URUSI YAZINDUA SILAHA MPYA ZA KISASA NA ZA TEKNOLOJIA YA HALI YA JUU| KUZIUZA KWA MATAIFA RAFIKI TUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 64

  • @alhaqiyraliy3342
    @alhaqiyraliy3342 2 роки тому +14

    Mungu ampe ushidi urusi mana marekani ameshatuharibia ndg zetu wengi sana wamekuwa mashoga ewe mungu iyangushe marekani kama ulivyomuangusha firauni

  • @grederoperater7970
    @grederoperater7970 2 роки тому +23

    Team URUSI tujuane 🦾

  • @MpwataOmari
    @MpwataOmari 3 дні тому

    Viva pirtin nawashirikawake wanyoosheni haomashoga .

  • @sharonyclement9457
    @sharonyclement9457 2 роки тому +6

    Huraa mosico mdukuzi tunakupata

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 роки тому +5

    Kuna kitu nimegundua, Putin hakika hakuna mtu mzuri kama huyu jmn!! Mtu mpole afu mkali sana!! Putin hakika ni mtu na nusu. Sasa silaha kali na mpya zitatumika. Marekani bana rudi home sasahivi. Kitakachowakuta hao itakuwa historia. Putin juu daima.

  • @liberatuceboniphace4004
    @liberatuceboniphace4004 2 роки тому +1

    I love maximum tv.
    Mnaupiga mwingi sana

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 роки тому +1

    Duuh Russian iko sawa,safi sana Mkomboz wa dunia

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 роки тому +5

    Hakuna kitu,hawajamaa,urusi,China,wanapenda kujitangaza,manenomengi,

    • @muddyso1953
      @muddyso1953 2 роки тому +2

      Sawa ila kabla haujapinga inatakiwa uwe makini juu ya historia na teknolojia ya Urusi sio kubeza urusi ni kitu kikubwa mno kuliko ushabiki tulionao tutumie fikra pana

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 2 роки тому

      Nchihizi zote hawapendi kuachiana Madara kidemocrasia Ila waliingia kwenye utaratibu huu kwakujamulia,leo wanamutupia lawama marekani kama siyo ushenzi ninini????

    • @sogoramwinshekhe1464
      @sogoramwinshekhe1464 2 роки тому

      Wee mjinga haitakiwi useme chochote wewe sikiliza tu kibuyu wee

    • @sogoramwinshekhe1464
      @sogoramwinshekhe1464 2 роки тому

      @@josephmakutano7067 Uhuru mnao utaka si ule wa wanaume kuolewa na mwanaume mwenzio hiyo ndo democracy unayoitaka

  • @mbanomrage604
    @mbanomrage604 2 роки тому +4

    Urus hajatumia Silaha za kisasa nasiokwamba Hana Silaha za kisasa anazo za kutosha lait kama angetumia hizo Silaha Ukraine ingekua majivu. Sema Putin anahekma tu analazimshwa kuipiga Ukraine

  • @markodaniel2662
    @markodaniel2662 2 роки тому +3

    Putin ni mtu mzuri sana maana hajawai kuuwa bila kuchokozwa, Mungu saidia Putin kuishida vita ivi.

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 Рік тому +1

    safi sanaaaa,PUTIN NA MIKAKATI YAKE

  • @nzeyimanaambari9754
    @nzeyimanaambari9754 2 роки тому +9

    Putin ukituambia hayo inafurahisha tunapata faraja heko putin nakusikia saa

  • @shehahaji3429
    @shehahaji3429 2 роки тому +4

    tunakkbali Russia mpaka mwisho coz mmarekani hatmtaki Tena shetani yule lkn mpaka sasa ushafeli coz bdo hujatoa maamuzi ya kibabe hadi sasa

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 2 роки тому

      Marekani amechaguliwa nanchi zote ili kusimamia amani duniani,umekelwa Nini ?? mbona hunaakili iii

    • @shehahaji3429
      @shehahaji3429 2 роки тому

      @@josephmakutano7067vip ktk walio mchagua na ww umo mwenye akili ?? Bdo sna we

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 роки тому +7

    Marekani inatakiwa ipigwe nuclear

    • @lilianmakwati5228
      @lilianmakwati5228 2 роки тому

      Elewa nuclear haitomuathiri mmarekani tu

    • @simongwandu7392
      @simongwandu7392 2 роки тому

      @@lilianmakwati5228 ni mahesabu ya eneo mbona ya nagasaki iliathiri eneo hilo tu

    • @reubenbushiri1753
      @reubenbushiri1753 2 роки тому +1

      @@simongwandu7392 Hamna nuclear za siku hizi tofauti na zamani zina nguvu zaidi

    • @micamathew2595
      @micamathew2595 2 роки тому +1

      Hamna haja. Putin hawezi kuua watu wasio na hatia.

    • @lilianmakwati5228
      @lilianmakwati5228 2 роки тому

      @@micamathew2595 wacha kutetea watu waovu putin ni sheitwani

  • @amangulunduelo8750
    @amangulunduelo8750 2 роки тому

    Asante na habari

  • @martinmilinga6426
    @martinmilinga6426 2 роки тому +4

    Zelesky aendelee kupga domo atakuja kushtuka nchi Imechukuliwa yeye anaendekeza propaganda kuliko vitendo urus alishapgana vta kuanzia 94 had na 2002 na chechinia iliyokuwa ikisapotiwa na marekan had chechinia wakanyoosha mikono na had sasa chechinia iko chin ya mamlaka ya urus sasa zelesky hajui anapgana na watu wa vta

  • @salmaabdalla6029
    @salmaabdalla6029 2 роки тому +2

    Wataomba mpak lini

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 роки тому +2

    Wazindue tuu LAKINI MUNGU NDIE MUAMUZII

    • @muddyso1953
      @muddyso1953 2 роки тому

      Kabisa na Mwenyezi Mungu ndie hajatutaka tutumie nguvu mwenye kuhukumu ni Mungu pekee

  • @saidmathayo872
    @saidmathayo872 2 роки тому +2

    Urusi vita inaelekea kumshinda. Leo huko Crimea kambi yake nyingine imelipuliwa. Atakoma dikteta uchwara Putin.

    • @abdullkarim3681
      @abdullkarim3681 2 роки тому

      Alaaaa basi uraaaaaaaaa

    • @stevenclaud6648
      @stevenclaud6648 2 роки тому

      Akili yako iko mkunduni

    • @khalidichams861
      @khalidichams861 2 роки тому

      Urus soon anakichukua kinchi chote cha ukrain kiache ushoga usagaji na usheitwan mwingine

  • @ndizindeleti761
    @ndizindeleti761 2 роки тому +1

    Habari njema

  • @ahmedsaidbachuba2398
    @ahmedsaidbachuba2398 2 роки тому +1

    Jamani una penda urusi ukipata ka taarifa kanausu urusi lazima ukatoe harafu hakuna siraha za kisasa. Za marekani ambazo urusi ime zishamburia

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 роки тому

    Masikio na macho yetu urusi

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 2 роки тому +1

    Yan ww kila siku ni mtu wa kusifia urus,

  • @AbisaiHangi-y7n
    @AbisaiHangi-y7n 2 місяці тому

    Àsante umwambie raidi putini atusaidie n'aziledilaha haha Congo drc mana tumevamiwanarwanda.

  • @ahmedikilingamoyo9037
    @ahmedikilingamoyo9037 2 роки тому

    Wanaopenda ushoga waende mareikani na wasiopenda ushoga waende urusi

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 роки тому

    Kweli hatali mno

  • @faustinemabula82
    @faustinemabula82 2 роки тому

    Acha uongo putin kasema hvyo kwel!! bac ntamkuli zaidi maana najua manyonyaji NATO wamemuweza.

  • @mugabecoomix3356
    @mugabecoomix3356 2 роки тому

    nakwaminia

  • @user-km4kb3xj3y
    @user-km4kb3xj3y 4 місяці тому

    Upowasasa adamu 2mekumic

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 2 роки тому +1

    Hivi nivita ya kupigania misingi yakidunia kunapandembili,a upande wa utawala wakipuuzi yaani dictator b utawala wakupokezana kwanjia ya kura/democrasia, ebufikilia utasapoti wapi kama unaroho yamungu,?????

    • @sogoramwinshekhe1464
      @sogoramwinshekhe1464 2 роки тому

      Mimi nipo upande wa wanaume siwezi kuwa upande wa wasenge wa kimagharibi huko kuliko na democracry ya wanaume kufilana huko baki wewe

  • @khalidkhalfani5379
    @khalidkhalfani5379 Рік тому

    Putini.baba.tunakupa.100/100.baba.wewe.ndio.big.fathet.wa.dunia.na.tunakupa.pongezi.nyingi.watanzania.tunakupenda.na.tunakujali.sana.kama.sisi.raia.wa.tanzania.tupo.pamoja.na.putini.

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 2 місяці тому

    Viva russia

  • @mbarukumbega3730
    @mbarukumbega3730 2 роки тому

    Watu wazima dhibitini tamaa zenu

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 роки тому

    Muongo,siraha anazo,ila swaga nyingi,Alisema vita ya Ukren atamaliza vita kwa siku chache mbona vita haiiishi

    • @sogoramwinshekhe1464
      @sogoramwinshekhe1464 2 роки тому +1

      Inawezekana ungekaa kimya tusingeujuwa ujinga wako

    • @stevenlugojeremia2323
      @stevenlugojeremia2323 2 роки тому

      James Poneca @Acha kukariri Hii vita Putin anapigana na mataifa yasio punguwa 27 (NATO) Na hawa NATO Ndio Wamejaribu kuishawishi Africa pia Iingie Kwenye huu mzozo kumuwekea Vikwazo Urusi Maana NATO na Marekani wamesha mshindwa Mrusi kwamfano Africa na mataifa mengine yakikubali kumuwekea Vikwazo Mrusi Mrusi Atakuwa Anapigana na Dunia Nzima Akiwa yeye Pekeyake tu...hivyo Basi Laiti NATO wasinge ingilia Putin Angesha maliza mchezo kitambo sana...nazani utakuwa umenielewa kwanini vita vimechukuwa muda mrefu..

    • @shaurimtanda8285
      @shaurimtanda8285 2 роки тому

      Hujui chochote dunian,hiv unadhan pale urusi anapigana na Ukraine peke yake na unajua silaha kama Putin akizitumie zile nzito Ukraine itabaki nin na anategemea aje achukue nchi na watu wake aingize kwenye Russia federation

  • @peterkabogo6468
    @peterkabogo6468 Рік тому

    Putin kumbe ni mwamba

  • @yomenikabombwe4939
    @yomenikabombwe4939 2 роки тому

    Kwa nini azifanyi kazi mapema atukombowe ucoloni

  • @khalidkhalfani5379
    @khalidkhalfani5379 Рік тому

    Pamoja.na.vikwazo.vyao.waliokuwekea.awakuwezi.wao.wapo.100.na.wewe.upo.1.lakini.bado.awakuwezi.kiakili.kimbinu.kuongea.na.kufanya.vitendo.yani.mungu.amekupa.kilakitu.kama.vile.rais.wa.Tz.marehem.magufuli.na.wewe.putini.mngekaa.pamoja.sijuwi.mungu.angekugeeni.akili.ya.pekeenu.yani.kimbinu.ujanjamahalifa..n.k?