HII NDO TIBA SAHIHI YA KUMTOA JINI ALIYESHINDIKANA MWILINI MWAKO ] SHEIKH OTHMAN MICHAEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @HabibaHared
    @HabibaHared 8 місяців тому

    Mashaallah mola akuhifathi

  • @mariamramadhan4296
    @mariamramadhan4296 2 роки тому +2

    Mashallah llah xhukran shekhe othuman michaeli

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 3 роки тому +2

    Ustaz. m/mungu akubariki sana tena sana ubarikiwe mungu akupe umrimrefu unayoyasema nisahihi kabisa hujakosea hatakdogo nikwel yote.

  • @husnashaibu6312
    @husnashaibu6312 4 роки тому +2

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
    ماشاءالله ماشاءالله بارك الله فيك

    • @naimaally7072
      @naimaally7072 4 роки тому

      Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @sumaiyamwambindo-3201
    @sumaiyamwambindo-3201 11 місяців тому

    Mashallah mabruk

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 4 роки тому +1

    Jazzak Allah khairan

  • @sharifamohammed809
    @sharifamohammed809 3 роки тому

    اسلام عليكم ورحمة ألله وبركاته جزاك الله خير

  • @a.856
    @a.856 4 роки тому +1

    Jazakallah khayran

  • @rukiamwakuzimu3863
    @rukiamwakuzimu3863 4 роки тому +3

    Assallam aleikm sheikh nauliza gharama ya iyo tiba yote nikiasi gani?

  • @mussajuma9044
    @mussajuma9044 4 роки тому

    Masaha Allah

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 4 роки тому

    Sheikh je waeza tuwa aliokumbwa na jini fiy sabiliLLAH yani Bure

  • @laurarose1521
    @laurarose1521 3 роки тому

    Asalam waleikum...mm nko na hizo shida ..bt nko Dubai na angaika tu

  • @nassorkoja9983
    @nassorkoja9983 3 роки тому

    Assalam alaikum sheikh umeongea maneno mazito kwamba ukifungua mafuta hayo Mimi mtizamaji niliye Kenya naweza dondoka hayo ni kweli?

  • @bakarimasido1140
    @bakarimasido1140 3 роки тому

    A.alaikum mm niko kenya na hayo matatizo niko nayo itakuaje sasa ustadh

  • @fauziamusa1856
    @fauziamusa1856 3 роки тому

    Je kama hakai mwilini anakudhuru tu lakini akijua unaenda kwenye kisomo anaenda mbali sana kisha ukimaliza anarudi....sababu mm Niko Kenya navisomo na Dawa lkn Niko vilevile hakuna tofauti..nimechoka kwa kweli ...miaka mitano sasa

  • @neemasilim5883
    @neemasilim5883 4 роки тому

    Asalam Aleykum sheykh shukrna sana katika dalili ulizo zisema mimi nisema zote ninazo apa nasumbuliw na shingoni na kifuan kuna kitu kina tembea tembea to mda wote maumivu yake mpaka najiis ndo bas kwa ssiv nipo oman apa ninampango wa kulud nyumban To

    • @nooor1120
      @nooor1120 4 роки тому

      Allah atuondolee matatizo yote

    • @aminamutheu324
      @aminamutheu324 3 роки тому

      Je ulipata tiba?niko na shida tu kama yako yakuskia vitu vikinitembea mwilini tafanthali saidia kama ulizaidika

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 роки тому

    Sheikh naomba nikushauri kuhusu hiyo nguo alama ya T. Je kama ukiachana mayo Kuna ubaya?

  • @mariamramadhan4296
    @mariamramadhan4296 2 роки тому

    Yote hayo ninayo shekhe

  • @rashidmikuki3124
    @rashidmikuki3124 2 роки тому

    Kuna wengine hatujasoma kiarabu,ongeeni kiswahili hatuwaelewi

  • @nickmongela6004
    @nickmongela6004 3 роки тому

    Mm Niko Kenya nitapata hio dawa aje

  • @hafizaamy9025
    @hafizaamy9025 3 роки тому

    Asalamu alaykum

  • @sheikhramadhan7589
    @sheikhramadhan7589 3 роки тому

    usitangaze kuuza dawa toa na elimu jinsi ya kutengeneza kama wanavyofanya wenzio utakosa baraka

  • @najmaharoub280
    @najmaharoub280 4 роки тому

    Asalam alaykum shekh mm nko uk napenda sana kuku fuatilia na pia naumwa

  • @mamyomaty2778
    @mamyomaty2778 3 роки тому

    Unapatikana wapi?

  • @rosepesha501
    @rosepesha501 11 місяців тому

    Kama mimi

  • @sharondinah3361
    @sharondinah3361 2 роки тому

    Mimi Niko Kenya nitapata aje

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 роки тому

    Mashaallah

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 4 роки тому +1

    Allah akbar

  • @neemalaizer507
    @neemalaizer507 3 роки тому

    Arusha tunapataje

  • @getrudemoshiro2581
    @getrudemoshiro2581 3 роки тому

    SHEHE mbona dalili zote karibia robo tatu ninazo??

  • @kenedysebastiani7070
    @kenedysebastiani7070 3 роки тому

    Sheh hayomafuta yanaitwaje

  • @Naimashariffdin
    @Naimashariffdin 3 роки тому

    Aa nataka hizo dawa za jini nitazipata vp shekh

  • @margaretruguru6365
    @margaretruguru6365 3 роки тому

    Mimi napitia hio unasema naweza kukupata wapi nilingizwa kwa masetani devolworshipper hua Niko nasetani mwilini kwangu nahua anaongea ndani yangu

  • @kashumiliathumani8186
    @kashumiliathumani8186 3 роки тому

    Shekh mama yangu macho yanamsumbua kila hospital inshindikana nsaidie kwa kisomo iki 0694202507

  • @mrsally5583
    @mrsally5583 3 роки тому

    Unapoongea ongea dawa ya subian baada ya kumhimidi allah isiwe kma ni khutba jamn mb zaisha