUNDU LISSU shikamooo

  • @samwelkobe6455
    @samwelkobe6455 5 років тому +6

    Ukitumwa ukajibu hoja za lissu duh kimbia LA sivyo utaaibika😂😂😂😂😂😂😂

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 5 років тому +1

    Uwiiiii balozi acha uwongo unatuaibisha na unajiaibisha,,,,Shule zipi bure walimu hamna

  • @reaganassey4594
    @reaganassey4594 5 років тому

    duuh balozi hana uwezo wa kuongea wala kujenga hoja, walio koswa koswa kuuliwa wanajua thaman ya uhai,bravo lisu,, yan hapo shikilia nchi ni ya wananchi wa tanzania na si serikali

  • @levymamuya5447
    @levymamuya5447 5 років тому +1

    Balozi umepaniki sana

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 5 років тому +1

    lisu1 sawa na mabalozi wote wa nje na wabunge wote wa ccm

  • @annaemmanuel4657
    @annaemmanuel4657 5 років тому

    Nimemuelewa balozi sana, hataki longo longo hataki maneno ya kusikia

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 Рік тому

      Inamaana maisha yako yote balozi hukuwahi kusikiliza maneno ya watu, mpka ujionee mwenyewe?

  • @nyembeaisihaka6017
    @nyembeaisihaka6017 5 років тому +1

    Hahahaha... Balozi nimepata neno kwako..MZEE WA FURIIIII....

  • @Mnaveed_804
    @Mnaveed_804 5 років тому +1

    Huyu kweli ubaluzi duh

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 роки тому

    Umetufundisha vibaya sana utawala was makufuli

  • @flyhigher5393
    @flyhigher5393 4 роки тому +1

    Tundu lissu ana akili nyingi Sana,muone barozi wetu alivyojing'ata ng'ata hahahaaaa

  • @benjaminsolomon1970
    @benjaminsolomon1970 5 років тому +8

    balozi una fact....pointless unatetea tumbo

  • @deomichael3081
    @deomichael3081 5 років тому +1

    Wanyeeeeee babaaaaa

  • @mwamuzipaul3991
    @mwamuzipaul3991 4 роки тому

    Mwenyez múng. amulnde lsu

  • @Tutindaga
    @Tutindaga 5 років тому +2

    Viva lissu hili mashilingi jinga kabisa eti linasema "tangu mheshimiwa,raisi ,amiri jeshi mkuu,dokta, John pombe Joseph Magufuli" hivi kwenye viwango vya kujipendekeza lazima utaje mavyeo yake yoote hayo??

  • @luganostewart8320
    @luganostewart8320 4 роки тому +1

    Huyu Balozi ni Aibu tupu kwa taifa!!!!! Brother Masilingi Katika mjadala mzito kama huo kupitia chombo kikubwa cha habari duniani ulitakiwa udhihirishe wazi nafasi yako kama mwakilish thabiti wa hao walio kuteua ktk kujenga na kutetea hoja, lakn imekuwa tofauti maana unaishia Kupaniki tu na huna la kujibu kutokana na Hoja za upande wa pili kujikita ktk uhalisia tupu!!!!!
    THINK TWICE BROTHER!!!!!