TAZAMA KAULI NZITO YA SAMIA KWA MPINA AFUKUZWA BUNGENI KUKOSA VIKAO KUMI BASHE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 чер 2024
  • Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imetoa azimio kuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina apewe adhabu ya kutohudhuria vikao visivyopungua 10 vya Bunge kuanzia leo kutokana na kitendo chake cha kukiuka kanuni za Bunge, kudharau mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge.
    Hayo yameelezwa bungeni leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa Mjini, Ally Makoa wakati akiwasilisha maoni ya kamati juu ya ushahidi wa Mpina kuthibitisha tuhuma dhidi ya Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe kuwa alisema uongo bungeni na kulipotosha Bunge, pamoja na uchunguzi wa kamati juu ya tuhuma dhidi ya Mpina ya kudharau mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge.
    Kamati imesema kuwa kitendo cha Mpina kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu ushahidi aliouwasilisha kwa Spika wa Bunge, kabla ya haujawasili mezani, au kupewa idhini na Bunge ni kukiuka kanuni za Bunge, amedharau mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge. #azamtv #ahmedyally #billnass #azamfc #cheka #daimondplatmuz #feisalsalum #mamelodisundowns #manaratv #nandy

КОМЕНТАРІ • 7

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 15 днів тому +1

    HUYU MAMA ATAKI KUPINGWA WAKATI CC ATUKUTAKI WEWE MAMA

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 15 днів тому +1

    AKIWAONA WATU WANAFANYA KAZI ZA KUWASAIDIA WANANCHI YEYE ATAKII HUYU BIBI MKUNDU KWELI

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 15 днів тому +1

    WEWE MAMA DAMU YA JPM NA VIONGOZI WENGINE MLIOWAUA UTAINYWA KUMA WEWE

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 15 днів тому

    WEWE MAMA MWENYEWE NI MUUONGO MWIZI

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 15 днів тому +1

    HUYU RAIS NI ANALAZIMISHA HAWE MADARAKANI KUMA ANAMUONA MPINA ALIAZISHA KIFO CHA MAGUFULI

  • @SizaMsanjilla-op7no
    @SizaMsanjilla-op7no 15 днів тому +2

    Upumbavu sana heading yako na content tofauti , ushauri achana na hii taaluma maana hujitambui

    • @MagrethKatondo-qs9oz
      @MagrethKatondo-qs9oz 15 днів тому +1

      Pesa inanunua ukweli. Siku ya kuondoka hapa tutaandamana na matendo yetu mema tu. Kila kitu ni ubatili tena ubatili mtupu