ERIC SHIGONGO- "SHUGHULIKA NA UBONGO WAKO! SIRI ZA MAFANIKIO NI HIZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Subscribe / uwazi1
    Mkurugenzi wa Global Groups ambaye pia ni mhamasishahi wa kimataifa, Eric Shigongo anazungumza na waumini vijana wakiwemo wanavyuo kutoka Kanisa la TAG-VCCT Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
    Mbali na mambo mengine, Shigongo anazungumzia kuhusu umuhimu wa kuzijua siri za mafanikio na jinsi akili yako inavyoweza kusababisha mapinduzi makubwa katika maisha yako endapo ukiamua.
    FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
    / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1
    WEBSITE: globalpublishe...
    FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari
    INSTAGRAM: / globalpubli. .

КОМЕНТАРІ • 19

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 років тому

    Asante san asante san kwa mafundisho yako kaw muongozo wako kwetu hakika mwenyez MUNGU azidi kukuongoza vyema herick shigongo

  • @lupogoaureus6683
    @lupogoaureus6683 3 роки тому

    Nimebarikiwa ndug; nimepambana Sana ; nami na sems Asante MUNGU

  • @swallahokororo1123
    @swallahokororo1123 5 років тому

    Thanks brother kwa elimu nzuri

    • @avilangston6170
      @avilangston6170 3 роки тому

      i guess im asking randomly but does any of you know a tool to get back into an instagram account..?
      I stupidly forgot the login password. I love any assistance you can offer me!

  • @peterjanuary7567
    @peterjanuary7567 3 роки тому

    Makini mno...👏

  • @thelimitlessclass7909
    @thelimitlessclass7909 6 років тому +1

    i must be like you . Eric Shigongo...

    • @waihereenterprises7300
      @waihereenterprises7300 6 років тому

      Mimi nataka niwe zaid yako na mm ni miongon mwa watu waliojifunza kutoka kwako!!

  • @godfreykulwa2639
    @godfreykulwa2639 5 років тому

    eric shigongo naitaji sana sapoti yako niweze kuvuka daraja nililopo

  • @evaristfabian6125
    @evaristfabian6125 4 роки тому

    Thanx bro!

  • @modestalekule9287
    @modestalekule9287 6 років тому

    Eriki minapenda sana kazi zako ntakupataje?

  • @abedinegopaulo670
    @abedinegopaulo670 3 роки тому

    Saana mheshimiwa on today a'm learning good matter which states that brain is a every thing ov human being or also brain it just lyike a engine which are process data

  • @evangelismchannel8810
    @evangelismchannel8810 Місяць тому

    Natamani kukutana na Mr. Shigongo, maneno yako yananipa kusonga mbele

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 Місяць тому

    Asiyejua kiingereza jamani mnatusaidiaje, wengine hiyo lugha ni tatizo

  • @jigajrphil1344
    @jigajrphil1344 Рік тому

    😳

  • @filberthendry8519
    @filberthendry8519 3 роки тому

    Ssa Kaka Shigongo kiingerza ulijifunza mwenyewe au ulfundishwa?

  • @omariramadhani1562
    @omariramadhani1562 3 роки тому +1

    Bro tatizo kingereza,tambua unaongea Na watanzania

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 Місяць тому

      Hawa hama wamesoma lakini sjui shida inakuja wapi, na watz sjui na katuloga lugha ya taifa ni kiswahili lakini unaongea lugha ya kigeni kwenye kufundisha tena kufundisha kwenyewe kwa mtandaoni; mimi nadhani haiki sawa wala huwstendei haki wasiojua hiyo lugha na ni bira yangeishia huko huko yasije mtandaoni ili muelewane ninyi kwa ninyi; na huu ni ujinga sema basi tu.

  • @stevenmwaisunga5090
    @stevenmwaisunga5090 4 роки тому

    Kingreza kingi blaza punguza kdogo.