STAMINA FEAT PROFESSOR JAY & ONE SIX - BABA (OFFICIAL VIDEO) SMS SKIZA 7917152 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 6 тис.

  • @laizorclassic7384
    @laizorclassic7384 9 місяців тому +97

    Tuliokuja kuurudia 2024 nipeni like zangu 🔥

  • @sadamdominic7030
    @sadamdominic7030 3 роки тому +626

    Waliokuja kuangalia hii song baada ya kuombwa na Rais gonga like hapa

  • @Thedonbling
    @Thedonbling 3 роки тому +357

    Mh rais anaisikiliza ndani ya channel ten pongezi kwa jpm rais wetu mpendwa

  • @njorohnjoroh7246
    @njorohnjoroh7246 3 роки тому +64

    Kama wewe ni mkenya na unaukubali huu wimbo,ngoga like msela

    • @Rehema-n8h
      @Rehema-n8h 8 місяців тому

      Mm jamn kiukweli nampend cn

  • @msherimsheri381
    @msherimsheri381 3 роки тому +254

    like kama umerudi apa baada ya Magufuli kurequest hii nyimbo

    • @mursallusinde9189
      @mursallusinde9189 3 роки тому +2

      Hii nyimbo kali ina ujumbe mzito Ila toka imetoka ilikkua inasua sua mpka magufuli kaichagua kma ngoma yake bora ndo watu wakaamka kuanza kuitazama 🙄🙄 bongo mziki mzuri hausapotiwi hta kdg ila ile ya hovyo ya akina naniiii ndo inatrend balaaa na haina ujumbe wwte..

  • @princenewton
    @princenewton 3 роки тому +1217

    Who's here after The President said this is one of his favourite song's in Tanzania 🇹🇿 much love from KENYA 🇰🇪.

  • @josephdomi9393
    @josephdomi9393 3 роки тому +283

    Wangapi tumerudi hapa baada ya mheshimiwa rais kuipromot hii ngoma like tujuane

    • @Chepkiriengtobias
      @Chepkiriengtobias Рік тому +1

      Nimerudia mara mingi .. almost every week huwa nawatch hii nyimbo

  • @badifundi6089
    @badifundi6089 2 місяці тому +3

    ONE OF THE GREATEST MASTERPIECE BIN LADEN KUTOA THUMBS UP..HII NYIMBO NA ILE YA FEROUZ STAREHE ZIEKWE KWA SYLLABUS YA TANZANIA

  • @jaksonmakorere2521
    @jaksonmakorere2521 3 роки тому +373

    Waliokuja hapa kwa kuwa JPM ameuchagua wimbo huu akiwa anazindua studio ya MAGIC FM!! Ila wimbo huu umebeba ujumbe mkubwa Sana!!!

  • @patrickrichard4690
    @patrickrichard4690 4 роки тому +1004

    Wanao SEMA Ihingoma ufikie mama diamond platnam na family yk like hp tujuwane

  • @liverpoolvsrangers2273
    @liverpoolvsrangers2273 4 роки тому +277

    Baada ya kusikia kisa Cha mama diamond na baba aliyekuwa wa diamond kujulikana sio baba halali wa diamond ukaamua kuja kuangalia huu wimbo weka like yako tujuane

    • @jacksonmapunda9207
      @jacksonmapunda9207 4 роки тому

      mama dangotmh

    • @lilyjoseph8482
      @lilyjoseph8482 4 роки тому

      Yaaaap

    • @jurassicparkmovies8805
      @jurassicparkmovies8805 4 роки тому

      *Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini*
      ua-cam.com/video/LMMcOLVk4rs/v-deo.html
      Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel

    • @expert5898
      @expert5898 4 роки тому

      Kwahiyo mama Diamond alikuwa Malaya si ndio?

    • @fredricco5975
      @fredricco5975 4 роки тому +1

      Ngoma umetoka kabla ya Mambo ya mond

  • @isaacopolot2027
    @isaacopolot2027 3 роки тому +20

    Mwenye amekuja hapa baada ya kauli ya Mzee Magufuli, gonga like tujuane hapa. Love from Uganda 🇺🇬

  • @ronaldo3359
    @ronaldo3359 4 роки тому +296

    "Hebu toa bangi zako aliyekuambie usisome ni nani?"
    Likes za Prof. J zikam👍
    254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @djkeis3125
    @djkeis3125 3 роки тому +101

    Nimeletwa huku na J. P. M 🙏 🇰🇪 gonga like tusonge

  • @modricmakalila2361
    @modricmakalila2361 3 роки тому +281

    Tuliyo kuja kwa nguvu za JPM weka like hapa

  • @teenah1759
    @teenah1759 3 роки тому +40

    Dear my president Magufuli( Hero),i remember you through this song😥😥😥😥😭.Rest in peace Baba, we are missing you😭😭

  • @stefanocheruu8114
    @stefanocheruu8114 4 роки тому +467

    Nimerudia ii ngoma zaidi ya mara kumi..si nipewe likes mbili tu☺️

  • @mremoney6276
    @mremoney6276 3 роки тому +124

    Wangapi tupo apa kuskiliza ngoma ya stamina baada ya kuskikia jpm ameipenda gonga like apa😄😄

  • @chawedonard6617
    @chawedonard6617 3 роки тому +77

    Baada ya Mh. Magufuli kuusifu huu wimbo nimekuja tena leo
    wanaocheki leo like hapa twende sawa

  • @popoluqman1250
    @popoluqman1250 3 роки тому +28

    Hii Ngoma imeweza Kenya nzima kila kona wimbo n huu 🇰🇪 safi professor Jay na Stamina endeleeni kuelimisha jamii 🔥🔥🔥🔥

  • @binyezanch8271
    @binyezanch8271 4 роки тому +154

    Narudia Tena mtanisameee na team zenu hizi ndo nyimbo zinatakiwa kutrend bongo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kabulamhembe1024
    @kabulamhembe1024 3 роки тому +326

    Rais wangu Dk John pombe magufuri umenisababishia kusikiliza huu wimbo leo tarehe 25.02.2021

  • @zachariamahaja9890
    @zachariamahaja9890 3 роки тому +72

    Tujuane tuliokuja kuingalia baada ya kumskia mkuu akiongelea hii ngoma

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 Місяць тому +2

    Hii nyimbo nilikua naona ona tu status zawatu tu kumbe ni nyimbo ya mwamba hapa bravo bro ila huyo sister nae kajitahidi kupotesa.

  • @funnycomonline413
    @funnycomonline413 4 роки тому +188

    Kwa aliyesikiliza zaidi ya Mara moja kama Mimi plzz like zikusanywe hapa!!

  • @dr.ayolizer8778
    @dr.ayolizer8778 4 роки тому +99

    Stamina huimba Hali halisi ya maisha nipeeni like wadau⚡⚡

  • @stopermawetv8681
    @stopermawetv8681 4 роки тому +109

    One six one si one six nimemuita mara tatu ebu gonga like apo kama umeuelew the best chorus maker

    • @KingKong-db9zv
      @KingKong-db9zv 4 роки тому +1

      Hapo hata linex mjeda angefunika pia

    • @robertomlewa6901
      @robertomlewa6901 4 роки тому

      Nampa g nako namba mja one six anakuja vizurii

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 4 роки тому

      @@KingKong-db9zv hapna Yule muha hapo apamfai six kauwa

  • @kennedyouma1434
    @kennedyouma1434 3 роки тому +41

    Stamina is such a good lyricist.,the message is top norch. Big fan from Kenya 🇰🇪

  • @Dan1one1
    @Dan1one1 4 роки тому +112

    Kama umeona UJUMBE umewafikia wakina NYANGE au wakina DANGOTE.. NIPE malike zaidi na zaidi.

  • @MalegesiMakunja
    @MalegesiMakunja 4 роки тому +123

    Tunaoamini hii michano Professor Ja ameumiza tu like hapa🙏

  • @jacobmazziwajr6221
    @jacobmazziwajr6221 3 роки тому +159

    Waliokuja baada ya Rais kuukubali huu wimbo weka like yako hapa!!

    • @deborahjm8890
      @deborahjm8890 3 роки тому +2

      Mie Apana

    • @tatuamidu40
      @tatuamidu40 3 роки тому +1

      Wasanii jitaidini nyimbo zinazo ishi magufuli mi tano tena walokuja kwa niaba ya rais tuonane

  • @albertpike5893
    @albertpike5893 Рік тому +51

    You cannot produce a hit song when you don't feel the song itself. Many artist fail to understand singing and fun they sing for fun instead of singing from their emotions. The reason professor Jay has been in industry for many years he knows this secret. I see Stamina knows this too whenever he goes to studio he produce a hit song. One Six not only he sings the chorus but you can tell he sings from the bottom of his heart. I love y'all this song ain't just a song but a lecture to all of us

    • @robertmuendo9540
      @robertmuendo9540 Рік тому +2

      All of Stamina's songs leave you emotional, they have a clear protagonist and antagonist- this is art, this is what music should do: evoke strong emotions!

    • @albertpike5893
      @albertpike5893 Рік тому +1

      @@robertmuendo9540
      Well said brother

    • @makhamaomuka9985
      @makhamaomuka9985 Рік тому +1

      Quality music

    • @modestarmusondah913
      @modestarmusondah913 8 місяців тому +1

      Nice song indeed though I don't understand the language.

  • @dripboy2026
    @dripboy2026 4 роки тому +144

    Kama na ww umemuona mama Kanumba tujuane hapa kwa like na coment

  • @Sunsetkenya
    @Sunsetkenya 4 роки тому +473

    Nani anasema hii ngoma inamkosa ROMA MKATOLIKI? Gonga like kama una mawazo sawa nami.

  • @ramadhaniharuna8110
    @ramadhaniharuna8110 3 роки тому +172

    Chaguo la JPM hili👏👏 tia likes hapa.

  • @SalvatoryEphraim-ny1vn
    @SalvatoryEphraim-ny1vn 2 місяці тому +2

    Hii ngoma kali sana yaan daah ina mafunzo makubwa professa jay alipoingia mpka raha

  • @Manjay_killer
    @Manjay_killer 4 роки тому +31

    Kama unamkubali professor jay kwa vesee yake gonga like hapa
    Njooi na huku kwa Simba la singeli

  • @moseskaiza4448
    @moseskaiza4448 4 роки тому +19

    Wababa tunaonewa Sana nivile tu Tumeumbwa kuyameza Magumu. Gonga like kwa Wababa wote.

  • @bnasibaraka2956
    @bnasibaraka2956 4 роки тому +90

    wakenya tuweke likes ya stamina hapa..🇰🇪🇰🇪

  • @michaelyaa3200
    @michaelyaa3200 2 місяці тому +2

    Mungu Mkubwa aisee..Tuzidi kumuomba maulana Daima Na tumuamini tu yeye bila kukata tamaa.Amiin

  • @enocklumbasi5249
    @enocklumbasi5249 4 роки тому +194

    I love Tanzania's contents they are musicians NOT singers ...get the difference!.... From Kenya spreading love only!!!

  • @joeaub2185
    @joeaub2185 4 роки тому +51

    Naomba Basata wampe tuzo ya heshima profesa J
    Huyu ndio legendary bora wa hip hop Tanzania

  • @mohamedhongo5085
    @mohamedhongo5085 4 роки тому +24

    Bonge la ngoma pia inafundishoooo makubwaaa kama umeelewa weka likeeee yakooo hapaaa

  • @tituskilonzo9766
    @tituskilonzo9766 2 роки тому +3

    Mi Mkenya, naheshimu Tanzania na mashahiri yao and good story telling. Stamina, Prof jay (currently an MP) na One six, nawafulia kofia.

  • @cpapaulmshanga1831
    @cpapaulmshanga1831 3 роки тому +68

    Mh Rais leo kauomba akiwa Chanel 10, kwa ujumla ni bonge la wimbo

  • @zotempyaonline8485
    @zotempyaonline8485 4 роки тому +49

    Waliosikia korasi ya one six zetu apaaaaa jmn...🎵🎵

  • @sarahmse9357
    @sarahmse9357 3 роки тому +69

    Nan amekuja hapa baada ya Rais wetu kuifagilia..

  • @wallsound_defefender
    @wallsound_defefender 2 роки тому +24

    One six is the next Ferooz, his vocals are on point in every chorus

  • @mussakhamis57
    @mussakhamis57 3 роки тому +62

    Wimb wa Taif ...Mpk JPM kauelewa Gong lik Twend xaw🔥🔥🔥

  • @stevemoshy525
    @stevemoshy525 3 роки тому +28

    Wangapi tumerudi apa baada ya Rais kuomba hii ngoma🙌🏾tujuane apa kwenye like👍🏾

  • @yugakiyumbi9909
    @yugakiyumbi9909 3 роки тому +45

    Tulioangalia wimbo huu baada ya JPM kuuomba upigwe channel ten akizindua jitegemee house. Like hapa

  • @osumokeverenge7573
    @osumokeverenge7573 3 роки тому +16

    Prof J my all time best musician. This one you've killed it. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mkojanicomedy8292
    @mkojanicomedy8292 4 роки тому +275

    KAMA UNAAMINI STAMINA ALIMWIMBIA DIAMOND GONGA LIKE

  • @niyogushimaoscar9248
    @niyogushimaoscar9248 4 роки тому +31

    Naomba tujuwane walio rudia Iyi nyimbo badaa yakusikia Mama Dangote kamkana Mzee Abdul sio baba Diamond nipe like twende ifikishe 1 million

  • @fromgascity
    @fromgascity 4 роки тому +50

    Nimerudia kuitazama zaid ya mara ya 5 ila huyu ONE SIX ni bonge la chorus maker 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shabs221
    @shabs221 3 роки тому +62

    Salute kwa Stamina and professor Jay. Much love from Kenya. Hii ngoma naikubali. 🇰🇪. Watanzania twawapenda sanaa sisi wakenya.

  • @georgeodina6460
    @georgeodina6460 4 роки тому +190

    Are we just going to ignore those vocals of the chorus guy, please give him a like for me.That chorus is lit.

  • @eugenesamuel989
    @eugenesamuel989 4 роки тому +88

    This song is on another level,I loved how Stamina has approched the song...Then legend Professor J...😍.....waah....wapi likes jamani... From Kenya🇰🇪🇰🇪

  • @yusufumajid9168
    @yusufumajid9168 4 роки тому +76

    Tulio furahi kumuona mama kunumba tujuane hapa kwa like😳

    • @MoohMonsa2947
      @MoohMonsa2947 Рік тому

      Am So happy kuona mamake the great kanumba

  • @salehjuma5242
    @salehjuma5242 3 роки тому +1

    Kama presdar anauskiliza huu wimbo na akauelewa pamoja na majukumu alionayo ww nan mpaka usielewe tupia like kwa magu kwa kuwasaport vijana wake😎

  • @ibrahimhussein2358
    @ibrahimhussein2358 4 роки тому +21

    Duuh patakufa jitu hapa wacha n comment Ntarud baadae..
    Achia like kma hpa uksubr mapinduzi cup ya stamina na professor j

  • @emmahbishoo7303
    @emmahbishoo7303 4 роки тому +69

    Ngoma tamu Sana Kama nawew unaamini naomba like jamani..mwanionea ata like moja mwaninyima kweli🤔

    • @charlykin5719
      @charlykin5719 4 роки тому

      ua-cam.com/video/GG-W8u0RWzo/v-deo.html

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 4 роки тому +19

    Dah mwanangu stamina ujawai niangusha mwanangu. Nandika hii comment kwa furaa ya ubingwa wa mapinduzi cup. Yanga bingwa kama we ni yanga gonga like twende sawa mwananchi bingwa🏆🏆🏆🏆🏆 wanangu 🔥🔥😃🇹🇿🇹🇿.

  • @lionlion89
    @lionlion89 Місяць тому +1

    Hapa duniani akuna wakumlaumu ukisha kua yaache tu ibaki ivyo❤

  • @andsonmwakomana2278
    @andsonmwakomana2278 3 роки тому +38

    Tuliokuja hapa baada ya raisi kuomba hii nyimbo

  • @wilfredgambo1965
    @wilfredgambo1965 4 роки тому +28

    Wadau wangu wa Kenya wapii likes za Stamina na professor......

  • @djnicotrack6023
    @djnicotrack6023 4 роки тому +36

    Naingoja STAMINA FT PROFESSOR JAY & ONE SIX BABA

  • @AbdulZahran-v8t
    @AbdulZahran-v8t 2 місяці тому +1

    Mimi nakubali sana hilo bet sio mchezo hamna bongo mzina wala halitotokea kama hilo mzee yani salut

  • @alexiddtv
    @alexiddtv 4 роки тому +30

    nimekuwa wa 15 ku comment likes nyingi kwanguuuuuu kama huna roho kwatu sema nini ngoma kaliiiii ya kufungia January ya majangaaaaaa💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

  • @richardkabadi2691
    @richardkabadi2691 4 роки тому +40

    Utajua thamani ya Baba vizuri mpaka pale ukiwa baba. Ndiyo siku utakayoacha kumchukia na kumlaumu Baba yako. Thanks Legend One six and Stamina

  • @josephatie2163
    @josephatie2163 4 роки тому +41

    naona kama raia hawamuoni ONE SIX ivi kwenye hii ngoma... ila JAMAAA kiukweli AMEUA.
    NGOMA KALI. KICHUPA KINAENDA na maudhui. aiseee ni FIREEEEEEE

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 3 роки тому +5

    Huyu dogo anaye kaa kwenye CHORAS huwa anapendezesha sana nyimbo zote za STAMINA

  • @ishengomamlangila4341
    @ishengomamlangila4341 4 роки тому +27

    Kama umeuwelewa mstari wa profesa j wa ngawila like 🔥🔥🔥🔥

  • @bulebiemmanuel4126
    @bulebiemmanuel4126 4 роки тому +191

    Chama Cha wasoma comments Tanzania CHAWACOTA ✔️

  • @eshmaelgalo298
    @eshmaelgalo298 4 роки тому +107

    This song deserves many views guys east africans where a you this is a a hit

  • @romanthomas7701
    @romanthomas7701 3 роки тому +5

    Hii ngoma wangapi wamemwelewa huyu jamaa ana mwambia naogea nawee aogea naweeee

  • @medardsotta5211
    @medardsotta5211 4 роки тому +54

    Nilimiss ngoma za kikubwa kama hizi! Safi sana, Stamina.

  • @stopermatip5966
    @stopermatip5966 4 роки тому +40

    Msanii wangu bora wa muda wote Professor Jay

  • @nammanjeanafi9002
    @nammanjeanafi9002 3 роки тому +44

    Nani amekuja hapa baada ya kusikia mh Rais kuomba apigiwe wimbo huu

  • @joycemaresi8741
    @joycemaresi8741 3 роки тому +2

    Wimbo unafundisha aiseee nimetoa machozi

  • @babubidabidaonlinetv.719
    @babubidabidaonlinetv.719 4 роки тому +17

    Kama umejifunza kitu kutoka ktk hii ngoma gonga like!!.

  • @clintonotilenasibonyi4478
    @clintonotilenasibonyi4478 4 роки тому +43

    This song is surely🔥🔥and also it has inspired me alot sitaki baadae mtoto wangu anijiie juu Kama Stamina 😂😂😂 ntamwambia vile jay amesema peleka bangi zako kule😂😂 take five nipeni likes zangu jamani

  • @salummkandemba780
    @salummkandemba780 4 роки тому +192

    Nyimbo za aina hii ndizo zinazopaswa kuimbwa na wasanii wetu, sio matusi daily na nyimbo za kijinga jinga. Heshima kwako Stamina kwa ubunifu uliowekeza humu ndani, ingawa ulitaka kumzingua mshua wako, lakini ukubwa dawa Profesa Jay akakupiga knock out ya kibabe. One Six, umepiga Kona za hatari kwenye kolasi, much respect all of you guys.

  • @asueddy1465
    @asueddy1465 3 роки тому +2

    I'm here after superby declaration and praise from the best President

  • @mrmago4870
    @mrmago4870 3 роки тому +18

    Huu ndo muziki wa kusikiliza..... siyo yale matusi ya nguoni ya wale jamaa

    • @nicodemkomba2677
      @nicodemkomba2677 3 роки тому

      Wananiuzi sana wale mabaradhuli, wao wanafikiri maisha ni all about sehemu za siri tu. Ni wale na majambazi. Mh. Rais kwapa za uso kiaina

    • @tabufredmakunga8436
      @tabufredmakunga8436 3 роки тому

      Kwel wanaimba ujinga mtupu 👐👐

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 4 роки тому +31

    Hizi ndo ngoma za kuelimisha tunazotaka,rest in peace magwea,way bak miaka hiyo,,,

  • @emflashtv6211
    @emflashtv6211 4 роки тому +21

    *Nani kaangaliah hii video zaid ya maramoja heb tujuane kwa like hapo mr creativity*

  • @kisulesheebah1177
    @kisulesheebah1177 3 роки тому +12

    This song speaks alot of sense much love from Uganda🇺🇬🇺🇬

  • @kristenbelz6216
    @kristenbelz6216 4 роки тому +94

    All sides of the coin explained here. Kweli nobody should blame anybody. Good one @stamina 🇰🇪

    • @leahhmwangi
      @leahhmwangi 4 роки тому +1

      Yani Kenya mshafika💕

    • @georgemorara4028
      @georgemorara4028 4 роки тому +3

      Hapo Kweli

    • @sanchezfashiontz5750
      @sanchezfashiontz5750 4 роки тому +3

      Daha aisee hiv stamina hihi ngoma mliimba kwaajili yangu au tupowengi maan umenigusa Sana mzee

    • @djdave8710
      @djdave8710 4 роки тому

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪☺️☺️😁😁

  • @youngnonda5769
    @youngnonda5769 3 роки тому +34

    Ambao tunacheki hii ngoma twende sawa

  • @goodluckbenny123
    @goodluckbenny123 4 роки тому +19

    uyu one six namuona mbali sanaa daah bonge la collabo big up sanaa jay

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 2 місяці тому +1

    Rip Magufuli ihi ngoma ilikuwa your favorite ❤😢

  • @royalphonce
    @royalphonce 4 роки тому +22

    Mimi hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naomba sehemu ya pili alafu jay mpe verse mbili 🔥🔥🔥

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 4 роки тому +127

    Lemmy talk to the young people here. You can't blame your parents for what they did or they didn't do to you. Step out and take responsibility of your life. Everybody is personally accountable to what they become in life. Go out there and do whatever you gotta do to cook your own story with your own recipe. What your parents did is the much they could have done. RESPECT!!!!

    • @jamesngati8383
      @jamesngati8383 4 роки тому +2

      True, parents should alwys be respected and never get in the middle of their fights.Alwys remain neutral.

    • @crazyones6453
      @crazyones6453 4 роки тому

      So trueee !!!🔥🔥

    • @crazyones6453
      @crazyones6453 4 роки тому

      😂😂😂ua-cam.com/video/kGY6Tp8Du3E/v-deo.html

    • @katecaddy7556
      @katecaddy7556 4 роки тому +2

      Say it louder please...

    • @raphaelnzivo1268
      @raphaelnzivo1268 2 роки тому

      True.... salute

  • @ramcymosungu4700
    @ramcymosungu4700 4 роки тому +15

    Prof jay umeamua na wewe uvunje ukimya kama mama Diamond mnatuchanganya jamniiiiii, kama umeliona lisemwaloooo tulike hapo

  • @AK-ho2lb
    @AK-ho2lb 3 роки тому +2

    Huu wimbo umeimbwa maalum kwaajili ya diamond kwa alimvyomfanyia Mzee Abdul.

  • @frankmbonde1703
    @frankmbonde1703 4 роки тому +92

    Tanzania have been blessed with a well talented youth. Prof Jay proved that he is a real Bongo flavour legend. Stamina is on 🔥🔥. One six u kill it. Wondering enough this good, ethical and moral song will never get enough viewers coz the lyrics are moral and the people are not naked. Watanzania aliyeturoga ni nani?

  • @vincentvin211
    @vincentvin211 3 роки тому +9

    Nimekuja tena hapa baada ya Mh. Rais kuomba apigiwe hii ngoma

  • @allykipingu9175
    @allykipingu9175 4 роки тому +64

    "Mwanangu nimekusikia Kua uyaone" hapo ndio kamaliza mtoto huwa analaumu tuu nakuelemea upande mmoja tuu huo mstari ndio umemaliza kila kitu

  • @Mboro7
    @Mboro7 3 роки тому +2

    nimemfuata magufuli nilikuwa siujui huu rais uko vizuri