Fahamu maharage aina ya Jesca yenye uwezo wa kutibu Kisukari na Nguvu za kiume

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 вер 2021
  • Imeelezwa kuwa maharage aina ya Jesca yana uwezo wa kutibu matatizo mbalimbali kwa mwanadamu mbali na kumaliza tatizo la nguvu za kiume.
    Watafiti wa kituo cha utafiti Uyole (TARI) jijini hapa wamebainisha hayo leo Septemba 4 walipokuwa wakizungumza na Mwananchi Digital ofisini kwao.

КОМЕНТАРІ • 1