КОМЕНТАРІ •

  • @abukassim5645
    @abukassim5645 20 днів тому +1

    Allah akupe siha na afya sheikh wetuu akufungulie bahari ya elimu upate kuongoza ummah

  • @KhadijaAlly-wf6wx
    @KhadijaAlly-wf6wx Місяць тому +1

    Subhanaallah Allah akuhifadhi nilikuchukiaga lkn asaiv Nakupenda kwaajili ya Allah

  • @yaasirjuma3309
    @yaasirjuma3309 Місяць тому +2

    ALLAH akuhifadhi sheykh wetu Abaal fadhi na akuzidishie Elim na qabuul

  • @badarbinthabit290
    @badarbinthabit290 Місяць тому +1

    Allah Akuhifadhi Abu Fadhil

  • @mdakij9303
    @mdakij9303 Місяць тому +1

    حفظك الله

  • @hafidhwajina6718
    @hafidhwajina6718 Місяць тому

    Ingekuwa darasa za dr islamu allah amkubali,wanafunzi wake wangejibu nawadhania hivo

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 Місяць тому

    Tatizo lako hna elimu ya kawaida lakn wajikweza sana kana kwamba hakuna masala yanayokishinda

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 Місяць тому

    Kwaiyo we ndio kama imam shafii sindio

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e Місяць тому +1

    Mimi nakuskiizaga na napenda mihadhara yako upo vzr lakini tattizo linalo kumaliza civ zako ni ule ujadida tuu, bhasi ila kiilmu upo vzr xana ukianzaga kutowa red card katika manhajji fulani msim sikilize so mtu wa sunnah hapo ndo nafunga masikio yangu lakini unapo watandika makhurafi masufi huwa nakukubali xana darsa zako shida yako mafuta ujadida tuuh!

    • @ShakimTyger-vw4ly
      @ShakimTyger-vw4ly Місяць тому +1

      Wendo jahidida hjielewi. Utapata wapi Sunnah Kam sio kwamasalafi. W mjinga katika dini

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e Місяць тому

      @@ShakimTyger-vw4ly ndo man hajji ya ahlsunnah hiyo kutukana huo ndo ujadida mttume akutukana watu katika dahawa yake na maswahaba hawakutukana shekhe salafi wa wapi ww watukana watu hamna hoja mnashika misimamo ya mashekhe zenu mnaile asili ya masufi shekhe kanena madamu kasema shekhe basi wengine hawafai

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e Місяць тому

      @@ShakimTyger-vw4ly hakuna sunnah ya kutukana watu ww na kuwatowa watu kwenye man hajji huo so mwendo wa saafu swalehe kutukana katika dahawa ndo tunasema huenda mkajuwa au hamjui maana ya ufahamu wa salafi mnadhani chama sijui

    • @atiqaly6567
      @atiqaly6567 28 днів тому

      @@user-yj5on8cz3endugu yangu Allah akuongoze zaidi, naona njia unaiona taratbu, mtume swallah Allahu alayhi wasallam aliwasema maswahaba zake ambao walienda kinyume na dini sana tu, hata maswahaba pia kma umar radhiya Allahu anhu kuna wengne amewakata vichwa, na usalafi si hvyo unavyodhania ww, nenda markaz uone watu wanavyosomeshwa. Wallahu aalam. Tuna fwata dini kwa quran na sunna kwa ufahamu wa masalaf. Na kma tukikosea tukoradhi kukosolewa na kma mtu akikosea tutamkosoa kwa mujibu wa quran na sunna. Au ulitaka tuache tu watu wafnye watakavyo tuwe kma wakristo na mayahudi.