HOUSE GIRL EP 49 || love story💞💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #bongomovie #housegirl

КОМЕНТАРІ • 738

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 2 місяці тому +154

    Kama umeamka salama kabisa mwambie Mungu asante alafu like kidogo please 🙏🙏❤️😂

  • @CarolinePaschal
    @CarolinePaschal 2 місяці тому +51

    Leo nimeamua kucomment ❤ wanaompenda kai na zuuuh na baba kai gonga like😊

  • @pastorenockcharles8201
    @pastorenockcharles8201 2 місяці тому +9

    Tokea nianze kuangali movie, hii movie ya house girl nimeipenda sana, ina funzo kubwa, inaburudisha pia. Hongereni kwa kazi nzuri

  • @NchgFtma
    @NchgFtma 2 місяці тому +26

    Nimewahi leo hhhhh kabla ya lisali moja hebu naomba like zenu

  • @SifaelShengovi
    @SifaelShengovi 2 місяці тому +3

    Hongereni kwa move nzuri yaan inashawish sana kuendelea kuiyonaa leteni muendelezo

  • @davidkea5701
    @davidkea5701 2 місяці тому +29

    Mwa ng'ang'nai ma like kweli badala ya kuliza mbona thamthilia zengine zengine kama SIKU MOJA BAADA YA NDOA HAIJAMALIZWA. toeni maoni badala ya kudai ma like

    • @HidayaMbodze
      @HidayaMbodze 2 місяці тому +1

      Nashindwa na hawa watu kabisa

    • @RogersRobert-x9w
      @RogersRobert-x9w 2 місяці тому

      Kwel yan hio sku 1 kabla ya ndoa at haielewek imefia wap

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 2 місяці тому +18

    Kai kua makin ucje kumbikiri mtt wa wa2 bado mdogo 😂😂😂😂

  • @ugenny125
    @ugenny125 2 місяці тому +26

    Heeeee jamanii amlali jaman au mlikuwa mnasbria house girl daah movie Kali kweli hii msnipe like ila kama mnaikubali tia like hapa

    • @JoymarzMakori-e4b
      @JoymarzMakori-e4b 2 місяці тому +1

      Tunaisubiri vinoma

    • @LoyceJastine
      @LoyceJastine 2 місяці тому

      Kuomba like tu kuangalia maudhui haaaa😒

    • @ugenny125
      @ugenny125 2 місяці тому

      @@JoymarzMakori-e4b ni atry

    • @ugenny125
      @ugenny125 2 місяці тому

      @@LoyceJastine mbona sjaomb

  • @UmmyShabir
    @UmmyShabir 2 місяці тому +19

    Jamani Leo mm nimekuwa wa mwisho naòmbeni like pia😂😂😂

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 2 місяці тому +5

    Jamani Kai hanataka hasali,, zuuh mwambia mwambia mumeo mutarajiwa mwanzo hafike nyumbani 🎉🎉🎉🎉nawapenda tu nyote

  • @AsteriaThobias-w2t
    @AsteriaThobias-w2t 2 місяці тому +4

    Jaman team Kai big up Xana aiseee mpo vizur mnaachia Kwa wakat!!!!!!🎊

  • @NaomyMollel-w3r
    @NaomyMollel-w3r 2 місяці тому +118

    Wanaosubiria ndoa ya Kai na zuu kwa ham tujuanee hapanaa kwa like jamn❤❤

  • @JenniferQueen-n2i
    @JenniferQueen-n2i 2 місяці тому +16

    Wakwanza ku watch your video nipeni like zangu

  • @jeskaoscar9423
    @jeskaoscar9423 2 місяці тому +19

    Jamani nimegundua watu awalari. Jana nimeisubiri iiii mpka ety nakuja sahz nakuta watu wengi Atari. Pleas bc naombeni like mae ata5🙏🙏🙏❤️

    • @MariaFelix-le7ph
      @MariaFelix-le7ph 2 місяці тому

      Daa naombeni mtoe ep ya 50 saiv bas kwan aiwezekani inanoga afu dakika chache inaisha aise jitaidini bas nimeipenda hii muvi hatar kai na zuul nawapenda sana mnavyoigiza

  • @mwajumasuleiman9767
    @mwajumasuleiman9767 2 місяці тому +3

    Jamani.msicheleweshe.
    Muv.tam.sana.hongereni.wapendwa

  • @DianaAnatos
    @DianaAnatos 2 місяці тому +19

    Nasubli ndoa ya Kai na zuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MauaSaid-t4b
    @MauaSaid-t4b 2 місяці тому +7

    Hapo sasa mimba sio inababa wangapi kazi nzuri kend

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉

  • @TeresaSefu
    @TeresaSefu 2 місяці тому +6

    Chiko kitakulamba kwaza kabsa ile mimba kwa candy syo yako upoo😂 alafuu wew chkoo ndo huna kzazi alaaaaaaAaaaah😂😂😂😂

  • @zanishaikhonge7296
    @zanishaikhonge7296 2 місяці тому +4

    Ambao wamekesha kama mii tujuane kusubiliaa house gril ❤❤❤

  • @LinahAssey
    @LinahAssey 2 місяці тому +26

    Wa 12 leo nipeni like ata 3 tu

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 2 місяці тому +7

    Sina tofauti na mzee magoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊

  • @rubniyi3551
    @rubniyi3551 2 місяці тому +12

    Kai jiongeze bhana mbona mihemuko huna 😂😂 hivi Kweli zuu unamuongelesha ukiwa mkavu hivo Kweli 😂😂

    • @tizojr7003
      @tizojr7003 2 місяці тому

      Duh hatar 😂😂

    • @rubniyi3551
      @rubniyi3551 2 місяці тому

      @@tizojr7003 kaniboa bhana ye zuu ashaambia asali wasiguse sasa kai nae anajifanya kama haelewi 😂😂

  • @Aminaibrahim-d2w
    @Aminaibrahim-d2w 2 місяці тому +15

    Wakumi Leo jamon naombeni like zenu Nami jomoni😂

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 2 місяці тому +8

    Hya pumziken lkn zuu n Kai mjue nahitaji kuitwa shangaz harak iwezekanvyo cha mtume badae 😂😂😂😂

  • @josephinepeter706
    @josephinepeter706 2 місяці тому +24

    Chiko chiko chiko nimekuita mara 3 utaishia pabay chiko huna uwezo wa kuzalisha wew

    • @FaridaFocus
      @FaridaFocus 2 місяці тому +1

      Ila asavali kamubaribia candy

    • @DoriceDominic
      @DoriceDominic 2 місяці тому

      Nmecheka Kwa sauti😂😂😂😂😂

    • @mwanamisimwapula8392
      @mwanamisimwapula8392 2 місяці тому

      Namuonea imani aki

    • @BabaBabalili
      @BabaBabalili 2 місяці тому

      Oya kend atajuta xana 😂 af chiko ameyakanyaga😢😢😢😢😢 hana ngv za kiume hahahaha 😅

    • @BabaBabalili
      @BabaBabalili 2 місяці тому

      Unazani chiko atafany nn endapo atagundua kuwa mimba ci yake😊😊

  • @TonnyNyakile
    @TonnyNyakile 2 місяці тому +3

    Kwl wapo vzr Sana wanajitaid katika Kaz

  • @HafsaMasoud-j2x
    @HafsaMasoud-j2x 2 місяці тому +5

    Yani ukimuangalia kendi hata akiwa aongea inaonyesha kuwà hayupo sirias
    Muangalie machoni kwa umakini akiwa aongea 🤣🤣🤣🤣🤣 yani kama vile ataka kucheka

  • @Hadija-mg8de
    @Hadija-mg8de 2 місяці тому +3

    Candy Badirisha Iyo Nguo Jamani Eeh😅😅😅😅 Ndio Ushavulugwa

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 2 місяці тому

      😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 місяці тому +17

    Ila mungekuwa mnaongeza dakk kdg au bas

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 2 місяці тому +103

    Sijawai pata like ata moja naombeni ata 5 tu❤

  • @officialijang
    @officialijang 2 місяці тому +8

    HAHAHA NGOJA KISA AUZE NYUMBA APITE NA HELAA MTAKUJA KUNIAMBIA 😂😂😂😂😂

  • @GabrielMroso
    @GabrielMroso 2 місяці тому +5

    Sjawah. Kuona. Mwanamke. Aliekosa. Haibu Kama Kendy

  • @Fatumahassan-h5m
    @Fatumahassan-h5m 2 місяці тому +3

    Nawapenda sana ndugu zangu zuu nakupenda sana dadaangu hujambo like zangu ❤ from 🇰🇪

    • @busatitv
      @busatitv  2 місяці тому +1

      ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 2 місяці тому +1

    Mke wa chiko maua yako🎉🎉🎉🎉

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 2 місяці тому +10

    Endereea kujizma Data Candy! Ondoka na mume wako Chiko

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 2 місяці тому +3

    Hongera sana zuu EP 50 twaomba leo

  • @JaneChaula
    @JaneChaula 2 місяці тому +5

    Zuu kama hana D mbili😅😅😅ety ka kai😅

  • @jenniferzakaria3884
    @jenniferzakaria3884 2 місяці тому +9

    Kuna wanaume wanaongombania mimba na Kuna wanaume wanokataa mimba mmmmh

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 місяці тому +1

      Ila asilimua kubwa ya wenye kugombania mimba hua hawazalishi😮

  • @edsonmakweta6347
    @edsonmakweta6347 2 місяці тому +8

    “asilambe asali hiyo” bibi zuuh bana 😁🏃🏃🏃

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

    • @edsonmakweta6347
      @edsonmakweta6347 2 місяці тому

      @@ThaBroski bibi hataki utani 😂😂😂

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 2 місяці тому +93

    Ambao jana tuliokuwa tunachungulia chungulia kila mara episod ya 49 gonga like tujuane........😅😅

  • @HidayaMbodze
    @HidayaMbodze 2 місяці тому +4

    Zuu atapata ujauzito😂😂 nani anafikiria kama mm. Akijaribu tu ndicho kitu

  • @HappfaniaJoseph-om8pm
    @HappfaniaJoseph-om8pm 2 місяці тому +2

    Jaman jana niliisubir sana mpak usik napenda sana hii story lov team kai na familia

  • @zaharahamadi3784
    @zaharahamadi3784 2 місяці тому +3

    Candy 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ unanifurahisha sana

  • @FranklineBaya
    @FranklineBaya 2 місяці тому +1

    Ndugu zangu mumecheza kwa hii movie 💯

  • @IddyMohamedi-w7i
    @IddyMohamedi-w7i 2 місяці тому +3

    Chiko ndio hana uwezo wa kuzalisha alaf anamchukia mke wake tayar kashauponza kama nimepatia gonga like

  • @NyamweruAlex
    @NyamweruAlex 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤🎉chko muàche utaj⁷uta😅 ķendy hùmjuwi etiiee

  • @Ummyrahy6666
    @Ummyrahy6666 2 місяці тому +5

    Kay hupati kitu bnahhh asali yetu hailiwi hpo jitulze😂😂😂 afu unasema candy hana mamlaka wkati ushamkabdh nyumba hya kalalen aje awatimue😊😂

  • @PastoryPaul-yp3up
    @PastoryPaul-yp3up 2 місяці тому +7

    Kashapigwa Candy hati imesepa hyo

  • @UmaziMdzomba
    @UmaziMdzomba 2 місяці тому

    Asante sna kwa movie yenu nzuri naikubali sna hii movie ila jana mulituboesha kwa kwel

  • @TimotheoNdonde
    @TimotheoNdonde 2 місяці тому +9

    Jamani Leo nimecherewa Ata like 1

  • @VenidaYohan
    @VenidaYohan 2 місяці тому +3

    Imetishaaaa kaliii

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 2 місяці тому +3

    We chiko ww usimalize maneno utakuja kuumbuka ww ndo huna uwezo wa kuzalisha naona Mimi! Nimejifunza kitu hata mwanaume ni mgumba na mawifi punguzen gubu. Pole dada ila utazaa TU ❤❤❤

  • @SelemaniBaryambona
    @SelemaniBaryambona 2 місяці тому +1

    Jamani kiukweli nampenda sana chiko ni mzuli sana

  • @Reenkingu
    @Reenkingu 2 місяці тому +5

    Jmnii nipo naumwaaa but hiiii moviee najikza kuangalia

  • @Jackline-y6z
    @Jackline-y6z 2 місяці тому +1

    😢 pole mama chiko ndoa hizi jamani

  • @damianymkungu
    @damianymkungu 2 місяці тому

    kusema kweli hii movie imenipa hela niwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri nzuri na mungu awabariki🙏🙏🙏

  • @Rahema123
    @Rahema123 2 місяці тому +7

    Oyooooo 🤸‍♀️ penda shana mko vizuri manshaallah mfike mbali kwa uwezo wa allah 🎉🎉

  • @MonicaCyprian
    @MonicaCyprian 2 місяці тому +4

    Kimekulamba kendy hahahaaa😅

  • @SilviaJoseph-l8g
    @SilviaJoseph-l8g 2 місяці тому +6

    Wangap wanasem chiko han uwez wa kuzaa tujuane

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 2 місяці тому

      Muda so mrefu kitamramba we subiri

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 2 місяці тому +115

    nyie watu mpo faster kama aitel nawakubali sana team Kai kama unawakubali kama mm tujuane kwa comment hapa sasa tuache kuomba like hazisaidii wazee

  • @Hidaya-os1pg
    @Hidaya-os1pg 2 місяці тому +3

    Candyyyyy😂 umeshikwa tai na chiko umekuwa mpole gafla😂

  • @RaiyahHamis
    @RaiyahHamis 2 місяці тому +6

    Candy unanifurahisha sana 😂😂😂

  • @officialijang
    @officialijang 2 місяці тому +3

    Kisa cha chiko na mkeo naona kinaniingia akili sanaa

  • @rizikikivumbi6499
    @rizikikivumbi6499 2 місяці тому

    Nawakubali sana team kai na nawapenda nyoote 🇰🇪🇰🇪

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa 2 місяці тому +5

    37.daaaa Kai maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BahatAli-d6c
    @BahatAli-d6c 2 місяці тому +3

    Mshaanza kuboa sasa ipo kama ya kihindi haimalizi aaah

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 2 місяці тому +2

    Tuaomba mtutorehe kwa wkt km mwanzo tunawapenda sana asateni kwa move mzuri

  • @MauaSaid-t4b
    @MauaSaid-t4b 2 місяці тому +3

    Mbona haifunguki mliowahi mmeshaiona

  • @irenestephen399
    @irenestephen399 2 місяці тому +16

    Wote hapa ifikapo 2099 tutakua tumekufa 😅au 3000😮

  • @abelymzumbwe
    @abelymzumbwe 2 місяці тому +20

    Tulio subilia sana Toka Jana tujuane Kwa like 👉👉

  • @asuminimiti
    @asuminimiti 2 місяці тому +7

    namim nimewah naomben like

  • @CastoChikoko
    @CastoChikoko 2 місяці тому +5

    We chiko ety king'ang'anizi kama magoma

  • @TabuBaya-mr4lx
    @TabuBaya-mr4lx 2 місяці тому +3

    Kai lazima afunge ndoa na zuu ndo hii movie inoge

  • @ViolahKulwa
    @ViolahKulwa 2 місяці тому +6

    Chiko ameuwa mbavu zangu yeye king'ang'aniz kam mzee magoma

    • @MariamHamadi-z5l
      @MariamHamadi-z5l 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂 hatari sana

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 2 місяці тому

      More fire 🔥😂😂😂

  • @RazikeRara
    @RazikeRara 2 місяці тому +2

    Jaman nawapenda nmechelewa lakini naomba like moja

  • @TheresiaTitus-m1l
    @TheresiaTitus-m1l 2 місяці тому +2

    Halooh candy ashadhurumiwa hati huyo

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 2 місяці тому +3

    Nani kaona candy kachezwa na dadamachozi na mpenzi wake naona kwa mbali😅😅😅😅😅😅chiku chiku ,nakuita mara tatu aki😢😢😢😢

  • @HeavenlghtJohanson
    @HeavenlghtJohanson 2 місяці тому +1

    Chiko 😁😁😁😁et yeye ni king'ang'anizi 🤣

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 2 місяці тому +3

    Ndoimekia Tamu SS nilikuwa Makini Na kuagalia nyanya naye Kaya malizia haruc tunayo. Zuu uckubali kupeana asali kai angoje asali akabithiwe Na Bibi Aile vizuri Kwa Makini. Asante Bibi Kwa mwito wako.

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 2 місяці тому +4

    Huyu Bibi Yake Zuu kafanyaje hizo nywele zikawa nyeupe mbona bado kijana😂ila Candy ww umeshindikana kabisa 😅😅

  • @WitnessMaile
    @WitnessMaile 2 місяці тому +1

    Jaman hii movie Kali sana nipen like zenu nazsubili🎉🎉

  • @Oman-md4mz
    @Oman-md4mz 2 місяці тому +3

    Wa kwanza leo Masha Allah nipen like jmn

  • @StephansMbuthye
    @StephansMbuthye 2 місяці тому +3

    Wakwaza kutoka 🇰🇪

  • @MasauShida
    @MasauShida 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri Mr. Kai❤

  • @zainabkutwaa3327
    @zainabkutwaa3327 2 місяці тому +4

    Wakwaza nimewai naobeni laik zenu wadau❤❤❤ dazu ba kai

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever 2 місяці тому +7

    Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 in the house anguka nayo

  • @MauwaAsese
    @MauwaAsese 2 місяці тому +5

    alafu man akili sana ya kuendeleza season atar ongeren zen wajumba

  • @tossynia
    @tossynia 2 місяці тому +3

    Candi ananifurahishaga pale akitamka baba wangu mkwe 🥰

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉😂😂😂😂😂😂etiiii najuwa kuowa sijuwi kuwachaaa

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 місяці тому +3

    Cend cend una nyumba Wala mimba cend ww dishi la yumba la cend wallah chiko chiko mimba ya papa hyoo utajuta ww chiko zatiti wa Tash kama Tasha ❤❤ pambe tu. Tuna harusi mbili mwaka huu ya zuuu na zatiti

  • @ElizabethShadrack-ig4mz
    @ElizabethShadrack-ig4mz 2 місяці тому +3

    Na dakika tano tu na mm mnipe like zanguu

  • @WhitneyJuma-t5j
    @WhitneyJuma-t5j 2 місяці тому +2

    Upendo wa vuka mito ,, watu wawili katika mapenzi hata banda huwa nyumba 😊

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 2 місяці тому +1

    Mm nimechelewa lakin Kila anaeupenda huu mchezo tujuane HP please#

  • @WardaKhamis-gz5pk
    @WardaKhamis-gz5pk 2 місяці тому +2

    Hahaha Kisa akiuza nyumba na kukimbia na hizo pesa bila.shaka candy atakuwa chizi 😂😂😂

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂😂😂 bibi bana eti asirambe asali vile kai anauchu miezi sita candy alkuwa yuwambania

  • @AuntHaji
    @AuntHaji 2 місяці тому

    Nimewakubali mpo Fasta nimewapenda sana

  • @IrenSimon-p7i
    @IrenSimon-p7i 2 місяці тому +4

    Nangoja mwisho wa chiko

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss 2 місяці тому +1

    Wow so fast i really like the updates and the way pipo conduct yourselves in amovie

  • @fatumamali2794
    @fatumamali2794 2 місяці тому +3

    Naomba like 5 tuu na mm

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 2 місяці тому +3

    Yaani mtoto wa watu nimengojea toka jana Hadi nimejanganyikiwa kweli nani amekua kaa mm jamani mziwe ivoo.....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪