Ruqyah ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Ruqya ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah).
    ------------------
    Kasema Allah Subhanallah Wataalah:
    "وَإِذَا قُرِئَ ٱلْقُرْءَانُ فَٱسْتَمِعُوا۟ لَهُۥ وَأَنصِتُوا۟ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ"
    "Na isomwapo Qur'ani isikilizeni na mnyamaze ili mpate kurehemewa"

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @medmusmus
    @medmusmus 6 місяців тому +25

    Eee mwenyezi Mungu naomba uniondoxhee shetwan aliyeko kichwani mwangu kupitia dua hii AMIN Amin

  • @Rehema-g5h
    @Rehema-g5h 7 місяців тому +11

    Nmeshindwa lala mauzauza yananijia moyo umekuwa na wasiwasi lakin kwa dua hili nmepata ata nguvu ya kuandika ujembe huu siamin na nlichokuwa nakisikia nje ya nyumba 🙏 inshaallah shekhe ulietuwekea hii dua allah azidi kukuweka utuponye waislam wote🙏

  • @jacobponga1540
    @jacobponga1540 2 роки тому +14

    Masha Allah, tabaraka Allah naskia moyo wangu una utulivu kabsa pindi tu Naskiza Qur'an inaposomwa ❤🧡💛💚💙💜🤎 jazakallahu kheri

  • @sharifashabani7182
    @sharifashabani7182 3 роки тому +18

    ALLAH AKULIPE DUNIA NA AKHERA INSHAALLAH

  • @fatmanasor6362
    @fatmanasor6362 2 роки тому +9

    Alhamdhulillah nashukuru Allah kwakunionyesha njia iliyo sahihi Alhamdhulillah naamini Quran n tiba kamili 🤲🤲🤲

    • @zamojuma9920
      @zamojuma9920 2 роки тому +1

      Ya Allah nakuomba mungu wangu uniwekee wepes katika mazito nayopitia nijalie nipate mume mwiisilamu ya rabi bila wewe Mimi siwezi nipekipato Cha halali nirehemie wazazi wangu mabibi na wakubwa zangu na ndugu na jamaa walio tangulia mbele za haki inshallah

    • @timesaleh6756
      @timesaleh6756 Рік тому

      Utapata mume mwenye heri na wewe na kila mwenye kuhitaji basi Allah amtatulie shida zake

  • @maidajuma9331
    @maidajuma9331 Рік тому +11

    Kupitia dua hii namwomba Allah atulinde mie na familia yangu dhidi ya hasadi za walimwengu na kutujalia Afya njema

  • @hamidahamada3913
    @hamidahamada3913 3 роки тому +24

    Jazaakallahu khayral jazaa Sheikh, Allah atutatulie mazito yawe mepesi.... Allahumma Ameen

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 2 роки тому +7

    Masha Allah, Jazzakhah Allah khery namuombea M/mungu aniondoshee aya mazito niliyo nayo ,nipo mbali na family Allah aniondoshee aya maradhi na anifanyie wepesi katika utafutaji wangu pia nipate ridhiki kwa wepesi🤲🤲

  • @nurujuma-qs4jr
    @nurujuma-qs4jr Рік тому +5

    Yaa Allah nakuomba kupitia dua hii km kuna kitu chochote kibaya kimo ndani ya mwili wangu,ndani ya nyumba yangu,ndani ya familia yangu basi insha'Allah leo yote yaishe na yatoke kwa uwezo wako sw pia muondolee mama angu mzazi magonjwa yote na arudi ktk hali yake ya kawaida pia na mama mkwe wangu nifungulie millango ya risk na undoe nuksi kwenye familia yngu zidi kuwapa uelewa wanangu ktk elimu ya ekhera na dunia waepushe na majanga ya dunia ya rabilla allamina 🙏🙏

  • @Yusra-fi4ww
    @Yusra-fi4ww 3 місяці тому

    Yarabi naomba uniongoze katika njiya iliyonyooka isowe ya wale ulowakasirikia na unijaalie mimi pamoja na wazaza wangu na wadogo zangu na unipe moyo wa subra na uniepushe na kila asri na sheirwani la kike na la kiume amiiiiiin yarabilaala miiiiin

  • @babykasisi307
    @babykasisi307 Рік тому +26

    Masha Allah. Namuomba Allah anijaalie rizki ktk shughuri zang, aniondolee husda mbaya, aniepushe na mabalaa, anikingu na maradhi makubwa na madogo, awaajalie watoto wang elimu dunia na elimu akhera wawe vichwa wasiwe mkia, amfanyie Mama yangu wepesi na kumuondoshea maradhi makubwa na madogo, atujalie familia tyweze kuelewana na kuoendana. Amiina Insha Allah

  • @aishalibaba
    @aishalibaba 4 місяці тому +1

    Mashallah mashallah alhamdu lilah ee mwenyezimungu muumba wavyote kupitia qulhan tukufu naomba uniondoshe namaradhi ya kishetwan ,uniepushe nahusda uniepushe nakila baya na unijalie mwisho mwema wa kukuabudu yarabi qarem

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 роки тому +35

    Mashaallah Shukran Allah awajalie nanyi afya njema awastri na mitihani kwa rehema zake Allah

  • @maita25589
    @maita25589 3 місяці тому

    eeh mwenyezi mungu mwenye huruma telee, nihurumie mimi mkosefu mbele zako nipe moyo wa kukuabudu wewe pekee na kuachana na mambo ya dunia. Niondolee chuki na husuda za kila aina. eeeh mwenyezi mungu wajaalie makuzi mwma watoto wangu abdulrahim na alya, mjalie hekima mke wangu zulfa Ameen.

  • @enzoon5796
    @enzoon5796 2 роки тому +6

    Ya allah tuondoree hasadi katika familia yetu inshallah na umponye mama yetu inshallah 🙏

  • @AliMohamed-ng5ps
    @AliMohamed-ng5ps 10 місяців тому +2

    Ya ALLAH ss waja wako tufanyie wepesi kwa kila mtihani tunayopitia ya RABBI tuondolee matatizo mwilini mwetu ya RABBI kupitia dua hii sheikh ALLAH akujalie mema duniani na akhera amiiiiiiiin

  • @luyenamohammed2408
    @luyenamohammed2408 3 роки тому +11

    Mashaallah allah awafunguliye milango ya kher kwa kutuekea hiki kisomo

    • @irenenzembi4317
      @irenenzembi4317 3 роки тому +1

      Yaarabi tujalie kheri kupitia hii dua inshallah tuepushie shari sisi waja wako jaza kalahukheri

    • @maryamkhamis9545
      @maryamkhamis9545 3 роки тому

      Mashallah allah atujalie kile lenye hery kwenye maish yetu yaraby

  • @KINGOFLOVE-lc2nb
    @KINGOFLOVE-lc2nb 4 місяці тому +1

    YAALLH kupitia kisomo hiki Nina kuomba niondolee maradhi ya kichwa nuksi Asadi na sihiri nilizo wekewa na familia yangu Na Mwanangu nasri umuwezeshe kutambaa kwa araka kwa kudra zako yarabi subuhnna Allah muondolee matatizo sugu mke wangu swaumu m,bwana Alihamdu lilakhi

  • @asharamadhanmwabeha614
    @asharamadhanmwabeha614 3 роки тому +8

    Mashallah Dua nzuri sn Allah akujaze kher ndugu yetu

  • @AsnathMakeupglow
    @AsnathMakeupglow Місяць тому

    Ewe Allah kupitia dua hii naomba ukanifungulie mambo yangu yote pamoja na biashara yangu, na ukaniondolee mambo yote mabaya yaliyo katika mwili wangu. Ewe Allah pia nakuomba ukabariki biashara za wazazi wangu inshaallah🤲🏻🤲🏻

  • @bintihemedmwarundu4615
    @bintihemedmwarundu4615 2 роки тому +4

    Mashaallah hii dua mwenyezi mungu haitikie amin kwa mazito ninayopitia

  • @reenkim8390
    @reenkim8390 5 місяців тому +2

    Eee Allah nilinde na Hasadi za huu ulimwengu… nipe muongozo mzur wa kuku tumikia kila siku niamkapo….linda familia yangu katika mabaya Allah ….. fungua riski ndogondogo na zile kubwa kubwa katika maisha haya ulio tupatia ya mda mfupi apa duniani…. Nilinde na magonjwa yasinipate.. nijaalie mume bora wa kunipenda na haliyangu pamoja na familia yangu.. hakika Allah nijaalie mwisho mwema 🤲 inshaallah nikiomb na kwakuamini ndivyo itakavyo kuwa… Amin 🙏

  • @maryamally3085
    @maryamally3085 2 роки тому +7

    Mashallah hii dua nimzuri saa tunamuoma Allah SWT atujaalie shifaaa na atuonoshe matatizo yote tulionayo na atulinde na shari za maadui wetu wote 🤲🤲🤲

  • @RuthKimuhu-t5i
    @RuthKimuhu-t5i Місяць тому

    Allah ikubuke familia yangu tunayo pitia tufanyie wepesi kubuka babangu,mamangu, ndugu zangu dada zangu Na pia watoto wangu tukinge Na wachawi 🤲 Amin yarabi

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 роки тому +5

    MASHALLAH MASHALLAH JADHAKALLAH KHERI

  • @BitiHamisi
    @BitiHamisi Місяць тому

    In shaa Allah kupitia dua hii Allah aniponye maradhi ya wasiwasi. Sheikh jazakallahu kheir .

  • @ShaabanMumba-w6z
    @ShaabanMumba-w6z Рік тому +4

    Maashalla mungu ni mukubwa😢

  • @NdayishimiyeAdidja-d3l
    @NdayishimiyeAdidja-d3l 9 місяців тому +1

    Allhamdulilh shukrani allah atakulipa leo niko nawiki moja naskiliza mambo nilo skiya jana haki duwa iyi nishifa kabisa vitu vimenitebeya tuboni naviskiya kitu kama mtoto anacheza

  • @hawamudihawa8779
    @hawamudihawa8779 3 роки тому +4

    Ewe mungu wetu tujaalie wote wenye maradhi ya hasadi sihiri na majini wabaya utukinge kupita kisomo hiki cha khuroani ameeni

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya 8 місяців тому

    Ewe mwenyezi mungu nakuomba kupitia duwa hiii nipone hiii shida inayo nisumbua nakitu kilichopo katika mwili wangu kibaya kitoweke kwa uwezo wa Allah ewe mwenyezi mungu niponye mja wako 🙏

  • @hassanismail4265
    @hassanismail4265 2 роки тому +3

    Mashallah mungu anifanyie wepesi katika mambo yangu na malengo yangu kwa kusikiriza dua hii

  • @SaudaHishaam
    @SaudaHishaam 29 днів тому

    Ewe ya rabi niondolee wachawi ambao wanetuandama mimi na familia yang kupita dua hii Amiin hakika wew ni muweza wa kila kitu❤

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 4 роки тому +5

    Maa shaa Allah shukran kwa ku upload vitu napenda, Allah awalipe kila lilo na kheri

    • @Awatee
      @Awatee 3 роки тому

      Allah humma amin

    • @adamjb1026
      @adamjb1026 3 роки тому

      Masha Allah Allah atulinde na sharri aamin

  • @MozaMtawala-hh7uu
    @MozaMtawala-hh7uu Місяць тому

    Inshallah ALLAH pekee ndio kimbilio letu niondolee mitihani ya mwilini mwangu kupitia Dua hii amiin

  • @aminaiddi1296
    @aminaiddi1296 3 роки тому +5

    Mashaallah mashaallah Allah akulipeni heri inshaallah

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm 10 місяців тому

    Mwenyezi mungu kwa Dua hii mashwetani yote yanayonitesa kwa, magonjwa ya tumbo ya uzazi kwa Dua hii naomba vinitoke vyote vinavyo nitembea mwilini mwangu allah akuifadhi shehee

  • @rajabunyangasa2653
    @rajabunyangasa2653 3 роки тому +7

    MashaAllah! Alhamdulillah!

    • @saudarashidimkilaha5968
      @saudarashidimkilaha5968 3 роки тому +1

      Mashallaaah

    • @rostamchikoco7223
      @rostamchikoco7223 2 роки тому +2

      Allahumaa Ameen Thuma Ameen Wallah Hii Dua Kisomo Cha Ruqya Ni Hatariii Kwa Mambo Machafu Naisikiliza Kila Siku Inatuponya Jamani Huyu Shekh Mwenyezi Mungu Amuondolee Shida Za Kidunia Hamuifadhi Dunia Na Akhera Ningejua Alipo At Zawadi Ningempa Naomba Allah Utujaliye Aman Kwenye Maisha Yetu Mimi Na Familia Yangu Kwa Ujumla Maradhi Yote Yaishe Kupitia Qur'an Yako Tukufu INSHA'ALLAH KHERI.

  • @SaidGongo-rd2rd
    @SaidGongo-rd2rd 7 місяців тому +1

    Alhamdulillah Mwenyezi Mungu kupitia Dua hii naomba uniponye matatizo yangu pia umponye mama angu kipenzi amekua mtu wa kukosa amani kwa kisumbuliwa na WACHAWI pia Mwenyezi Mungu naomba kupitia hii Dua iimarishe nyumba yangu maana maajabu hayaishi nyoka, paka na ndege wanakufa pasipo kupigwa mawe 🤲🙏 nitashukuru sana kama utaimalinsha kwa yeyote anaekuja vibaya basi aaibike na asifanikishe kitu kibaya anachotaka kukifanya " Allahuma Amiin 🙏 🤲..!

  • @aishashabani6106
    @aishashabani6106 Рік тому +9

    Alhamdulilaah If I listen to this prayer when I am sick, I am completely healed 🤲🤲🙏🙏

  • @AzzaSoud-ij8by
    @AzzaSoud-ij8by 6 місяців тому +1

    Ya Rabb Alaamiin Azza wa Jal,Muumba wa mbingu na ardhi,mwenye kurehem,neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo..nikaomba na kutubu mbele zako Allah,nayakabidh maisha yangu,wazazi wangu,wangu,mume wangu na ndugu zangu..ya rabb tuongoze katika njia salama na yenye kukupendeza.tusamehe madhambi yetu,tujaalie mwisho mwema ya Allah.kupitia duah hii naomba unifungue vifungo vyote ima vya binaadam ama majini,hakuna linaloshindikana kwako Allah.tabaqal duah 😢🥹🤲

  • @maimunaali1731
    @maimunaali1731 3 роки тому +5

    Mashaallah Allah atuondoshee mabalaa ya majumbani na njiani biidhinillah lkareem

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm 9 місяців тому +1

    Ee mwenyezi mungu kwa, Dua hii takatifu naomba mateso yote ya tumbo yaondeke ndani ya mwili mzima

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 2 роки тому +45

    Ninaimani na Quran kitabu kitukufu hakika tutaponywa nayo kwa idhini ya ALLAH, Inshaallah

    • @africanoguy5140
      @africanoguy5140 2 роки тому +1

      Maashaallah tabaraka’llah🙏🏾 huja kosea kweli Qur’an ni shifaa kwa wanao amini

    • @mariamchuwa7916
      @mariamchuwa7916 2 роки тому +1

      Mashallah allhamdullillah namshukuru

  • @combination203
    @combination203 2 місяці тому

    Nashukuru allhadullillah naendelea vizuri bado kidogo mungu ataniondolea inshallah

  • @masoudbaucha7791
    @masoudbaucha7791 3 роки тому +7

    Mashallaah🤲🤲

  • @RehemaIsmaily-rk1td
    @RehemaIsmaily-rk1td 4 місяці тому

    Mwenyezi mungu nakuomba uniondolee matatzo niliyonayo unifungulie liziki,baraka na uniweke mbari namaadui zangu

  • @mariummarium8958
    @mariummarium8958 Рік тому +7

    Mimi sio msilamu lakini anapenda kusikiliza Koran na dua yao🎉🎉

    • @hbnkingi
      @hbnkingi 7 місяців тому

      MashaAllah 🤝🏽

    • @reenkim8390
      @reenkim8390 5 місяців тому

      Mimi pia kwani naiman Mungu ni mmoja tunae mwabudu …. Inshaallah mwenyenzimungu atufanyie wepesi katika kila jambo 🤲

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 Рік тому +1

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI INSHALLAH SHEIKH

  • @mamajojo8251
    @mamajojo8251 Рік тому +2

    Ya Allah nifanyie wepesi mja wako kila lililo Baya ndani ya mwili wangu nateseka sana

  • @ZuberiSadi
    @ZuberiSadi Місяць тому +1

    Yalabi,naombA,uniondoshe,,maladhi,yanayo,nikabili,kupitia,duahii,amini,Amin 🙏

  • @TwahaMassudi
    @TwahaMassudi 8 місяців тому

    Yarabi naomba unijalie kupitia haya maneno yko matamu unitoe nuksi mwilini mwangu na unijalie niwe mtu wa kupendwa na watu na ujalie riski ya halali na unijalie mdomo wangu usitoe maneno machafu nijalie riski mungu wangu ili niowe mke mwema ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nurumaugila3795
    @nurumaugila3795 5 місяців тому

    Maashallah Dua nzuri sana.....

  • @mukhsinimjclassic
    @mukhsinimjclassic Рік тому

    Mwenyezi mungu nakuomba kupitia dua hii nijalie Heli katka maisha yangu naomba nifungulie milango ya heli nifungie milango ya shali naomba nitolee vifungo vyote nilivyofungwa ndani ya mwili wangu na nje ya mwili wangu nitolee majina machafu nifungilie liski zangu ndoa zangu kazi zangu naomba mwenyez mungu nilindie familia yangu 🙏 nilindie baba yangu mama yangu wadogo zangu wanangu mume wangu pamoja na ndugu zangu wengine waponye wanaoumwa wote waliopo hospital na majumban warehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki 🙏 Allah ninamengi ya kukuomba mungu wangu😭 yote unayaona na kuyajua nilioyasahau allah nakuomba nifanyie wepes mungu wangu🙏 hakuna wa kumuomba zaidi yako wewe mungu wangu 😭😭🙏

  • @zainababass2407
    @zainababass2407 9 місяців тому

    Naam kupitia dua hii imenisaidia sana Mashaallah jazakallah shukran❤❤❤

  • @paulineanyango1275
    @paulineanyango1275 2 роки тому +6

    Oh Allah help us to over come setanic power

  • @enzoon5796
    @enzoon5796 2 роки тому +2

    Ya allah tuponye mimi na mama angu kipenzi inshallah 🙏kimbilio letu ni wewe

  • @AliKhamis-lb9iv
    @AliKhamis-lb9iv 11 місяців тому

    Nakuomba Allah atufanyie wepesi inshallh na mmbo yng aniongoze inshallh

  • @nnihenalikongola3263
    @nnihenalikongola3263 3 роки тому +9

    Mwache Mungu aitwe Mungu

  • @SizaMsafiry
    @SizaMsafiry 10 місяців тому

    Mashallah Allah aniondoshaa kila hasad inshaallah

  • @JoshuaSaidi-ef9wx
    @JoshuaSaidi-ef9wx Рік тому

    Alihamdulilah mungu naomba unilinde na watu wabay naomba unipe mwisho.mwema naomba.unipe ridhik.ya mkono yangu nifanikishe ndoto yangu Alihamdulilah

  • @aydaabbas9580
    @aydaabbas9580 3 роки тому +7

    AMEEN THUMA AMEEN 🤲🏽😔

  • @ShukraniAkimana-lo4oo
    @ShukraniAkimana-lo4oo Рік тому +2

    Ya Allah nijalie ndoa Yang iwe na amani na unilindie wanangu uwaepush namaradhi

  • @RamadhanijumashemzingwaShemzin

    Ya allh nakuomba kupitia Qur'an yak tukufu uniondolee maradhwi yanayo nisumbua mwili na unijalie niwe afy njema na unijalie niwe mwenye kuipenda Qur'an ishaallh na utujarie mwisho mwema❤

  • @sohagahmed6931
    @sohagahmed6931 2 роки тому +1

    Allah nijalie niendelee kuskiza Kila siku inshallah 🙏 nisaidike kuondoa matatizo yangu ,,, anisaidie kunifungua maskio akili nisikose swala na nisikose kutenda mema yanayo mridhisha mwenyez mungu 🙏🙏

  • @ZAHRAMCHOME
    @ZAHRAMCHOME Рік тому +1

    Ma shaal
    Ma shaalah

  • @jamilamtemi3429
    @jamilamtemi3429 2 місяці тому

    ALLAH nakuomba kupitia Dua hii nakuomba msamaha mimi na familia yangu, pia nakuomba uwarehemu wazazi wetu, nakushukuru kwa kila jambo, nakuomba unifanyie wepesi mimi na familia yangu na dunia nzima kwa kila gumu tulilonalo na tunayoyapitia , ALLAH nakuomba kwa ajili ya watoto wangu wawe watoto wema wenye hofu ya M.Mungu na wenye kuheshimu wakubwa na wadogo, wakawe vichwa mashuleni na sio mkia ukawalinde na mabaya na kila hasadi za ulimwengu huu, ALLAH nakuomba kwa kupitia Dua hii ukailinde Ndoa yangu na kila hasad na husda za walimwengu kila aliekusudia bay limrudie mwenyewe. Pia nakuomba uzilinde na Ndoa za wengine. Allah nakushukuru kwa kila jambo. Allahuma Amin 🤲

  • @JumaMijera
    @JumaMijera 9 місяців тому

    Naomba mwenyezi mungu uniponye kwa kutumia iki kisomo

  • @راجيعواجي
    @راجيعواجي 2 роки тому

    Allah atulinde na kila shari katka safar zetu familia na awaondoshee roho mbaya wenyiji wetu

  • @Asma-ys7bj
    @Asma-ys7bj Рік тому

    Mashaallah Allah akuongoze shekhe wetu

  • @shebeabbas2789
    @shebeabbas2789 8 місяців тому

    Alhamdulillah amin yarab Allah

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 роки тому +1

    Alhmdllh Allaah atupe shifaa..

  • @Nlechoppa254
    @Nlechoppa254 10 місяців тому +2

    Subhanallah

  • @nameoman-l2c
    @nameoman-l2c 2 місяці тому

    Nappa nipe barqkq zako nidumu katika kazi wasifikilie mwengine bali mm tu eemungu ninakuomba kwahili hakikq ww ndie ujuwae maisha yangu

  • @innashedrack4547
    @innashedrack4547 10 днів тому

    Mungu niondolee maradhi nuksi na ndoto mbaya

  • @SheeOmari
    @SheeOmari 2 місяці тому

    Ehh mola wangu nakuomba unijalie uzima kutoka nisishikwe na ubaya wowote kwa wanadamu ehh mwenye zimungu nakuomba inshallah

  • @AishaMusa-y3k
    @AishaMusa-y3k 9 місяців тому

    Kupitia dua hii Allah nifanyie wepesi ktk kila zito lang

  • @sabrajuma1116
    @sabrajuma1116 Рік тому +1

    Mashallah very good

  • @mariamadi9172
    @mariamadi9172 Рік тому

    Shukrani jazzakkalaah Airaq

  • @tumuabdallah9663
    @tumuabdallah9663 2 роки тому

    Mashaallah Allah anijaaliye wepes maan usiku ninamitihan mizito hatakulala silali wallah

  • @mwanashahassan5722
    @mwanashahassan5722 2 роки тому

    ما شاء الله تبارك الله شكراً كوا أوز والله توتابون

  • @naimatupo2920
    @naimatupo2920 3 роки тому

    Mashaallah. Dua hii mwili wote unatetemeka

    • @jaffaryaliy1663
      @jaffaryaliy1663 3 роки тому

      Ndio maana harisi ya ruqyah Inshaallah Allah atuondolee maradhi tunayoyajua na tusiyoyajua na vitimbi vya majini amiin

  • @mariammchombo75
    @mariammchombo75 Рік тому +1

    MashaAllah MashaAllah

  • @zainabuabdallah788
    @zainabuabdallah788 3 роки тому

    Maa shaa Allah Allah akujaze afya na salama Allah akulipe khery Allah atujaaliye mwisho mwema

  • @hawaramadhani4435
    @hawaramadhani4435 3 роки тому +3

    Mashallah

  • @Khadijah-ff3em
    @Khadijah-ff3em 3 місяці тому

    Yarab naomba uniondoshee maradhi Yote yaliokua kwenye mwil wng

  • @alishasaid6931
    @alishasaid6931 3 роки тому

    Mwenyezi. Mungu.akufanyie.wepesi.kaka.angu.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 роки тому +2

    Mashallah Allah

  • @ShuraKombo-nx4pl
    @ShuraKombo-nx4pl Рік тому

    Ewe Allah tujalie mwisho mwema waja wako

  • @fauziakitenge8061
    @fauziakitenge8061 2 роки тому +1

    Nina imani katika hili Inshaallah uchawi wote Utaondoka na hasad zote zitafutika

  • @jumaIddy-b9k
    @jumaIddy-b9k 6 місяців тому

    Alhamdu li llah

  • @meera_zanzibar_beauty96
    @meera_zanzibar_beauty96 2 роки тому

    Mashallah Shukran

  • @ZuuhRaniya-v7v
    @ZuuhRaniya-v7v 22 дні тому

    Ewe mwenyezi mungu kupitia duwa hii mponye mwanangu

  • @amirikarata1970
    @amirikarata1970 Рік тому

    ALLAH ATUPE WESI SOTE INNSHA ALLAH

  • @meezmaa2790
    @meezmaa2790 2 роки тому

    Inshallah Allah anifanyie wepes katika matatizo yangu

  • @wazirikassim3676
    @wazirikassim3676 Рік тому

    Jazakahu kher

  • @husseinmussa1597
    @husseinmussa1597 3 роки тому +3

    Masha Allah😭😭🙏🙏🤲🤲

  • @HalimaMasoud-sj6nc
    @HalimaMasoud-sj6nc 6 місяців тому

    Mola wangu nakuomba kupitia dua hii uniponye

  • @alphoncymatara5108
    @alphoncymatara5108 7 місяців тому

    Amiin 🤲

  • @KhalfanDotto
    @KhalfanDotto 2 місяці тому

    Manshalla

  • @yasinimbugi1721
    @yasinimbugi1721 9 місяців тому

    Quran ndio speech (kauli) pekee isiyobadilika, toka nimejifunza Kiarabu, Quran ndio Muujiza wa Muhammad (s.a.w). Ukiachana na Miujiza ya Kisayansi iliyofahamika, Lugha ya Quran ni Muujiza. Kwa kifupi hakuna Muarabu na Msomi atakayeweza kuleta Quran nyingine. Allah Akbar, Muweza wa Yote.Alhamdullilah, Hakuna mfano wake hata kiushair.