Chambua kwa hikima maswala ya kudhani eti zerensiki anatumia unga sio vzr na usiweke hisia zako kwahilo eti unga urimuona anatumiaunga au na we mwenyewe unatumia
Niwashukuru wachambuzi ila mtu kukataa asili yake hususani kwenye vyakula nimitindo maisha nikutokua na elimu ya ulaji pia wengine niulimbukeni mana ulaji wa asili hata kwenya mahoteli yetu kunavyakula vya asili tusaidieni watu wapete elimu ili tuepukane na magonjwa yasiokua ya lazima kutokana naulaji🙏🙏
Wanakwita eti mwalimu wa Neno LA mungu we we we unamdhiaki mungu wewe unasapoti mauaji yanayo fanyika u ko alafu unajiita mwalimu wa Neno LA mungu pumbavu sana
Hajafanya utafiti wa kutosha! Jeshi la urusi huwa na kauli mbiu gani!? Training yao inakuwaje? Lengo lao la vita? N.k Wakati mwingine shetani huonekana kushinda vita mara nyingi kwa kuwa ni mkorofi wa kuvamia wasio na Mungu.... lakini Mungu akitokea .....shetani hujitenga/hunyamaza
Mnajidanganya nyinyi,, hakuna ichi imepeleka silaha nzito zaidi Ukraine,,, pili, Usiongee kwa kujipendekeza mwenyewe, Umeichukia Marekani kwasababu haujui na hautajua ukweli wa mambo yalivyo, usidharau Marekani babu, fikiria vizuri na uelewe na uache upendeleo,, Muamerika c mjinga vyenye unafikiria
Et mwlim wa neno la mung anaye weza akakusikiliza ww huna uelewa wowote.broo America hakutaka kupeleka silaha nzito. Kama ni hizo Tu za majalibio Tu. Halafu kumbuka u.s.a Hana masilah uclen
If you want to know the strongest military check defence budget,hizi vifaru unaongelelea za kutoka Germany,uk,ni za zamani sana their technology is old school,hawataki kupeana zile mpywa
Kesho Lilo Bora Duniani Ni kanisa linalopambana na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho, Hilo ndilo jeshi Bora Huwezi kusema urusi nijeshi Bora linalouwa watu, Vita vya Damu na nyama havina ubora wowote maana wanauwa Binadamu Vita Kati ya shetani na kanisa la Bwana yesu jeshi la Bwana yesu ndilo lilobora Duniani shetani anavyopigwa na kanisa la Mungu anataka kutoroka kuzimu Kama alivyotoroka mbinguni ,Sasa anatorokea sehemu ya jehanamu ya Moto maana huko anajua kanisa la Bwana yesu kristo haliwezi kufika ,
Hawa wazungu wanatengeneza mabomu bunduki za Hatar makombora kwajili ya kupiga Binadamu walioumbwa na Mungu, Hawatengemesi siraha ili kuuwa nyoka au fisi siraha kwajili ya kuangamiza Binadamu niatari Sana hao wazungu, Hata Mungu Hawamuogope,Mimi siwezi kuwasifia hata kidogo,
USA ana base Kila upande katika Dunia hii, budget ya ulinzi ya USA urusi hatii mguu . Comparison ya urusi na US kiulizi hazifanani kabisa kinachompa kibri Urusi ni silaha za nuclear basi ila sio uwezo wa kijeshi. Mfano mzur ni hii vita inaendelea kama angelikuwa na uwezo wa kuiteka Ukraine angelikuwa ameshaiteka ila na struggling sana ku maintain maeneo aliyoyachukua halafu anapigana na jeshi dhaifu kama la Ukraine. Unaponambia urusi ana nguvu kuliko US napata shida kukuelewa cz kama Mutiny ya yevgen prigozhiny ya muda mfupi walianza kubomoa barabara, reli na madaraja Ili prigozhiny na kundi lake la Wagner wasiingie Moscow vipi kuhusu USA ?? Nadhani Kuna double standard ya habari mnayotoa haijafanyiwa utafiti muko kiridhisha upande Fulani. Mnaichukulia poa USA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sasa huyo urusi ajikanyage apige taifa la NATO ndio ataona ukubwa wa USA uko wapi na wana nguvu kiasi gani.
Ata wao si wajidanganye waipige urus si ipo inatoa kichapo Ukraine!! Na Alisha wai kupiga bom likauwa watu Poland wakakaa vikao uchwara jibu lililotoka oooh sio wao ni Ukraine cheza na moto wa urus wewe😅😅😅😅
Benson unasema uongo, sema unampenda Putin, Amerika ni Super power in the world , urusi ni ya pili, kama vifaru kuchomwa vya Urusi vimetekezwa zaidi ya vifaru laki Tano, Putini katishia kupiga mabomu ya nyukilia ikiwa Amerika ikiingia vitani
Umesimama katikati Kama refa pumbavu Sana ww mpeleke mama yako na baba yako wakapigane uone uchungu wake baba yako Ange uwawa kwenye Vita unge jisikia je ? Pumbavu
Ukitaka kujua urusi ni shida,angalia siria ,marekani aliposema anamng,oa,asad ndani ya miezi SITA,mrusi aligoma akasema Yuko nyuma ya asad,mpaka Leo Asad hajatoka
We hujui kanuni za ushindi kibiblia 'Daudi na udogo wake alimpiga goliati na ukubwa wake wote' hata zelensky na udogo wake atashinda tu ndio maana hadi Leo urusi anahangaika.
Salute wakulungwa mpoki na Benson
Mwalimu uko vizuri , 👍🙏
Thank you my brother kwa kutuchambulia mambo ya vita na vyakula ubarkiwe
Hongera mwalim tunakupenda sn tunapendatukusikie unavyochambu upovizuri big up mwamba.
Mwalimu Asante Kwa somo tuwekee namba zako ubarikiwe sana
Chambua kwa hikima maswala ya kudhani eti zerensiki anatumia unga sio vzr na usiweke hisia zako kwahilo eti unga urimuona anatumiaunga au na we mwenyewe unatumia
Ni kweli anatumia madawa uko sana mwalim
Niwashukuru wachambuzi ila mtu kukataa asili yake hususani kwenye vyakula nimitindo maisha nikutokua na elimu ya ulaji pia wengine niulimbukeni mana ulaji wa asili hata kwenya mahoteli yetu kunavyakula vya asili tusaidieni watu wapete elimu ili tuepukane na magonjwa yasiokua ya lazima kutokana naulaji🙏🙏
Huwa nakuelewa sana. Upo safi.
MAneno yako mwalimu wa neno la mungu uko sawa mkweli mwaminifu mungu akubariki
tunakubali sana uchambuzi wenu kuhusu vita vinavyo endelea
Uchambuzi wako safi sana🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mwal Isaya àaaaa.
Maswali na majibu.
Storyyý unaniangusha uzalendo umekujaa umefoka.
Pole sana
Yees yees nimekuelewa vizuri mchambuzi urusi iko juu
Ahsante kwa uchambuzi hizi mbegu GMO tutazitambaje hasa
Sahihi sana urusi ndio inayongoza kuwa na jeshi imara hao wengine matapel
Hongerasa mchambuzi umebobea
Nimekupta vivr sana ulivyo nichambulia kwaumakini 🙏
Nakubali 🙌🙌
Wanakwita eti mwalimu wa Neno LA mungu we we we unamdhiaki mungu wewe unasapoti mauaji yanayo fanyika u ko alafu unajiita mwalimu wa Neno LA mungu pumbavu sana
Hakuna mwalim humo
Nyie wachoma mkaa tu
Kama unawaonea huruma anza nyumbni congo sudani somali Ethiopia mali bukinafaso Haiti mbona huwaonei huruma
Pumbavu ww uso na akili ww mbona una furahia shetani israel kuuwa wa palestina chizi ww uchizi wako pereka Israel kwama chizi wenzio
Asante sana Mwalimu wetu
Wafrika nitawasifu. Hawana viwanda vya kutengeneza mabomu bunduki makombora
Ila kutunga nyimbo za mziki wafrika wanafaa ,sana
Asante kwa uchambuzi mzuri
Nimekukubari sana sana marekani kwangu ni shetani mwenye kerere....
Magharib wahuni sana
Hajafanya utafiti wa kutosha! Jeshi la urusi huwa na kauli mbiu gani!? Training yao inakuwaje? Lengo lao la vita? N.k Wakati mwingine shetani huonekana kushinda vita mara nyingi kwa kuwa ni mkorofi wa kuvamia wasio na Mungu.... lakini Mungu akitokea .....shetani hujitenga/hunyamaza
Nimekukubali Mwakilembe
Unaweza kaka
Mnajidanganya nyinyi,, hakuna ichi imepeleka silaha nzito zaidi Ukraine,,, pili, Usiongee kwa kujipendekeza mwenyewe, Umeichukia Marekani kwasababu haujui na hautajua ukweli wa mambo yalivyo, usidharau Marekani babu, fikiria vizuri na uelewe na uache upendeleo,, Muamerika c mjinga vyenye unafikiria
Et mwlim wa neno la mung anaye weza akakusikiliza ww huna uelewa wowote.broo America hakutaka kupeleka silaha nzito. Kama ni hizo Tu za majalibio Tu. Halafu kumbuka u.s.a Hana masilah uclen
Nashukuru kutoa mchanganuo huo.Wengi hawaelewi haya yote. Tafathali usichoke.
Bila marekani hakuna vita na magonjwa
Safi sana mwalim
Tumieni akili alisema wiki moja alafu mnamsifia Kama angemueza angesha mjibu mchambuzi uyu anadanganya wasio jua kitu chochote
Daa nimekuerewa ukosahihi balaa
Mwakilembe watu wanasema ww ununulia iv nikweli chapa kazi nakukubar sana
Ukitaka kujua nikweli putin anamiliki eneo ukrein marekani anapambana kumtoa mrusi wanashindwa zaid ya mwaka
Uko upande mmoja eleza ukweli urus vita vimemshnda
😂😂kk Vita gani unaachia mateka wakivita iyo so Vita n operation
Wewe. Mtangazaji. Ni. Muongo. Na. Mpumbavu. Mkubwaa
Urusi ninoma Dunian. Marekan kashindwa kuingia pekeyake hata hapo libya kawashirikisha Ufaransa, Ujeruman, Uingereza na nchi zingine za Nato
If you want to know the strongest military check defence budget,hizi vifaru unaongelelea za kutoka Germany,uk,ni za zamani sana their technology is old school,hawataki kupeana zile mpywa
Nawakubali sana
Ubarikiwe mmno mwalimu
Kesho Lilo Bora Duniani Ni kanisa linalopambana na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho, Hilo ndilo jeshi Bora Huwezi kusema urusi nijeshi Bora linalouwa watu, Vita vya Damu na nyama havina ubora wowote maana wanauwa Binadamu Vita Kati ya shetani na kanisa la Bwana yesu jeshi la Bwana yesu ndilo lilobora Duniani shetani anavyopigwa na kanisa la Mungu anataka kutoroka kuzimu Kama alivyotoroka mbinguni ,Sasa anatorokea sehemu ya jehanamu ya Moto maana huko anajua kanisa la Bwana yesu kristo haliwezi kufika ,
Hawa wazungu wanatengeneza mabomu bunduki za Hatar makombora kwajili ya kupiga Binadamu walioumbwa na Mungu, Hawatengemesi siraha ili kuuwa nyoka au fisi siraha kwajili ya kuangamiza Binadamu niatari Sana hao wazungu, Hata Mungu Hawamuogope,Mimi siwezi kuwasifia hata kidogo,
Wewenimsemakweri nakubari
Wariishiwa urusi sinabiwiya urusi niwizi waibia bifavyayirenci
Napenda ujumbe wako
C kwel
China, 1950 alikuwa ni China first superpower duniani! nakama unabisha" wewe wende kuhuliza kwenye internet.
Mwalimu wa neno la Mungu,
Wewe mutafwiti ajabu !
Si kweli.USA is the best Military in the world.
Get courage mwalimu
Kashindwa Ukraine mbwa uyo
Kaa
Jeshi la Putini ni Bora zaidi duniani
USA ana base Kila upande katika Dunia hii, budget ya ulinzi ya USA urusi hatii mguu . Comparison ya urusi na US kiulizi hazifanani kabisa kinachompa kibri Urusi ni silaha za nuclear basi ila sio uwezo wa kijeshi. Mfano mzur ni hii vita inaendelea kama angelikuwa na uwezo wa kuiteka Ukraine angelikuwa ameshaiteka ila na struggling sana ku maintain maeneo aliyoyachukua halafu anapigana na jeshi dhaifu kama la Ukraine. Unaponambia urusi ana nguvu kuliko US napata shida kukuelewa cz kama Mutiny ya yevgen prigozhiny ya muda mfupi walianza kubomoa barabara, reli na madaraja Ili prigozhiny na kundi lake la Wagner wasiingie Moscow vipi kuhusu USA ?? Nadhani Kuna double standard ya habari mnayotoa haijafanyiwa utafiti muko kiridhisha upande Fulani. Mnaichukulia poa USA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sasa huyo urusi ajikanyage apige taifa la NATO ndio ataona ukubwa wa USA uko wapi na wana nguvu kiasi gani.
Umenena broo Yan kaegemea upande mmoja hatak kunyosha maelezo kama Putin kibur arushe hata bomu marekani kwa bahat mbaya
Ata wao si wajidanganye waipige urus si ipo inatoa kichapo Ukraine!! Na Alisha wai kupiga bom likauwa watu Poland wakakaa vikao uchwara jibu lililotoka oooh sio wao ni Ukraine cheza na moto wa urus wewe😅😅😅😅
Uongo mossad ni ya israéli
Yaaap anatengeneza vifaaa mwenyewee
uyo mchambuzi ni mwehu au mzima kweli? Uyo bwana anachambua kitu hakijui mbona?
Mimi naongea kirusi Kwa kupenda, na nakipenda sana kirusi
Nifundishe kirusi jama
jeshi hodari duniani,,=1Marekani2,Urusi3china acha uwongo brother.
Umebiwa urusi unafikili muko kanisani hapo
Hukuna mwalimu hapo marekani namba moja mpumbavu wewe urusi vimelipuliwa vifaru vingi sana vyake
Lipumbav
Ndoto za muchana mwalimu, kama urusi ingekuwa Bora basi haingechukua mpaka Sasa vita inaendelea
Ile ni vita sio harusi
Urusi ayuko vitani ni operation
Urusi ni noma
Mbona. Hutwambii. Vifaru. Vya. Urusi. Vilopigwaa
Si kweli.Marekani ili ipiga Iraq kwa wiki 3.Urusi mpaka amedoda Ukraine
Hakupiga bali alifanya maangamizi umeelewa maana yangu urusi haifanyi uwo upuuzi
Huyu mwalimu anaongea kweli kweli tupu nimemuelew san aje aelezee na dola kupigwa chini na brics
Urusi. Hana. Jeshi .Kali. Duniani. Munadanganyana. Tuu. Wabongo. Mnajipendekeza. Kwa. Warusi. Musitudanganyee
Hamna mchambuzi hapa .tayari kachagua upande
Vp bro we refali au maana umesimana katikati kama kahaba unataka bwana apo
Benson unasema uongo, sema unampenda Putin, Amerika ni Super power in the world , urusi ni ya pili, kama vifaru kuchomwa vya Urusi vimetekezwa zaidi ya vifaru laki Tano, Putini katishia kupiga mabomu ya nyukilia ikiwa Amerika ikiingia vitani
Nyinyi amnakiri mkifanyiwa kavire mtafanyaje mbonamunasapoti urusi mubaya ikijakwenu munashuru
Malekani
Pale mwalimu iko sahihi.
Lakini Yesu yupo mlangoni tujiandae kumlaki tusije tuka jisahau na mambo ya dunia
Urusi tomba woote hao
Oya ?hakuna kamchapee wamchape huyo mwehu.anakela anachokichambua havieleeew ki.au tukitombe.utimu no mwingi
Ngoja tukusaidie
Nyinyi mnatetea urusi wachokozi
Rekebisha saut Mzee..
Nani kakwabia numbers on USA marekani
Umesimama katikati Kama refa pumbavu Sana ww mpeleke mama yako na baba yako wakapigane uone uchungu wake baba yako Ange uwawa kwenye Vita unge jisikia je ? Pumbavu
Shukran sana kaka
Urus ndiyo unfananishe na America, wakati amezidiwa kila kitu,kuanzia uchumi
kuna watu wanapewa hela kuitapa Urusi tu! Lakini hawajui kitu kaka! Uyo Urusi kama ana nguvu avamie nchi moja wapo ya Nato ndio aone mziki
Ukitaka kujua urusi ni shida,angalia siria ,marekani aliposema anamng,oa,asad ndani ya miezi SITA,mrusi aligoma akasema Yuko nyuma ya asad,mpaka Leo Asad hajatoka
uyo sio mwalim ajui mnapoteza sifa
Asante
Mwalimu wewe inaonekana uko Urus hivyo lazima uongee hivyo
❤❤❤Naqbl
Nakubali
Ww ujui kitu
Mmmmh haihitaji elimu kubwa kujua uchambuzi wako unapendelea wapi kwa sababu tuliambiwa ni operation ndogo lkn mpaka leo............
Ndugu yangu ww ni mpotoshaji na mwongo mkubwa
Marekani anatumia akili so akulupuki
Wewe inaonekana ni kibaraka wa marekani mashoga
Angekuwa na akili angemjua mungu
Mbona. Mpaka. Leo. Mrusi. Hajafanikiwa. Uko. Ukrein. Izo. Nguvu. Za. Urusi. Zikowaapiii. ??
Nyinyi mumekosa firiji kamahamunafiriji akunakitu
Waisrael mashabulizi kila wakati Syria, kwa nini na mrusi ako pale
Mengi ana ongea ni owongo sana. Hauongele secret weapon kati ya hizo taifa mbili
Kichwa Chake Kina Maji ya Betri,
We hujui kanuni za ushindi kibiblia 'Daudi na udogo wake alimpiga goliati na ukubwa wake wote' hata zelensky na udogo wake atashinda tu ndio maana hadi Leo urusi anahangaika.
Inchi yenye jeshi bora ni marekani hakuna ubishi urusi hakuna kitu hata ukimtukuza mrusi bado hajui mungu kwakuwa anatafuta vinchi vidogo ndoo vipiga
Marekani ameshawai pigana vita peke yake
Kuna Iziraeli hiyo nihatali
l'Amérique a des armes sofestiquees et des militaires biens formes
Esaf ndifu alaaf uchambuz unaelewekaa nakukubali mwamba
bro unasema uongo sana
Acha mbweMbwe
Mwalim waneno la mungu unasahau tuanzie 1 china 🇨🇳 2 korea kasikazini 3 Vietnam 🇻🇳 4 Africa nistan 5 Syria 🇸🇾 Na sasa Ukraine 🇺🇦