Well said king 👑 Time of revelation ✊🙏 Kwa kila ahusikae na atakaehusika Mungu atashughulika naye wazi wazi kwa gharika ili iwe funzo kwa wengine. CCM wanazidi kupofuka kwa matumizi ya rushwa na jambo hatari sana kwa misingi na usalama wa Taifa maana viongozi wote wananuka Rushwa kwa kila walichokua nacho. The hands of God is up on them 🙏
Baba ww sijui nisemeje mungu anajua mwenyezi baba nakuomba kwa uwezo wako wote umeumba kilakitu kilichopo vinavyo onekana navisivyo onekana.ww ni shujaa..tunakuomba tuletee uyu baba lisu atuongoze...nchi yetu Tanzania Ameen
Ndiomaana tukasema Mbeba maono yataifa letu, Tunapaswa kuendelea kumuombea maana safari yamaisha ingalipo navita ingali bado ipo kwakuwa adui yungali hai kwamaana yawatu wasiojulikana ambao serkal kupitia mamlaka zake hususan jeshi lapolisi imekana kuwajua yapata miaka 7 sasa nahaijaonyesha jitihada za kuwapata watu hao ata walotuhumiwa kuhusika natukio lakuyagharimu maisha yamtu wetu jeshi lapolisi halikuwakamata nakuwawajbsha kwny sheria nawengine wanaendelea kushika madaraka makubwa ktk nchi tena kwanafasi zauenyekt waulinzi nausalama wamkoa. Tuendelee kumwamin Mungu kila kitu kwawakat wake atalipa vsasi vyamja wake
Sijawahi kuona watu wenye akili fupi kama anayefikiria kuwa Lissu anaweza kuiongoza Tz zaidi ya kuiuza nchi kwa Amasterdam ,wasenge nk sera hana zaidi ya kuongelea watu hadi waliojiondokea duniani.Chizi😢
Mchango wangu ni Bora mboe aendelee kuwa mwenyekiti kwani ana hekima nyingi hasababishi watu kufa.Endapo lisu ataongoza chama wananchi wanaweza kupata makanga mengi yatayopelekea vifo hasa siku za uchaguzi.lisu subra yake ni ndogo sana.
Nijuavio mimi,Ni kweli Rushua ni mbaya ktk ulingo wa kugombea fursa za kuongoza,lkn hiyo Haiondoi ukweli kwamba,mtoa rushwa,pia aweza kuwa mwenye kuongoza vzr! Kama mtu karusha rushua ya ngono(ambaio hakika ni mali yake asili),npimeni kwenye kazi!!
Lissu Rudi kwenye kazi yako kaka tumekumic sana kwenye kutetea kes za watu mahakaman, huko kwenye siasa unapoteza mda chama ulipo sio sahihi kaka angu.
Acha mkuki ukuingie sawasawa. Wewe ni Chawa zwazwa la Chama cha Majambazi. Acha Lissu aendelee kutoa elimu huenda watu wengi watatambua haki zao na kuzidai bila kusukumwa na mtu, na hapo ninyi machawa mtakapolia kilio cha mbwa koko.
Mahakamani anatetea mmoja mmoja, huku anatoa elimu na kutetea maelfu kwa saa moja ya hotuba yake. Amekuwa mhubiri makasisi na mashehe wanahitaji ubatizo wa moto na huyu mwamba
Kama chacha wangwe, zito,akina kitila walitaka kumpindua mwamba ,Sasa wakat umefika kumtoa mbow kwa kura Kama hata iba kura akikopi ccm hatok ngo'oooo je? Ni taw la ccm tutaona ktk chaguz zao
Natoa maxhozi sana ndg zangu watanzania nini jili jinamizi la chama bora cha kuikosoa serikali munaanza kusemwzana hivi sasa mapambano ya kisiasa xcm mutaiondoaje kwenye utawala? Ndg lisu uko sahii lakini tumia jekima sio hasira uanze kutibua mwenzako pale xxm wanaanza kuwasambaratisha ooo yesu wanguuuu
CHADEMA WAMEJIANDAA VYEMA KABISA KUONGOZA HILI TAIFA NA HUENDA WAKALIMUDU. UJUE HILI SIO TAIFA DOGO SISI SIO WA KUSHINDWA NA SOUTH AFRICA,NIGERIA ,MISRI WALA KENYA. CCM WAMEFELI PAKUBWA MNO. MBOWE NI ZAIDI YA KIONGOZI KWENYE SIASA ZA UKANDA HUU WA AFRICA MASHARIKI
@thomasmallya2972 nina hofu na uelewa wako lkn tambua kuwa ccm hawaliwezi hili taifa bora chadema mara 10 zaidi. Ccm hakuna hata chembe ya uzalendo ila chadema wale jamaa ni watu na nusu. Pamoja na uhaba wa pesa ila wanaweza kuvumilia mengi hili taifa wanalielewa vzr sn wakipewa nchi ndani ya miaka 5 tutaona mabadiliko makubwa mno
Chadema nyinyi nizaidi ya majangiri. Yani hamjadili tena uchaguzi. Mnacho Fanya baada ya kupokea rushwa mmegawana pesa. Hapa mnawapiga maboya wanachama wenu. Wasijue kinacho endelea
Muongo, hawa hawa ndio walimtaja lowasa kuwa ni fisadi papa lakini baadae hawahawa wakamlamba miguu na kumsimika kuwa mgombea wao. Hii mambo ni biashara kama biashara zingine tu. Kelele tu.
Khabithi kweli wewe. Lisu anaeleza MIIKO ya mwanachadema, wewe unatafsiri ndani ya Chadema kuna rushwa hadi ya ngono!!!? Si bure mnogopa kumkabili yeye mwenyewe, na mnabaki kusema aneumbua chama.
Nina mashaka sana na bos wake. Nahisi hotuba hii inamhusu moja kwa moja. Bora Mchungaji aliyeamua kuhama waziwazi kuliko huyu kikulacho kii nguoni mwako!
Huyu ndie Tundu Lisu,Mwanasiasa Bora kabsa Kuwahi kutokea Tanzania na Africa
Yeah. That's Truthfully Sir talking about it.
Well said king 👑
Time of revelation ✊🙏
Kwa kila ahusikae na atakaehusika Mungu atashughulika naye wazi wazi kwa gharika ili iwe funzo kwa wengine.
CCM wanazidi kupofuka kwa matumizi ya rushwa na jambo hatari sana kwa misingi na usalama wa Taifa maana viongozi wote wananuka Rushwa kwa kila walichokua nacho.
The hands of God is up on them 🙏
Usipompemda Mhe,Lissu we ni mla Rushwa, hongera kamanda kwa kukaa kwenye misingi ya Chama.
@@RwechungulaBegumisa uwezi mlazimisha mtu ampende asienpemda
Mm simpendi kiukweli , tena sana . Ila mungu ndio anayejua mzuri na mbaya miongoni mwetu na kumchukia mtu ni dhambi .
BINAFSI MIMI NAMUEREWA SANA IRA KAMA UNA MAKANDO KANDO HUWEZ KUMWEREWA
@@loner_wolfmla rushwa utampendaje
TUNDU LISSU IS THE GENIUS AND ICON FOR THIS GENERATION 👏.
@@JoelRichard-hj3bi Amen Amen and for sure.
Baba ww sijui nisemeje mungu anajua mwenyezi baba nakuomba kwa uwezo wako wote umeumba kilakitu kilichopo vinavyo onekana navisivyo onekana.ww ni shujaa..tunakuomba tuletee uyu baba lisu atuongoze...nchi yetu Tanzania Ameen
Kweli Salima said🎉🎉
SalimaSaid ..lisu is light for our nation
Amina
HUYU NDIO KIONGOZ BORA BARANI AFRICA KWA SASA
Kiongozi asiemuamini hata mkewa ni hatari kwa afya ya taifa mwisho wake atakua hawaamini hata anaowaongoza.
Amesema kweli kabisa unajua badala yakuagalia Masilahi ya wanainchi mnaagalia chama Tundu Lisu MUNGU Akubariki umesema kweli
Mwamba tundu lisu ni mmoja tu
Big up sana KAMANDA
Unafaaa sana Baba
Hongera xn kamanda bg up pa 1 xn❤❤✌️✌️✌️✌️
Amina
Lisu pambana kwajili ya inchi yetu, wapo watakao kuelewa na watakao kupuuza lakini usife moyo
Mwenyez Mungu akuponyyye uzidi mara,enyiii nyote mpiganiao. Haki bila kujari uhai wenu,, mateso ya ccm,MUNGU. Mkuu awalinde.
Ni kweli kabisa mbele ni giza tupu vita hiyo inafaa kiongozi kama ww kuwa mwenyekiti wa chama na si vinginevyo
Mungu akulinde hivita sio yakitoto
Mungu akubariki sana Wewe ni Nuru ing'aayo gizani ndani ya giza hakika giza halita iweza kwamwe.
Ninapomsikiliza namkumbuka Hayati Nyerere!!!
Ni sawa kabisa. Mwl. amekufa masikini kwa uwaminifu hata kufa!!!
Lissu ndiye mzalendo pekee aliye baki nchini ✊✊
Kiongozi akiongea watu husikiliza. Asante kwa hotuba nzuri sana!
Hongera sana lisu ,unatosha ,
Ushahidi wa ruchwa na hilba upo ktk chaguzi nlomuangamiza Msigwa hadi leo hana hamu kabisa na chama cha kigaid chadema..
Bg up our heroes
Kubak hai katika tukio la maangamiZ ni Mungu kuwa na sababu zake nasi tunaona hiv Mungu azid kukulinda baba
Ndiomaana tukasema Mbeba maono yataifa letu,
Tunapaswa kuendelea kumuombea maana safari yamaisha ingalipo navita ingali bado ipo kwakuwa adui yungali hai kwamaana yawatu wasiojulikana ambao serkal kupitia mamlaka zake hususan jeshi lapolisi imekana kuwajua yapata miaka 7 sasa nahaijaonyesha jitihada za kuwapata watu hao ata walotuhumiwa kuhusika natukio lakuyagharimu maisha yamtu wetu jeshi lapolisi halikuwakamata nakuwawajbsha kwny sheria nawengine wanaendelea kushika madaraka makubwa ktk nchi tena kwanafasi zauenyekt waulinzi nausalama wamkoa.
Tuendelee kumwamin Mungu kila kitu kwawakat wake atalipa vsasi vyamja wake
Sahihi. Lipo kusudi la MunguBaba ndani ya Lisu
Jamaa linajua mpaka linapitiliza hakuna kama lisu na sijui kama atakuja kutokea labda baada ya miaka 30 ijayo
Mlikuwa wapi hamkufanya mapema?
Congratulation Mr Lisu you're excellent God bless you.
Mhe Lissu n anatosha kwingine tume weka pamba masikioni
Sijawahi kuona watu wenye akili fupi kama anayefikiria kuwa Lissu anaweza kuiongoza Tz zaidi ya kuiuza nchi kwa Amasterdam ,wasenge nk sera hana zaidi ya kuongelea watu hadi waliojiondokea duniani.Chizi😢
Mbona wasengerema wenzio wameshafanya tayari mbona hujachukua tahadhali kuzuia , isipokua kwa Chadema wewe mavi kabisa.
Acha ujinga wewe chawa.
Mbona mlishidwa kumuua
Ni kwer atauza raslimari zetu kama mama kizimkazi alivyouza bandari zetu na mbuga zetu pumbavu mkubwa wewe
Shikamoo Mzee Mbowe😅
we ndio lisu og
Kamanda lissu nakukubali jamaa yangu natamani niwe kama ww
Huna mbaya mr lissu!❤
😅😅😅😂😂😂😂amejificha kwenye vita 😅😅😂😂Hasira ya mkizi ni furaha kwa mvuvi😅😅
Yani kichwa kinaniuma kuhusu mchezo wa CCM kujiona wanauzo wa kila kitu kisa😂 police wao,wanajeshi wao
Fhfhfh huna lolote hatumpi ata kidogo huyo aendezake
Chadema hoi😊😊😊😊
Maneno mazuri bila matendo ni 0 mm nimechoka kusikia maneno mazuri lkn baada ya uchaguzi inapotea nn Africa mungu utukumbuke
Mwamba analo round hii 😅😅😅
Nachukia sana wanasiasa kutumia kila dakika neno VITA
we umeelewa vita gan kwan
Shenzi kabisa unajua vita gani wewe?
@MagariUsed usikurupuke ku-coment,sikuliza kwa makini ndo utoe hoja!!!
Dua imeanza kufanya kazi mtaapika yote yale mliyokuwa mnaisaliti Serikali yetu pendwa
Kikubwa mlishindwa kumuua
@Hanifaurassa...NIKICHWA HASARA PORE SANA PUMBAVUU
EREWA NENO KICHWA HASARA
Huyu jamaa ni Mondlane wa Tz
Ukweli inchi ilipofukia inahitaji viongozi wasafi siyo wala rushwa.
Mchango wangu ni Bora mboe aendelee kuwa mwenyekiti kwani ana hekima nyingi hasababishi watu kufa.Endapo lisu ataongoza chama wananchi wanaweza kupata makanga mengi yatayopelekea vifo hasa siku za uchaguzi.lisu subra yake ni ndogo sana.
Daah. kwa hotuba hii, moto unafukuta.
🔥🔥🔥🔥🔥
Lissu amefanya nini,ugomvi mtupu siku zote na kila mtu.
Lisu utapeli wako unamwisho
Mm naamini hata wale wadada waliopo Bungeni anakula hela pale
Naipenda sana hiyo misumari inayogongelewa kwenye vichwa vyawadau wasiasa zaupinzani hususan CDM wakiwemo viongozi waCDM kote nchini.
Blessings zakutosha kwako General mkuu nashujaa wetu wamapambano zidi yamaadui zetu❤❤❤
Lisu nimtu mhimu kwa inchi yetu kwa sasa. Msema kweli utamtambua kwa kumuangalia usoni na kwa namna ya naneno yake.
vita sio neno la kutoleya mfano wala kulipa maana yoyote,, sema mchakayo sio vita tafadhali neno libaya sanaaa kaka
Nijuavio mimi,Ni kweli Rushua ni mbaya ktk ulingo wa kugombea fursa za kuongoza,lkn hiyo Haiondoi ukweli kwamba,mtoa rushwa,pia aweza kuwa mwenye kuongoza vzr!
Kama mtu karusha rushua ya ngono(ambaio hakika ni mali yake asili),npimeni kwenye kazi!!
Pumbavu zako kaa na tabia za kijinga nyumbani kwenu.
Uyu ndiyo mkweli ktk kusema kweli Kuna tatizo Kati yetu ndani ya Chama chetu
Mwenyekit wa Chama ndio chanzo
Haiwezi kuwa hivo kwaM/kt wachama Taifa,
Mbowe nikirusi @@RaymondSalingwa-d8f
Kamamanda MUNGU akulinde nawote wanao kuwinda
Lissu Rudi kwenye kazi yako kaka tumekumic sana kwenye kutetea kes za watu mahakaman, huko kwenye siasa unapoteza mda chama ulipo sio sahihi kaka angu.
Acha mkuki ukuingie sawasawa.
Wewe ni Chawa zwazwa la Chama cha Majambazi.
Acha Lissu aendelee kutoa elimu huenda watu wengi watatambua haki zao na kuzidai bila kusukumwa na mtu, na hapo ninyi machawa mtakapolia kilio cha mbwa koko.
Hata huku anatetea wengi ninkazi ya kitume kabisa
Mahakamani anatetea mmoja mmoja, huku anatoa elimu na kutetea maelfu kwa saa moja ya hotuba yake. Amekuwa mhubiri makasisi na mashehe wanahitaji ubatizo wa moto na huyu mwamba
Mhubiri wa haki....
chama chenu chenyewe hakina democrasia ndani ya chama na kina rushwa
Chama kipi hakina rushwa?
This guy deserve to be a chairman of CHADEMA party
Hicho ndo anapambania hamna lolote zaidi
He derserve more than that bro, amestahili kuwa raia namba 1 wa nchi yangu.
Wewe uliyeenda EU na US kutaka watunyime misaada,!!!! REA tulifanya wenyewe baada ya wewe kufurahia sana kwamba tumeondolewa kwenye ufadhili. 😅😅😅
MAKONDA amesema upelekwe MILEMBEEEEEEEE😅
Krujuan imeanza fanya kazi bado na mtawataja watekaji wasiojulikana😂😂😂😂😂😂😂
Ama kweli mafuta nyoka humludia meenyewe badala ya magufuli na Samia sasa ni mbowe unalo mzee shikamooo
Mhe. Lisu ulidai kwamba chama chako kilipokea kama bilioni Saba kutoka. Nje. Je uoni kama kitendo hichi kinaweza kuwa aina ya rushwa toka nje?
Kama chacha wangwe, zito,akina kitila walitaka kumpindua mwamba ,Sasa wakat umefika kumtoa mbow kwa kura Kama hata iba kura akikopi ccm hatok ngo'oooo je? Ni taw la ccm tutaona ktk chaguz zao
Kilillahi mimi sio chadema lakini uyu jamaa nimwamba natamani sikumoja mama ampe sehemu muhimu ndani serikali
LISU NIKIFAA KIFAA ADIMU SANA IRA WENYE MAKANDO KANDO HAWEZ KUMWEREWA
Ndio maana kumepoa sana chadema kumbe watu wamekaliana chonjo,, makamanda mmesha anza kuumbuana tutashangaa mengi uchaguzi huu dah!!!
Unashamgaa rushwa,huu ni wakati wa mavuno,maaskofu masheikh ndio wakati wakuvuna😂
Hujashangaa uchaguzi wa ccm unashangaa wa cdm ?
Natoa maxhozi sana ndg zangu watanzania nini jili jinamizi la chama bora cha kuikosoa serikali munaanza kusemwzana hivi sasa mapambano ya kisiasa xcm mutaiondoaje kwenye utawala? Ndg lisu uko sahii lakini tumia jekima sio hasira uanze kutibua mwenzako pale xxm wanaanza kuwasambaratisha ooo yesu wanguuuu
Hiv mwaka ujao kuna vita et! Lissu hii vita ataileta nan?
Wewe Lisu huna sera zaidi ya kulalamika tu nani anataka mtu wa aina yako?
Tutamuona kwani tulimchagua acha uongo! Nakutisha watu.
Uku kwetu watu wameshahongwa mapikpiki wanatuhamasha lkn hatutaki😊
HII NIERIMU BIRA MALIPO PAMBANA LISU UKOMBOZ UNAKALIBIA LUSHWA HUPOFUSHA MACHO WATANZANIA TUAMKE TUSIWE MATAHIRA INATOSHA SASA
Lissu anafaa kuwa president wa chama.
Huu ndio wakati sahihi Lissu wa kumkabidhi kuwa mwenyekiti CHADEMA TAIFA NA mgombea nafasi ya Urais 2025.
Tundu Lisu tunaomba uzungumze na Mwabukusi unganisheni nguvu tuwape nchi. Tunawaamini mtatuvusha kwenye hili balaa linalotukabili.
Mchi cyo zawad kwa kikundi flan wewe
Bumunda katika ubora wako@@thomasmallya2972
Bado nakutafakari hoja zako hazitoshi kukuelewa, wanaokusikiliza usiweke hakika kwamba watakupa kura!
DUUU HAYA NGOSHO MWACHIE NGOSHO
Lisu ndo anafaa
Bado hajapata nchi akipata nayy atakula tuu tusidanganyane mm kura yangu hutoipata daima upo na siasa za chuki
Kura yako Kwan lazma? Unataka umuweke Nan mamako au 😅😅😅
@alexmnogi1822 nitamuwekea mama ako kwa mkundu
CHADEMA WAMEJIANDAA VYEMA KABISA KUONGOZA HILI TAIFA NA HUENDA WAKALIMUDU. UJUE HILI SIO TAIFA DOGO SISI SIO WA KUSHINDWA NA SOUTH AFRICA,NIGERIA ,MISRI WALA KENYA. CCM WAMEFELI PAKUBWA MNO. MBOWE NI ZAIDI YA KIONGOZI KWENYE SIASA ZA UKANDA HUU WA AFRICA MASHARIKI
Chadema awajawa tiyari kwa sababu wao wenyewe awapendi mabadiliko CCM ni ile ile CDM ni ileile kwaiyo bado tunasafari ndefu sanaaa
@thomasmallya2972 nina hofu na uelewa wako lkn tambua kuwa ccm hawaliwezi hili taifa bora chadema mara 10 zaidi. Ccm hakuna hata chembe ya uzalendo ila chadema wale jamaa ni watu na nusu. Pamoja na uhaba wa pesa ila wanaweza kuvumilia mengi hili taifa wanalielewa vzr sn wakipewa nchi ndani ya miaka 5 tutaona mabadiliko makubwa mno
@@malkavoice2570 broo nchi cyo mtian useme ukifeli utarudia chadema badooo sanaaaa mtu ata robo ya wawakilishi wa nnchi awana Leo gafla wapewe nnch
Hiyo
Chadema nyinyi nizaidi ya majangiri. Yani hamjadili tena uchaguzi. Mnacho Fanya baada ya kupokea rushwa mmegawana pesa. Hapa mnawapiga maboya wanachama wenu. Wasijue kinacho endelea
Mbinu ya wizi wa kura ndiyo mipango kwa sasa wengine wanapanga kulinda kura mimi sipendi wizi.
Hata katikati ya Covid mlisusa bungeni.
Lissu best
Unataka wenyekiti ongea tu .unamaanisha mbowe hafai wewe ndounafaa?
Muongo, hawa hawa ndio walimtaja lowasa kuwa ni fisadi papa lakini baadae hawahawa wakamlamba miguu na kumsimika kuwa mgombea wao. Hii mambo ni biashara kama biashara zingine tu. Kelele tu.
Mmh kwa maneno ya Lissu mbona Nina shaka na Mbowe😊😊
Hayo yote mbowe ni nyumbani kwake!.
Uwe na mashaka juu yako wewe mwenyewe kwamba akili yako unaitumia vizuri ?
Khabithi kweli wewe. Lisu anaeleza MIIKO ya mwanachadema, wewe unatafsiri ndani ya Chadema kuna rushwa hadi ya ngono!!!? Si bure mnogopa kumkabili yeye mwenyewe, na mnabaki kusema aneumbua chama.
Ogopa MTU anaitwa mchaga,,,hafai kua kiongoz kokote pale ,,,,hio chama unauliwa na wachaga,,,wanatamaa,,Sana kuwauza n Kaz rahis Sana ,,,
Kama lushwa imewashinda ktk chama mtaweza serikalini
Watu wanapewa tahadhari , mbona unakuwa poyoyo ?
HIVI NI NANI ANAYEWAENGUA WAGOMBEA WA CHAMA FULANI ?
Kuitaja vita ni utabiri mbaya sana
Ili kuelewa maana hiyo, unapashwa kuwa na Uelewa mzuri na sio Uelewa wa akili panzi!
Vita ni sehemu ya maisha hakuna kuogopa.
Acha uongo tundu lissu changa moto ni wewe kwenye CDM
Wananch wote wapo na chadema Ila tunazidiwa na mabunduk.leten mataifa makubwa yasaidie bila hivyo ningumu .maana wako tayar kuua
LISU MSEMA UKWELI LAZIMA MMPATE MTU AMBAYE AMETANUA CHAMA NA KUWEKEZA SIO MANENO TU SASA NAJUWA WANACHAMA WENGINE WATAMCHUKIA
Sikweli nyie mliwai msimamisha lowasa ata nyelele alimkataa kwakuwa alikuwa naela nyingi ajulikan alipataje
Hizo ndo rushwaUna wafundisha walembe duu Mzee wewe msheziiii
An empty drum sound louder .
Hao nivoongzi wa cdm adi rushwa za ngono,,, mezidi nyieee
@jafarmlawa9627 Kwan CCM hiyo rushwa haiwahusu?!nyie malaika?! acha uchama ata Mwl Nyerere alikemea kwa Taifa zima na sio chama!
Nina mashaka sana na bos wake. Nahisi hotuba hii inamhusu moja kwa moja. Bora Mchungaji aliyeamua kuhama waziwazi kuliko huyu kikulacho kii nguoni mwako!
Kanunuliwa huyo alijiuza