Mahojiano na Tundu Lissu
Вставка
- Опубліковано 27 сер 2024
- Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on UA-cam - your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our UA-cam channel for more great videos:
/ ktnnewskenya
Follow us on Twitter: / ktnnews
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live www.ktnnews.com...
Watch KTN News www.ktnnews.com
Follow us on / ktnnews
Like us on / ktnnews
Napenda Sana ku watch Tundu Lisu From Congo.
Tundu Lissu is a friend of Kenya, karibu sana
The Raila of Tanzania speaking..My good friend lissu...one day you will lead tanzaniaaaa
nakukubali sana tungu lisu kwa maongezi yako from zanzibar
Mungu Akupe Maisha mema mwamba lisu Tunaimani na ww
Good lissu we are back on you
Tundu Lissu another Truthful man😂😂
He's right. This regional business relationship is wanting.
Amesema ukweli
Tunamupenda Tundu lissu na message yako
Watanzania wasijaribu kumuweka tundu lisu madarakani waswahili husema kilicho mpata mamba na kiboko nihichohicho huyo nikibaraka wa wazungu mutalia kama wakenya wanavolia saa hii
The Truth of Life is Doomed
Tundu lisu the super brain .....Genius
Lissu amesema kweli .. Tanzania bado iko chini ya mfumo wa chama kimoja .. japo wanajifanya kukubali vyama vingi .. l fail to believe that watanzania tangu 1961 hawajachoka kuongozwa na CCM.
Ongoza ww
upooo.vizurii kmandaaa mahijianoo yakoo ni matam Sana'a Tanzania nchii ya ovyooo fisadii anapigwa faini ya laki mbilii anaekula nyama ya swalaaa anafungwa maisha nchii ya kikudaaa Sanaa
Very good lissu tunakukubali mh
Whatever Tundu is talking about, is when Kenyatta was president. We are under different leadership. Zakayo is messing our Nation.
Ahsante Tundu katukumbusha mengi tuayoyapuuza
Ofcourse we do admit to have some tragedies in our country but you shouldn't have been talking like that on abroad media cause that can be weaponized against your own country sounds like Tanzania is not in your primary interest, there's secondary gain on that for your own benefit!
Unazingua bro, weka Tanzania kwanza.
East africa is one. What about Ruto who goes complaining to Americans about Kenyan government?
Yoko sawa Tanzania au Kenya sio chochote wala lolote zaidi ya mipaka ya kikoloni
He is Right. Let the Genius talk
👍👊✌️.
Mr Lissu modern day Raila Odinga
Ngoja kwamza tupigwe Mara 5 zaidi!huyu jamaa anamambo ya ajabu na asiseme lolote kuhusu magufuli!!
Ubarikiwe tundu
Hapo ni kweli zanzibar tunalipishwa sawasawa na bei ya marekani
Lisu anagonga nondo tuu 👍👍
Mwamba huyo. God Bless Tundu Antiphas Lissu
jamaa anaongea from the point of opposition to the Tanzanian Government. so huwezi muamini sana. but pia akona ukweli kias. kenya sai ni moto. alaf nashagaa jamaa anaogea kama mjaluo
Zanzibar.. ukiandika kitabu na ukapewa tuzo hapo utaitwa hadi ikulu na kupongezwa sana !! Zanzibar ni Nchi ndani ya nchi..!!
We mjinga kabisa huwezi kumwita lisu hivyo, kwani ni uongo saiv vyombo vya habari vya Tanzania vimezuia kuongea na wapinzani
Mama toso na zakayo wetu.
Wakenya hongereni sqna
Umesema ukweli kuhusu Palestine
Bado kuna mtu atapinga.
Amna kiongozi hapa ni siasa tu 😅
Mwamba huyo
Bo upo juu baba juu sans shinyanga tunakupenda sans ana mungu wa mbinguni aendelee kukutunza wanaokuombes ufe wade wap na watoto wap
T7ndu Lissu ni mtu mwenye akili na hata CCM wanalijua hilo-HAKUNA KILOCHOJIFICHA. Huyu ni kiumbe wa level nyingine kabisa na si wa mchezo mchezo
Mzee anaongea ukweli...Tanzania ubinafsi umekitiri sana
Tundu lisu anatumiwa na wazungu waamerka kuleta ushoga Tanzania LGBTQ watanzani wachunge sana
akili ndogo
Sifuri kabisa
Wenye akili kubwa ndio watamuelewa
Ni ukweli mtupu ulichoandika.
Lissu mzee wa kuongeza chumvi. Mwambieni Lissu akae hukohuko atuachie Tanzania yetu
Nafikuri una chuki zako binafsi lkn content alio itoa ni constructive sana
Ni lini zanzibar wakenys wsmeingia kwa viza?
Hakuna buz za kenya zumehamia kenya 💯, labda subsidiaries, nq bado zapigwa, nlikaa tanga na dar miaka mingi nkiwa nimetumwa kazi na watanzania, walio pewa kazi na hii kampuni ya kenya nliokua nkifanya kazi nayo, walikua wana sema ..."ahhhh kampuni ya kenya hii , hii ni ya kupigwa tu...."
Tundu wewe ni mkristo' Biblia iliandikwa lini na Palestine na hamas walifanya nini hawa ni watoto wa mungu bwana
Mama tozo 😂😂
Yaani jamaaa chooookaa ! Hana jipya
Unajiskiaje kuponda kwako kwel hauna akili kabsa yaan wew keny wanajua bila Tanzania hakuna Kenya hata wakenya wanakushaaa san
Siyo kuwa anaponda ila anaongea ukweli halisi wa nchi yetu ambao chanzo chake ni andiko letu tulilonalo yaani katiba.
Wew ni mmoj wa watu ambao hawapendi kuambiwa ukwel unapenda kudanganywa ndo tatiz lako
Yaani LISU ni muongo wewe aisee, acha uongo na unafiki wewe
Lisu anamatatizo ya akili anachofikiria yeye kuisema vibaya Tanzania ndio solution ya kupata ubunge utasubiri sana adi 2070 na hapo vijana adi tukuonee huruma we omba uraia uko kenya wakupe ubunge au cheo
Kama unaona ana matatizo ya akili wewe utakua unaumwa ugonjwa usio na jina he is giving his own opinion wewe unawashwa na nini
Kweni we ni mke wa Lisu au concubine wake mbona misuli ya matako imekusimama kama mtu aliepigwa dole la mkundu wewe na yeye wote sawa kenge mmoja
@@shazyahya4121 umeongea kwa experience kubwa sana mkuu una experience ya kufanyiwa hivyo kwa muda gani shangazi?
@@melkizedeckmathew5908 muulize Lissu kweni nyie si ndio watu wa upinde mabwana zenu wazungu watu wa magharibi ndio vitu vyao hivyo na nyie ndie chakula chao mkishapelekewa moto mnapewa na uwakala watu tunajua michezo yenu kila siku mnabadilishwa jinsia ulaya uko mnaolewa na Western people ukiuliza eti haki za binadamu 😁😃
Yaan kunanajitu mengine hayanaga akili, shida sjui niu ccm , hivi kwahii tz unaweza ukawa ukaongeaongea paspo kutumia akili ukabaki salama bila kuwekwa jera???, Tanzania Sheria zimejaa vby mno halafu unaanza kusema lissu Hana akili??, Embu ww mwenye hakili jalibu kuikosoa selikali hata ya mtaa uone Kama Kama utabakia huru, lisssu anatumia akili ya kisomi pia kajaliwa hekima, nahisi kungekuwa kunakumfunga mt paspo sheria lissu angeozea jera , Mungu akulinde lisssu ubalikiwe sana ww na family yako
are you people serious 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mama tozo na zakayo... but he is making an important point
Amaizing
Kiufupi hapo kinachowasumbua kati ya tz & Kenya ni kama ndoa aliyopo kwenye ndoa anatamani kutoka walio nje ya ndoa wanatamani kuingia 😂😂😂
Tundu anajichanganya blah blah nyingi.Tanzania haijateketea ni maneno ya uwongo.
Siasa nyengine unamix mambo.
Thanks Tundu lissu 😂 advice Kenyans citizens
😂😂😂😂😂
Huyu jamaa kinacho mponza ni ushaamba
HUYU MPINZANI WA SEREKALI YA TANZANIA NA MWONGO SANA.STUPID
Msimsikilize huyu ni mwana siasa, Tanzania ni bora kuliko anaongea nn huyu
@mako331, please, we know Tanzania. This gentleman is talking the truth. We had a flourishing business in kenya, and we tried to expand in arusha, pharmaceutical company. Sincerely, Tanzania we opened office in a storey building, but basic printer, lazy tanzania in an entire 15 storey building are entitled to "Ndugu" yangu ago na printer... we are going to share. The moment uchamaa nonsense gets out of your heads, Tanzania will be the best place to be.
Huyo alichanganyikiwa mimi ni mwanachadema lakini , huyo alipoteza dira... TZ TUKO SAWA.. BADALA YA KUJENGA CHAMA UNA ZUNGUKA.
Wewe siyo chadema wewe ni chawa2 usitudanganye
Ww sio mwana chadema unajifanya tu uelewi anachokiongea nyinyi ndo machawa wa samia
TIMU ZA UCHAGUZI NI ZA CCM
Kwa Zanzibar, Mh. Juma Duni alienguliwa na Tume ya Uchaguzi eti hawajui jinsia yake😂
Kwa hiyo kiongozi wako akizunguka zunguka anabomoa Nchi !? Heri usingetoa maoni. Umepwaya !!
Yaani kusema nchi yako vibaya ndio kufaulu kutatua tatizo... Haiendi hivyo ukisidiwa. Maarifa, inamisha kichwa kuja na sheria mpya ya kulegeza serikali na kuchangasha wanainchi na sio kuibonda inchi yako.. Nje ya inchi iga mbowe.. Ni kiongozi, shupavu.. Raila... Ni kiongozi shupavu.. Bob wine wa Uganda 🇺🇬 Democratic ya Uganda ni mbaya lakini hasunguki nchi kwa inchi kuharibu nchi yake... Uwe muungwana.. Kiasi.. Maana kusema inchi yako ,, haitoshi.. Kubadili serikali,, ni kutumiza na sisi wanainchi wa kawaida.. Tafuta. Njia nyingine siasa. Ni plan si projo lissu... Tumieni sera zenu vizuri.... Mta win... Ila sii kwa njia ya kuharibu nchi yoko kwa mabaya tu.. Badili njia.. Nyingine
Lisu wewe ni mnafiki sana
Mjinga huyo
Kelele tu huna mpya bakiahuko kenya
This Tundu Lisu got it wrong.He has no proper data that is why he is untruthful.
Proof is required to support your point. Otherwise you will be considered as man of no data !!
How far??
Fatani mkubwa huyo na muongo mkubwa sana huyo. Muongo sana na Fatani mkubwa sana huyo. Shoga mkubwa sana
Mchukueni mkae nae sisi, hatuitaji ushoga tz
Sifuri
Ee bwana unakiwango fulani uongo
Tanzania tuna bunge Sasa?