@@mwendwangero2322 Jibu la uongo wa siku ya mwisho wa wa dunia kuwa ni 22/10/1844. Imefika au haijafika. Mathayo 24:36-44 Matendo ya Mitume 7:55-56. BWANA Yesu alikuwa mkono wa kuume wa Mungu miaka 1800 na zaidi kabla ya huu uongo.
@@mwendwangero2322 Ni kweli hoja nyingi hapo zinajibika. Changamoto kubwa ya sisi wasabato hatupendi midahalo kwasababu inafanyika kwa mabishano zaidi kuliko mjadala. Kwa mfano jamaa anasema sabato imeanza kwa waisrael walipokua utumwani. Lakini sabato ilikuwepo kabla ya waisrael katika kitabu cha mwanzo 2.
Yesu ni bwana wa sabato Marko 1:27,28,Yeye hakuja kuondoa torati wala sheria Matayo 5:17, Mitume waliendelea kutunza sabato Matendo 13:44...Sabato ni mojawapo wa amri kumi za Mungu na ukifunja moja umehukumiwa kwa yote Yakobo 2:10.Sabato ilikuako tangu uumbaji na muyahudi wa kwanza ni Ibrahimu aliyekuja baadaye baada ya uumbaji,hivyo basi Sabato iliumbwa kwa ajili ya mwanadamu na siyo kwa ajili ya wayaudi.🙏🙏
@samueltoo Na BWANA Yesu ndiye alitupa uwezo huu Mathayo 18:18-20 Hakuna Ukristo na kuhubiriwa kwake ni kazi bure kama Yesu asingefufuka siku ya kwanza ya juma. 1Wakorinto 15:14. Kuabudu katika siku ya kwanza ya juma unabii wake uko Kutoka 12:16 Dhehebu la sabato limeanzishwa katika msingi wa uongo wa tarehe ya mwisho wa dunia 22/10/1844. William Miller na Hellen White walikuwa na pepo la uongo. Maana Roho Mtakatifu hawezi kumuongoza mtu kusema uongo. Matthew 24:36-44 Matendo ya Mitume 1:4-5 Wapotoshaji hawa wakatafuta hila ya kusema ni makosa ya kutafsiri maono hiyo tarehe lilikuwa ni tendo la kuingia patakatifu pa patakatifu. Wasijue Stephano alisha ongozwa na Roho Mtakatifu miaka zaidi ya 1800 kabla na kusema haya... Matendo ya Mitume 7:55-58
@@Wamisangi Hasante mwalimu,nina hakika wewe ni mkristo ambaye hawezi kuua wala kusini hata hauwezi kuiba...jinsi vile amri ya Mungu inavyotuambia,Kwa nini basi Sabato inakua jambo la kukataliwa na iko katika amri kumi za Mungu kama yale mengine?
Marko 2:27-28 kama we ni mwanadam sabatho ilifanyika kwa ajili Yako ni wanyama isiyo wahusu tu ila kama we ni mwanadam huwez ikwepa, Yesu ni owner wa Sabatho huwez mufuata na ukatae kile alicho alichonacho.
@@amanibwire4423 Hata wanyama inawahusu kwa sababu Mungu mwenyewe alisema, kila kitu katika boma kipumzike! wanyama wa kazi wapumzike...kila mtu apate amani ya Bwana
Ninachowapendea wasabato wanahubiri Neno la Mungu. Ninakubaliana nao kwa sababu wanasema Sabato ilianza kabla ya kuwepo kwa taifa la waisraeli ama pia wayahudi. Wanaamini kuwa Biblia (Agano la kale na Agano Jipya) ni ujumbe kwa Mwanadamu. Wanamwamini Yesu, kwamba ni alikuja kutimiliza Torati lakini si kuifuta Torati. Ndiyo maana hawaamini dini ya Kiyahudi kwa sababu Wayahudi hawamwamini Yesu. Wanaamini pia kuwa Mwanadamu anaokolewa kwa Neema. Jamani hembu fuatilieni mafundisho yao katika Tv ya Hope Channel Tz hapo Kuna mafundisho wanayarusha live kutoka Kihesa kuanzia saa 11 hadi saa 1:30 jioni. Huenda tutawaelewa vema kuliko kusikiliza wengine wanavyowaongelea. Yaani hawana blaa blaa katika kuchambua Neno
Basi tunaomba bibilia ibandilishwe iseme vile mnataka. Kwa sababu. Hampingi kuhusu zaka na sadaka lakini kuhusu sabato na vyakula... Mungu aliiweka sabato yesu hangempinga baba yake
Danganya watu wa Mungu tu, mwenye watu wake anakuona. Mungu atusaidie sote ili atutoe upofu wa kiroho wa aina hii! Ngoja mtangaziwe kwanza amri ya kuabudu na ndipo utakapojua kuwa ulikuwa hujui
Dhehebu lililo simikwa kwenye msingi wa uongo wa siku ya mwisho ya dunia tarehe 22/10/1844. Uongo wa Hellen White na wenzake. Shetani ni muongo na baba wa huo. Dhehebu la shetani linalotumia biblia kama ambavyo shetani alivyo mjaribu Bwana Yesu kwa kutumia Neno la Mungu. Unabii wa siku ya kwanza ya juma uko wazi Kutoka 12:16. Hakuna Ukristo kama Bwana Yesu asingefufuka siku ya kwanza ya juma. 1Wakorintho 15:14. Dhehebu la shetani linapambana kufifisha siku Kifo na Kaburi vilipo shindwa.
@jumamustapha8254 Ni la Mungu wa Mbinguni na lilitolewa Unabii wake na Manabii wa Mungu tangu kale. Si kama lile jengine la maono/ndoto za mapangoni za majini na mapepo. Yeremia 31:31-34 Ezekieli 36:26-27 Waebrania 8:6-13 Jeremia 31:31
Kama unamkubali Kristo kwanini hutaki kuzishika amri zake kwa mujibu wa mafungu ulopewa hapo chini.? Hebu tuache unafki wa kiroho. Niwakati wa kumwabudu BABA katika roho na kweli.
If you are reading my comment, I pray that you may find the truth about God. The world has altered everything including the calendar and it continues to do so. May God the creator give you wisdom.
Sunday law,ina maana Siku ya Jua,Kuabudu mungu jua,hadi leo,wanaoabudu jumapili,wanafuata Papa Silvester, kutoka siku ya Jumamosi kwenda siku ya Kwanza Jumapili.Kamwe Yesu,hakuanzisha siku ya Jumapili kama siku ya ibada.Hivyo Ndugu Daniel,soma taratibu na kwa uhakika Mungu atakuokoa,kutoka Babeli kuja nuruni na Bwana akusaidie uione Nuru ya Bwana aliye hai.
This is a beast speach from Roma Chatholic and aghano kale na jipya zinafatilia kila binadaam Yesu kristo ni Mwana wa koondo ndo mungu arianzisha kwajili ya uwokovu wa kilabinaadam
Huu mchungaji bado haja soma biblia. Yesu ni mfalume wa sabato na ni mfalume wa wayahudi. ❤ N'a wayahudi walipo kuwa hawaja kuwepo,sabato tayari iri kuwepo. Asome kitabu cha mwanzo!! Na Yesu hakubadili sabato kamwe Bali Siku zote alipo kuwa duniani alitii sabato.
❤, Mtumishi hongera! Sana umefafanua vyema namshukuru ROHO MTAKATIFU wa Mungu, kunifikisha katika chanell hii maana nimepitia vifungu vingi sana kuanzia KUTOKA 20, na Luka 23 & 24, pia MATENDO YA MITUME 20:7 na ninepata jibu kuhusu sabatho ya kweli, ATUKUZWE MUNGU WETU, Mkuu wa Vyote atuonyeshaye na kutufundisha katika kweli yote kupitia njia mbalimbali ambazo yeye Mungu Hutuongoza katika kweli yote🙏
Ee! MUNGU wasaidie wasabato kuelewa kati ya: kuhesabiwa haki sheria na kuhesabiwa haki kwa Imani. Yaani mpaka leo bado mnaangalia jua, badala ya kumwangalia YESU! POLE SANA Mnatia huruma kwa vile hamyajui wala nyakati
Mungu ni mmoja kaka. Usabato, Uislam, Uroma, UKKKT, nk wote tunamtegemea yeye aliye mbinguni. Hakuna dini bora wala dhaifu ingawa nyie mlioweza kupata muda wa kusoma vitabu vya Mungu mnataka kutuchanganyia habari. Kazi njema
Baada ya Yesu kufufuka 👇Matendo 13:42 Na walipokuwa wakitoka, wakawasihi waambiwe maneno haya sabato ya pili. 43 Sinagogi ilipofumukana, Wayahudi na waongofu watauwa wengi wakashikamana na Paulo na Barnaba; ambao, wakisema nao, wakawatia moyo kudumu katika neema ya Mungu. 44 Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.
Ukiangalia uumbaji SABATO , ni ilisiku ya saba amabayo Bwana Aliibariki nakuitakasa ...English Sanctified... Alifanya iwe siku kuu... yaani HOLY DAY ...ndipo neno HOLIDAY ... Lilipotolea maana...
@@Shadiasemdami hujui chochote wewe.hujui hujui Acha.Sabato ilikuwepo na hii ndio kweliiii.Yesu kristo ndiye Bwana wa sabato.wasabato ni wakiristo.wewe hujuelewi
Waebrania 4:8-9 [8]Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadaye. [9]Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu. Ndugu pambana na imeandikwa!
Mwalimu naomba,muelewemambo haya Mimi msabato hapa baadaya ya kusoma bibilia na kungalia jinsi mungu aliumba Dunia nilipata haya 1.Mungu ni muumbaji 2.alito agizo liwe mwongozo wetu 3.alitupa sabato ishara ya mausiano yetu na yeye,ili tujue yeye ni muumbaji 4.Aliwakumbusha taifa teule Israeli kutosahau ishara hii( sabato). 5. Christo mwenyewe alikuwa msabato alifanya alitenda miujiza nyingi. 6. Paulo alifanya ibaada siku ya sabato Acts 13:42,,akatuandikia katika Hebrew 4:9, imesalia Raha ya sabato kwa watu wa mungu....naomba mchukue muda wenu msome bibilia vizuri..asome catechism ajue vizuri. Mtaelewa TU mara mtakapoongoswa na roho Dan 12:1-4....the wise Will understand!
Sabato ni agano la kale wanfuata iliokweli mimi ni muisilamu lakini shelia nyingi zakisabato nizakiisilamu ndiomana wanaojiita wakristo wengi zinawashinda
Swali langu ndogo katika amri kumi ni ipi iliyoondolewa tuache kukasilikia Saturday iliyo sabato na kama unaipinga nakushauri kapige sherehe kabisa juu uzima WA milele hauoni
Simulizi naona unamkubali sana Mwalimu Ndacha sematu kazi yako inakubana kua pande moja😂😂😂 Mungu akubariki Ndacha n Mwalimu wa kweli hao wengine bado tuwachunguze
unapaswa kujua kuwa sabato haikuwa kwa wayahudi. 1.sabato ilianza na Mungu mwenyewe alianzisha baada tu ya kumalizia kazi yake ya Uumbaji. siku ya Saba akastarehe akaibariki na kujitakasa ni kabla ya wayahudi. 2.sabato ni amri ya nne katika amri kumi. 3.sabato ni siku halisi yaani jumamosi Wala sio jumapili au ijumaa. 4.Bwana wa SABATO ni Yesu Kristo. yapo maelezo mengi ila kwa Leo nikomee hapo.
@DanielSamson-h4v Nasoma Biblia kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu si majini na mapepo kama Wiliam Miller na Hellen White walio danganya siku ya mwisho wa dunia ni tarehe 22/10/1844 ambayo hatujui inafika lini? 1Wakorintho 15:14 ikisomwa na Mathayo 18:18 Siku ya kwanza ya juma imefunguliwa kwa Funguo za Ufalme wa Mbinguni tulizopewa na BWANA Yesu. Na Yeye Mwenyewe alishinda Kifo na Kaburi Siku hiyo. Acheni kuwa na akili kama za wale waliotaka kumuua Gideon.
@@DanielSamson-h4vsiku ya 7 ni ipi? Soma pia agano jipya vzr kuhusu kuabudu! Halafu tuambie Yesu alipowajibu ,'mimi ndie Bwana wa sabato 'alimaanisha nn?
Kwa nini una mwelekeo wa kutukana? Kwamba anaongea pumba tupu? Halafu useme, Mungu akurehemu? Mbona wa kurehemiwa ni wewe maana huonyeshi uvumilivu. Hekima inakutaka kuwa kimya kutunza ulimi au siyo?
Ndio, Yesu alimega mkate siku ya pasaka usiku kabla hajakamatwa usiku huo na akaangikwa msalabani siku ya ijumaa. Na yeye mwenyewe akasema sitakunywa tema zao la mzabibu hadi nitakapokunywa pamoja nanyi mbinguni. Huyu mwalimu hapa anasema kinyume cha mambo.
Mwake mwa anapotosha ukweli wa kihistoria kanisa la kikatoliki lilipiga marufuku sabato mwaka 364 a.d na amri ya pili na pia Yesu hakusulibiwa siku ya Ijumaa bali siku ya Jumatano na kufufuka siku jumamosi
Yakobo 1:27 Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
@@AloyceNzilano-p4y Labda umejichanganya au umechanganyikiwa. SDA haijawahi kutoa unabii wa uongo labda umemaanisha Mashahidi was Yehova, Wapentekosti, na wengineo!
@@AloyceNzilano-p4y Labda umejichanganya au umechanganyikiwa. SDA haijawahi kutoa unabii wa uongo labda umemaanisha Mashahidi was Yehova, Wapentekosti, na wengineo
@@AloyceNzilano-p4y Labda umejichanganya au umechanganyikiwa. SDA haijawahi kutoa unabii wa uongo labda umemaanisha Mashahidi was Yehova, Wapentekosti, na wengineo
Huyu mwalimu anapungukiwa na kisomo. Hebu tumujulishe kuwa aliyebadilisha siku kutoka Jumamosi siku ya saba hadi Jumapili siku ya kwanza ya juma ni mfalme Constatini wa Rumi(Rome) wala si Yesu au wanafunzi wake. Ikiwa haamini asome historia kabla kuja hapa mtandaoni ma kuwapotosha watu. Katika katikasimu ya kikatoliki pia inataja vizuri sana kuhusu aliyebadili siku ya ibada. Anachohitaji huyu mwalimu ni masomo zaidi.
Huyu hajui hata historia, walioibadili sabato hukiri wao wenyewe, huyu Ni mchumia tumbo anatafta riziki kupitia trending za mibishano ya mihadhara kwa hivyo achana naye hutamuweza Ni mpumbavu
Wewe umepotea kubali ukweli uokolewe, hakuna mahari kwa bibilia Sunday is aday of worship.nakuhurumia sana.genesis 2:1-3 only God himself started the Sabbath
Sabato mliyonayo ninyi si ile aliyoianzisha Mungu, wala si ile ya Manabii katika Agano la Kale, bali mmejitengenezea ya kwenu yenye muundo wenu unaokinzana na sabato ya kale
Muongo wazi wazi. Hajui biblia. 1. Baada ya Yesu kufufuka. Mtume Paulo anasema, imesalia Raha ya Sabato kwa watu Mungu. Waebrania 4:9 2. Mitume walifanya ibada siku ya sabato. Matendo16 3. Yesu anasema Sabato imefanyika kwa ajili ya wanadamu 4. Yesu aliabidu siku ya Sabato 5. Siku ya bwana ya Ufunuo ni siku ya sabato 6. Agano lililoanza kua kuukuu na kuanza kutoweka ni agano la ondoleo la dhambi kwa kutumia wanyama, kifo cha Yesu ndo Agano jipya 7. Mkristo ni mfuasi wa kristo na anaemwamini Yesu, wasabato wanafanya hivyo 8. Hakuna andiko linalosema tusali siku ya kwanza ya juma yaani jumapili,wala Yesu hakusema popote wala kuanzisha siku ya jumapili.
Hakuna kitu kinacho itwa agano jipya huo ni uzushi wa Kalam za wapotoshaji, upo sahihi yesu hujui kitu Kama hiyo, ni upotosha wa poul na washirikina wengina
@@kamanapomo7029 duh basi ww inaonekana ni mbumbumbu maana hata vitabu vya manabii vinazungumzia kuwa mungu ataweka agano jipya na mwanadamu yaani huyo paulo hajazaliwa tayari manabii walishaongea tena sio nabii moja ni wengi tu
@@MasterTulo Bado huo ni utabiri, swali bado lipo pale pale agano jipya limetoka wapi na limeandikwa na nani? na ni Nabii yupi aliekuja na agano jipya?
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa ufafanuzi wako huu nzuri kuhusu siku ya 7 ambayo ndo sabato na siku ya 1 ya juma ambayo ndoo jumapili,ubarikiwe sana kabisa
Niliwahi kuwa msabato vikanishinda mambo sikuyaelewa kabisa nikirudi kwa ukristo tu Wasabato wanachoamini na wakristo wanachoamini siku ya mwisho MUNGU tu ndiye atatoa hukumu ya kweli 🙌🙌
@@peterleonard1441 Sawa niko tayari ku-debate na wewe mpaka umenionesha HICHO unachodai ni “UKWELI” wa hawa wajanja wa UA-cam. Ni ukweli gani ulioumaanisha bro? Karibu
@@Enockbeckbrown-hf6xx Hakuna Imani ya wasabato, Wala wakatoliki Wala waangilikana Wala waludhelani... Ila Kuna Imani Kati ya Mwanadamu na Mungu wake. Badilisha mtazamo wako Kama unaishi hivyo ushapotea tayari.... Waebrania 11 itakuelewesha vizuri juu ya maana ya Imani..... Hacha kufananisha Mira na desturi na Imani
@@mathiasmichael9915 kuna imani MOJA ya kweli. Zingine ni potofu. Mfano ni wewe mwenyewe. Unaamini kuwa huyu jamaa anayelichafua kanisa la Waadventista wa Sabato amepata kibali mbele za Mungu, unaamini kwamba ni mtumishi wa Mungu ilhali ni wakala wa Shetani. Hii ni imani MOJA? La hasha.
Sabato ni aina ya sadaka ya siku ambayo Mungu alipumzika baada ya uumbaji kilichotendeka ndani ya hio sadaka ya siku ni kuifanya siku ya saba kuwa takatifu kwahio ilitengwa kwa kusudi maalumu la Mungu mwenyewe, Mungu alipenda wanadamu kuifuata sheria hio kiroho. Panua ufahamu kuelewa baada ya hapo kila kilichotengwa kikatakaswa kinabeba sifa ya sabato mfano sadaka iliyotakaswa inaweza kuitwa sabato, Yesu akasema mimi ndiye Bwana wa sabato hakuwa anazungumzia siku ya sabato alimaanisha kati ya vyote vilivyotakaswa kama sabato mimi ndiye mkuu wa sabato zote maana yake utakaso wake ni juu ya takaso zote. Hapa ni swala la ufahamu dini na kuabudu havihusiani na tafsiri ya Neno Sabato KIROHO, Kuwepo kwa wasabato maana yake waliotengwa na kutakaswa kwa kusudi maalumu la Mungu kwahio ili msabato awe msabato inampasa kulielewa na kuliishi kusudi la kutakaswa kwa sabato asipolielewa usabato kwake ni bure na walio nje ya kusudi la sabato ya Kristo hao ni waasi wa sheria ya sabato. Kwahio kuwa msabato ni lazima kwasababu ni sheria ya Mungu mwenyewe. Kwahio ukiitafsiri sabato KITHIOLOGIA utakwama. Mwenye kuelewa ni mwenye Roho wa Mungu mwenyezi.
MATHEW 5;17. THINK NOT THAT I COME TO DESTROY THE LAW,OR THE PROPHETS..BUT TO FULFILL.HATA TONE MIJA KATIKA SHERIA NA TORATI HALITAONDOLEWA MPAKA YATIMIE,KWA HIVYO ATAKAYE VUNJA AMRI KUMI ATAITWA MDOGO KWENYE UFALME.
“And they worshipped the dragon which gave power unto the beast: and they worshipped the beast, saying, Who is like unto the beast? who is able to make war with him?” - Revelation 13:4 (KJV)
Barikiwa mchungaji Daniel, ni kweli YESU KRSTO alileta wokovu na wala sio dini, dini ni kaburi la kumpeeka mtu jehanamu, yohana 1:12 , siku ya jumapili ni siku ya ushindi ya kufufuka kwa BWANA wetu YESU KRISTO, ndiyo sabu tunaenda kanisani , na tuliokoka ni wafuasi wa YESU KRISTO , na YESU kwetu ni MUNGU yohana 1:1-3, na kwa JINA la KRISTO YESU tunatoa mapepo, Na DAMU ya YESU inatutakasa inatusafisha tunapotubu
omba Mungu urejee kwa ibada ya kweli kabla mlango wa rehema haujafungwa tutakuombea kwa ajili ya ubaya na hila za shetani but is your choice kupotea nakupoteza wasio na neno la MUNGU au kurejea kwenye kweli
Marko 2:28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia. Marko 6:2 Na ilipokuwa sabato, alianza kufundisha katika sinagogi; wengi waliposikia wakashangaa, wakisema, Huyu ameyapata wapi haya? Na, Ni hekima gani hii aliyopewa huyu? Na, Ni nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake? Luka 4:16 Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome. Swali: tuwambie hapo Yesu hakuwa msabato? Kama hakuwa Kwa nn biblia inasema akaaingia hekaluni kama ilivyokuwa desturi.
@@Kuminamoja1995 Ha ha haaaaaa! Weee kiboko ila mambo ya P dd usiyafuatilie maana muda umekwsha sasahv ulizia na fuatilia kujua hbr za uflme wa mbnguni maana muda umekwsha, c umeskia vta ya Israel na palestina na kuondolew waislam ktk mskit wa AlAqsa? hii ndy ishara ya mwsho kbisa itakayotamatisha kpnd cha neema!
Quran haijawai kuongea neno litakalo tokea bali yaliokuepo, ni adithi tu. Mambo yote yalio andikwa ndani ya biblia yanaendelea kutokea. Kwa mfano kubadili majira, siku ya kuabudu, manabii wa uongo...
@@machindafadhili3186 hadithi za mtume tunazo nyingi na dalili alizosema karibu zote zimetokea kwa mfano, vita vya Palestine, ushoga, vijana kukufa pre -mature deaths, magolafa yatajengwa, pombe, zinaaa, wanawake kutembea uchi, mitetemsho ya ardhi, e tc. Kama haijatokea sema ni uwongo..
Wasabato Hapa ndipo tuelewe kua mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache. Tusimchukie wala kumshambulia bali tumuombe Mungu atusaidie kuwaelewesha kwa upendo, kazi ya uongofu ni ya Mungu mwenyewe.
Was abanto wanashika amri za Mungu na imani ya Yesu, sabato nayo ilikueko tangu mwanzo ikasaulika, sababu ya kua utumua. Tena Yesu hajawahi badilisha sabato! Sabato kabarikiwa, katakana, ikapewa wanadamu waitunze kwa kutii Mungu.
😢Kwani Yesu alibadilika ndio sabato ifutiliwe mbali? Bibilia inasema vizuri kuwa sikuja kutupilia Sheria ya Musa ila ndio inatuelekeza. Sabato ni ya Mungu tokea shamba la edeni ndugu yangu Kwa hivo ilianza kabla hao wayaudi na Mungu hajawahi badilika
Muandaaji wa Kipindi Naomba utafute Msabato Mmoja Kujibu hizi hoja ili Tuupate ukweli Wake. Huyu hata Mimi na Mumudu niite tafadhali 😂😂😂
@@mwendwangero2322 Waalimu wa Wasabato inakuwa ngumu kuwapata, namsubiri Mwalimu Ndacha au kama nitampata yeyote Tz, atatusaidia
@@mwendwangero2322
Jibu la uongo wa siku ya mwisho wa wa dunia kuwa ni 22/10/1844. Imefika au haijafika.
Mathayo 24:36-44
Matendo ya Mitume 7:55-56. BWANA Yesu alikuwa mkono wa kuume wa Mungu miaka 1800 na zaidi kabla ya huu uongo.
@@mwendwangero2322 Ni kweli hoja nyingi hapo zinajibika. Changamoto kubwa ya sisi wasabato hatupendi midahalo kwasababu inafanyika kwa mabishano zaidi kuliko mjadala. Kwa mfano jamaa anasema sabato imeanza kwa waisrael walipokua utumwani. Lakini sabato ilikuwepo kabla ya waisrael katika kitabu cha mwanzo 2.
Ww mwenyewe kasome Biblia vzur ujifunze ww kwanza au nitafute mm nikufundshe vzur au mfatie mwl Mwakasege atakusaidia.
Saasa wewe???, ni mkristo au dini yako ipi, unapinga hata BIBILIA, yenyewe,, je wewe?, ni mpinga kristo???
Yesu ni bwana wa sabato Marko 1:27,28,Yeye hakuja kuondoa torati wala sheria Matayo 5:17, Mitume waliendelea kutunza sabato Matendo 13:44...Sabato ni mojawapo wa amri kumi za Mungu na ukifunja moja umehukumiwa kwa yote Yakobo 2:10.Sabato ilikuako tangu uumbaji na muyahudi wa kwanza ni Ibrahimu aliyekuja baadaye baada ya uumbaji,hivyo basi Sabato iliumbwa kwa ajili ya mwanadamu na siyo kwa ajili ya wayaudi.🙏🙏
@samueltoo
Na BWANA Yesu ndiye alitupa uwezo huu Mathayo 18:18-20
Hakuna Ukristo na kuhubiriwa kwake ni kazi bure kama Yesu asingefufuka siku ya kwanza ya juma.
1Wakorinto 15:14.
Kuabudu katika siku ya kwanza ya juma unabii wake uko Kutoka 12:16
Dhehebu la sabato limeanzishwa katika msingi wa uongo wa tarehe ya mwisho wa dunia 22/10/1844. William Miller na Hellen White walikuwa na pepo la uongo. Maana Roho Mtakatifu hawezi kumuongoza mtu kusema uongo.
Matthew 24:36-44
Matendo ya Mitume 1:4-5
Wapotoshaji hawa wakatafuta hila ya kusema ni makosa ya kutafsiri maono hiyo tarehe lilikuwa ni tendo la kuingia patakatifu pa patakatifu. Wasijue Stephano alisha ongozwa na Roho Mtakatifu miaka zaidi ya 1800 kabla na kusema haya... Matendo ya Mitume 7:55-58
@@Wamisangi Hasante mwalimu,nina hakika wewe ni mkristo ambaye hawezi kuua wala kusini hata hauwezi kuiba...jinsi vile amri ya Mungu inavyotuambia,Kwa nini basi Sabato inakua jambo la kukataliwa na iko katika amri kumi za Mungu kama yale mengine?
@@samueltoo
Sabato ni nini?
Mark 2:27-28
Wakolosai 2:16
Marko 2:27-28 kama we ni mwanadam sabatho ilifanyika kwa ajili Yako ni wanyama isiyo wahusu tu ila kama we ni mwanadam huwez ikwepa, Yesu ni owner wa Sabatho huwez mufuata na ukatae kile alicho alichonacho.
@@amanibwire4423 Hata wanyama inawahusu kwa sababu Mungu mwenyewe alisema, kila kitu katika boma kipumzike! wanyama wa kazi wapumzike...kila mtu apate amani ya Bwana
Hongera sana mtumshi mungu akubariki🙏🏾🙏. Sabato acheni ubishi👈👈.
Sabbath sia wayaudi ni a Mungu mwenyee ariazisha bustani mwazo yee alufa na omega Roho wa Mungu akunongonezee ujue neno ra Mungu
Kuna uongo mwingi katika haya mnayoita ukweli, mimi sio msabato lakini hii sio kweli
Hakika
Tuambie huo ukweli
Soma historia ya Helen G white,na aliyeanzisha sabato
Ubarikiwe sn Moses. Umeongea ukweli mtupu. Kuna uongo mwingi mno ktk haya madanganyo ya huyu wakala wa Sh***ni asiyejielewa!
Ule unabii uliokosewa wewe mwenyewe umeshasema hawa kuwa wasabato na ndo maana heleni G white white alirekebisha na kusema ni kuingia patakatifu
Ninachowapendea wasabato wanahubiri Neno la Mungu. Ninakubaliana nao kwa sababu wanasema Sabato ilianza kabla ya kuwepo kwa taifa la waisraeli ama pia wayahudi. Wanaamini kuwa Biblia (Agano la kale na Agano Jipya) ni ujumbe kwa Mwanadamu. Wanamwamini Yesu, kwamba ni alikuja kutimiliza Torati lakini si kuifuta Torati. Ndiyo maana hawaamini dini ya Kiyahudi kwa sababu Wayahudi hawamwamini Yesu. Wanaamini pia kuwa Mwanadamu anaokolewa kwa Neema. Jamani hembu fuatilieni mafundisho yao katika Tv ya Hope Channel Tz hapo Kuna mafundisho wanayarusha live kutoka Kihesa kuanzia saa 11 hadi saa 1:30 jioni. Huenda tutawaelewa vema kuliko kusikiliza wengine wanavyowaongelea. Yaani hawana blaa blaa katika kuchambua Neno
AMEN. AMEN.
uko sahihi sana
@@nicksonazizi1036 acha kudanganywa sabato lao ilianza muda gani wao walianza marekani Tena mwanamke ndiyo mwazilishi
Achakudanganya una one kana unajuaukweli iĺauna potosha huwezkuwapoteza watuwamungu wewe nipepo
@@audifansisafari5587 usiongee bila kuwa na evidence chunguza maandiko ndio upate la kusema
Basi tunaomba bibilia ibandilishwe iseme vile mnataka. Kwa sababu. Hampingi kuhusu zaka na sadaka lakini kuhusu sabato na vyakula... Mungu aliiweka sabato yesu hangempinga baba yake
Danganya watu wa Mungu tu, mwenye watu wake anakuona. Mungu atusaidie sote ili atutoe upofu wa kiroho wa aina hii! Ngoja mtangaziwe kwanza amri ya kuabudu na ndipo utakapojua kuwa ulikuwa hujui
ndugu,
"tokeni kwake enyi watu wangu wala msishiriki maovu yake"
Dhehebu lililo simikwa kwenye msingi wa uongo wa siku ya mwisho ya dunia tarehe 22/10/1844. Uongo wa Hellen White na wenzake.
Shetani ni muongo na baba wa huo. Dhehebu la shetani linalotumia biblia kama ambavyo shetani alivyo mjaribu Bwana Yesu kwa kutumia Neno la Mungu.
Unabii wa siku ya kwanza ya juma uko wazi Kutoka 12:16.
Hakuna Ukristo kama Bwana Yesu asingefufuka siku ya kwanza ya juma. 1Wakorintho 15:14.
Dhehebu la shetani linapambana kufifisha siku Kifo na Kaburi vilipo shindwa.
Agano jipya ni la nani.
@jumamustapha8254
Ni la Mungu wa Mbinguni na lilitolewa Unabii wake na Manabii wa Mungu tangu kale. Si kama lile jengine la maono/ndoto za mapangoni za majini na mapepo.
Yeremia 31:31-34
Ezekieli 36:26-27
Waebrania 8:6-13
Jeremia 31:31
@@DanielSamson-h4vpeke yako toka
Hatuokolewi kwakuishika sabato ila kwakumkubali yesu kristo kuwa BWA ❤na mwokozi wa maisha yako, yatosha
Soma yohana 14:15-20
Yohana 14:15-25
Kama unamkubali Kristo kwanini hutaki kuzishika amri zake kwa mujibu wa mafungu ulopewa hapo chini.?
Hebu tuache unafki wa kiroho. Niwakati wa kumwabudu BABA katika roho na kweli.
Unaamini hukumu ipo siku ya mwisho!?
@@mabenaluca6824 Ndyo naamini.
If you are reading my comment, I pray that you may find the truth about God. The world has altered everything including the calendar and it continues to do so. May God the creator give you wisdom.
Aksanti saaaana mtumishi wangu.kwakunielewesha.tayari unibatize.sabato si ya wakristo ni kweli kabisa
Utajitambuwa wewe mwenyewe bila kusoma Bibliya ni bule hautaelewa maongo za wa cungaji siozawabibliya
@@ICIRORETV-v9x wamoja hao
Mungu akusaidie ukupatie macho ya liroho😮 🎉
Wewe unapoteza watu Wa Mungu soma biblia vizuri.kuhusu sabato soma mwanzo 2:2-3.Exdous 20:8,Mark 2:23-27 omba Mungu akupe roho mtakatifu aweze kukuongoza uweze kuelewa Maandiko matakatifu.
Ndugu, nimefuhi, kwa ukweli huu umeanza kujua, lakini kuna ukweli zaidi ya hii ningependa ujue. Tafadhali ukipata nafasi unitafute.
Amina nimebalikiwa
Wewe mzeeee Mungu akurehemu hujui kitu uelewa wako nimdogo sana.
Sunday law,ina maana Siku ya Jua,Kuabudu mungu jua,hadi leo,wanaoabudu jumapili,wanafuata Papa Silvester, kutoka siku ya Jumamosi kwenda siku ya Kwanza Jumapili.Kamwe Yesu,hakuanzisha siku ya Jumapili kama siku ya ibada.Hivyo Ndugu Daniel,soma taratibu na kwa uhakika Mungu atakuokoa,kutoka Babeli kuja nuruni na Bwana akusaidie uione Nuru ya Bwana aliye hai.
Ukikataa angani lakale unakataa na umbaji wa Mungu pole sana mtumishi Mungu akusaidie
This is a beast speach from Roma Chatholic and aghano kale na jipya zinafatilia kila binadaam Yesu kristo ni Mwana wa koondo ndo mungu arianzisha kwajili ya uwokovu wa kilabinaadam
Hakuna point hapo,
Huu mchungaji bado haja soma biblia. Yesu ni mfalume wa sabato na ni mfalume wa wayahudi. ❤ N'a wayahudi walipo kuwa hawaja kuwepo,sabato tayari iri kuwepo. Asome kitabu cha mwanzo!! Na Yesu hakubadili sabato kamwe Bali Siku zote alipo kuwa duniani alitii sabato.
Mwalimu wa uongo. Zaburi 119:105,115,155 sabato iko miongoni, Yakobo 2:10-11
❤, Mtumishi hongera! Sana umefafanua vyema namshukuru ROHO MTAKATIFU wa Mungu, kunifikisha katika chanell hii maana nimepitia vifungu vingi sana kuanzia KUTOKA 20, na Luka 23 & 24, pia MATENDO YA MITUME 20:7 na ninepata jibu kuhusu sabatho ya kweli, ATUKUZWE MUNGU WETU, Mkuu wa Vyote atuonyeshaye na kutufundisha katika kweli yote kupitia njia mbalimbali ambazo yeye Mungu Hutuongoza katika kweli yote🙏
Usidanganyike na mafundisho ya huyu Daniel mwamkimwa anafundisha uongo
J.pili hivi karibun itatangazwa kisheria watu wote kuabudu ulimwenguni kote na ndiyo itakayoiongeza dunia
Yesu ni mkuu kuliko sabato. Yeye ndiye muhukumu wa yote.
Alıpokufa kwa siku 3 nani alikua muhukumu?
@@RubenMtuwaMungu-bz8ee he's the Lord of the Sabbath.
Asante Yesu ndio mwisho wa Sheria
Hawaelewi wasabato Bado wako kwenye sheria
Yah tupo kwenye Sheria na hatutaziacha kamwe tutazishika Hadi mbinguni@@christinewomanoffaith5479
Ee! MUNGU wasaidie wasabato kuelewa kati ya: kuhesabiwa haki sheria na kuhesabiwa haki kwa Imani. Yaani mpaka leo bado mnaangalia jua, badala ya kumwangalia YESU! POLE SANA Mnatia huruma kwa vile hamyajui wala nyakati
“The lips of the wise disperse knowledge: but the heart of the foolish doeth not so.”
- Proverbs 15:7 (KJV)
Hujui kama hujui.
Mungu ni mmoja kaka. Usabato, Uislam, Uroma, UKKKT, nk wote tunamtegemea yeye aliye mbinguni. Hakuna dini bora wala dhaifu ingawa nyie mlioweza kupata muda wa kusoma vitabu vya Mungu mnataka kutuchanganyia habari. Kazi njema
Baada ya Yesu kufufuka 👇Matendo 13:42 Na walipokuwa wakitoka, wakawasihi waambiwe maneno haya sabato ya pili. 43 Sinagogi ilipofumukana, Wayahudi na waongofu watauwa wengi wakashikamana na Paulo na Barnaba; ambao, wakisema nao, wakawatia moyo kudumu katika neema ya Mungu. 44 Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.
Waebrania 4:1-13
Hiyo unayo taafsiri kama sabato ya pili kwa Kingereza ni next Sabbath...kwa lugha ya kisasa sabato ijayo...Nini maana ya Sabato labda tuanzie hapo....
Ukiangalia uumbaji SABATO , ni ilisiku ya saba amabayo Bwana Aliibariki nakuitakasa ...English Sanctified... Alifanya iwe siku kuu... yaani HOLY DAY ...ndipo neno HOLIDAY ... Lilipotolea maana...
You are very wrong
@@AloyceNzilano-p4y then tell me where and tell me what's right...
Ubarikiwe. Pasatta
Huyo ni muhuni mmoja katumwa huyo Hana hoja blahblah
@@Shadiasemdami hujui chochote wewe.hujui hujui Acha.Sabato ilikuwepo na hii ndio kweliiii.Yesu kristo ndiye Bwana wa sabato.wasabato ni wakiristo.wewe hujuelewi
Mungu akusamehe tu kwakweli ila naamini iposiku utaujua ukweli
Ukweli huu tuambie sasa
Soma matendo 16:12-15... matendo 13:13-16....Luka 23:53-56....Isaya 58;2-14..
56:1-7.... Isaya 66:22-24....waebr4:1-14...
Mwalimu hujui unachoongea acha kucheza na watu ambao Yesu aliwafia utaulizwa
Ni mwalimu wa wapi. Mpotevu. Mungu akulehemu.
Wazi wazi seems...ushuhuda ninao pia Niko St Pölten Niederosterreich ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wewe ni mwalimu mzuri,wanaokutusi ni wale Tu waliomfukuza YESU Kwa masinagogi Yao ni kizazi hicho ila endelea kutoa elimu na ninakuombea,
Mungu akufumbue macho uone mbele mana wewe ni kipofu wa kiroho pia.
Waebrania 4:8-9
[8]Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadaye.
[9]Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.
Ndugu pambana na imeandikwa!
Mwalimu naomba,muelewemambo haya
Mimi msabato hapa baadaya ya kusoma bibilia na kungalia jinsi mungu aliumba Dunia nilipata haya
1.Mungu ni muumbaji
2.alito agizo liwe mwongozo wetu
3.alitupa sabato ishara ya mausiano yetu na yeye,ili tujue yeye ni muumbaji
4.Aliwakumbusha taifa teule Israeli kutosahau ishara hii( sabato).
5. Christo mwenyewe alikuwa msabato alifanya alitenda miujiza nyingi.
6. Paulo alifanya ibaada siku ya sabato Acts 13:42,,akatuandikia katika Hebrew 4:9, imesalia Raha ya sabato kwa watu wa mungu....naomba mchukue muda wenu msome bibilia vizuri..asome catechism ajue vizuri.
Mtaelewa TU mara mtakapoongoswa na roho
Dan 12:1-4....the wise Will understand!
YESU kama angekuwa msabato asingeshitakiwa kwa kuvunja sabato
Wewe si wa Mungu kabisaa, huongei yaliyo ya Mungu Bali ya shetani, ushindwe pamoja na huyo shetani wako
Amen
kweli huyu amepungua.sabato ni agano la milele na imesalia kwa watu wa mungu kama muhuri.
Sabato ni agano la kale wanfuata iliokweli mimi ni muisilamu lakini shelia nyingi zakisabato nizakiisilamu ndiomana wanaojiita wakristo wengi zinawashinda
@@jacoblopeyok-i3iAMINA❤
Swali langu ndogo katika amri kumi ni ipi iliyoondolewa tuache kukasilikia Saturday iliyo sabato na kama unaipinga nakushauri kapige sherehe kabisa juu uzima WA milele hauoni
Simulizi naona unamkubali sana Mwalimu Ndacha sematu kazi yako inakubana kua pande moja😂😂😂 Mungu akubariki Ndacha n Mwalimu wa kweli hao wengine bado tuwachunguze
Ndacha hana hoja wala elimu ya kiroho na huyu danieli ni hivyo hivyo pia
@@karimuabdala3234 hayo n maoni na upeo wako bro ciezi pinga
Na waenende kwa sgeria na ushuhuda, ukiwa hawaenendi bila shaka kwao hapana hasubuhi.
@@karimuabdala3234Yeyote anaehubiri apimwe kwa maandiko.
For u can say that but for me I can see Ndacha as a good example among the true prophets of god
Hiyo juma pili imeandikwa wapi katika maandiko kwamba ndio Itakua Siku takatifu ya Mungu? Soma Ezekiel 22:26
REVELATION 14;12, HERE IS THE PATIENCE OF THE SAINTS: HERE ARE THEY THAT KEEP THE COMMANDMENTS OF GOD, AND THE FAITH OF JESUS CHRIST.
Commandment of GOD is not ten commandments, but the whole WORD of GOD is the commandment of GOD
unapaswa kujua kuwa sabato haikuwa kwa wayahudi.
1.sabato ilianza na Mungu mwenyewe alianzisha baada tu ya kumalizia kazi yake ya Uumbaji. siku ya Saba akastarehe akaibariki na kujitakasa ni kabla ya wayahudi.
2.sabato ni amri ya nne katika amri kumi.
3.sabato ni siku halisi yaani jumamosi Wala sio jumapili au ijumaa.
4.Bwana wa SABATO ni Yesu Kristo.
yapo maelezo mengi ila kwa Leo nikomee hapo.
Huyo ni mpotoshaji ndugu, "tokeni kwake enyi watu wangu wala msishiriki maovu yake".
Kutoka 12:16
@@Wamisangi soma hoyo sura yote uelewe kwanini alisemea hzo siku mbili then utajua nini alimaanisha. Mwisho soma kutoka20:8--11.
Amina.
@DanielSamson-h4v
Nasoma Biblia kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu si majini na mapepo kama Wiliam Miller na Hellen White walio danganya siku ya mwisho wa dunia ni tarehe 22/10/1844 ambayo hatujui inafika lini?
1Wakorintho 15:14 ikisomwa na Mathayo 18:18
Siku ya kwanza ya juma imefunguliwa kwa Funguo za Ufalme wa Mbinguni tulizopewa na BWANA Yesu. Na Yeye Mwenyewe alishinda Kifo na Kaburi Siku hiyo.
Acheni kuwa na akili kama za wale waliotaka kumuua Gideon.
Wee ni mpotoshaji sana Mungu akusaidie
Rejea uumbaji wa Mungu katika kitabu Cha mwanzo utaelewa Mungu alipumzika baada ya umbaji
Ndugu, "tokeni kwake enyi watu wa Mungu wala msishiriki dhambi zake".
Ilikuwa siku gani
@@PascasiMunishi Ilikuwa siku ya saba. rejea, Mwanzo2:1+2.
Na ye hajakataa ila hatutakiwi kuoanudi siku
@@DanielSamson-h4vsiku ya 7 ni ipi?
Soma pia agano jipya vzr kuhusu kuabudu!
Halafu tuambie Yesu alipowajibu ,'mimi ndie Bwana wa sabato 'alimaanisha nn?
Hongera sana kwa kufafanua❤❤❤ Mungu akutangulie
Pole sana unapoteza nguvu na wkt bure !! Unachoongea ni pumba tupu ! Mungu akurehemu hujui utendalo.
@@MzaziMwidete Hapotezi Muda wanao elewa wanaelewa, kutokuelewa kwako kusiwe sababu ya kusema anapoteza Muda
Kwa nini una mwelekeo wa kutukana? Kwamba anaongea pumba tupu? Halafu useme, Mungu akurehemu? Mbona wa kurehemiwa ni wewe maana huonyeshi uvumilivu. Hekima inakutaka kuwa kimya kutunza ulimi au siyo?
Yeyote anaepunguza au kuongeza amri 10 za Mungu, anapotosha (mwongo) .Hapo tusi halipo ! Huo ni ukweli unaouma..
@@DamasNakei-bb7le hakika
Mheshimu MUNGU acha matusi
Waliomuua maaskari wa Kirumi soma vizuri na Mungu akuokoe
Kiimani na uelewa Msabato mmoja ni sawa na Wachungaji kumi wa kilokole,
(hivi ni wapi YESU alimega mkate jumapili badala ya Ijumaa....?)
Ndio, Yesu alimega mkate siku ya pasaka usiku kabla hajakamatwa usiku huo na akaangikwa msalabani siku ya ijumaa. Na yeye mwenyewe akasema sitakunywa tema zao la mzabibu hadi nitakapokunywa pamoja nanyi mbinguni. Huyu mwalimu hapa anasema kinyume cha mambo.
Hapana naktaa wasabato wamekarieishwa doctrine ya Helen G white,hawana akili ya kusoma neno la Mungu na kukitegemea
Hawaelewi mambo ya kiroho kabisaa
@@elishamgoja8291haya tuambie kwann wasabato hawana meza ya Bwana?
Wasabato wanavowaogopa walokole hivo
Watu wanaoongoza Kwa kusoka maandiko ni wasabato Wala siyo madhehebu haya mengine@@christinewomanoffaith5479
Mwake mwa anapotosha ukweli wa kihistoria kanisa la kikatoliki lilipiga marufuku sabato mwaka 364 a.d na amri ya pili na pia Yesu hakusulibiwa siku ya Ijumaa bali siku ya Jumatano na kufufuka siku jumamosi
Yakobo 1:27
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
Tuwasaidie yatima tukiwa ktk dini gani? Tukiwa wabudha? Waislam? Waabudu mababu? DINI YA KWELI NI SDA
SDA siyo dini ya kweli kabisa, kumbuka ilianza kwa unabii wa uongo na uzushi na inaendelea na uongo na uzushi mpaka sasa!
@@AloyceNzilano-p4y Labda umejichanganya au umechanganyikiwa. SDA haijawahi kutoa unabii wa uongo labda umemaanisha Mashahidi was Yehova, Wapentekosti, na wengineo!
@@AloyceNzilano-p4y Labda umejichanganya au umechanganyikiwa. SDA haijawahi kutoa unabii wa uongo labda umemaanisha Mashahidi was Yehova, Wapentekosti, na wengineo
@@AloyceNzilano-p4y Labda umejichanganya au umechanganyikiwa. SDA haijawahi kutoa unabii wa uongo labda umemaanisha Mashahidi was Yehova, Wapentekosti, na wengineo
Mungu wa Neema akuonekanie unaposoma neno lake
Mimi nimemwelewa kweli kabisa. Mungu akubariki kwa kuelimisha wakiijua kweli itawaweka huru
Huyu mwalimu anapungukiwa na kisomo. Hebu tumujulishe kuwa aliyebadilisha siku kutoka Jumamosi siku ya saba hadi Jumapili siku ya kwanza ya juma ni mfalme Constatini wa Rumi(Rome) wala si Yesu au wanafunzi wake. Ikiwa haamini asome historia kabla kuja hapa mtandaoni ma kuwapotosha watu. Katika katikasimu ya kikatoliki pia inataja vizuri sana kuhusu aliyebadili siku ya ibada. Anachohitaji huyu mwalimu ni masomo zaidi.
Huyu hajui hata historia, walioibadili sabato hukiri wao wenyewe, huyu Ni mchumia tumbo anatafta riziki kupitia trending za mibishano ya mihadhara kwa hivyo achana naye hutamuweza Ni mpumbavu
Wewe ndiye haujui chochote mtumishi Yuko sawa.
Wewe umepotea kubali ukweli uokolewe, hakuna mahari kwa bibilia Sunday is aday of worship.nakuhurumia sana.genesis 2:1-3 only God himself started the Sabbath
Sabato mliyonayo ninyi si ile aliyoianzisha Mungu, wala si ile ya Manabii katika Agano la Kale, bali mmejitengenezea ya kwenu yenye muundo wenu unaokinzana na sabato ya kale
Mungu akubariki saaaaana baba naamini
Asante Mwankemwa kwa majibu yako. Nipate namba yako. Sijakuona siku nyingi.
Namimi naomba namba yake na mimi
Muongo wazi wazi. Hajui biblia.
1. Baada ya Yesu kufufuka. Mtume Paulo anasema, imesalia Raha ya Sabato kwa watu Mungu. Waebrania 4:9
2. Mitume walifanya ibada siku ya sabato. Matendo16
3. Yesu anasema Sabato imefanyika kwa ajili ya wanadamu
4. Yesu aliabidu siku ya Sabato
5. Siku ya bwana ya Ufunuo ni siku ya sabato
6. Agano lililoanza kua kuukuu na kuanza kutoweka ni agano la ondoleo la dhambi kwa kutumia wanyama, kifo cha Yesu ndo Agano jipya
7. Mkristo ni mfuasi wa kristo na anaemwamini Yesu, wasabato wanafanya hivyo
8. Hakuna andiko linalosema tusali siku ya kwanza ya juma yaani jumapili,wala Yesu hakusema popote wala kuanzisha siku ya jumapili.
Barikiwa mtumishi kwa kufafanua ukweli wa Biblia
huyu jamaa anajua biblia lakini hataki kuku baliana na ukweli wa hiyo biblia
Danieli Mwankemwa, Ubarikiwe Nakutafuta sana mtu wa Mungu, Pastor Kimaro, Mza
@@msadikijustinekimaro8073 ni miongon mwa walimu wa uongoo sana na anapotosha watu
Bwana yesu Mwenyewe alisema akuleta dini mpya amekuja kukamilisha torati, itakuaje injili iwe agano jipya!!!
Kama alikuja kuikamilisha inamaana ilikuwa haijakamilika haya lete sasa hayo mapungufu yaliyokuwepo kabla ya yesu kuja😂😂😂😂
Agono jipya limetoka wapi na wakati gani?
Hakuna kitu kinacho itwa agano jipya huo ni uzushi wa Kalam za wapotoshaji, upo sahihi yesu hujui kitu Kama hiyo, ni upotosha wa poul na washirikina wengina
@@kamanapomo7029 duh basi ww inaonekana ni mbumbumbu maana hata vitabu vya manabii vinazungumzia kuwa mungu ataweka agano jipya na mwanadamu yaani huyo paulo hajazaliwa tayari manabii walishaongea tena sio nabii moja ni wengi tu
@@MasterTulo Bado huo ni utabiri, swali bado lipo pale pale agano jipya limetoka wapi na limeandikwa na nani? na ni Nabii yupi aliekuja na agano jipya?
Excellent father
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Pole ndugu mchungaji si wewe ni shetani ndani yako.
Hujakosea.
Mimi naomba point za kupinga tufahamu msiingize ushabiki wa dini ili nasi tujue
@@DanielSamson-h4v Mimi nisaidieni point sio mnafanya mashindano ili nasi tujifunze
@@GeraldMyuku Pointi gani tukusaidie.?
Wapendwa wa Bwana mwalim natamani nikufanye mwanafunzi wangu, kama upo tayali nambie,.
Mungu akusaidie maana hicho unacho kiongea hukijui Muombe Roho Mtakatifu akuongoze ujue nn Mungu anachotaka kwako
Anaepinga sabato,anapingana na torati ya Musa, zaburi ya daud, Injili ya YESU na hata Quran ya waarabu
@@ZabronMagufwa nyie wenyewe hamshiki sabato ya musa
Quran sio ya waarabu kuna waarabu hawaijuwi qurani ila qurani ni ya waislam...waislamu wote wanaijuwa qurani
Kwa kuwa Torati ilitolewa kwa mkono wa Musa: Neema na kweli zilikuja kwa mkono wa YESU Kristo. Je! Ni kipi bora zaidi?
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa ufafanuzi wako huu nzuri kuhusu siku ya 7 ambayo ndo sabato na siku ya 1 ya juma ambayo ndoo jumapili,ubarikiwe sana kabisa
Ukimskiza vizuri huyu mzee utagundua kwamba Anabifu kubwa sana na wasabato sijui Alifanywa nini maskini daaah Mungu amsimamie
@@amielraphael2927 Ukimsikiliza roho wa Mungu aliye ndani yako utaelezwa kwann anaponda wasabato.
@@amielraphael2927 shetani lazima atete na watu wa Mungu, shida ni shetani aliye ndani yake ndo mana aongee hivyo
@@katanathoya416 jamani kwenye mtandao watu wengi wanaangalia toeni point sio kukataa mafundisho ili tujifunze na tusuojua
Mwankemwa hana bifu na mtu, bali anaufunua ukweli wa Agano Jipya
Huu ndiyo ukweli kabisaaa! !!!!!
Baada ya pentecoste mitume waliendelea kuitunza SABATO.
Wapi walipoitunza siku ya jumapili au wapi Yesu aliibadili amri ya MUNGU.!?
Tupe maandiko
😂😂😂😂😂😂😂dah!! Huyu mzeee ananifulaisha kweli
UNATUMIA NGUVU KUBWA SANA KWA ELIMU YA CHINI HATA MFUMO WA KANISA LENYEWE LA WASABATO NA MAMBO YAKE HUJUI
yan mpaka anavuja jasho
Kwanza anajua historia ya kanisa la wasabato? Au anabwabwaja TU na kupotosha watu? Mungu amsaidie
Dhehebu la wasabato ni la wahuni Fulani hivi.
Niliwahi kuwa msabato vikanishinda mambo sikuyaelewa kabisa nikirudi kwa ukristo tu
Wasabato wanachoamini na wakristo wanachoamini siku ya mwisho MUNGU tu ndiye atatoa hukumu ya kweli 🙌🙌
Hukutaka kujifunza zaidi na kufungua akili yako kuupokea ukweli
Kuna mambo uliyafuata kwa wasabato nahukupata na hukwenda kujifunza juu ya ukuu was Mungu
Imani ya Waadventista Wasabato ndio IMANI pekee YA KWELI
Una moyo wa jiwe. Hata baada ya kusikia ukweli huu unangangania uongo wa Ellen G. white aliowajaza.
@@peterleonard1441 Sawa niko tayari ku-debate na wewe mpaka umenionesha HICHO unachodai ni “UKWELI” wa hawa wajanja wa UA-cam. Ni ukweli gani ulioumaanisha bro? Karibu
@@Enockbeckbrown-hf6xx Hakuna Imani ya wasabato, Wala wakatoliki Wala waangilikana Wala waludhelani... Ila Kuna Imani Kati ya Mwanadamu na Mungu wake. Badilisha mtazamo wako Kama unaishi hivyo ushapotea tayari.... Waebrania 11 itakuelewesha vizuri juu ya maana ya Imani..... Hacha kufananisha Mira na desturi na Imani
@@mathiasmichael9915 kuna imani MOJA ya kweli. Zingine ni potofu. Mfano ni wewe mwenyewe. Unaamini kuwa huyu jamaa anayelichafua kanisa la Waadventista wa Sabato amepata kibali mbele za Mungu, unaamini kwamba ni mtumishi wa Mungu ilhali ni wakala wa Shetani. Hii ni imani MOJA? La hasha.
@@peterleonard1441 uongo gani bro?
Sabato ni aina ya sadaka ya siku ambayo Mungu alipumzika baada ya uumbaji kilichotendeka ndani ya hio sadaka ya siku ni kuifanya siku ya saba kuwa takatifu kwahio ilitengwa kwa kusudi maalumu la Mungu mwenyewe, Mungu alipenda wanadamu kuifuata sheria hio kiroho. Panua ufahamu kuelewa baada ya hapo kila kilichotengwa kikatakaswa kinabeba sifa ya sabato mfano sadaka iliyotakaswa inaweza kuitwa sabato, Yesu akasema mimi ndiye Bwana wa sabato hakuwa anazungumzia siku ya sabato alimaanisha kati ya vyote vilivyotakaswa kama sabato mimi ndiye mkuu wa sabato zote maana yake utakaso wake ni juu ya takaso zote. Hapa ni swala la ufahamu dini na kuabudu havihusiani na tafsiri ya Neno Sabato KIROHO,
Kuwepo kwa wasabato maana yake waliotengwa na kutakaswa kwa kusudi maalumu la Mungu kwahio ili msabato awe msabato inampasa kulielewa na kuliishi kusudi la kutakaswa kwa sabato asipolielewa usabato kwake ni bure na walio nje ya kusudi la sabato ya Kristo hao ni waasi wa sheria ya sabato. Kwahio kuwa msabato ni lazima kwasababu ni sheria ya Mungu mwenyewe. Kwahio ukiitafsiri sabato KITHIOLOGIA utakwama. Mwenye kuelewa ni mwenye Roho wa Mungu mwenyezi.
❤Barikiwa sana Mtumishiiiii Chapa sanaaa Tukopamoja
Labda abarikiwe na Paulo baba wa wakristo ila Mungu hawezi
Paulo mwenyewe alikuwa msabato matendo 2@@jumamnyonge2148
For if Jesus had given them rest, then would he not afterward have spoken
MATHEW 5;17. THINK NOT THAT I COME TO DESTROY THE LAW,OR THE PROPHETS..BUT TO FULFILL.HATA TONE MIJA KATIKA SHERIA NA TORATI HALITAONDOLEWA MPAKA YATIMIE,KWA HIVYO ATAKAYE VUNJA AMRI KUMI ATAITWA MDOGO KWENYE UFALME.
They overlook these verses....
katika mwanzo 2.4 sabato ilikuwa tangu uumbaji wakati wayaudi hawakuapo je Adamu alikuwa myaudi?
sabato ilianza toka uumbaji sio ya wayahudi . kataika manzoni wayahudi hawakuapo
Hilo ndilo neno la Mungu, usikiapo unabarikiwa. asante sana mtumishi, na Bwana yesu akubariki.
Huyu jamaa ndio mwehukuliko wote bora ndacha kuliko huyu 😂😂😂😂😂😂
We kafiri hujui chochote afu hii mada haiwahusu mbwa nyiyi
Pokea dozii hiyo
@@PascasMathew dozi ipi🤷
Huyu mwalimu yupo sahihi ndacha yupo kwenye torati wakati agano jipya linamtambua yesu na waabuduo halasi hawaabudu ktk siku
@@MasterTulo sio siku Roho na kweli , shida yà wasabato na ndacha wanachangqnya vipindi
😂😂😂😂😂😂😂huyu mzeee wenda alikuwaga ni msabato akaasi na akaamua kujipoteza kabisa makusudi na sijui walimfanyeje tu wasabato huyu mzeee
Acha kupotosha watu wa mungu unamtetea shetani awe juu kuliko Bwana
Ndugu, "tokeni kwake enyi watu wa Mungu wala msishiriki maovu yake".
Ebr 4:9 Basi imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu
Hao watu wa mataifa si wafuasi wa Yesu bali wa Paulo
Kwan Paul alihubiri kuhusu nani?
“And they worshipped the dragon which gave power unto the beast: and they worshipped the beast, saying, Who is like unto the beast? who is able to make war with him?”
- Revelation 13:4 (KJV)
Kumbuka umesema mwenyewe kuwa wiliam Mila aliyeanzisha vuguvugu hakuwa msabato sasa unaungnishaje William na wasabato?
Mwalimu Daniel I,sabato haikwanzia utumwani.YESU alikuwa mkristo na akasema yeye in msabato hats diye mfalme was sabato Danielu hajasoma biblia vizuri
Huyu kumbe hata hawajui hao waitwao wasabato, na huenda hajui mengi tu!!!
Huyu si ni mwalimu wenu anakuwanga kwa muhadhara na kina ndacha😂
Wanakuwa pamoja wanapozuwia watu wasislimu@@SheeMaryam.M
@@SheeMaryam.M😂wakati wa kuwapotosha watu Ndacha anakuwa mkristo mwenzake,wakimaliza anamkana 7×70
@@ZayyanaBamuni 😂😂😂
Sabato ni alama ya Mungu ya uumbaji wa kitu 6 na ya saba pumziko takatifu kwa ajili ya wanadamu wote wanaomcha Mungu wa kweli
Yaani unaturuhusu tuibe Mchungaji ? Maana usiibe ni amri ya agano la kale
Barikiwa mchungaji Daniel, ni kweli YESU KRSTO alileta wokovu na wala sio dini, dini ni kaburi la kumpeeka mtu jehanamu, yohana 1:12 , siku ya jumapili ni siku ya ushindi ya kufufuka kwa BWANA wetu YESU KRISTO, ndiyo sabu tunaenda kanisani , na tuliokoka ni wafuasi wa YESU KRISTO , na YESU kwetu ni MUNGU yohana 1:1-3, na kwa JINA la KRISTO YESU tunatoa mapepo, Na DAMU ya YESU inatutakasa inatusafisha tunapotubu
omba Mungu urejee kwa ibada ya kweli kabla mlango wa rehema haujafungwa tutakuombea kwa ajili ya ubaya na hila za shetani but is your choice kupotea nakupoteza wasio na neno la MUNGU au kurejea kwenye kweli
@@msafiriaugustino2957 kama we ndio umepotea je?
Mlango wa wezi siyo wa rehema maana wasabato mna fundishana umbea tu.
Mungu akusaidiye upate kweelewa mandiko
Marko 2:28
Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.
Marko 6:2
Na ilipokuwa sabato, alianza kufundisha katika sinagogi; wengi waliposikia wakashangaa, wakisema, Huyu ameyapata wapi haya? Na, Ni hekima gani hii aliyopewa huyu? Na, Ni nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake?
Luka 4:16
Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.
Swali: tuwambie hapo Yesu hakuwa msabato? Kama hakuwa Kwa nn biblia inasema akaaingia hekaluni kama ilivyokuwa desturi.
@@felixvedastus9780
Is it a sin to worship any other day apart from saturday and Sunday?
Ndugu huyo siyo kwamba hajui, anajua ila kazi yake ni kupotosha wengine. "tokeni kwake msishiriki maovu yake".
Wewe unayejiita mchungaji Kama Bwana aishivyo.. hiyo dhambi ya uongo usipo itubu Mungu hatakuuacha salama.
Sielewi ata kidogo bora story za p ddy kuliko hii 😡
@@Kuminamoja1995 Ha ha haaaaaa! Weee kiboko ila mambo ya P dd usiyafuatilie maana muda umekwsha sasahv ulizia na fuatilia kujua hbr za uflme wa mbnguni maana muda umekwsha, c umeskia vta ya Israel na palestina na kuondolew waislam ktk mskit wa AlAqsa? hii ndy ishara ya mwsho kbisa itakayotamatisha kpnd cha neema!
Huyu hajasoma vipi sabbato ilianzishwa na Roma. Na ako confidence kudanganya
Kweli quran inabaki kuwa ya ukweli "wametalifikiana wao kwa wao" ni hayo tu.. sadakallahu Adheem
Nyie makafiri , mazezeta msiokua na akili hapa kuna elim kubwa mbwa nyie , Daniel anazungumza conptepx na Amunetix
Quran haijawai kuongea neno litakalo tokea bali yaliokuepo, ni adithi tu.
Mambo yote yalio andikwa ndani ya biblia yanaendelea kutokea. Kwa mfano kubadili majira, siku ya kuabudu, manabii wa uongo...
@@francisjoseph1074matusi sio muhimu ndugu yangu bali kuelimisha
@@machindafadhili3186 hadithi za mtume tunazo nyingi na dalili alizosema karibu zote zimetokea kwa mfano, vita vya Palestine, ushoga, vijana kukufa pre -mature deaths, magolafa yatajengwa, pombe, zinaaa, wanawake kutembea uchi, mitetemsho ya ardhi, e tc. Kama haijatokea sema ni uwongo..
@@francisjoseph1074 Hana pia bibilia imetangulia kukuita ww kafiri kama huna habari
Soma zaidi na Mungu akusaidie kuelewa maandiko vizuri
Wasabato Hapa ndipo tuelewe kua mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache. Tusimchukie wala kumshambulia bali tumuombe Mungu atusaidie kuwaelewesha kwa upendo, kazi ya uongofu ni ya Mungu mwenyewe.
Nikweli lakini huyo ni mpotoshaji mana ukweli anaujua na mafungu anayafahamu. Hawa ndyo manabii wa uwongo.
Was abanto wanashika amri za Mungu na imani ya Yesu, sabato nayo ilikueko tangu mwanzo ikasaulika, sababu ya kua utumua. Tena Yesu hajawahi badilisha sabato! Sabato kabarikiwa, katakana, ikapewa wanadamu waitunze kwa kutii Mungu.
Huyu ni mpingaji tu
Yuko sawa
We ndo mpinga kristo huyo kasoma maandiko wewe huna neno la Mungu unawezaje kumpinga?
Akitoa maandiko 3 tu kuusu jumapili kuwa ni siku ya bwana mi natuma hela kwa kila kometi
😢Kwani Yesu alibadilika ndio sabato ifutiliwe mbali?
Bibilia inasema vizuri kuwa sikuja kutupilia Sheria ya Musa ila ndio inatuelekeza.
Sabato ni ya Mungu tokea shamba la edeni ndugu yangu Kwa hivo ilianza kabla hao wayaudi na Mungu hajawahi badilika