SHEIKH QASIM MAFUTA QASSIM AWAJIA JUU WANAOKATAA VIGAWANYO VYA TAWHIID

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 150

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 місяці тому +2

    Maashaallah. Shehe huyu nampenda kwaajiya Allah kasim. Mafuta Allah akuifadhi akupe Mwishomwema. ,,,,wanafki wanakuchukia kwasababu unajitolea kuelimishakwaajiliya Allah uwogopi. Allhamdulillah

  • @moussaabdallah-h4u
    @moussaabdallah-h4u 2 місяці тому +1

    BarakallAhu fiik Allah akuhifadh umeleweka vyakutosha

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 2 місяці тому +1

    Mwenye hii channel ni ndugu zake masufi maan naona anawaposity. Saanaaana

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502  2 місяці тому +1

      @@abbaspaziaog2188 Allah akuongoze Al akhy katika swaab maana hufahamu ulisemalo

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 2 місяці тому

      @@ibunjumuatv9502 mwenye macho haambiwi. Tazama

  • @Imrani-g9o
    @Imrani-g9o 2 місяці тому +1

    Imanipo mafungu 60 Iliyo ya juu zaidi ni kalma inayofuata ni ----- na yachini ni kuondoa ushia njiani hapo mtapata rubuu biya mbona ipo na uluhiya pia Allah MTUME swa alimulu mtoto mmoja ALLAH set Yuko wapi akasema juu hii nayo HAMUONI rububiya wanaijua hata ambao haja silimu afu uluhiya niya upekee wakuabudiwa kwake pekeyake na asmau waswifati ipo walillahil asmau l husna fadiu biha (na ALLAH anayo mjina mazuri basi muombeni kwa hayo majina) ndugu Zang majina 99 Yana sifa zake Allah HAMUONI wapi?

  • @abuuzahran9649
    @abuuzahran9649 2 місяці тому

    Shaitwani sahii Hana kazi ngumu Tena maana mawaziri wake wafanya kazi nzuri sana

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 місяці тому +1

      @@abuuzahran9649 angalia usije kuwa shetwani ww kuliko huyo umzaniaye

  • @JumaShundi-tn9pf
    @JumaShundi-tn9pf 2 місяці тому +2

    Masufi na mashia hamna tofauti katka aqida..

    • @darajanida
      @darajanida 2 місяці тому

      kama ilivo kwa mawahabi na mayahudi

    • @ZogoMtaani
      @ZogoMtaani 2 місяці тому

      Nani kagawanya ?
      Mtume amegawanya ?.
      Jee maswahaba waligawanya ?.
      Kisha katika ujinga mkubwa ni kusema mbona fiqhi imegawanywa ?.
      Tunawaambia fiqhi ni sehemu ya ijtihaad na lakini hakuna ijtihadi katika tauhid .
      Kuifananisha fiqhi na tauhid huo ni ujinga mkubwa sana

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 2 місяці тому

      @@ZogoMtaani
      Shirki imegawanyika au haigawanyiki?
      Unafiki umegawanyika au haugawanyiki?
      Mtume kagawanya?
      Maswahaba wamegawanya?
      Shirki na unafiki ni mambo ya fiqhi yanayofaa Ijtihaad ndani yake? au ni mambo ya Aqiydah?
      Tunaomba majibu ya kielimu tafadhali

    • @ZogoMtaani
      @ZogoMtaani 2 місяці тому

      @@SonofJacol-t6h
      Naaam shirki imegawanyika na imegawanywa na mtume .
      Jee unataka ushahidi ?.
      Basi kama unataka ushahidi ni huu :
      أخوف ما أخاف عليكم الشرك الأصغرفسئل عنه فقال: الرياء .
      Upoooooooo???.
      Haya lete ushahidi wa kugawanyika tauhid kwenye qur'an na sunnah .
      Umeona ?.
      Tafauti ?.
      Kitu ambacho mashekhe zako wameshindwa kukielewa ni kwamba kila kitu kinakubali kugawanyika ila mola peke yake bali kila kitu kinamgawanyo ila mola peje yake .
      Anae fahamu hapo hawezi kumgawanya mola kama wanavyo fanya mawahabi
      Kutu ambacho kimekushinda bali kimewashinda hata mashekhe wako ni kufahamu kua shirki yenyewe imejengeka juu ya msingi wa mgawanyo kwani shirki ni kuamini uwepo wa miungu zaudi ya mmoja .
      Upoooooooo?.
      Mleteni bachu hapa na nakuhakikishia atapata views nyingi kwa sababu hataamini kabisa atakavyo fundishwa tawheed .
      LA MSINGI JEE UMEONA VIPI MTUME ALIVYO GAWANYA SHIRKI ?.
      UKIJA NJOO KI ILMU .

  • @AliKhamiss-r5k
    @AliKhamiss-r5k 2 місяці тому +1

    Mm nawanasihi ndug zangu waislam kila mtu akamate alposom ndio tutafnkiw tukiwafata hawa wakosoaji wa kil jambo bc hatufiki pahal yn kil ukifunguwa mtandao ni mazogo mtindo mmoj at cjw tunaelekea wp jmn😢😢😢

  • @mpogonm5203
    @mpogonm5203 2 місяці тому +5

    Asiekuelewa ww mafuta basii alazimishwiii

    • @TaqwaOnline12
      @TaqwaOnline12 2 місяці тому

      Tunamuelew kichaaa wa mitandao na

  • @SonofJacol-t6h
    @SonofJacol-t6h 2 місяці тому +3

    Sunnah pia imegawanyika katika vigawanyo vikuu vitatu, sijui mnalijua hilo?
    Zingatia: Sunnah ni Mwenendo wa Mtume wetu Muhammad ﷺ
    Tawheed ni Kumpwwkesha Allah katika yale yanayomuhusu Yeye Peke yake.

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 місяці тому

      @@SonofJacol-t6h naam qauliyya. Feiliyya na taqririyatun

  • @SaleheGopari
    @SaleheGopari 2 місяці тому

    Kagawa nan

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 2 місяці тому

    Usibweke wala usilie mlio wangurue toa dalili katika qur an nasunnah wapi kuna tauhid3

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 2 місяці тому +1

    Wallahi Billahi Tallahi kuwa Wahabi ni mtihani mkubwa na ni janga katika umma huu wa kiislam Hawa majuha mawahabi ndio wanaoufanya uislam kuwa na dosar kwa fikra na mafundisho yao ni kuurudisha nyuma uislam na baadhi ya jamii kuuona uislam ni mgumu kumbe uislam ni mwepes sana na mambo yake yote ni mazur lakin hili pote la kiwahabi wana lao moyon lakin Allah anawasikia pia ana waona matendo yao na itikad zao

    • @AbubakarAlly-th6op
      @AbubakarAlly-th6op 2 місяці тому +1

      Laiti ungekuwa Na akiri timamu usingesema hivyo

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 місяці тому

      Huo uwahabi ndio msimamo wetu.bado tuko palepale kwa mujibu wa aya iliomo ktk suratul mariam je nimambo mangapi mja yafaa kumfanyia Allah tajeni muache kujiko roga na tanakudh zaki jinga othma maalim kashaa kubali mpaka kazitaja bado nyie maamuma jibuni mawahabi wana subiri😂

    • @darajanida
      @darajanida 2 місяці тому

      ​@@IsmailGavara-r5s shekh othoman maalimu sio hoja nakasema mwenyewe tunataka dalili wapi mtume kagawanya tauhid

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 місяці тому

      @darajanida sisi tumfanyi yeye kua hoja skiza kwa makini bali twa simamisha hoja kwa kauli alio itoa kwamba tawheed ni tatu sio yeye kama yy. Nyinyi maamuma ndio bado hamjaelewa

    • @JumaJumajohnmbogo
      @JumaJumajohnmbogo 2 місяці тому

      Ila nyinyi na uganga wenu amuhalibu die

  • @SaidMaida-g6z
    @SaidMaida-g6z 2 місяці тому

    Nyie mnaotukana hiyo ni iimaan au ushetwaan

  • @khamisali5942
    @khamisali5942 2 місяці тому +2

    Hivi ndivo inavotakiwa watu wa sunna kutiana nguvu tofauti zetu tubaki nazo wenyew ikitokea kma hivi tunashirikiana tunawatwanga watu wabidaaa

    • @darajanida
      @darajanida 2 місяці тому

      wewe kama ni answari suna hao masalaf wew wanakuzingatia kama nani kama si hizibi sisitunachojuwa nyinyi ni makhawarij uwe salafi uwe answari wahabi yoyote ana sifa za kikhawariji

    • @khamisali5942
      @khamisali5942 2 місяці тому +2

      @darajanida hahaha usikasirike basi hapa elimu makasiriko hapa sio pahala pake

    • @darajanida
      @darajanida 2 місяці тому

      sio kukasirika wewe unajipendekeza kwa watu wanaokutowa katika sunnah inakuwaje

    • @darajanida
      @darajanida 2 місяці тому

      @@khamisali5942 nikasirike kwa kitu gani wewe tatizo unajipendekeza kwa watu wanaokutowa katika suna

    • @khamisali5942
      @khamisali5942 2 місяці тому +1

      @@darajanida sisi sote ni waislam hatupaswi kukasirikiana wao kama wana mtazamo huo bas sisi hatuko ivo sis tunawapenda hata km wao hawatupendi na haya ndio mafundisho sisi sote ni watu wa sunna hata kama watatutoa sio wao alie watia kwenye sunna ni nani kwaiy usiw na hasira haya mambo yanataka elimu

  • @chinammasai9967
    @chinammasai9967 Місяць тому

    Hii ni akili ya ajabu sana Yan maulidi hayafai kwa sababu hakufanya Mtume lkn tauhiid 3 zinafaa ingawa hakuleta Mtume!

  • @MossiKocha
    @MossiKocha 2 місяці тому

    Acheni kupindisha dini

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 2 місяці тому

    Kwanini tawhid isigawantwe mara 99

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 2 місяці тому

    Toeni dalili yatauhid3 acheni porojo

  • @MauroZaratte-r4r
    @MauroZaratte-r4r 2 місяці тому

    Al mayahudi 😂😂wanashida mawahabi

  • @shaphishaphi6782
    @shaphishaphi6782 2 місяці тому +1

    Kwaivyo munagawa nyie sio mtume wala ma swahabaa ,, basi kama munagawa nyinyi mawahabi huo ni upumbavuu sisi tunataka agawe mtumee na sio nyinyi mawahabi

  • @adinanisaidi777
    @adinanisaidi777 2 місяці тому

    Kwahiyo mtume hakuwa mfafanuzi?

    • @SadickMussa-g6h
      @SadickMussa-g6h 2 місяці тому

      Acha ujahili we soma kwanza

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 місяці тому +1

      Kwani kilichofafanuliw na Wanazuoni ni Tawhid tu mbina vipo vingi vilivyo fafanuliw na Wanazuoni na hamsemi kuwa ni bida'a mfano vigawànyo vya talaka ni wapi Mtume aligawa,ni wapi mtume aligawa nguzo za swala? Ni wapi mtume aligawa nguzo za Uislamu?

  • @BakariBinuri
    @BakariBinuri 2 місяці тому

    Hata kafiri anakili uumbaji lakini kuabudiwa allah ndio shida

  • @adinanisaidi777
    @adinanisaidi777 2 місяці тому

    Kenge mkubwa leo mwakubali?

  • @Mohamedi.12
    @Mohamedi.12 2 місяці тому

    mtu anayekufa bila kumtambua Imāmu wa zama zake amekufa kifo cha ujinga kabisa Alhamdulillah Rabbil-alaamini nimekuwa Ahmadiyya

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502  2 місяці тому +1

      @@Mohamedi.12 Allah akuongoe katika njia sahihi

    • @Mohamedi.12
      @Mohamedi.12 2 місяці тому

      @ibunjumuatv9502 Naam katika ISLAM Ahmadiyya na si kwengineko .Mungu Amewaahidi waaminio na wanaofanya vitendo vizuri katika dunia hii ,atawafanya makhalifa....
      Alhamdulillah Rabbil-alaamini ni Jumuiya ya waislamu wa Ahmadiyya tu ndipo Ukhalifa upo .Huwezi kusikia migongano ya wanazuoni wa kiahmadiyya kama upande wenu huko ,mnatukanana kila kukicha na hakuna mtu anayeweza kuwagusa waahmadiyya

    • @ahmadsaid6118
      @ahmadsaid6118 2 місяці тому +1

      Duh
      Hadaaka llah

  • @MatumlaMatumla
    @MatumlaMatumla 2 місяці тому

    Kaa drasan mzee

    • @shawegally1367
      @shawegally1367 2 місяці тому

      Sasa jamang hapa shekh akae darsa lipi au wew ndo ukae darasan iv humwelew shekh hata kwa ufafanuz huwo make shekh apo anaongea elimu mwanzo mwisho hakuna porojo hapo shekh anatoa mifano mingi kwann usimwelew tyu kuliko kupinga hata mambo yenyew yapo waz bna

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 2 місяці тому

    HIKI KIJITI CHA TAUHID 3 MAWAHABI KIMEWAGANDA HAMUWEZI KUTOA UFAHAMU WA MASAHABA NA TABIINA KUONESHA UFAHAMU WA HIZO AYA MNAZOZITEGEMEA.

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 місяці тому

      Hapa shida nikuafunza walio zoea kuabudu makaburi nama sharifu jambo ambalo hawaja zoea kwani lini sufiyyah akajua tawheed??sasa hapa ni msiba hamjui tawheed vipi utaelewa zile taqsim ajabu sana nyie endeleeni kunywa mikojo na vikohozi vya masharifu feki hio ndio tawheed yenyu tuachieni tawheed 😂😂😂

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 2 місяці тому +2

    Wewe mzee wa kiwahabi wacha kupotosha watu wenye akili utawazuga na kukuelewa wasiojielewa, kama uko Makin na unakijua unachosema, jibu hili suali dogo tu, M. Mungu ametuma mitume na manabii 124,000 na kati ya hao akawateua mitume 25 imetajwa katika Quraan sasa tuambie ni mtume gani au nabii gani alifundisha tauhid 3 kama huna ushahid kwenye Quraan lete hata hadith ya uongo ili tuweze kukuelewa bas japo swahaba lete maelezo kuwa alianzisha tauhid 3 kinyume na hivyo, misimzulie Allah uongo pamoja na mtume wake, Mtume Muhammad amekufa uislamu umekamilika sasa munaongoza tauhid mbili badala ya moja subhannallah muogopen Allah iko siku mutaulizwa

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 місяці тому

      Bro wacha kutukana mashekhe huyo huyo hata babako mzazi ajafikia martaba yake yakielimu fanya adabu yako kuma wewe

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 2 місяці тому +1

      ​Nibwabwa hana hoja debe tupu haha kumbe inauma pumbavuuu mjinga anaeleweshwa na akaelewa ila mpumbuvu kumvumila nawewe unakuwa mpumbavu ,kwahiyo tuliza kichw hicho ukweli ndio Hana elmu mbele za wenye elmu kwani sikwakuwa tu amejipachika cheo anijiita baba wa fadhila na nyinyi vichwa mchunga mkamuaminisha kuwa ni baba wa fadhila ndio maana anijiona mkubwa na elmu kubwa .nikwenu ila chakukusaidi tu muulize alisoma wapi kabla hata yakwenda Saudia kukata vikanzu vifupi nakufundisha kujikweza na kujiona kana kwamba amebashiriwa peponi na nyinyi wafuasi wake mkalishwa upambuvu .

    • @TaqwaOnline12
      @TaqwaOnline12 2 місяці тому

      ​​@@IsmailGavara-r5sDuh wamtukan mwenzio kisa Mshenzi mmoja ambae anbwabwaji umavi mavii akiwa kajificha chooni😂😂😂😂na inshallah Atafia hukohuko chooni kwake akitunga tawhidi za dini yake ya uyahudi

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 місяці тому

      @TaqwaOnline12 ww ndio utafia huko huko kwa kuto jua mwenyez mungu yua abudiwa ktk njia ngapi..eti hakuna tawheed aina tatu ovyoo!!!!

    • @TaqwaOnline12
      @TaqwaOnline12 2 місяці тому

      @@IsmailGavara-r5s Sasa nitafia vipii wakati shehe wako mawaidha anatolea chooni

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 місяці тому +3

    Masufi akili hawana ilmu ya tahweed , ndiomana wana yaendea makaburi kuwaomba mayte, wana uchache wa ilmu ya kujuwa maana ya bidaa ndiomana wanatumbukia kwenye shirki.

    • @darajanida
      @darajanida 2 місяці тому +1

      lete ushahid kuwa masufi wanaomba maiti

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 місяці тому

      @darajanida ni video hapa zaidi ya moja wanasujudia makaburi, wanayaomba msaada na kulia pale, wanasujudia kabisa kwani ulimwengu wa saivi una siri utafanya kitu watu wasikidukue mtandaoni, ipo wanaabudu

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 2 місяці тому +1

      Huyo kasimu mafuta ashajipa cheo Tyr kuwa baba wa fadhila kwahiyo Tyr ninyie wote mnaomsikiliza vinywaa vyenu vimejaa kibri matusi.unadhani mola atawaacha kwa kuweka mbele pazia la dini kumbe nyumaaa dunia.mawahabi ni mtihani kwanza huyu mnajisifia nikitoto katika elmu za wenye elmu na yeye anajua hilo fika shida ameshajipachika pahala pasipo pake na wale majuha wezake kama nyinyi mahabi basi mwamfuata na unajiona kana kwamba pepo ya mungu mumeshabashiriwa ilhali hakuna lolote ndugu zangu acheni kufuata Hawa na ushabiki wa dini kama mpira .na dini inahitaji hoja sio porojo mawahabi someni huyu katokea tamta kasomeshwa baada kupata mawili matatu akaenda huko Saudia aliporudi anajiona amesoma na ana elmu ya kutwa kutukana mh msiba kweli mola atuongoze ila mawahabi mtihani mkubwa mno

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg 2 місяці тому

      Makafiri ndio wenye tauhid3 waislam ni1tu لا اله إلا الله محمد رسول الله

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg 2 місяці тому

      ​@@AbdulIssa-o7endomaana munababaisha hamna dalili

  • @MossiKocha
    @MossiKocha 2 місяці тому

    mm nilimuona anaongea haki na wala hapendelei kumbe na yeye analinda msimamo wake hangalii dini inasemaje.kitu cha kweli kuigawa tawhid katika vigawanyo 3 ni bid'aa angalia kitabu kinachoitwa (التنديل ممن عدد التوحيد) ukurasa nambar 6 utaona kwamba hiyo ni bid'aa

  • @ZimamMbaruk
    @ZimamMbaruk 2 місяці тому +2

    Tunacho taka utwambie sisi Vigawanyi hivi Mtume na Maswahaba walivifundisha wapi? Shekhe wako Taimiya na Mtume Muhammad ninani mjuzi zaidi, Tunacho taka utwambie vigawanyo hivyo ni Bidaa, au Sibidaa? kwasababu Mtume na Maswahaba hawakugawa,, Si bidaa kwanini na Mtume hakufanya,, Acheni unafiki kuweni wakweli, Sisi hatuna shida saana nahilo, Msingi wa mada ni Bidaa au sibidaa?

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 місяці тому

      Mnaambiwa hio ni istimbaat najitihada za wana chuoni katika kugawanya ilmu. Na haambiwi mujtahid kazua maadamu amenyofoa ktk qurani na sunnah hio sio bid'ah kaeni mfunzwe bid'ah ni nn. Masalafi wana wauliza ktk suratul nisaa je nimambo mangapi mja yafaa kumfanyia Allah peke yake kwa mujibu wa aya hio mbona hamjibu ama ni kujitia uzuzu😂😂

    • @JafariMohamed-b6w
      @JafariMohamed-b6w 2 місяці тому

      kumbuka matusi yako utalipwaaaa kwan ukitumia elimu kuna shida gani? aw hayo aswalli ndio waonaa una akiiiiiliiiiiii kumbuka kila unachoandika na kukisema utalipwaaaaaaa

    • @JafariMohamed-b6w
      @JafariMohamed-b6w 2 місяці тому

      usalafi ndio haqq utake usitake wewe sufi mnashida gani kwani mbona ushaabik saanaa😢

    • @saidmohamed6543
      @saidmohamed6543 2 місяці тому

      Wew usiseme hivyo maulamaa wameweka ufafanuzi ili ufahamu misingi ya tawhid kama ilivyokatika sharti swala tatizo masufi hawaisomi tawhid na ndio chanzo cha bidaa wangesoma tawhid vizur wasingefanya bidaa za maulid za khitma na arobaini wala wasingemshirikina Allah

    • @JafariMohamed-b6w
      @JafariMohamed-b6w 2 місяці тому

      @@ZimamMbaruk huko kupinga kwenu Tawhiid ndio kumekupelekeen kuomba mizimwi na wafu mkapeleka ibada kwao ambayo nistahiki yake Allah pekee .Allah anauliza hivi ninan ambae anamjibu aliedhurika pale anapo omba na anamuondoshea madhara? sasa kwann wamekufa kama kweli wanamiliki kuondoa madhara wazizuilie nafsi zao na kifo kama niwakweli

  • @zakariaomari3840
    @zakariaomari3840 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 2 місяці тому

    Uamkapo asubuhi ww ni sufi baasi haitokufikia mchana utakua mwendawazimu. Mpumbavu

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 2 місяці тому

    Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
    je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
    ‎مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
    Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
    Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
    Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
    Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
    Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
    Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
    HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
    VERY SIMPLE
    na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
    naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502  2 місяці тому

      @@IbraFareed فاسئلوا أهل الذكر ان كنتم لا تعلمون

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 місяці тому +1

      @ si ndo mana nimeuliza ayo maswali
      Naomba nifundishwe

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 2 місяці тому

      ​@@IbraFareed
      Hawa hamna kitu janja janja tu

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 2 місяці тому

    Wakiulizwa kuhusu mailedi wanasema ingekuwa ni kheiri wangefanya mtume maswahaba na salaf

  • @azizaj776
    @azizaj776 2 місяці тому +1

    Heeeeee Tobaaaaaa Mafuta kawa shekh !!!!!!!!!! Toka lini ???????? Tobaaaaa Şaşa dini imewamiwa KWELI DHU !!!!!!

    • @jumajafar8710
      @jumajafar8710 2 місяці тому

      Ujinga huo unaosemq

    • @fahadnilham9875
      @fahadnilham9875 2 місяці тому

      Huyo shia asikuumize kichwa

    • @fahadnilham9875
      @fahadnilham9875 2 місяці тому

      Ww sh kasim unauliza km shk ww shia lazima ushtuke mana ndio fimbo yenu

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 2 місяці тому

      Hakuna. Anaekushangaa ujinga wako huo
      Maana mashia Huwa wanadhani kuwa ni waislamu mbaya zaidi wanahisi watu wote ni wajinga ispokua wao
      Usipate shida baba yako ndio shkh peke yake
      Na upuuzi wako huo

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 2 місяці тому

    Mawahabi ni mtihani mkubwa kwetu waislamu,na hili ni gonjwa letu na tujue namna ya kwenda nalo.
    1.wamesema kila kitu kipya ni bidaa,
    Je huu uchambuzi anaoufanya ulifanywa na Mtume wetu?na ikitokea mwingine akazichambua aya hizi na akaleta maono tofauti,itakuwaje?utamkataza?kwa dalili ipi?
    2.mbona maswahaba walizua?mfano:tarawehe 20
    3.mbona maswahaba walibadilisha sheria za Allah?nani aliwaruhusu?mfano:kuswali tarawehe jamaa,talaka tatu pamoja,aswalaatu kheirun minannaum n.k

    • @mujahidibnimrani3058
      @mujahidibnimrani3058 2 місяці тому

      Kasome dini ndugu yangu inaonekana dini baado upo mbali umeandika kwa matamanio

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui 2 місяці тому

    MAWAHABI NITAWI LAWA KATOLIK

    • @khamisali5942
      @khamisali5942 2 місяці тому

      Umetekwa kiakili we jitambue

    • @darajanida
      @darajanida 2 місяці тому

      ​@@khamisali5942wewe ndo umetekwa mtu anatetea kitu bila dalili wewe unakubali

  • @mpabhanigalubhirikiye6511
    @mpabhanigalubhirikiye6511 2 місяці тому

    Yani wapinga Bidaa ndio wanaotetea Bidaa afu Bidaa yenyewe ya kumgawa mungu 😂😂😂😂 waacheni na maulidi wafanye maulidi zao

  • @abdulkarimuomari3539
    @abdulkarimuomari3539 2 місяці тому

    Kama kweli kuna utatu kwanini Allah Alituliza ألست بركم kwanini asitaje zote tatu

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 2 місяці тому

    Ss ahlutwarika hatukatai kunabidaa mzur sasa nyinyi monaokstaa hakuna bidaa nzur hiyo taksim tauhidi aligawa mtume au wamegawa maswahaba

    • @mpogonm5203
      @mpogonm5203 2 місяці тому +1

      Soma dinii hauna baswra ktk dini hamujielewiii

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 2 місяці тому +2

      Ndugu jarib kuwa muelew kidogo vigao vya tawheed ni ktk ijtihad ya wanawazuon .....mwanachuon anavyofanya baath ya kielim akagundua kitu akiitw bidaa.......ni kama tu waliosema talaka ziko za aina mbil hakuna aya inayosema hvy

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 місяці тому +1

      Wazushi mnatusumbua sana kuwafahamisha watu hii dini sabu hamna ilmu ya kumjuwa allah

    • @darajanida
      @darajanida 2 місяці тому

      ​@@KhalfanMakota jitihad bila ya dalili

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 2 місяці тому

      @darajanida kwan dalil hakuna sheikh ukisikia ijtihad lzm kuwe na istighbant

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 2 місяці тому

    lina firw hili

    • @mengihashimu1081
      @mengihashimu1081 2 місяці тому +2

      Najiusia mm na kuku usia wewe ulie comment tusi hapo mche Allah

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 місяці тому +2

      Uislamu hauendeshw na mihemko na chuki ndgu uislamu unaendeshw na elimu ww unamtukan muislamu mwenzko then at nd unajiita Muislamu tambua kwamba kauli yko hiyo ya matusi uliomtukan Muislamu mwenzko utaend kulipa kwa Allah

    • @makamekhalfan5968
      @makamekhalfan5968 2 місяці тому

      @dulividuli5237 at bd im kuchom ee yy je anap sem wt wa kisufi makafir wt nan am fany kos zaid

    • @IsmailGavara-r5s
      @IsmailGavara-r5s 2 місяці тому

      Oya shoga uliacha kunyanduliwa rasa???😂😂kuma wewe

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 місяці тому +1

      Huwez kumwambia Muislamu mwenzako anafirwa ww wakat uthibitisho wa unayoyasema huna je unawez kwenda kuthibitisha kwa Allah hayo unayoyaongea?

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 2 місяці тому +1

    Lete dalili kurani na hadithi sasa mbona unaleta uluumi mbona nyinyi mkiambiwa ktk yale mnayo pinga ni uluumi hamtaki sasa mbona huna dalili unaleta mambo ya maulamaa kama huna dalili ya kugawa basi usilete maneno mengi hakuna kigawanyo ktk hadithi wa kuran hakuna kwahiyo usilete maneno kama nyinyi mnasema bidaa kila kitu kwakuwa mtume hakufanya ndio tunataka hiyo ya mtume

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 2 місяці тому

      Hawa bwabwa debe tupu Yana ukiwa na akili zakiwahabi ni sawa na Hawa kuku broila maana nakuwa hatari anaiona na anaisogelea wao ni watu kala taaala au rasuli Sasa Leo tauhidi inavigawanyo tupeni dalali kutoka Katka mnayoyadai siku zote waruka ruka ooh tunawakopi wanazuoni Sasa wanazuoni gani ilhali hoja zenu kubwa kutoka kwenye kitabu na sunah yaani Hawa kweli viazi ,ila tasfri yake nikuwa wanayasema wasioyajua na hao maimu wao pia hata ukiwasoma atujua kuwa Hawawaelewi kabisa mtihani huu ,wanazuoni wenyewe wajuzi wajuzi tu hapa ambazo hata kwenye Bora Karne hakuna hata mmoja Sasa mtihani utadhani wakati mwingine wana ugonjwa wa akili.

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 2 місяці тому

      Acha ushamba katika Dini
      Taqsiimu attauhiidi Allah mwenyewe NDIO kazitaja maeneo tofauti
      Kasome Aya tatu za Mwanzo za Suurat Anna's zimetajwa zote tatu kwa kila Aya na ziko aya tele ktk hilo
      Kisha tambua Asili ya ibada ni dalili
      Sio ujivumbilie ibada Yako wewe na mashekh wako Kisha utuombe dalili
      Wewe ndio unatakiwa kuleta dalili na ushahidi kwa kila ibada unayoifanya

  • @rekhanifaizi8746
    @rekhanifaizi8746 2 місяці тому

    Nivizuri mkiangalia dalili anazo toa sio kuangalia madhehebu kweli itakua kweli kila siku

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 2 місяці тому

    Hahahaha yahudiyan tawheed

    • @MuhammadMuhammad-v2b
      @MuhammadMuhammad-v2b 2 місяці тому

      Wahabi akubali kama imezuliwa tawhidi tatu atetea maswahaba pia walizua tarawehe talak tatu nk sisi suala letu munasema hakuna bid'aa nzur leo asema allaah akujalieni murud ktk msimamo ulio mzur

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 2 місяці тому

    MAWAHABIIIIII HATA HAWAJUI TOFAUTI YA KUGAWA NA KUFAFANUA.
    TAUHID IMEGAIGWA AU IMEFAFANULIWA????

    • @Dawah99
      @Dawah99 2 місяці тому

      Hawajui maulamaa akina abuu hanifa, imam ahmad ibn hanbal na wengineo. Lakini umejua wewe na yusuf diwani.
      Masufi ni punda wa mashia