Dakika 10 Za Maangamizi - BANDO MC | Planet Bongo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 402

  • @oscarmuhumenya1345
    @oscarmuhumenya1345 4 роки тому +27

    Unaweza ukafaa njaa cku ya msba ako wakapika pilau kama umeskia kipande icho gonga like twende sawa

  • @official_alipipitz347
    @official_alipipitz347 5 років тому +57

    shy town city stand up for upcoming super hiphop star!!
    aiseee siamin mach yang kama kuna mtu alienimwagia maji kweny birthday yang leo anaskika eastafrica fm😂😂
    nakubaliiii xana

  • @johnizoboy
    @johnizoboy 5 років тому +16

    The best rappers waliotisha zaidii..
    1. Manengo
    2. Chuma boy
    3.Bando Mc
    4. Category

    • @kulwamkole7400
      @kulwamkole7400 5 років тому +3

      baraka john hapo kwenye 1 . anakaa dizasta vina mfuatilie man

    • @msimbanimohammed4586
      @msimbanimohammed4586 5 років тому +2

      Bila kusahau
      Cado kitengo
      Nacha

    • @crystopherjoenas
      @crystopherjoenas Рік тому +1

      𝙲𝚑𝚎𝚔𝚒 𝙳𝙺𝚣𝙼 𝚢𝚊 𝚂𝚝𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚅𝚒𝚗𝚊

  • @kagileman5798
    @kagileman5798 5 років тому +6

    Nimegundua marapa wengi wanamtaja Diamond kweny ngoma zao

  • @ezrajay9517
    @ezrajay9517 5 років тому +18

    Dada unaekaa mwanza nishushie nyegezi 🤗🤗🤗😂 dullar we ulizan natukan bro
    Huhhh bando Mc umeua atar bless up

  • @charlesdeus57
    @charlesdeus57 5 років тому +21

    Asee nme enjoy kinoma !! Mc bando ni balaa.. Kama vp wakupe time lingine uue tena🔥🔥

  • @philipmchina6919
    @philipmchina6919 5 років тому +6

    @bando_mc see you unajua sanaa mdogo wangu kila la kherii unatishaaaaaaa mzeyaaa....utafika uanapostahili nakubali michano yako..iko poa na unanata sana...na Biti 🔥🔥🔥👊

  • @sixtodix8026
    @sixtodix8026 5 років тому +14

    Da huyu jamaa noma sanaa et vijana wanapenda chura kuliko samaki,,,msumari una nchi sita ila hatumjui rais wake

  • @michaelmg440
    @michaelmg440 5 років тому +31

    Duhhh n balaa
    Vijana wanapenda chura kuliko samaki

  • @voicevirals9256
    @voicevirals9256 5 років тому +5

    U hit it kijana..... wewe ni star tayar

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 5 років тому +26

    Bando Mc Ni wamoto kushinda jua🔥🔥🔥

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 5 років тому +8

    Unaweza kufa njaa , na kwa msiba wako waka pika pilau! 😁😁😁🍗🔨🔥🔥👍💪 Bando ni Hatari sana . Big up bro.

  • @meshack2559
    @meshack2559 5 років тому +4

    Jamaa salute kwake mzee ,huyu ni fireee motoooo

  • @francisnyeriga
    @francisnyeriga 5 років тому +2

    Siku ya kwanza nakusikia unachana nikaamini utafika mbali na nikakuambia.Upo vizuri

  • @ernestndauka9301
    @ernestndauka9301 5 років тому +1

    Jamaa yuko poa!! Ila na flor za Bishop ninja!! Kama tungekua tunasikia kwa redio tu nadhani tungekua Boshoo!!

  • @farajajames12
    @farajajames12 5 років тому +4

    Dogo mkari sana keep going don't give up unakuja kuwa rap mkari sana hapa bongo

  • @alfredmsambaa1443
    @alfredmsambaa1443 5 років тому +2

    Dj,kazngua mbn ajachangamsha beat,sema bando fresh mwanang umetisha..

  • @maedsonmahonge122
    @maedsonmahonge122 5 років тому +1

    Mwanangu mnafinya sana... Maneno mengine sio matusi... Huyu jamaa anabidi apambanishwe na boshoo

  • @mwiguluzabron1414
    @mwiguluzabron1414 5 років тому +3

    nakubalii sana bando mc
    umefanya maunyama yako keep it up
    shy stand up

  • @robertelim1172
    @robertelim1172 5 років тому +2

    Bando ametisha kinoma.Eeeh bana unakuja vizuri mzee wangu!

  • @yusuphkassim4766
    @yusuphkassim4766 5 років тому +2

    nomarrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr sana hawa ndo wahuni wakuwaleta hapa

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 років тому +1

    Shy town Oyeeeeeeee, Bando Mc umetisha xana Endelea kuiwakilisha shy town, Noorah kasepa jumla, Saf xanaaa,,

  • @ibrahimdiwanonlinetv1430
    @ibrahimdiwanonlinetv1430 5 років тому +15

    GIDZILLAH IS BACK..... KEEP ON KEEPING ON DUDE

  • @aziziabdur3821
    @aziziabdur3821 5 років тому +1

    noma saanaa bando mc by killer mc m mwenyw ntsha sn kwakulap

  • @georgemagori2158
    @georgemagori2158 5 років тому +8

    Mtuleteeni Nala Mzalendo ni hatari
    Mtajuta kumfahamu huyo ninja
    Kiukweli

  • @pascalmkindwa7908
    @pascalmkindwa7908 2 роки тому

    Mwanafunzi mweupe kwa kingeleza anaitwa whitedent🥰🥰🥰

  • @hamadrama9106
    @hamadrama9106 5 років тому +1

    Bando Mc mhun umeuaaa sana an 'ukiona ndoto hazitimii endelea kulala

  • @paschalkadama8155
    @paschalkadama8155 5 років тому +3

    Watu tunawatoa mbali Sana Dogo Nimemkabidhi mikoba yote

  • @naggaidb
    @naggaidb 5 років тому +11

    Dullah uyu arudie tena sio kwa moto uo 🔥🔥🔥
    shytown in the house

  • @piusokoth4707
    @piusokoth4707 2 роки тому

    Huyo Bw nimkomavu wa biti asee.
    Namkubali sana pande hivi za pwani ya kenya

  • @rashidhamis9057
    @rashidhamis9057 5 років тому +3

    Wanangu toka town bando kawa wa moto kushinda jua yani dogo snazzy Jr

  • @abdulrahmanhassan3825
    @abdulrahmanhassan3825 5 років тому +51

    Dogo anachana kama Langa kama umeliona hilo wacha like yako hapa

  • @felicianbwinyende4884
    @felicianbwinyende4884 5 років тому +1

    Duu kweli wew BANDO ila sio bundle LA halotel#kunyenyua mic

  • @mitterrandsebaziga3187
    @mitterrandsebaziga3187 3 роки тому +2

    BANDO MC tunaku kubali kutoka marekani. Ndomaana napendaga hip hop kuliko kila kitu.

  • @kevzmagrazz893
    @kevzmagrazz893 Рік тому

    Kama ndoto hazitimii endelea kulala 😂😂👌🔥🔥kaa la Moto huyu dogo

  • @mbishitrump5621
    @mbishitrump5621 5 років тому +5

    Dulla mnazingua kinoma.. Mnakata kata mno asee

  • @adrianokahigi2083
    @adrianokahigi2083 5 років тому +2

    Xema bando mc nigga 👍👍👍👍👍 kijana wng uko vzr xanaaaa mwanangu nakuombea ufike mbali xanaaaa

  • @hassanomar1041
    @hassanomar1041 5 років тому +23

    Bando ukosawa kaka ila vibe limekupanda ukapiga mistari ya kaya na ujue kwa radio zetu za Africa utakatwa maneno (editing). Alafu hutopewa air time yakutosha utaonekana muhuni. Hilo niwazo langu tu kwako Big Up sana bro.

  • @MussaEzekiel
    @MussaEzekiel 8 місяців тому

    Huyo bando ni noma sana vijana wanapenda sana chura kuliko samaki

  • @josephsebastian6324
    @josephsebastian6324 4 роки тому +1

    Wasukuma bhana dah kila kitu wao Aisee Fd Q mala kala huku bando kidogo msodoki sitaki kusema hao wengine wasukuma wanasukuma huku na kule duh!

  • @ramakond2669
    @ramakond2669 5 років тому +2

    Daaaaah jamaa yupo poa sana

  • @rama2ification
    @rama2ification 5 років тому +3

    Zaidi ya 🔥🔥 bro...mistari yako kaa mishkaki ya mpembaa mitamuu flo zako tamu mistari mikari

  • @kadulosaid9277
    @kadulosaid9277 5 років тому +3

    Kidogo kajitaid BANDO MC het diamond no toch mbona anawaka Waka 😂😂😂

  • @mkomaxbizzy9885
    @mkomaxbizzy9885 2 роки тому

    Aah bando umetisha mpaka wakina nani wanahanya tunaxubili corabo ya wewe n kaligaph jones

  • @seifbaus7
    @seifbaus7 5 років тому +2

    Huyu jamaa noma sana,hutuka baba wasomeshe...

  • @mudysuguru6267
    @mudysuguru6267 5 років тому +1

    Hahahhdahahahah mwanaume ataawe nanguvuvipi hawezi kuvunja ungo Hahahahahahahahahahahaah like this

  • @Benchmarklt01
    @Benchmarklt01 5 років тому +1

    Oyooooo shy town ...jamaaa amejitahid san

    • @Benchmarklt01
      @Benchmarklt01 5 років тому

      @@BandoMC poa bando nam n wa shy jap now nik town....nakubal san wasanii wa kwetu kaz mwanangu suppt yet kam mashabik wa hiphop tupo👏👏👏💪💪💪

  • @damisonelly5236
    @damisonelly5236 4 роки тому +2

    Nakubali Moto wako brother 🔥🔥💥💥

  • @suleimansaid4503
    @suleimansaid4503 2 роки тому

    naskia miguno kutoka Wana ila maji hayana kiuno mbna kwetu yanakatika snaaa ... kmmko snaaa bando 😂😂😂✊

  • @waapollotz7051
    @waapollotz7051 16 днів тому

    Bondoooooo😂😂 kwamba hata mwanaume uwe na nguvu vp huwezi kuvunja ungo😅😅

  • @frankfabian769
    @frankfabian769 3 роки тому +1

    Mimi bando nakukibalii sanaa toka long

  • @martinsilwimba4282
    @martinsilwimba4282 5 років тому

    Dulla planet mnazingua sna kukatakata hayo maneno huku ni social sio on air radio
    anaeingia huku manake ni ktu mzima ajiandaek kukutana na kila kitu sio mnakatakata maneno use* mtupu acheni tabia ya kukata maneno
    pili Bando mc mmepa biti nyepesi mno mwa mwi
    tatu jamaa anajua nampa 70% awasikilize mbeya boy na Dizasta vina

  • @rodgersgingila9367
    @rodgersgingila9367 5 років тому +2

    kafanya eid iwe nzuriiii

  • @hangawizzy2204
    @hangawizzy2204 5 років тому +2

    Ebana Bando Mc noma
    But i'm the one who can chana ile mbaya zaidi ya mbaya

  • @boyjopar8717
    @boyjopar8717 5 років тому +1

    Mshikaji nimemwelewa sana, tuache unafki anaweza!!!!

    • @boyjopar8717
      @boyjopar8717 5 років тому

      Pamoja kk, tupo pamoja ktk hio tasnia japo huku bongo Flava

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS Рік тому

    Huku kwetu hali ngumu chizi huoni, naskia hadi Roma amemsahau mchizi moni 🔥🔥

  • @rama2ification
    @rama2ification 5 років тому

    Duu jamaa mkali Sana...kila nikimsikiliza namuona mtamu zaidi ya Jana...sema bando mc

  • @laurentibonifasi8849
    @laurentibonifasi8849 5 років тому +2

    Dah... Dula izo ves ucwe una zkat maan ndy utam mwnyew uwo

  • @mullerrbn4852
    @mullerrbn4852 5 років тому +3

    Huyu jamaa anajua atariiii fireeee

  • @patriceenos8681
    @patriceenos8681 5 років тому +1

    Wa kwanza kwa hii mitikasi

  • @abbasruhamo2258
    @abbasruhamo2258 5 років тому +1

    endeleen kuleta hawa upcoming maana wakongwe wameishiwa kabsa

  • @mussasamson4398
    @mussasamson4398 5 років тому +7

    Bando wewe ni nyoko🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PetroSamuel-rl9cq
    @PetroSamuel-rl9cq 8 місяців тому

    Mwanangu bando mc hunaweza weza sana

  • @nasibumwilafi8681
    @nasibumwilafi8681 5 років тому +3

    Da Kali sana unaweza kufa na njaa alaf siku ya msiba wak watapika pilau

  • @josephleonard2735
    @josephleonard2735 5 років тому +7

    Nomaaaa band MC your the best ✊

  • @LameckEmmanuel-l9g
    @LameckEmmanuel-l9g Рік тому

    Noma nomaa brooo🎉🎉🎉🎉

  • @ramaally925
    @ramaally925 5 років тому +3

    Dura tunakuomba umludishe week ijayo hiyo jamaa balaaa namfananisha na bushooo ninja mistari yake 👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊🔥🔥🔥🔥🔥🔥BANDO MC NOMA...

  • @babigotz9319
    @babigotz9319 5 років тому

    Vijana wanapenda chura kuliko samaki walio kubaliii iyooo sema oyoooooooooooo

  • @sixtodix8026
    @sixtodix8026 5 років тому +3

    Mwadela bhabha,,,home boy salute to you

  • @cathbethswai80
    @cathbethswai80 4 роки тому +2

    best1 on planet bong🔥🔥

  • @vdjskjack2543
    @vdjskjack2543 Рік тому

    Watching from Kenya

  • @augustinovalerian1018
    @augustinovalerian1018 5 років тому +1

    Kawaida sana japo anamisemo. Kakosa identity, flow na usasa. Rap kama hizi hazifiki mbali kwakifupi bado kajivisha u-underground kama boshoo

  • @degalaxymsahel9277
    @degalaxymsahel9277 5 років тому

    Hatari Sana mwanaume hata ukiwa na nguvu huwez kuvunja ungo

  • @alexgodlove776
    @alexgodlove776 2 роки тому

    Umetisha bando

  • @ahmedali0333
    @ahmedali0333 5 років тому +3

    Olaaaaa watu kama hawa huwa hamuwatendei haki kuwapa dakika kumi hawa mulikuwa muwape etlist lisaa limoja hapo kidogo itakuwa powa cz huyo jamaa ni nomaa sanaaaa yaani kauwaaa😅😅👏👏✌ big up broo 💪

  • @bongotrends255
    @bongotrends255 5 років тому +3

    Nasio kila mzungu mweupe wengine wazungumzaji

  • @durascohussein8549
    @durascohussein8549 4 роки тому +1

    oya huyu mwamba ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gregorykidali8996
    @gregorykidali8996 Рік тому

    Ati msumari Una nchi sota ila hatumjui rais wake 🎉💯🙌🏽

  • @danieljulius1573
    @danieljulius1573 5 років тому +3

    Demu wako siyo mwalimu lkn kila mwezi ana kipind

  • @dangotesam9845
    @dangotesam9845 5 років тому +2

    Aisee, unajua kunata na biti,
    Zaidi ya vile Mugabe alinata na kiti!

  • @dugamwaah1631
    @dugamwaah1631 5 років тому +2

    hahaa bado mimi tyu! Mtanyoooooka nikitimba! Uliza CTY RAP BATTLES CRB wakupen details kuhusu me

  • @jullyusyshillatu5789
    @jullyusyshillatu5789 5 років тому

    Now sanaaaaaa shy town on the map now .Bmt Mashala

  • @johntyson1330
    @johntyson1330 5 років тому +2

    Uko vizuri bando

  • @KiberPlatnumz-qw5vy
    @KiberPlatnumz-qw5vy Рік тому +1

    Sometimes uwa data napokwenda sheli kutafuta mafuta ya kula na yakupaka

  • @MeshackMsigala-u6g
    @MeshackMsigala-u6g 3 місяці тому

    Siichokagi iiiih kuiskiza sijaona aliyemfunika uyu jamaaa kwenye izi dakika 10 toka miaka iyo atar sana

  • @jayshakitz574
    @jayshakitz574 5 років тому +2

    Nasio kila mzungu weupeee wengine wazungumzaji hahahaaaaa

  • @yohanampayo2182
    @yohanampayo2182 3 роки тому +11

    One of my favourite Mc I'm frequently watching his DK 10 session

  • @francypol2245
    @francypol2245 5 років тому +18

    Demu mwenye mimba ukimchunguza ndio utapenda....unaeza kuta anaish unguja alafu anakula pemba....

  • @Jersonjhn
    @Jersonjhn 8 місяців тому

    Bando nakukubar sana
    🎉🎉🎉🎉

  • @behindthecmera4659
    @behindthecmera4659 5 років тому +3

    nakubali nakubali mwamba BANDO MC

  • @bramweljuma1306
    @bramweljuma1306 5 років тому

    noma sana bado kawexa apewe kumi tena Kenya tume tune on

  • @Its_Tokyootz
    @Its_Tokyootz 4 роки тому

    Ya uyo kwel ni BANDO

  • @richardmwambe1323
    @richardmwambe1323 5 років тому +1

    Bando mc Una uwezo mkubwa sana bro

  • @sadamhussein3927
    @sadamhussein3927 4 роки тому +2

    Dah brother your the best rapper

  • @jonathannzagamba5253
    @jonathannzagamba5253 5 років тому

    Sana shinyanga icon unakiwasha

  • @abdallaabedi2354
    @abdallaabedi2354 5 років тому +1

    Vijana wanapende chura kuliko samaki 😁😁😁👏

  • @tonymaster3619
    @tonymaster3619 3 роки тому

    Naikubal Sana my brother bando

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому

    Ebwana noma sana....🔥🔥🔥

  • @moonlightmedia9545
    @moonlightmedia9545 5 років тому +2

    Ata jua Liwe kalli VIP ,kichwa cha chini hakiwez vaa kofiii

  • @forextanzaniatv4459
    @forextanzaniatv4459 5 років тому +2

    Hiki kichwaa nomaaaa