ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 кві 2023
  • NIPENI MAUA YANGU by ROMA MKATOLIKI featuring Abiud
    Audio produced by Bea
    Twitter: / roma_mkatoliki
    / roma_mkatoliki
    Copyright (C) 2023 ROMA.
    ---
    Powered by www.vydia.com
    ALL RIGHTS RESERVED.
    #NIPENIMAUAYANGU #ROMA #ABIUD
    Kaka Tuchati ► • Rostam - Kaka Tuchati ...
    Now You Know ► • KHALIGRAPH JONES x ROS...
    Kibamia ► • Video
    HIvi Ama Vile ► • Rostam (Roma & Stamin...
    Zimbabwe ► • Roma - Zimbabwe [Offic...
    Kaolewa ► • Rostam - Kaolewa (Off...
    ParaPanda ► • ROSTAM - PARAPANDA | ...
    Anaitwa Roma ► • Roma Ft One Six - An...
    Mkombozi ► • Roma - Mkombozi (Offic...
    Watani Wa Jadi ► • Rostam Ft Mr. Blue - W...

КОМЕНТАРІ • 9 тис.

  • @amisiba751
    @amisiba751 7 місяців тому +57

    Waliorudia wimbo huu mwaka 2024 tujuane kwa likes hapa

  • @EzechielNdikumana-qz2ni
    @EzechielNdikumana-qz2ni Рік тому +28

    Nyimbo Kali Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tumeipokea kwa hamu kubwa, mtupe like kama mmependa nyimbo hii

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim Місяць тому +5

    Kama Huna D 2 Huwezi Kujua Kauli Ya Kusema Mnatungua Papai Kwa Kutumia Gobole Na Ya Hii Ya Kusema Ushawahi Jiuliza Kwani Bega Lipo Kalibu Na Kwapa 😅😅😅 Hapo Lazima upitie Cuba Kama Umeelewa Kama Mimi Gonga Like Kufurahia Mifumo

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 Рік тому +10

    Kabla ya kulala hadi niusikilize huu wimbo. Roma chukuwa mauwa yako ndugu yangu. 🎉🎉🎉🎉

  • @erickgulayi2089
    @erickgulayi2089 Рік тому +2455

    Huu wimbo una kila kitu ambacho watanzania tunahitaji, basi kama unakubaliana na Mimi basi nipeni Maua yangu pia👏👏😂

    • @csato9415
      @csato9415 Рік тому +21

      🌺🌺🌻🌻🌼🌼🌷🌷

    • @ibrahimkimtiy965
      @ibrahimkimtiy965 Рік тому +8

      🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌷💐🌷💐🌷💐🌷💐🌷💐🌷💐💐🌷💐💐💐💐💐🌺🌺

    • @mretamreta8058
      @mretamreta8058 Рік тому +10

      Hatari sana huu wimbo bonge la shairi

    • @matrixTV.
      @matrixTV. Рік тому +8

      Yamoto sana

    • @zakiasepetu7628
      @zakiasepetu7628 Рік тому +7

      🎀🎊🎉💎🇹🇿

  • @verifierempire
    @verifierempire Рік тому +1744

    Waliorudia huu wimbo zaidi yà mara moja, Gonga like please 😊

  • @victorjaoko3862
    @victorjaoko3862 Рік тому +28

    Ukisikia popote wimbo huu ukipigwa simama kwa heshima ukiisha endelea na safari yako.

  • @jetinakisinga2952
    @jetinakisinga2952 Рік тому +5

    Tanzania haijaezekwa bati,na wamekula hela ya ujenzi😢😢

  • @ThedonThedon-vq5ye
    @ThedonThedon-vq5ye Рік тому +57

    Kama umeisikiliza mara 3 na zaidi , gonga like hapa🎉🎉🎉🎉

  • @chobalikosimon6459
    @chobalikosimon6459 Рік тому +229

    kama umeupenda huu wimbo kama mimi basi nipe maua yangu 🤝

  • @iddishelton
    @iddishelton 7 місяців тому +13

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥💥💥💯🎶🎵message recieved to those who think the own our live ...,Bomboclat politicians..even here in kenya we are 😭😭😭 more than you brothers .,wapi likes za kenya please

    • @user-vm3pz5pk8k
      @user-vm3pz5pk8k 3 місяці тому +1

      😢😢😢❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-kj3hg7gc2m
    @user-kj3hg7gc2m Рік тому +122

    Hizi ndo nyimbo tunazo zitaka kama unamkubali Roma na nyimbo zake kama Mimi nipeni maua yangu🔥🔥🔥🙌

  • @ManagerMsomi
    @ManagerMsomi Рік тому +47

    Wakwanza nipenii like zangu Roma oooooyeeee

  • @GodwithusSr
    @GodwithusSr Рік тому +696

    Roma supporters gonga like twende ,Nasio utani ukishindwa kujifunza hapa ndo bas tena😢.....nipeni maua yangu niyanuse ningali Hai ....amen tutaonana tenaa roma tutaonana tena

  • @abdulhamisi1937
    @abdulhamisi1937 Рік тому +15

    Kaka wewe ni kioo cha jamii mzalendo unatufariji sisi watz wenye maisha ya kila kukicha kheri y Jana mwenyezi Mungu akupe nguvu uzidi kutetea wanyonge amiin.

  • @user-gk3tr7ec6z
    @user-gk3tr7ec6z Місяць тому +4

    Nipeni na mimi like zangu roma ana fight🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mubackprince7095
    @mubackprince7095 Рік тому +308

    Waliorudia wimbo huu zaidi ya mara 3 tujuane nipeni like zangu

    • @Joetweve-dt9kh
      @Joetweve-dt9kh Рік тому +1

      Sio mara tatu me ni siku nzima nauplay

    • @GeorgeMtei
      @GeorgeMtei Рік тому +1

      Sio mara tatu nimerudi mara 50

  • @musajacob334
    @musajacob334 Рік тому +519

    Anaechelewesha msafara ni ng'ombe wa mbele ila anachapwa wa myuma na ndie anaepiga kelele ,,What a line✊🙌

  • @lazaromshamu3521
    @lazaromshamu3521 Рік тому +20

    kwa mara ya kwanza nausikiliza huu wimbo,nimeurudia zaidi ya mara 10, VIVA ROMA chukua maua yako dadeki,you are the in AFRICA

  • @fredmabeta5914
    @fredmabeta5914 11 місяців тому +9

    "Anayechelesha msafara siku zote ni ngombe wa mbele ila anachapwa wa nyuma na ndiye anayepiga kelele"....deep 🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀 maua yako hayo yanuse

  • @Enemy_19
    @Enemy_19 Рік тому +20

    #nape "nikupe boda yangu unipe uwaziri wako"
    oya nipeni emoji za moto 🔥🔥

  • @ManagerMsomi
    @ManagerMsomi Рік тому +34

    Huyu ndio Roma tunae mjua sisi

  • @gladnesskamana8706
    @gladnesskamana8706 Рік тому +62

    Hatari sana, nyimbo iko poa sana nimeisikiliza zaidi ya mara 6, mistari imetulia na message delivered. Hongera sana Mkatoliki, KEEP IT UP.

  • @biardeng4225
    @biardeng4225 Рік тому +117

    Kiswahili ndio lugha ya taifa katika bara letu la Africa na ni jukumu langu keendeza lugha hii pale Sudan Kusini 🇸🇸 number one Roma/Rostam fan . Nakupa maua yako Roma Mkatoliki 🌹 ✊

  • @kakadabby4017
    @kakadabby4017 Рік тому +19

    Hii ifike 1M views within one week itakuwa unyama sana,,,,Wapi likes za Roma basi🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hymerpozgalayz
    @hymerpozgalayz Рік тому +936

    To those listening this song in 2098....ROMA was a pure talent from God.

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 Рік тому +9

    Tufahamiane Kwa like wale ambao tunauchukia.uongozi wasasa

  • @faustinhommedetatnifasha9669
    @faustinhommedetatnifasha9669 3 місяці тому +3

    #Makonda anaongoza #Arusha kwakutumia huu wimbo

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 Рік тому +14

    Roma Bwana 😂😁😁😁😁
    Mungu akuhongezee miaka yakuishi🔥🔥🔥🔥🔥🌟🌟🌟🌟🌟

  • @abbasallysaidy5442
    @abbasallysaidy5442 Рік тому +267

    Huyu Jamaa ukisema umsikilize sana unaweza ukijikuta unakuwa Mpinzani ghafla au Mwanaharakati... A pure Talent, GENIUS...🫡🫡🫡

    • @nassoroshakiru7094
      @nassoroshakiru7094 Рік тому +9

      kabisa kabisa yan unaweza jikuta hutamani kuskia kuhus chamantawalq

    • @immasudi8332
      @immasudi8332 Рік тому +9

      Umesahau kuwa na hasira kwa walio madarakan

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 Рік тому

      Siyo thambi kuwa

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 Рік тому +6

      Bora atuammshe watanzania ujinga ututoke

    • @justinbara6783
      @justinbara6783 Рік тому +2

      Mm mwenyewe kupitia huu wimbo natamani Sana kuwa mwanaharakati

  • @DommyAbasy-cn5nc
    @DommyAbasy-cn5nc 2 місяці тому +2

    Roma ubaki huko huko na uendelee kutusemea mzee♥ tunakupenda sana

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper Рік тому +12

    Nimeipenda hii ngoma ROMA ametumia vina vya Rap hajaimba Ngonjera kama nilivyomzoea 👏🏿

  • @Hamzasenior_
    @Hamzasenior_ Рік тому +976

    To Everyone listening to this song in 2070’s this man was a Legend ✅🐐

  • @williamnyenyembe8968
    @williamnyenyembe8968 Рік тому +20

    Tukimpoteza huyu msanii bac ❤❤❤

  • @noelynjelekela5406
    @noelynjelekela5406 Рік тому +3

    Roma kaka unajua sana tunakutegemea bila ww hatuwezi toboa

  • @BenedictSulle-ju9if
    @BenedictSulle-ju9if Рік тому +16

    Big up Roma the pride of Tanzania ngoma imesheheni mistari mizuri sana ambayo inamgusha kila Mtanzania Mzalendo note Ngolo Kante anampa Mbabe cross anafunga Pogba mm nataka niimbe verse tunakumissss mwana rudi njoo utusemee

  • @sossyforreal814
    @sossyforreal814 Рік тому +890

    Hii ngoma imeandikwa kwa kipindi cha miaka 8, yaani tangu mwaka 2015.
    Dah Tanzania mwanamuziki ni mmoja tu. Long Live Roma. Mtanzania mzalendo mwenye kuipenda nchi yake.

  • @zephkivungi8090
    @zephkivungi8090 Рік тому +109

    Siwezi kutosha huu wimbo. Wangapi wameusikiza mara nyingi kama mimi? Naukumbuka Zimbabwe ila huu ni next level 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @ashakhaliky4772
      @ashakhaliky4772 Рік тому

      Wallah machozi yananitoka .ukweli hata usikilize mara mbl bado utahitji kuusikiliza. sna cha kusema Roma na kundi lako Allah awajalie afya ktk kaz zenu👏

    • @amarnam5016
      @amarnam5016 5 місяців тому

      🤝👏👏

  • @ambroseomae4377
    @ambroseomae4377 Рік тому +17

    Wish my fellow Kenyans can listen to this great message🇰🇪🇰🇪 💯💯

  • @AminiMsisi
    @AminiMsisi Рік тому +7

    Hii ngoma inaweza kuandikwa na watu wenye level ya juu kabisa ya kifikra ROMA I salute you bro🕴

  • @innocentfocus9217
    @innocentfocus9217 Рік тому +18

    Hii nchi ina wananchi, wenye nchi na wala nchi🙌🙌

  • @biaishaallybiaishaally4784
    @biaishaallybiaishaally4784 Рік тому +10

    Tanzania kuna watu wana akili sanaaaaa Roma popote ulipo drink soda nakuja kulipa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-xv6un5wx1w
    @user-xv6un5wx1w Рік тому +3

    Waliorudia huu wimbo zaidi ya mara mbili.. tujuane.

  • @williamouma8263
    @williamouma8263 7 місяців тому +3

    Roma ni Mwamba ajab ,East and Central Africa ajawai tokea mwanamuziki kama Roma.Pokea flowers Bingwa

  • @michaelmsinda4920
    @michaelmsinda4920 Рік тому +277

    Nakukubali mwamba,kwa huu wimbo sina la kusema,uko na kipaji sana,shabiki wako mkubwa kutoka Kenya🇰🇪

    • @bakarihassani-ss3qx
      @bakarihassani-ss3qx Рік тому +7

      Nitajie mstari mmoja ulio ukubali Sana.

    • @michaelmsinda4920
      @michaelmsinda4920 Рік тому

      @@bakarihassani-ss3qx Sasa sijui nianzie wapi kifuani nimebeba mengi 🥺na sitotenda haki nisiposema hiki sipendi hiki napenda kile sitaki mambo ya kishenzi
      Na ukisema hawatufai wanakuumiza wee mpole yani wanaangua papai kwa kutumia gogole wanatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo jeshi gani mpaka leo mmeshindwa kumjua kigogo?
      Mkiongelea kutekwa eti tunarudia agenda,hamjibu mnakwepa mbona mama anarudia kilemba?🤷
      Nchi gani raia akihoji mnasema anakosoa na akikosoa anatukana serikali hii sio poa!
      Haya basi tuseme mko sawa na mna nia nzuri na sisi eeeh 😌mbona vyuma vimekaza alafu mama anaificha grisi?
      Mara mkapandisha tozo kampeni mkaona hatuwaungi si tulihoji mkajibu kwa dharau tuhamie burundi
      Tatizo mkiapishwa tu mnawaza uchaguzi ujao,hamuwazi njia mbadala kumlinda mkulima na mazao
      Yani bongo kikubwa uzima tu 😣
      Sasa mnatuambia tujiajiri mbona nyinyi hamkujiajiri ok nikupe bodaboda yangu kisha wee unipe uwaziri?Nikukabidhi vyeti vyangu hangaika navyo mwezi mmoja niko pale nakungoja uje tuongee lugha moja!
      Mimi sio CCM sio Chadema,hili niliweke wazi ila ukieka CCM na Andazi nitachagua Andazi,simwamini mtawala na mpinzani simsadiki maana wanaendelea kukatika huku Dj kauzima muziki
      Na inaiuma kuona msomi wa degree tatu mnashindwa kumpa ajira sasa anauza nyanya Karatu,Sasa sijui mtaniua nikimshikia mama shiringi maana hata inyeshe mvua mnasema naupiga mwingi 🤔
      Na namkubali na nitamng'ata sikio kama hajui wanaomkosoa ndo wanampenda wanaomsifia ndo maadui,ili wapate teuzi ndo wanamlamba miguu wakimpamba hawamsaidii amri jeshi mkuu
      Hivi hamjasikia tetesi kuwa rimoti iko msoga?Sukuma geni imedoda,magogoni imenoga
      Tatu ndani ya track moja,wamekalia kigoda
      Ngolo kante anampa
      Mbappe cross anafunga Pogba😁
      Hii nchi ina wenye nchi ,wala nchi na wananchi,na kuendelea kuwachagua ni kuenda na mchanga kwenye beach,kuwajaribu na wapinzani na watawala si wameshapata? Ugoro umewaingia puani sasa ona wanapiga chafya!
      Wanatumia dollar kubaki kongo za Dollar watawafunga watapora wataua watahonga vijora
      Karatasi tunaibiwa za kura kwenye sanduku,kwa hiyo mnatuonyesha ziwa huku mmeziziba chuchu???
      Dini gani mchungaji akitaka gari twamchangia,muumini akitaka gari twamuombea twamsalia,mchungaji tusimpe pesa tumuombee na yeye pia,tukae pale tusubiri miujiza ya wagalatia😂
      Wabunge wengi mlishinda kwa hisani ya mwendazake,mkipatacho muende chato mkumbuke hata ndugu zake,,,, jimbo hili haliendelei coz mmemchagua mpinzani,haya sasa mmeshinda kote fauluni huo mtihani
      Wa Basata msikie hili msije fungia huu wimbo ,
      Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo
      Ushauliza kwa nini bega liko karibu na kwapa?Usiondoke baki hapa usikie vesi inayofuata!!!!!!
      Yanga na Simba ni wapinzani ila sio kwamba hawapatani,maji yanayotoka mto msimbazi ndo yanayojaza jangwani!!!
      Na sio utani msipojifunza hapa ndo basi tena aliyesema aongezewe muda bungeni ameaga mapema,wakamlisha asali kwa kisu akalamba akamwaga wino,tangulia na dereva barua utaikuta chamwino

    • @zulayfasalumu701
      @zulayfasalumu701 Рік тому +3

      Hii inchii ina wala nchi na wenyee nchii 👂 noma saanaa 🤔

    • @ayubujnnko6157
      @ayubujnnko6157 Рік тому +1

      ​@@zulayfasalumu701 😂nnchi ina wananchi wenye nnchi na walannchi

    • @sharifumuya1979
      @sharifumuya1979 Рік тому

      anarudia kiremba

  • @humphreykagwi5096
    @humphreykagwi5096 Рік тому +10

    Hii ni Kali, 🇰🇪🇰🇪 tumeikubali!

  • @vennamaina
    @vennamaina Рік тому +5

    HONGERA Roma kwa one milion hiii ni revolution kwenye mziki wa HIP HOP Africa

  • @godblexxgyunda6060
    @godblexxgyunda6060 2 місяці тому +2

    2024 wimbo utaishi milele

  • @mkechiivo5332
    @mkechiivo5332 Рік тому +31

    Kwa wimbo huu nina imani kabisa huwezi rudi bongo leo wala kesho big up roma viva romaa

  • @ananiasimon7992
    @ananiasimon7992 Рік тому +12

    Haya watu igongeni like hii comment mpaka Samia aione ikulu maana hii ngoma lazima aisikilize

  • @eldersimonproduction
    @eldersimonproduction Рік тому +15

    “We all face difficult times. It is only the grace of God that gives strength to endure.”

  • @andrewaugustino3569
    @andrewaugustino3569 Рік тому +4

    Music huu sichoki kuusikiliza, kila dakika nairudia Sana 🙏🙏 Roma

  • @mosesmuhasa4380
    @mosesmuhasa4380 Рік тому +15

    vipi mkuu Roma
    Asante kwa kazi💪💪
    Naamini mi ndo wakwanza ku coment, gonga like kama unamkubali Roma 💯
    ✅✅I'm from congo🇨🇩🇨🇩

  • @allyzegele1373
    @allyzegele1373 Рік тому +17

    Nakuamini ROMA kwa kujilipua auogopagi.🔥🔥🇿🇦

  • @ibongyaebuchajosias6182
    @ibongyaebuchajosias6182 Рік тому +6

    Nice song ✌️🇹🇿TZ🇹🇿 Big up Sana 💥 nivizuri kuwa shauri ata kwenye nyimbo ✌️❤️❤️❤️❤️❤️from DRC🇨🇩 and Buja ville 🇧🇮

  • @stephanocornely130
    @stephanocornely130 Рік тому +1

    Am speechless, itoshe kuwa unaupiga mwingi Roma na tumekumis kweli sio uongo

  • @lungoznyamaume5802
    @lungoznyamaume5802 Рік тому +46

    Wanatumia guvu kubwa kwenye mambo madogo💥💥👊namkubali mia mia kaka Roma💪from Mombsa 🇰🇪

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 Рік тому +133

    Tunakupenda Roma wewe ni mkombozi wa fikra za wengi Tanzania ❤❤ Mungu akulinde nakuona mtu mkubwa sana Tanzania soon❤

  • @user-tr2kq2dg2p
    @user-tr2kq2dg2p 7 місяців тому +3

    From Kenya Malindi ((kilifi county) umekubalika kaka

  • @macharria
    @macharria 21 день тому

    Huu wimbo do unaoniongezea hasira ya kutype #RutoMustGo hapa 254

  • @msafimedia
    @msafimedia Рік тому +31

    Noma sana VIVA ROMA LIKE 👍 VIA MKATOLIKI

  • @meworking2310
    @meworking2310 Рік тому +1

    ........Mkipatacho muende Chato mkumbuke hata ndugu zake 😭😭😭😭😭

  • @mchimchimbishi743
    @mchimchimbishi743 Рік тому +3

    Roma Roma Roma tz tunataka watu jasir kama Roma maana hatujui tutakufa kwa kifo Gani Cha muhimu ukweli utabaki palepale uliyoyaongea humu nimeilipit ngoma zaid ya mala 10 nimepata Asilimia 98 kwenye wimbo huu ukweli hauchagui mtu nakuombe Roma mwenyezi mungu awe nawe kila everyday BY THE MCHIMCHI MBISHI

  • @officialhonreal3419
    @officialhonreal3419 Рік тому +110

    U never disappoint Roma.....Kama unamkubali Roma kwa asimia 100 gonga like hapa♥️🙏

  • @soudyruge9858
    @soudyruge9858 Рік тому +24

    Kwakweli tulimiss hizi kazi ahsante Mr Roma tulikuwa tushachoka na habari za JEJE 😁😁
    Respect bro 🙌🙌🙌🙌

  • @user-ke2gy6nx1i
    @user-ke2gy6nx1i Рік тому +2

    😭😭😭😭😭😭nalia kwa uchingu wa maneno mazuri ya huu wimbo jamani hiki kichwa hapana ngoja tu nikupe may Yako🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @santiagokenya6294
    @santiagokenya6294 Рік тому +10

    You're great man mr roma,,you will be forever remembered,,we celebrate you.when you're still alive,,here in Kenya 🇰🇪 we love you,,you're real ,lyrics ✅️, message ✅️,,the song is complete what a common mwananchi needs to hear

  • @jamesmelkiadesmpinika6337
    @jamesmelkiadesmpinika6337 Рік тому +64

    Yaan nikisikiliza Hii nyimbo..... Nakuvuta picha Hali ilivyo Tz basi TU Roma Umri mrefu ViVa....!!! Mungu akujalie Afya njema Mwanaharakati✅

  • @user-fl1mj2jn8v
    @user-fl1mj2jn8v Рік тому +22

    Bonge la ngomaaa aseee daaaah huyu jamaaa ni genius 🙏

  • @karenjujulius364
    @karenjujulius364 11 місяців тому +8

    If you have a voice you've got the obligation to project it for humanity. Thank you Roma for being the voice of the voiceless🙏🏿.

  • @fredyhaule8766
    @fredyhaule8766 Рік тому +1

    Kumbe Jamaa kaachia dude Kali hiv na hamsemi

  • @oskenterprises9361
    @oskenterprises9361 Рік тому +21

    WIMBO WA TAIFA NIPENI MAUWA YANGU🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @phanymusic9900
    @phanymusic9900 Рік тому +25

    HII NDIO MAANA YA MSANII ACHANA NA HAWA WAIMBA MAPIANO PUMBAFU SANA, Ishi sana brother, we na Ney ndo sauti ya Tanzania ilio baki 🇹🇿

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Рік тому +1

    Kila nikifungua u tube lazima nikusikilize Roma Mungu akuhifadhi milele na milele nakukubali sana binafsi mimi nimeshakupa maua yako kabla ya kwenda kaburini ❤❤u so much wangapi tumerudia huu wimbo mara kwa mara kila tukiingia u tube

  • @danielworshiper6002
    @danielworshiper6002 Рік тому +1

    Leo ni mwana hiphop kesho wewe ni kiongoz wa taifa hili .......Beo viva.................tunao amin hayo gonga like hapa chini

  • @sheckyjunior7546
    @sheckyjunior7546 Рік тому +14

    Kakakakakaa umetisha kaka ngoma iko moto sana, hongera sana mwamba, nakupa maua yako bro 🌹

  • @abdulabubakar1247
    @abdulabubakar1247 Рік тому +20

    Huu wimbo nimeurudia mara 8 ngoma hatareeee big up my brother umeumiza kichwa sana #nipeni maua yangu.

  • @MartinCizazihalirwa
    @MartinCizazihalirwa Рік тому +1

    wanangu nipo Congo Ila ii ngoma kabisa ni no1 walahi Roma,stamina n'a Nay wa mitego Hao ni ma rappers wa kweli Sio hawa wengine wasani wa bongo ambao wanaanza towa ngoma ambazo haziezi hata tazamwa n'a jamii mzima.ila hawa watatu tanzania ni viboko i Say🕺🕺🕺

  • @Tsarjc112
    @Tsarjc112 Рік тому +1

    Roma Kwa Nini bega Lipo karibu na kwapa
    Alieelewa aje anielewesheee

  • @Jilanilucas
    @Jilanilucas Рік тому +11

    Kuacha kuwa mwanaharakati kwako Roma ni kufuru usikifunge kinywa endelea kuwatetea wanyonge Mwamba💯💥💥

  • @kingsika8138
    @kingsika8138 Рік тому +13

    Hii nyimbo inafaa hata kuwa yataifa 😊
    #vivaroma
    Nipeni namm maua yangu ☺️

  • @agnessnestory-ox2lx
    @agnessnestory-ox2lx Рік тому +19

    Roma never disappoints

  • @user-rk3wj8ol5k
    @user-rk3wj8ol5k Рік тому +1

    Daah huu ni binge la wimbo Maua yako chukua

  • @furahahappe1641
    @furahahappe1641 Рік тому +29

    Roma 🔥🔥🔥 vitu vya kweli vyote ulivyosema! Anayechelewesha msafara 😢😢! Chukua maua yako Roma 🌹💐🌺🍁🪸🥀🪷🌹🌷🌺🌺🌸🌸🍁🍁🪷🪷🌺🌺🌸🌸

  • @justnchars2859
    @justnchars2859 Рік тому +17

    No one like ROMA itachukua mda sana kupata mtu kma huyuuu 🙌🙌🙌♥💯

  • @praygodlameck1401
    @praygodlameck1401 Рік тому +1

    Bro, i salute u 100times mtfk, viva bro...nitemee mate ukiwa umelala chali, wanangu fatilieni huu wimbo hata kama sintakuwepo, wachache sana wataelewa

  • @hulairkabeya2163
    @hulairkabeya2163 Рік тому +2

    How i wish we had these kind of patriot in DRCongo, chukua maua yako Mkatoliki🌹🌷🌹

  • @khadijahamisi2174
    @khadijahamisi2174 Рік тому +19

    Naisi Roma ana moyo mzuri na upendo xana nchi yetu tunakupenda Roma

  • @harrydinouser3080
    @harrydinouser3080 Рік тому +39

    Kama umesikiliza wimbo wa taifa Mara tatu gong like twende sawa

  • @cliftonmaro293
    @cliftonmaro293 Рік тому +1

    Maua yanguu chukuaa🙏🙏🌹🌹

  • @vicentphilipo9711
    @vicentphilipo9711 Рік тому +362

    Hatari Sana kama umeiludia zaidi ya mara Tano kama mimi gonga like hapa👍

    • @kingboytzphonesolutionking7622
      @kingboytzphonesolutionking7622 Рік тому +2

      mimi zaidi ya mara 10

    • @mackhanssa2484
      @mackhanssa2484 Рік тому +1

      🥔🥔🥔💐💐💐🌷maua na maandazi hayo bro umeua Sana🔥🔥🔥

    • @vicentphilipo9711
      @vicentphilipo9711 Рік тому +4

      Vyuma vimekaza afu mother anaificha griss

    • @thegreatinfo8802
      @thegreatinfo8802 Рік тому +4

      Wimbo Ni dk 6 ila naon kma dk 2😂👍

    • @williammollel89
      @williammollel89 Рік тому +1

      Hata inyesha mnasema anaupiga mwingi,
      Nikukabidhi vyeti vyangu uangaike nazo.mwezi mmjo , Niko pale nakusubiri uje tuongee lugha moja

  • @sabinusdominic5063
    @sabinusdominic5063 Рік тому +8

    Kazi nzuri mwamba izi ndio mambo tunataka

  • @FestoMajiyakunde
    @FestoMajiyakunde Рік тому +1

    Uko vizuri sana ney

  • @bernardmacharia1872
    @bernardmacharia1872 8 місяців тому +2

    ❤❤❤Roma I wish you were a Kenyan, voice for voiceless. VivaRoma

  • @djnickzie9743
    @djnickzie9743 Рік тому +144

    Maneno makubwa yamo kwenye track huu,Wimbo huu umekubalika nchini Kenya 🇰🇪

  • @officialnyikarappa6160
    @officialnyikarappa6160 Рік тому +24

    Wapili nipeni like zangu team Roma Zimbabwe

  • @peteruzia8313
    @peteruzia8313 Рік тому +1

    Na kiongozi bola atoka
    Kwa Mungu.🙏

  • @user-jo1ww9sn1d
    @user-jo1ww9sn1d 4 місяці тому +2

    Mimi namupa mauw yake mapema🎉 weweje

  • @MtiliPyson-wd5mp
    @MtiliPyson-wd5mp Рік тому +149

    Nyimbo umeuwa sana hii kaka na umeiyongelea hali alisi ya maisha tunayoyaishi watanzania wotee yan🙏🏿🙏🏿🙏🏿 VIVA ROMA

  • @daudmwakasita789
    @daudmwakasita789 Рік тому +16

    Pamoja mwamba imeeleweka hiyo💪💪💪💪💪✅✅✅💪💪💪