NDEGE HATARI ZA KIVITA AMBAZO URUSI IMEZIFICHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

КОМЕНТАРІ • 52

  • @nemecykongoro5322
    @nemecykongoro5322 Рік тому +4

    Safi sana urusi piga kazi

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 Рік тому +11

    Putin anapendwa kote kote duniani

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 Рік тому +4

    MH sir Adam Hussein asantesana kwahabari zakina naukweli dua muhimu Kwa kamanda Putin

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 Рік тому +8

    huyu mwambA putin ni nomA sanaaa

  • @user-qs5bp7cr4s
    @user-qs5bp7cr4s 5 місяців тому

    Adam Husein mbona haupo siku hizi Maximum ,uko vizuri sana namna yako ya kutangaza

  • @kassim1262
    @kassim1262 Рік тому +1

    Wengi wetu tunaocoment utaskia safi sana putin wakomeshe hao akina marekani nawenzake wapige iv mrusi si anampiga Ukraine kama mrusi anampiga Ukraine basi mrusi anampiga mrusi mwenzake co muingereza co mmarekani

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Рік тому +2

    Hakuna ndege zitazofichwa,angeshazitoa maana hali si hali,aloyategemea hayamanifest😁

    • @emmanuelkanyela275
      @emmanuelkanyela275 Рік тому

      Mlusi mjanja anataka kuiangusha dola si unaona Amerika na NATO wanavyotumia nguvu kupeleka pesa na siraha

    • @rasnchimbi
      @rasnchimbi Рік тому

      @@emmanuelkanyela275 hata yeye mrusi anazipeleka pia

  • @SaimoniDominick
    @SaimoniDominick 22 дні тому

    Urusi ni hatari

  • @yohanamasebo3478
    @yohanamasebo3478 Рік тому +3

    Russia ina nguvu kubwa duniani kuliko marekani

  • @abdallamasoudrashid7358
    @abdallamasoudrashid7358 Рік тому

    Urusi ni taifa kubwa tena sio wakuchezea nomaa sana

  • @justiceherisabuni7678
    @justiceherisabuni7678 Рік тому +3

    Anaye mchukiya ptn sizani kama atauona ufalme wa mbingu.

  • @allysebarua-gt2ms
    @allysebarua-gt2ms Рік тому

    Kiukweli mnazingua Yani mnakaa Sana kutupa habari au marekani kawapa day mini msitoe habari Kama wanashinfwa acheni hizo

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 Рік тому +2

    Tuko pa1 na maximum
    Tuko pa1 na urusi viva PUTIN

  • @kassim1262
    @kassim1262 Рік тому +1

    Hakuna ndege alioificha silaha hatari nyuklia tu wala haifichwi halafu ww umezionaje wakati zimefichwa..?

  • @tamimuislamfaza9285
    @tamimuislamfaza9285 Рік тому +1

    Asa kma amezificha ww umeziona wap? Umeziona kivip Hadi unaziona

  • @Euro-ld5uk
    @Euro-ld5uk 5 місяців тому

    Ndege zilizo fichea na mnaonyesha Kwa mitandao

  • @sadikkazimoto7466
    @sadikkazimoto7466 Рік тому +2

    Wewe muongo umejuaje kitu kilichofichwa haha kudanganya watu

    • @selemanshidda9688
      @selemanshidda9688 Рік тому +1

      Wewe mwehu! Kufichwa maana ya si kwamba watu hawawezi kuziona! Hapa maana ya kufichwa ni kwamba adui asizishambulie! Wengine mnaweza kuziona! Yaani zisionekane kwenye mitambo ya adui! Ndio maana ya kufichwa!

  • @gonanzaro5580
    @gonanzaro5580 Рік тому +4

    Piga mtu Putin

  • @furahafrank8267
    @furahafrank8267 Рік тому +2

    Putin atatumia kila kitu.

  • @KulwaKulwa-ve3ws
    @KulwaKulwa-ve3ws 5 місяців тому

    Kwer

  • @jafarihamad2868
    @jafarihamad2868 Рік тому

    Ikiwa amezificha ww umeziona wp/umezionaje?

  • @allysebarua-gt2ms
    @allysebarua-gt2ms Рік тому

    Kwani Adam hussen kaenda wapi mbons mnazingua

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 11 місяців тому

    Umesha sema ndege alizo ficha sasa wewe umezionaje

  • @nemecykongoro5322
    @nemecykongoro5322 Рік тому +4

    Putni tukombowe na manyang'au

    • @kassim1262
      @kassim1262 Рік тому

      😂😂😂 Putin akukomboe ivi unacoment ili uonekanee au unajua unachokiongea,putin mwenyewe anajipigania anaua watu wke ili kujihakikishia usalama naamani yanchi yake zidi yahao unaowaita ww manyang'au putin yeye anawaona nakuelewa kwamba hao watu noma putin hawezi kua mkombozi wako lakin ukikua ndio utajua mze baba

  • @JohnKibebah-px8ci
    @JohnKibebah-px8ci Рік тому

    Wanao mpinga Putin ndo hao wanao support ushoga na ndo za jinsia moja tumechoja na Sheria mbivu za marekani na ulaya

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 Рік тому

    Kachemka

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 5 місяців тому

    Uongo mtupu ,mbabe wadunis hadi kesho ni marekani tuu,we angalia operation zake duniani,ndege mbaya duniani ni chapa ya B 2 steelth bommer ,na B52 yenye uwezo wa kubeba tani 600- 800 za aina zote za mabomu na makombora unayojua na usioyajua ,na B52 carpet combat ni ndege mbaya kabisa ikishusha mabomu inasawazisha milima na kua tambarare.

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 5 місяців тому

      Sio tani 600, umenukuu vibaya. Nitani 160. Nzito kuliko yote ni ile ya Russia inaitwa Tu160 ambayo inabeba tani jumla 278.

  • @yasinimomboka4523
    @yasinimomboka4523 Рік тому

    Zitaingia sub 2023 yan mwakani

  • @miramboofficial946
    @miramboofficial946 Рік тому

    Sio putin noma tu ni noma tena na noma tena

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 11 місяців тому

    Kama siyo uongo mtupu

  • @nemecykongoro5322
    @nemecykongoro5322 Рік тому +2

    Utasikiya shoga mojaninamchukiya putni

    • @geraldtarimo3210
      @geraldtarimo3210 Рік тому

      Katika medari za kijeshi hairuhusiwi kuonyesha siraha,ukionahivyo ujue nchihusika,ni waoga,umeshawahikuona marekani wanaonyesha sirahazao?

    • @amenyemwansile6919
      @amenyemwansile6919 Рік тому

      Acha uwongo vita vimemshinda mpaka anaomba usaidizi toka irani alafu awe ameficha ndege hatari duniani

    • @miramboofficial946
      @miramboofficial946 Рік тому

      @@amenyemwansile6919 sasa mbona ponti za hazina mashiko we gasho nini si mumvamie sasa kama nyie mashoga kweli

    • @miramboofficial946
      @miramboofficial946 Рік тому

      @@geraldtarimo3210 sasa si mumvamie kama mnaweza nyie magasho nini

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Рік тому

      @@amenyemwansile6919 we ushaliswa matango pori huelewi hahaah hamna nchi duniani utakae mzidi urusi kwa silaha za maangamizi

  • @joharimtango4986
    @joharimtango4986 2 місяці тому

    Acha uongo! Kama wamezificha wewe umejuaje kama wana hizo ndege? Mmarekani katika jeshi hana asichokijua duniani! Danganya wajinga lakini sayansi ya vita Mmarekani hana mpinzani.

  • @neemamalessa3449
    @neemamalessa3449 Рік тому

    Umesema wameficha wewe umezioneje?

  • @justiceherisabuni7678
    @justiceherisabuni7678 Рік тому +1

    Anaye mchukiya ptn sizani kama atauona ufalme wa mbingu.

    • @kassim1262
      @kassim1262 Рік тому

      Naww unaempenda sitegemei kwamba utakaribia at mbinguni

    • @omarybakari1681
      @omarybakari1681 Рік тому

      @@kassim1262 sawa shoga