Khutuba: MAULIDI YALIANZA LINI??|Sheikh Abul Fadhili Kassim Mafuta حفظه الله تعالى

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 32

  • @fadhilhassan9307
    @fadhilhassan9307 2 дні тому

    Asante sana maalim mungu akuhifadhi na akulipe malipo mema ukweli tunafaidika sana tunotafuta ukweli popote pale kw ushidi wa kitabu na sunna na sio mitazamo ya watu.

  • @IssayunusAbdallah-v7t
    @IssayunusAbdallah-v7t 26 днів тому

    Jazaakallah khaira

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 4 місяці тому

    Allaah akubariki Shekh Qassim , Ummah unayahitaji mambo kama haya, kwa sbb ndio yanayo poteza watu na kuwaweka mbali na Sunnah, nasio Dr.Islam......

  • @YunusGillah-w9n
    @YunusGillah-w9n 4 місяці тому

    Mash Allah shekh kasim Allah akulipe Kila la kher

  • @KassimBakari-mw8ey
    @KassimBakari-mw8ey 2 місяці тому

    Assallam àlaykum kaka, kassim Bakari Bindo kigamboni dar

  • @amaniamokachielmorisho1007
    @amaniamokachielmorisho1007 3 місяці тому +1

    Naomba Chanel ambayo Qassim mafuta anatumiya kila wakati kwenye darsa zakila siku

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01  3 місяці тому +1

      ua-cam.com/users/live7V7hETPRlxM?feature=shared

  • @fadhilhassan9307
    @fadhilhassan9307 2 дні тому

    Wasia wangu tusomeni na tusifate ushabiki inashangaza sana mtu unapewa ushahidi ulotoka kwa mtume kiigizo chetu ila unapinga sababu shehe wako hafanyi hivo hivi tunafata mtume au shehe jaman tusomen na tukipata haki tuifate.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 4 місяці тому

    Ukweli unaumiza, lkn haitatokea siku ubadilike ukweli huo na kua ni uongo, masufi ifikie pahala muache hii tabia ya kuendeleza uzushi ktk Dini ya Allaah Tabaaraka Wata'aalaa.

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 4 місяці тому

    Ukitaka kujua maulidi yalianza kwa mtume ni pale alipofunga kwa ajili ya kuzaliwa kwake

  • @alimussa3611
    @alimussa3611 4 місяці тому

    Kelele za mlango hazimkeri mwenye nyumbaaaa

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 4 місяці тому

    Maulidi yalianza kwa mtume mwe.nyewe

  • @hairuismail6456
    @hairuismail6456 4 місяці тому

    Comments nyingi za masufi wallahi huashiria kwa namna gani wako mbali katika kuyaelewa mambo na kuna kitu wanacho katika nafsi Allah aiongoze mijisufi hii.
    Maana inastaajabisha mno ila Alhamdulillah watu wanabainikiwa kila iitwapo leo...
    هاتو برهانكم إن كنتم صادقين
    الحمد لله على نعمة الإسلام والسنة

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p Місяць тому

      Kwahiyo shekh Qasim ndo yuwajua Haq zaidi ktk hii dini kila atakacho sema ni wahai ama kweli huu ni upotevu wa kujifanya nyie ndo mliongoka

  • @alimussa3611
    @alimussa3611 4 місяці тому

    Sisi tunajuwa uingiapo mwezi wa mfungjo sita nyinyi huingia wazimuuuu basi endeleeni kupata wazimuuuu kama wewe shekhe wa kiwahabi kassim mafuta

  • @husseinsalehe6506
    @husseinsalehe6506 4 місяці тому +1

    Masheikh wa kidigital,tumefikia mahali mtu anatunga khutba ya ijumaa kushambulia kundi la waislam wenzake?? Hivi ndivyo alivyoelekeza Mtume S.A.W ? kuugawa umma???

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 4 місяці тому

      Kweli ukiamka asubuhi ni suffiyyah ghurafi mtu wamaulid baasi haitokufikia mchana ushaakua mwendawazim mpumbavu na siku moja katika watu wa hekma amewahi kumuona huyo suffiyyah ghurafi lipo juu ya jiwe akasema .JIWE😂 lipo juu ya JiWE .haya kama ww ni sufiyy jiuloze hayo maswali

  • @alimussa3611
    @alimussa3611 4 місяці тому

    Wewe si ndo unatowa thawabu sawaaaa. Huna ufahamu huoooo

    • @hairuismail6456
      @hairuismail6456 4 місяці тому

      إن كنت جاهل فحقك أن تسكت.
      Unaonaje hoja hiyo akatoa mnaswara ebu sikiliza kwa makini mpka dawa ikuingie

  • @IsakaKinyonga
    @IsakaKinyonga 3 місяці тому

    Jaman kua salafi raha san masufi mnaumia nin

  • @alimussa3611
    @alimussa3611 4 місяці тому

    Wewe kaingie peponi sisi tuache tukaingie motoni

    • @WaziriShabani-ie3nh
      @WaziriShabani-ie3nh 4 місяці тому

      hichoni.kibri

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt 3 місяці тому +1

      Kaka haya maneno ni mabaya sana yatakudhuru , tubia kwa Allah mara moja

    • @LuqmaanMafita
      @LuqmaanMafita 21 день тому

      Acha maneno ya ukafiri hayo badilika acha kufata mkumbo angalia haqqi

  • @alimussa3611
    @alimussa3611 4 місяці тому

    Kwani wewe kassim mafuta ufahamu wa aya hiyo unao wewe tuuuu na ndo mwenye akiliii Acha uwahabi wako huoooooo

  • @YunusGillah-w9n
    @YunusGillah-w9n 4 місяці тому

    Anaesem mtume kafanya maulidi huyu ni muongo kbc kukata viuno mbon nyie Kam mwamtukan mtume waongo wakubwa nyie

  • @AllyKiduka
    @AllyKiduka 4 місяці тому

    Kasimu watu hashali kunamauaji amani inatoweka zungumzia hayo achana na maulidi madume ndawanajuwa maulidi wewe jahili tu hutyaweza kwanza weweni متكبر

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo 4 місяці тому

      Acha NYAMBU HII NI DINI CY SIASA......HESHIMU HUYU SHAIKH MKUBWA WA SUNNA

    • @kasimusalimu
      @kasimusalimu 4 місяці тому

      Kasimu mafuta Anna ufahamu jaman atawasumbua bado anaujinga wanafs yake kujiona ona TU bas ojazake nidhaif

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt 3 місяці тому

      ​@@kasimusalimuzijibu hoja zake hizo