MWANAMKE MWENYE SIFA HIZI MWACHE AENDE - SHEIKH OTHMAN MICHAEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 7 місяців тому +2

    Umeongea maneno mazima kabisa sheikh Othman Michael ❤

  • @khadijanjuki9935
    @khadijanjuki9935 Місяць тому +1

    Mashalla

  • @rukaiyalema7966
    @rukaiyalema7966 Рік тому +7

    Shee kupenda kubaya utatamani kiama kifike ufe nae uwezi acha kirahisi hvyo usiombee upendwe usipopedwa utosema hvyo shee Athumani michael

    • @saudahussen375
      @saudahussen375 Рік тому

      She's mom jamani ndoayangu inama tatizo nielimishe niwezetulia katikandoayangu

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 11 місяців тому

      @@saudahussen375 we muombe tu mungu na uwe mvumilivu. na kama bado ndoa yako haitulii hakuna nikujiweka pembeni hata kama inauma . kwasababu maisha hayajawahi kuja na karatasi yanini chakufanya vingi vinavyoumiza huja ghafla

  • @nurudinihamisi-le3lq
    @nurudinihamisi-le3lq 5 місяців тому +1

    Shukrani skheh wangu apo nimekupata vizure 🙏🙏

  • @HadinanKimimbi
    @HadinanKimimbi 3 місяці тому +2

    Alhamdulilahi

  • @rehemamallya1136
    @rehemamallya1136 4 місяці тому +1

    Assalam Aleykum Sheikh, vipi kuhusu kumpenda mwanaume asiyekupenda, kila kitu nafanya mimi yeye ametulia, hana msaada wowote kwangu

  • @athumanizaidi8560
    @athumanizaidi8560 Рік тому +1

    Nakuunga mkono sheikh Othman wanaume ni wachunga Kwa wanawake, mwanaume lazima uwe strong na msimamo sio kuyumbishwa na wanawake Hadi tunashindwa kusimamia mambo ya msingi.

  • @user-fq9is4kq8z
    @user-fq9is4kq8z 11 місяців тому +1

    Kwel shekhe kpenz Cha allah

  • @khanysanzungu
    @khanysanzungu Рік тому +1

    Naomba.nambazako.shekh.nikwandikie.ao.nikupigie

  • @GloryEmanuel-gf2vm
    @GloryEmanuel-gf2vm 7 місяців тому +1

    Mashaa Allah

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 Рік тому +2

    Kweli kabisa Sheikh wangu. Kuna mke hta akinunua peremende arudishiwe pesa yake.

  • @user-ck2wv1lt2r
    @user-ck2wv1lt2r Рік тому +2

    Wanaume jeee

  • @miishhassn
    @miishhassn Рік тому +1

    😂😂😂kwel huyo aachwe tu aende😂❤

  • @NaimaSalim-hv6bd
    @NaimaSalim-hv6bd 11 місяців тому +1

    Shekhe je akiwa mume hatimizi mahitaji yamke muke afanye nni

  • @user-nm5vc3ze8m
    @user-nm5vc3ze8m 8 місяців тому +1

    Shukran

  • @RhodaEdith-zr3bd
    @RhodaEdith-zr3bd Рік тому +1

    Inshallah

  • @RakhmanHassan-ei3kn
    @RakhmanHassan-ei3kn 6 місяців тому +1

    Shukran ,sheikh,sasaikiwa wewe mwanamke unafanya kilakitu kwamume wako ila yy hajaonesha kukujali ufanyeje?

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +1

    Kweli watu wapo wanapenda pasipopendeka hata kaka zangu wapo huko kwetu chake hata dada zangu wapo😮😅

  • @bahatikatanga
    @bahatikatanga Рік тому

    Namimi nakuunga kuhusu ili shekhe wangu❤❤❤

  • @chokandahaza3565
    @chokandahaza3565 Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @animamichael3968
    @animamichael3968 Рік тому +1

    Ngumu kumeza

  • @saudahussen375
    @saudahussen375 Рік тому +2

    Shehee mwenyezimu akujalie uzidikutelimisha natuwenasubra.ktk.ndoa zetu

  • @SARAHKAMAMI
    @SARAHKAMAMI 10 місяців тому +1

    Na mume akikutukania mamako ata kufika mahali pa kudhalilisha familia yenu nifanyeje?

  • @angle3600
    @angle3600 Рік тому +1

    Kweli kabisa sheik

  • @MwanashaMaguno
    @MwanashaMaguno Рік тому +1

    Kwaiyo shekheee kama jee izo tabia ulizozsema kama Anazo mwanaume.yaani MUME ndio anamfanyia mkewe tabia hizo afanyeje mke huyo?

  • @rashdabdulazizi4193
    @rashdabdulazizi4193 Рік тому +3

    Wengi wanayafanya hayo kwamaksudi ili anatukana ndugu na mzazi ili iwechanzo Cha kumuacha akimbilie mahakamani apewe mali,hili nalo Ni vp shekh tusaidie kimawazo

    • @user-qn2oe6on5e
      @user-qn2oe6on5e Рік тому

      Mali yote muandikie mama alaf sasa atajua hajui kufanya maksudi