KAA LA MOTO: RAPPER wa KENYA mwenye Mkanda Mweusi wa KARATE, ni mtu hatari, ana ngumi ya chuma (2)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 53

  • @m___ck799
    @m___ck799 Рік тому +11

    This guy is on another level..will start following him, this is.the type of hiphop I enjoy the most.

  • @hatsuchi9688
    @hatsuchi9688 Рік тому +4

    Congrats kijana wetu wa Sarajevo unatuwakilisha may God bless u forever.

  • @giftrevocatus8040
    @giftrevocatus8040 Рік тому +5

    Daaaa kaa la moto nomaa kwenye ngoma mbaka vitasi

  • @jumahamisi9280
    @jumahamisi9280 Рік тому +2

    Asa wee Jay Karate utanmbia nni, game ilkwa ukichapwa mbya😂😂😂, salute lkn kazi nzr.

  • @justinemwagandi8511
    @justinemwagandi8511 Рік тому +7

    Much love our Kaaa La Moto

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Рік тому +5

    Mm ni Mtanzanzania lakini na heshimu sanaa ya huyu Mwamba wa Mombasa Sensei Juma(Kaa La Moto Kiumbe)

  • @jacksonkassian6331
    @jacksonkassian6331 Рік тому +6

    Duh huyu jamaa mkali sanaaa 🔥🔥

  • @wycliffhezron7378
    @wycliffhezron7378 Рік тому +7

    Interesting interview Mr Sky Walker , big up yourself 🙌🙌🙌

  • @Najmahs_world
    @Najmahs_world Рік тому +3

    Our own kaa la moto kiumbe❤❤❤he is my favorite 😊

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 Рік тому +8

    😂😂😂ati kaa la moto ana ngumi ya chuma 🇰🇪🇰🇪.....

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Рік тому +4

    That freestyle is dope

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +3

    Mwanangu kaa la moto upo good sana

  • @jumaiddy-jm5wo
    @jumaiddy-jm5wo Рік тому +4

    Kaka Sky thank you so much for this.

  • @user-tp3hb7ky5m
    @user-tp3hb7ky5m Рік тому +4

    Blessings Sana kaa LA moto

  • @officialmezamana8554
    @officialmezamana8554 Рік тому +1

    Big up kaa la moto karate is the best Shihan Mustapha salute love that self defence is the best

  • @mungaabdull5902
    @mungaabdull5902 Рік тому +2

    Kaa La Moto unaumahiri sana kwenye lugha watu kama nyinyi kupatikana ni adhimu

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 Рік тому +3

    home boy from malindi

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 Рік тому +4

    Rapper matata 🔥🔥🔥🙌

  • @SifaRaymond
    @SifaRaymond 8 місяців тому +1

    Much love broo

  • @saulnyawandoro
    @saulnyawandoro 9 місяців тому +1

    Hehe noma broo!

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 Рік тому +2

    One love la moto

  • @MOTHERFLOWERS385
    @MOTHERFLOWERS385 Рік тому +4

    MWANANGU SANA KAA LA MOTO 😅😅😅😅😅JAMAA ANA MIKWARA

  • @SayyedIssa-fj9jn
    @SayyedIssa-fj9jn Рік тому +1

    Bro wewe noma

  • @chiragahmbura9523
    @chiragahmbura9523 Рік тому +2

    Bloody sana nakutambua Kaa lamoto

  • @lucasmsogoti3435
    @lucasmsogoti3435 Рік тому +2

    KAA LA MOTO NI BALAA LINGINE KABISA

  • @officialmezamana8554
    @officialmezamana8554 Рік тому +1

    Nun chuck training is what i want my bro 🔥🔥🔥

  • @rasmbegu
    @rasmbegu Рік тому +6

    Heshima kwako ninja nakubali unavyoongea unamaanisha sikupingi saluti sky mwambie nitakuja Kenya kumuomba pambano ila sitaki camera ili ni kipigwa iwe siri

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому +1

      🤣

    • @mdachiog5211
      @mdachiog5211 Рік тому +2

      😆😆😆😆camera ndo nzuri ili ukiki kama mandonga

    • @Najmahs_world
      @Najmahs_world Рік тому

      ​@@mdachiog5211😂😂😂😂 jamani

    • @rasmbegu
      @rasmbegu Рік тому

      @@ahz6907 atari sana

    • @rasmbegu
      @rasmbegu Рік тому

      @@mdachiog5211 mchizi anaonekana yupo vizuri ukileta umandoga unaweza kufa mwenyewe unamuona vip ka kaza kinoma tukiwa peke yetu ni poa zaidi labda awepo sky tu

  • @gilbertkiiru9696
    @gilbertkiiru9696 Рік тому +2

    Kaa la moto kiumbe I just like the way is hummble congrat my bro much love from kisauni county 001

  • @SayyedIssa-fj9jn
    @SayyedIssa-fj9jn Рік тому +1

    Noma sana hutopata mtu kama huyu

  • @normanmoriasi49
    @normanmoriasi49 11 місяців тому +1

    Sikubaliani hapo kwa bouncer,kuna wale ni wakubwa na pia wako fitih martial arts.....ngependa sana nikupate wewe,niko kilo 120 na ni boxer,krav maga na kick box niko sawa sana

  • @paulmwakisha5784
    @paulmwakisha5784 Рік тому +3

    Jaribuni vita huwa sana😂

  • @hamisikalama1286
    @hamisikalama1286 11 місяців тому +2

    Kongole Sana wakhwehu

  • @Josh_1194
    @Josh_1194 Рік тому +4

    Huyu jamaa anayoongea ya kweli ???😅😂😂😂😂😂😂

    • @mfalme254ke
      @mfalme254ke Рік тому +1

      Kweli kabisa

    • @firegun9443
      @firegun9443 Рік тому +1

      Tatzo hampendi kuambiwa vya kwel, mnapenda vya uongo uongo anachokiongea ni u kwel mtupu

    • @Josh_1194
      @Josh_1194 Рік тому

      @@mfalme254ke ilo tatizo Umelijuaje

    • @innocentmushi1550
      @innocentmushi1550 Рік тому

      Anakwambia umma unatosha kuwamaliza😂

    • @mfalme254ke
      @mfalme254ke Рік тому

      @@Josh_1194 Tatizo lipi

  • @barakaekuro
    @barakaekuro Рік тому +1

    😂😂 kaa la moto 🔥🔥

  • @westcijosh
    @westcijosh Рік тому +2

    Vita ni vitamu

  • @sammysambo9700
    @sammysambo9700 Рік тому +2

    wewe huogopi kutaja bombolulu😅

  • @user-ls3sd9ts4m
    @user-ls3sd9ts4m 4 місяці тому

    Kaa lamoto kusema ukweli ukilikalia utaungua mata na ko jomba ameibaka biiit 👊🏻👊🏻👊🏻

  • @daudibig-rk7ch
    @daudibig-rk7ch Рік тому +4

    Jama nimeenda kuona nyimbo zake nimeamini bongo wanajua sana hip hop jama hamna kitu hajui