Kontawa : Dunga Mawe ( official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Based on true story 🙏🏽 Enjoy
    #Dungamawe #Kontawa #truestory

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @ghostmorningstar930
    @ghostmorningstar930 Рік тому +666

    Kama unamtambua NGOMA NAGWA,nigongeeni Likes wana.frm🇰🇪001

  • @easternsavages
    @easternsavages 2 години тому +1

    Mwanangu Dunga mawe ....kama unamtambua .ngoma nagwa piga like

  • @J4UPro
    @J4UPro Рік тому +61

    Wakenya ni watu wazuri sana, yaani wao wanapenda muziki mzuri basi.
    Big up 🇰🇪

  • @abiasifredrickdima3255
    @abiasifredrickdima3255 Рік тому +16

    Ulistahiri kuwa msanii Bora chipukizi wewe ni motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paschalgabrie1099
    @paschalgabrie1099 Рік тому +20

    Yes! Kontawa, kwanza Hongera kwa tuzo....hakika unastahili zaidi ya hapo...naam hii ndo video tuliohitaji...maana tuliisubili baada ya ile story ulotusimulia pale tunaota 🔥👍👏👏👏👏

  • @tracytonny
    @tracytonny Рік тому +14

    tunahitaji part 2 ya wimbo huu😂😂 isiwe Dungamawe alifariki. anafaa awe na mwisho mzuri

  • @FrancisMkonda-ie6zm
    @FrancisMkonda-ie6zm Рік тому +82

    I fell from the depest part of my HEART....u're genious BRO.😢❤

  • @allymachejo2996
    @allymachejo2996 Рік тому +103

    Licha ya maguma aliyopitia muhuni wetu Dunga Mawe lakn alikufa kwa kutaka kumsaidia mke wake RESPECT SANA✊

    • @musamusembi3043
      @musamusembi3043 Рік тому +1

      Sio kwa wizi banae kutimiza mahitaji funzo hapa ni kuwa tafuta hela kwa njia ya halali kazi za kiume zipo miingi mijengo na kathalika

    • @mrmea1935
      @mrmea1935 Рік тому +5

      Kwenye fasihi hii inaitwa kufaulu kwa mwandishi /mtunzi, ujumbe imefika na funzo limetolewa,lkn angeenda kuiba akafanikiwa maana wizi ungeonekana mzuri, lkn kwa sababu yamemkuta mazito hadhira itaelewa kwamba suruhisho la kipesa ni kutafuta kazi ya kufanya,kuomba sio kuombaomba,kukopa na baadae kurudisha.

    • @sadicksamuel2005
      @sadicksamuel2005 Рік тому +2

      Alikufa kishujaa 😂😂😂

    • @erastojackson8427
      @erastojackson8427 Рік тому +1

      Dg ametisha unyama can ✌️

    • @nishimwejames83
      @nishimwejames83 Рік тому +2

      Alikufa kiume😂😂😂

  • @emmanuelnyakoi2391
    @emmanuelnyakoi2391 Рік тому +14

    Ngoma nagwaaaaa miaka mingi hatujafilimba ulembe💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hafidhmguhi8624
    @hafidhmguhi8624 Рік тому +7

    Kilichobaki ni kuitolea movie😢

  • @abiasifredrickdima3255
    @abiasifredrickdima3255 Рік тому +17

    Yani Content ya wimbo na mhusika NAGWA vinaendana Sana Kontawaaaaa we ni noma 🙌🙌🙌🙌

  • @vybzkiller254
    @vybzkiller254 Рік тому +12

    Nagwa kiboko 💯💯🔥Dunga mawe wapi likes from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 it to the world 🌎

  • @fredrickmaitha4427
    @fredrickmaitha4427 Рік тому +251

    Kenyans 🇰🇪 let gather here to show this man love❤❤

  • @darvoh_Tz.
    @darvoh_Tz. Рік тому +2

    Hongera sana kontawa bt naomba wasanii muwe makin sana kwenye kuwaklsha mahudhuhi,nyimbo inatuambia alichomwa na mipira ya magari dhen video inaonesha mwsho wake c uo,,😂😂 be carefull bro

  • @darlingqueendee3822
    @darlingqueendee3822 Рік тому +8

    Sad story bt nice song nakukubali kontawa...Kenyans loves Tanzania

  • @rashidinakoni
    @rashidinakoni Рік тому +15

    Nataman kua wa kwanza kuitazama hii ngoma aiseee ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv Рік тому

    Hii Ngoma imenifundisha mengi sana 😢😢,,

  • @EzraTech10
    @EzraTech10 Рік тому +13

    Gonga like km una mkubali kontawa ❤💥💥

  • @HusseniJeanPierre-bn7jf
    @HusseniJeanPierre-bn7jf Рік тому +1

    Dunga mawe 😂😂😂❤❤❤ +243 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @poleclassic
    @poleclassic Рік тому +10

    Ngoma Nagwa,,,bendera chuma,mlingoti chuma.Namkubali sana Ngoma Nagwa❤

  • @tracytonny
    @tracytonny Рік тому +21

    we need part 2 of this song😂 i hope Dungamawe didn't die. he deserves a better ending lol

  • @Jkone891
    @Jkone891 Рік тому +30

    BIG FAN TOKA KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪... BIG UP NAGWA BIG UP KONTWA ART KUBWAA... MKOJANI GAnG nawatambua sana pia

  • @Peterwiz_254
    @Peterwiz_254 Рік тому +5

    Massage mzuri kwa mayouths.. from Kisii Kenya 🇰🇪

  • @alecksdencil4445
    @alecksdencil4445 Рік тому +24

    From the City of Africa"Nairobi"🇰🇪 l love this bro, you're the Star 🌟

  • @hassanikobelo3688
    @hassanikobelo3688 Рік тому +6

    Hivi we jamaa wanakuangalia kwa jicho la Tatu kweli ndo mziki ushakua wa watu fulani na wanaoangaika na madanga u are real talented bro keep pushing and will support you till end🙏🙏❤️

  • @hafidhali4336
    @hafidhali4336 Рік тому +6

    Ngoma nagwa og. Au macho yangu tu. Hamilton William mtu mbady✌😁😁😁😁😁

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free Рік тому +1

    Dunga Mawe 👊👊👊

  • @FAMILYSIMBA
    @FAMILYSIMBA Рік тому +23

    APPRECIATE THIS TALENTED BOY! I wait this dungamawe nagwa

  • @kevoowizzy12
    @kevoowizzy12 Рік тому +1

    Mbona Hajachomwa Km Nymbo Isemavyo Kapgwa Tu

  • @ponyoduguru
    @ponyoduguru Рік тому +5

    Wakwanza mimi 🇮🇹 tujuwane kwa Likes

  • @yustinkivamba4721
    @yustinkivamba4721 9 місяців тому +1

    Iyo miambili anaiona kama shingapi Kwan had aseme chenj irud🤣🤣🤣

  • @oledokoratilombashi
    @oledokoratilombashi Рік тому +7

    Video nimeiangalia Mara 6 bila kuitoa yaani kila ikiisha naweka tena ndo ujueiko powa kweli kama na wewe umeangalia kama mimi gonga like hapo

  • @petersmuhika
    @petersmuhika Рік тому +28

    This song is on ANOTHER LEVEL,,💥💥💯

  • @jembelakijiji
    @jembelakijiji Рік тому +5

    Wangapi tunasubiria hili jiwe

  • @November19tv
    @November19tv Рік тому +4

    Endelea kukaza mwanangu badman kontawa, respect pia kwa script writer kaitendea haki ngoma kweny video nimeuelewa xana ujumbe kuliko nilivyokuwq naisikiliza audio Jamaa kanyoosha xana scrpt nicklas nae kawaida take kufanya vyema.

  • @cleverbenardclevermc-ld6qg
    @cleverbenardclevermc-ld6qg Рік тому +7

    Kwangu mimi binafsi hapa bongo msanii wa kwanza ni #KONTAWA na ndo role model wangu utake utakubari na usitake ukakubali tu

  • @official_harmsmunga
    @official_harmsmunga Рік тому +83

    Apart from the vibe, The messages hit the inner part of the ears.... The love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 is big...

  • @don_dallartz
    @don_dallartz Рік тому +5

    Dunga Nagwa Mawe😅👊🏿🔥🔥🔥🔥🔥

  • @salomecomedyofficial
    @salomecomedyofficial Рік тому +2

    Ngoma Nagwa,, bendera chuma mlingoti chuma, kenya tunamtambua kinyama aisee

  • @paulcharles5533
    @paulcharles5533 Рік тому +4

    Hii story ya mwanangu kabisa, pale Kibaoni Singida. RIP

  • @alexkilolo5032
    @alexkilolo5032 Рік тому +1

    Tunayofuraha kubwa kupata mrithi wa King Zilla

  • @Chrisviva-ki5pu
    @Chrisviva-ki5pu Рік тому +5

    huyo ndo Dunga mawe kweli umepatiya sana 💖💖💖

  • @HyvineAvugwi
    @HyvineAvugwi Рік тому +20

    😂😂😂😂 i can't get enough of DungaMawe ... The process is called; Pulling it up🔥

  • @kapesamjenga8971
    @kapesamjenga8971 Рік тому +5

    Minuno5000
    Cheko la 1000
    Ngoma nagwaaaaa

  • @kyelaonlinetv2
    @kyelaonlinetv2 Рік тому +1

    Siangaliagi adi mwishi ila leo nime cherk mpaka mwisho

  • @smartwhite1945
    @smartwhite1945 Рік тому +6

    Sawa mwanangu dunga mawe

  • @nehemiastephano497
    @nehemiastephano497 8 місяців тому +1

    Oy kontawa me cyo muigizaji lakin nina kipaji cha kuigiza kwenye hustle broo naweza pls

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 Рік тому +5

    Kontawa nakukubali sana kaka Ni wa peke sana kaka Upo specel like my brow chidi benz

  • @SaidaNangu
    @SaidaNangu Рік тому +1

    Nice song but hukufai kurepeat beats za champion

  • @Rbtzoff
    @Rbtzoff Рік тому +21

    kama unaamini huyu ndy anafaa kuwa dunga mawe like hapa

  • @ManhirErneco-cb3rg
    @ManhirErneco-cb3rg Рік тому +1

    Sijawahi kumpinga huyu mwamba 🙌🙌🙌✋🙌🙏

  • @OfficialRanavu1.1
    @OfficialRanavu1.1 Рік тому +4

    Nili pitiya changamoto Kama hizi @dance king onix

  • @dickmjuba6075
    @dickmjuba6075 Рік тому +18

    Ngoma kali mhusika mkuu nagwa og anaweza kabisa kuwa dunga mawe kulingana na uhuni wake tunaisubir❤❤❤❤🎉

  • @sheddymusiq7811
    @sheddymusiq7811 Рік тому +1

    Alfu director katisha zaidii

  • @rashidinakoni
    @rashidinakoni Рік тому +5

    Nilikua naisubiri kwa ham sanaaa nimekua wa kwanza leo naombeni likes zenu 🙏

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Рік тому +1

    Chuma kali video kali story kali japo nilitamani pia kuona tukio la uchomwaji moto hata lisipomaliziwa ila kwa maana ya mtu kuungua ila kwa kuwa limeimbwa kwa namna story ya video ilivyokaa inegeweza kuisha na tukio lenye kuashiria kuchomwa moto. All in all kazi nzuri sana big up to all yo

  • @cleverbenardclevermc-ld6qg
    @cleverbenardclevermc-ld6qg Рік тому +6

    Naisubili kwa hamu hiyo ngoma #dungawawe baada ya kuona picha ya nagwa ndo nikaja ku comment kwasababu mimi mwenywe nilkua na waza kama yule ahoufe wa ghana amekufa basi mwingine wakuweza kuigiza uhusika wa dunga mawe ni nagwaaaaaa sharout sana mwanangu kontawa napenda sana uhandishi wake

  • @okorooronichannel3595
    @okorooronichannel3595 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂🎉🎉😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤😂

    • @okorooronichannel3595
      @okorooronichannel3595 11 місяців тому

      ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @Clvestar
    @Clvestar Рік тому +7

    Haya ndo mambo mazuri ya kuiga wasanii wengine wajue big up kontawa 🙌

  • @Dennybwoy4072
    @Dennybwoy4072 Рік тому +1

    Huyu muhuni nongwa kafanyia video haki Duuh 🙄🙄😆

  • @nictordefavored3287
    @nictordefavored3287 Рік тому +5

    Yaani nipo ange kabisa kuiona hii video ya dunga mawe,,,,nyimbo yenyewe ni noma sana ,,on top kontawa👌

  • @almasinillan
    @almasinillan 7 місяців тому +1

    Dunga Mawe 🔥

  • @milungaapeshijerome
    @milungaapeshijerome Рік тому +4

    Wakwanza kuona action🎉 2:30 magwa 😅😅😅😂

  • @samsonjuniormayama8847
    @samsonjuniormayama8847 Рік тому +4

    Umenikimbusha mbali kwa rfk yangu wa krb alieuwawa mabibo kontawa kiume nadondosha chozi kwa hii nyimbo🔥🔥🔥🔥🔥 respect sana 😔

  • @besteva499
    @besteva499 Рік тому +5

    ngoma moto🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ramiiben7929
    @ramiiben7929 Рік тому +13

    Some amazing music...watching from Cuba...One Love Kontawa💪

  • @GreysonDawson-om3sr
    @GreysonDawson-om3sr Рік тому +9

    Perfect character(Dungamawe) 👍good point

  • @felixmorara6241
    @felixmorara6241 Рік тому +35

    I remember my father introduced me to this 'Ndunga mawe' Ngoma Nagwa in this video...he really is the best person for this role played in the video...A very deep song bro I literally shed a tear because I am going through the last stage that led to his death and I pray God bless us all and bless kontawa for the inspiratio...I left this comment so I can read it when I'm old next to my son/daughter

  • @harry495
    @harry495 Рік тому +6

    Kotwala l am from Kenya and you have nice song Kwanza hiii ndio inamaliza mwazo big up Sana to this song and keep up.

  • @arnoldsun4548
    @arnoldsun4548 Рік тому +35

    Definition of Good music 🔥🎵❤️

  • @thisisnotnome6533
    @thisisnotnome6533 Рік тому +4

    Msanii bora Tanzania 🇹🇿 tunae hapa aitwa KONTAWA!
    AMETISHA

  • @sengeremathomas8815
    @sengeremathomas8815 Рік тому +1

    Aisee hii video ni kali sana hadi inaboa maufundi ni mengi sana

  • @feddyfeddy2597
    @feddyfeddy2597 Рік тому +4

    Nipeni like zangu

  • @abuu_town_tz7341
    @abuu_town_tz7341 Рік тому +1

    Mziki 💯💯

  • @LOOKMAN123
    @LOOKMAN123 Рік тому +5

    Ngoma nagwa ndan ya nyumba DUNGA MA........🚬

  • @ZakariaAbdallah-us6xc
    @ZakariaAbdallah-us6xc Рік тому +1

    ume mwanangu wot wanatuimbia mapenzi Kila msanii atakae kuja mapenz Ila ww umejitoa

  • @dingalemjamo2988
    @dingalemjamo2988 Рік тому +4

    CHEST GANG

  • @braybah_oley
    @braybah_oley Рік тому +1

    Mnyama 🔥🙌🏽

  • @Haskalon
    @Haskalon Рік тому +4

    Big song

  • @skybwoyofficial
    @skybwoyofficial Рік тому +1

    Sky bwoy official is here 🇰🇪

  • @thomasmakala2082
    @thomasmakala2082 Рік тому +47

    RIP AHOUFE, the only African 2 Pac and real Dunga mawe we ever had.

    • @HeriUpendo
      @HeriUpendo 11 місяців тому +1

      Like, by zungu.

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt Рік тому +1

    Unatisha sana nongwa😢😢😢😢

  • @ninezaaudry1921
    @ninezaaudry1921 Рік тому +3

    🇧🇮🚀🔥Nipe like warundi wenzangu kontawa aone kama tuko wote

  • @ghettogangsters93
    @ghettogangsters93 Рік тому +1

    Kitu moto🔥🔥🔥💯shwari

  • @Jaraboyflemy
    @Jaraboyflemy Рік тому +4

    NAGWA YANII HII NGOMA INAMUONGELELEA YEYE KAPISA.... RESPECT TO KONTAWA ENDELEA KU SHINE BRO❤❤

  • @jembelakijiji
    @jembelakijiji Рік тому +9

    Finally baada yakuisubiri kwa mda mrefu dunga mawe ishatoka Kama unamkubali kontawa gonga like tukisonga

  • @jollywillson-gs5co
    @jollywillson-gs5co Рік тому +1

    Nagwa kaitendea haki hii video

  • @samwelipaul1462
    @samwelipaul1462 Рік тому +4

    Tuna isubili kwa ham hii dunga mawe 🔥🔥💉💉

  • @KabuluDeo-hw6hu
    @KabuluDeo-hw6hu 9 місяців тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇦🇺🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @paulgaspary2459
    @paulgaspary2459 Рік тому +3

    Wimbo mzuri sana Kontawa. Nimeusikiliza vizuri nimepata feelings flani hivi basi tu. Na huyo mwamba NAGWA Namkubali sana huyo ndo DUNGA MAWE 😃😀

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 9 місяців тому +1

    Dunga mawe😂😂😂

  • @flykickske
    @flykickske Рік тому +5

    Kontawa ❤🇰🇪🇹🇿

  • @elishaelishaedward9454
    @elishaelishaedward9454 Рік тому +1

    This time specially for kontawa

  • @Ronaldo6632football
    @Ronaldo6632football Рік тому +4

    Kontawa you're my champion 🇹🇿🇹🇿🇰🇲🇰🇲👑👑

  • @pharijarasarungi3166
    @pharijarasarungi3166 Рік тому +1

    Wajanja ndo tunajua amecopy wap ni nyokaa

  • @thisisnotnome6533
    @thisisnotnome6533 Рік тому +3

    Kama wewe ni mwanangu wa kuikubali "DUNGA MAWE" basi like message hii 💥

  • @presentertelence1679
    @presentertelence1679 Рік тому +1

    *NGOMA NAGWA KUTOKA MKOJANI GANG*

  • @miketv3179
    @miketv3179 Рік тому +9

    Kontawa is on another level 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 001

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION Рік тому +1

    Dunga stone kali

  • @shivokenya8761
    @shivokenya8761 Рік тому +10

    Kontawa to the world ❤❤