MPINA ALIA NA TULIA ! "NIMEONEWA ! , OLESENDEKA ALIONGEA HAKUFUNGIWA”

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 11

  • @jameswissa9981
    @jameswissa9981 Місяць тому +4

    Wamekuonea bure tu,
    Wewe ni Mzalendo wa kweli

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 Місяць тому +3

    Hii Ni nchi ya walaji na wasemao uwongo ila ukiwa mkweli hutapendwa na kifo kitakuita hii ndio Tanzania

  • @RosemaryKasuka
    @RosemaryKasuka Місяць тому +1

    Huwezi kugombana na Boss

  • @RashidShinza
    @RashidShinza Місяць тому +1

    Anae mpinga mpina Nishoga au msagaji

  • @JumaDea
    @JumaDea Місяць тому +2

    Komejaga nkoi

  • @farajabinamsimchimba
    @farajabinamsimchimba Місяць тому

    Mnakulama nyinyi kwa nyinyi, mliambiwa hamkusikia

  • @mtakamatv
    @mtakamatv Місяць тому

    Bunge la viongozi sio la wananchi,yoyote anaesimama upande wa wananchi,anashughulikiwa, CCM hawapendi ukweli,wanaendeleza u babe wakutetea maovu kwa masirahi Yao, wamemnunua Hadi msigwa ili wamtumie kwenye uchaguzi kuwachafua wapigania haki! CCM ni watu wa mbinu chafu lakini tuna akili zetu

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 Місяць тому +1

    Mnafiki wewe. Kwahiyo kwakuwa wapo waliotoa uongo hawakuchukuliwa hatua ndiyo nawe useme uongo?

    • @GaspercomedyTv
      @GaspercomedyTv Місяць тому

      Hakika hujutambui wewe, mpina hakuwai sema uongo, fuatilia uwe timamu na ujiheshimu sio kila sehemu unacoment tu unavyo jisikia

    • @user-jj7qv7kh2s
      @user-jj7qv7kh2s Місяць тому

      Hizo ni hoja za msingi acha kutumika wewe

  • @jameswissa9981
    @jameswissa9981 Місяць тому

    Wamekuonea bure tu,
    Wewe ni Mzalendo wa kweli